PATANISHO: Mume wangu amezaa na wake wawili nje ya ndoa (Episode 17, August 2019)

  Рет қаралды 26,105

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

4 жыл бұрын

PATANISHO: Mume wangu amezaa na wake wawili nje ya ndoa

Пікірлер: 150
@carolynemoraa8350
@carolynemoraa8350 4 жыл бұрын
Single from 2011 na strong kushungua hamam nikiendelea kulea proud of tat😘😘
@swashabdul
@swashabdul 4 жыл бұрын
Wewe sasa uko na kutu
@hadijaateya7623
@hadijaateya7623 4 жыл бұрын
Pia nko ndani
@neemajuu7243
@neemajuu7243 4 жыл бұрын
@@swashabdul wacha za ovyo
@mumblessed001
@mumblessed001 4 жыл бұрын
Nakwambia pia mm cna haraka 2011 hadi waleo stress free
@alinebenja3925
@alinebenja3925 4 жыл бұрын
Tuko pamoja
@swashabdul
@swashabdul 4 жыл бұрын
Nani amegundua wanawake sikuhizi wamejigundua........
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁 kabisa yaani
@OneLove-lc7os
@OneLove-lc7os 4 жыл бұрын
Dadangu chunga utaletewa magonjwa na huyo Fala jeuri
@fridahkimilu7626
@fridahkimilu7626 4 жыл бұрын
Wakamba ndani ya nyumba??? Wapi likes zao.
@thewashiifamily7776
@thewashiifamily7776 4 жыл бұрын
Twivaa😝😝😝😝🏌️🏌️🏌️
@aggycherry9400
@aggycherry9400 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 hata kwa matanga huwa wanacheka ati anaambia katoto nitakujaaaaa... oh my....men if you cheat on your wife don't complain when you are cheated on,the pinch is the same ooh
@mercy32310
@mercy32310 2 жыл бұрын
Gidi so so on point always! mwanamke hafai kuwa na mpango wa kando? lakini mwanaume anafaa--perfect questions Gidi Gidi, love the show
@sharonokuyo7413
@sharonokuyo7413 4 жыл бұрын
Hata heri niambiwe nitachomwa na kiberiti kwa masikio kuliko niambiwe nitakatwa miguu,....the guy bado ako na machungu the way he speaks anakaa ni mtu wa hasira
@nellypheans2248
@nellypheans2248 4 жыл бұрын
Siku zote mwizi hataki kuibiwa
@elizabethnjambi636
@elizabethnjambi636 4 жыл бұрын
Hapo sasa
@gracewanjiru8462
@gracewanjiru8462 4 жыл бұрын
mwizi haaki kuibiwa
@roselineawinja6604
@roselineawinja6604 4 жыл бұрын
Titus uko na madharau, kiburi. Ebindu bichenjanga,Bibi yako sahii ako na payslip na hutamchezea, end a uoe hao wenye umezaa nao
@pstleilaciku7171
@pstleilaciku7171 4 жыл бұрын
Ukiona mwanamke ameamua kutoka kwa ndoa yake jua amevumilia ya kutosha
@carolynemoraa8350
@carolynemoraa8350 4 жыл бұрын
Mtu akitoka kwa ndoa amepitia mengi Sana
@nyakadosophia4166
@nyakadosophia4166 4 жыл бұрын
Kweli wanawake wanavumilia sana na ukiona ameamua kutoka usimdharau ama usiongee
@keiyokimarujoel.2701
@keiyokimarujoel.2701 4 жыл бұрын
Hasira hasara; Mwananke huwa anauvumilivu mwingi; akisha amua kuondo imekuwa imezidi sana. Wanaume tuache kuchapa wanawake. Mwanamke sio mtoto wako. Gidi na Ghost Mungu awabariki sana!
@felkadumas9863
@felkadumas9863 3 жыл бұрын
This guy is so proud mama Peter usirundi. I hate arrogant men
@agneskhakali2069
@agneskhakali2069 4 жыл бұрын
😀😀😀😀 GIDI ni ukweli mwambiye akubali kuwa draw ili life iendelee. Mummy shikikilia kazi achana na stress ya wanaume.Wengi tumejitegemea na kulea watoto wetu..
@fiddiggokirimi9630
@fiddiggokirimi9630 4 жыл бұрын
Dume jeuri na jinga hili.mama Peter take care of yourself.
@agneswanjihia1383
@agneswanjihia1383 4 жыл бұрын
Team hamam hapa
@Sunshine_Amy
@Sunshine_Amy 4 жыл бұрын
My dear sister from ukambani,,, Huna mume, but uko na baba watoto.... Period... 😂 😂 😂 Nakuhurumia
@godsfavour5665
@godsfavour5665 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nitakuuuuuja hako kasauti yani asante ya punda ni mateke mama usijaribu kurudi huyu jamaa atakuletea magonjwa zenye hazina jina wacha akatombe huko nje coz amezoea
@beckybeto3781
@beckybeto3781 4 жыл бұрын
True
@jessyjames4772
@jessyjames4772 4 жыл бұрын
Mama Peter usikubali kurudi kwa huyo ghasia
@saidahj2543
@saidahj2543 4 жыл бұрын
Wanaume this round mtaacha ujinga ..mtabadilika by force by fire AMA mmbaki na nyumba zenu...wanawake wengi nowadays tumechanuka mtu akileta nyefnyef mbelembele maisha isonge...HESHIMA IFANYE KAZI....saitaaan...rude man
@dominickalume2891
@dominickalume2891 4 жыл бұрын
Ndoa ndoano Bwana....Waaa Noma sana,Ila Mwanamke akisema umpatie mda ndio ivo yani anaumeryakuumerya#patanisho#Gidinagor#RadioJambo•√
@roseirungo1950
@roseirungo1950 4 жыл бұрын
Mama jipange na Maisha yako huyu mwanaume ni Very abusive man and at the end of the journey atakuja kkua...
@catherinemuindi8555
@catherinemuindi8555 4 жыл бұрын
Kabisa
@hanifajuma342
@hanifajuma342 4 жыл бұрын
Kwa wenye wako kwa ndoa perform your duties well mkiolewa munaona umefika unasahau majukumu yako kwa mumeo., kazi ni maneno makali, kufura ovyo ovyo na madharau plus uchafu mume lazima atazaa inje kwenye anahudumiwa vizuri.
@kihikiunderstanding5766
@kihikiunderstanding5766 4 жыл бұрын
Mwanaume hta umufanyie n nn kma niwakueda inje ataeda tu
@hanifajuma342
@hanifajuma342 4 жыл бұрын
maitu wa County kweli kuna wangeni viruka njia.
@Zaza-bt1hx
@Zaza-bt1hx 2 жыл бұрын
No go zone. Bwana Titus ana kiburi na is very dangerous. Don't go back to this son of pharaoh. Kifo tu
@ruthnjambi728
@ruthnjambi728 4 жыл бұрын
Waaaaah hizi mboma noma sana siku hizi
@rajiranasingheofficial
@rajiranasingheofficial 4 жыл бұрын
Aliambia mtoto nitakuja katoto kangu kazuri.Yani hana ata aibu ata kidongo mbele ya bibi na watoto wake 😃😂😅😁
@nomienomie7812
@nomienomie7812 4 жыл бұрын
Mama peter enda ukiendanga,hii ghasia ya mwanaume haifai kuishi na mke kama wewe you are too wise for him
@janegitau6857
@janegitau6857 4 жыл бұрын
Wacha nikae single
@roselineawinja6604
@roselineawinja6604 4 жыл бұрын
Team single n care- free t uko ndaani kabisa
@rajiranasingheofficial
@rajiranasingheofficial 4 жыл бұрын
Mama petre mungu anakupenda kama umetoka kwa uyo mwanaume kama bado unapumua🔪🗡bado uko na mguu yako .Songa mbele mama petre mungu akubariki ulee watoto wako
@angelatwist8085
@angelatwist8085 6 ай бұрын
hope she is flourishing
@King-Jack-ryan
@King-Jack-ryan 4 жыл бұрын
Wacha nioshe hamam yawa hawa wanaume wamezidi
@agneswanjihia1383
@agneswanjihia1383 4 жыл бұрын
Aki ina bidi
@youngmummy3838
@youngmummy3838 4 жыл бұрын
Wanaume wa siku hizi issa throw
@yahabibiyahayatiyahayuni7339
@yahabibiyahayatiyahayuni7339 4 жыл бұрын
Hizi ndoa apana wacha niendelee kusugua hamam bila stress
@carolynemoraa8350
@carolynemoraa8350 4 жыл бұрын
Hamam iko sawa kabisa
@floridaalega3844
@floridaalega3844 4 жыл бұрын
😂😂😂Hamam khois
@carolynemoraa8350
@carolynemoraa8350 4 жыл бұрын
Mia Mia
@sheilahbarongo3653
@sheilahbarongo3653 4 жыл бұрын
Bado ako na hasira mpe time kwanxa...kaa hutaenda basi nikaa humtaki
@joycemuiru1797
@joycemuiru1797 4 жыл бұрын
Mama peter usirundi huko. Anaeza kuua juu ako na mahasira.
@eddahnyongesa9819
@eddahnyongesa9819 4 жыл бұрын
Titus uko na ujinga sana uko na raha isiyo na mwisho nakwambia tena hata mosquito haikukubali tena
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 4 жыл бұрын
Boyshaud hajitoi kwa hii ngori round hii ha ha mama peter run oooh
@betty541
@betty541 2 жыл бұрын
The audacity..and sense of entitlement!
@ochiengatienolilian8921
@ochiengatienolilian8921 4 жыл бұрын
😂 My baby daddy is a kao but I surrenderd 🙌🙌I thought wanawezana wenyewe kwa wenyewe, kumbe ni tabia Yao yawa? Eeeh yawa wakamba!!!!! Hata mtoto wangu staki ajue ni mkao, these people wanakuaga wajeuri
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 4 жыл бұрын
peleka mtoi kwa wenyewe
@rachealmoraa436
@rachealmoraa436 4 жыл бұрын
Hata mm mtu aniambie afurahii kukaa na mm najitoa
@maryjob7499
@maryjob7499 4 жыл бұрын
Karibu gulf team kujiamini team
@mamayao9816
@mamayao9816 4 жыл бұрын
Mkuki tamu kwa ngurue but kwa mwadamu uchungu
@monyivam9821
@monyivam9821 4 жыл бұрын
Mama Peter usirudi utakatwa miguu
@sophieaden5367
@sophieaden5367 4 жыл бұрын
Matusi mengi kwa ndoa
@christinemuli6496
@christinemuli6496 4 жыл бұрын
Wanaume wakamba Kujeni hapa kwa hema nyeupe..... Huyu Titus tumfanyie nini
@jonnyjonny132
@jonnyjonny132 4 жыл бұрын
Nitakuya hiyo part dio imenimaliza
@chullakoi1508
@chullakoi1508 4 жыл бұрын
Madharau haijengi Baba!!
@hadijaateya7623
@hadijaateya7623 4 жыл бұрын
Huyo mume mjeuri
@mumblessed001
@mumblessed001 4 жыл бұрын
Aki huyu mwanaume ni jeuri kweli mama Peter enda ukiendanga hapo hakuna ndoa enda kabisa kanyaga kubwa kubwa achana na huyu jinga ya mtu mama peter endea watoi wako
@gemkachar
@gemkachar 4 жыл бұрын
mkuki kwa nguruwe .....................
@annaj7157
@annaj7157 4 жыл бұрын
Aki matharau nimbaya sana kwa mboma
@melancholypure5375
@melancholypure5375 4 жыл бұрын
Mwanaume tumadharau tu😏😏😏😏
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 4 жыл бұрын
Huyu mwanaume ni ngombe sana wacha huyu mwanamke akae kwao kabisa
@pampamie2375
@pampamie2375 4 жыл бұрын
Mwanaume hajui kusikitika mbele ya watu na ndio anaomba urudi Sio mme leave this idiot alone before ukatwekatwe
@conniechrist9260
@conniechrist9260 4 жыл бұрын
Ukirudi kwa huyo jamaa mwenye kuburi unajichimbia kaburi. , Mwanaume mwenye hawezi kubali makosa yake na alisema atakukata kata jishunge sana.
@periswarish7022
@periswarish7022 4 жыл бұрын
Apo mpira ndroo ulizalisha injea alafu unalalamika bbi anatoko injea nya ndoa
@goddietosh6877
@goddietosh6877 3 жыл бұрын
Today patanisho
@makenamiriti6146
@makenamiriti6146 4 жыл бұрын
Huyo mwanaume ni rude akiskika,Gidi mwanaume akihanywa anareact nikama ni mamake ameuawa.
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 жыл бұрын
Kwanza mwanaume kukuchapa mbele ya watu ni madharau kubwa. Kama mimi nimeshawai kuchapwa mbele ya watu mara kadhaa rakini nilikataa
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama 4 жыл бұрын
Huyo mwanamke amevumilia huyo mzee na vile kinakaa kuongea rude
@betty541
@betty541 2 жыл бұрын
Alafu, hii mambo ya kushinda kwa wazazi ati kuzungumza...why would anyone want to zungumza after being threatened with having one's legs chopped off?! Tunaongea kuhusu nini na wazazi at this point surely? I think sometimes wazazi can prolong one's agony cos most of them want to keep the marriage intact despite all odds.
@chrissmutanga8909
@chrissmutanga8909 4 жыл бұрын
Kumwanaume kujinga kabisa Mtu hajui kuongea na mkewe mojinga tuu
@jackiendambuki4788
@jackiendambuki4788 4 жыл бұрын
O:0 😂😂😂😂😂nil this is not my world.
@jeccym8715
@jeccym8715 4 жыл бұрын
Huyo jamaa ni shinda tupu!!
@maxlove2668
@maxlove2668 4 жыл бұрын
Mwizi ataki kuibiwa
@carolmamakebritney5266
@carolmamakebritney5266 4 жыл бұрын
Huyu mwanaume ako na madharau Sana eti mwanamke hafai kua na mpango wa kando, who said so?? Kama ni Mimi lazima niwe naye,Tit for tat fair game
@roselineawinja6604
@roselineawinja6604 4 жыл бұрын
Tuko kimoja mi naeza gawa hadi ashangae, Tena live
@carolmamakebritney5266
@carolmamakebritney5266 4 жыл бұрын
@@roselineawinja6604 hio ndo system nowadays kuna magonjwa akileta nami nilete alafu tupambane na hali zetu wote 😂😂
@roselineawinja6604
@roselineawinja6604 4 жыл бұрын
@@carolmamakebritney5266 👏👏👏imagine unajilinda ukijua nje ni kubaya naye mtu hata haoni, awe bwana,boyfriend sitajua tukufe sisi wote, atombane, nikitombwa
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 4 жыл бұрын
Some comments though
@roselineawinja6604
@roselineawinja6604 4 жыл бұрын
@@kevohwapipelinetransami4351 hahahaha mmeanza kutoklezea, ama wee ni mmoja wao???
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 4 жыл бұрын
Wah
@thegospelmessage5039
@thegospelmessage5039 4 жыл бұрын
Huyu mwanaume mschew
@miriammuthoka8721
@miriammuthoka8721 4 жыл бұрын
Mwanaume zuzu kabisa mjinga sana.
@joysorewitindi8542
@joysorewitindi8542 4 жыл бұрын
Jinga type mbona haliwezikuoa hao Malaya wake
@tewendehome
@tewendehome 2 жыл бұрын
Kimtu kii arrogant aje
@annaj7157
@annaj7157 4 жыл бұрын
+964 nini inakuanga mbaya kwandoa mimi nitaka hivio
@kevinopado5798
@kevinopado5798 4 жыл бұрын
Shida yako
@fiddiggokirimi9630
@fiddiggokirimi9630 4 жыл бұрын
Can't stand madharau ya hii suruali ya mtu.
@joekipropkimtai9401
@joekipropkimtai9401 4 жыл бұрын
Ukiwa mwanaume kua mtu mzima bibi ako na akiri kuliko wewe.be mature
@floridaalega3844
@floridaalega3844 4 жыл бұрын
Huyu mwanaume nkt 😏😏😏😏
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 4 жыл бұрын
Mapenzi ina uchungu...tit for tat
@musageoffrey6433
@musageoffrey6433 4 жыл бұрын
Wah😴🤔🤔🤔
@margaretmuranga1362
@margaretmuranga1362 4 жыл бұрын
Wewe mwanamke wachana kiburi
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 4 жыл бұрын
mwanamke yuko sawa
@collobore8998
@collobore8998 4 жыл бұрын
Kiburi itakuua Titus
@esthernzisa6284
@esthernzisa6284 4 жыл бұрын
Mambo ya kukatana niya wakamba
PATANISHO : MIMI NISHAPATA MUME,,, JUST MOVE ON
21:34
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 82 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
PATANISHO : MELODY - HUYU MWANAUME AKO NA UTOTO SANA,SITAKI MAMBO YAKE
19:03
😂😂😂THE BEST OF OLE MATOPE
17:36
Jembe Mahiri
Рет қаралды 675
PATANISHO : NATAMANINGI USIKU NISKIEKO SAUTI YAKE_COLLINS ELKANA
29:50
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 71 М.
Mutamburuko Wa Mohoro
Kameme Tv
Рет қаралды 152
PATANISHO :  MKE WANGU ALIMPELEKA MTOTO KUTAHIRI MPAKA WA LEO HAJARUDI
17:15
PATANISHO : GIDEON - MKE WANGU AKO NA MPANGO WA KANDO
22:29
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 8 М.
Она была безумно рада от увиденного 🤯
0:29
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 2 МЛН
ToRung short film: the robber pretended to be a statue😬
0:30
Summer shower by Secret Vlog
0:17
Secret Vlog
Рет қаралды 6 МЛН
La emociones de Bluey #歌ってみた #bluey #burrikiki
0:13
Bluey y BurriKiKi
Рет қаралды 28 МЛН
Rang Pi Liya Mama 😂 #shorts #tiktokvideo #funnyshorts #comedy #ytshorts
0:46
Sukhasan Ka Rahman Bhai
Рет қаралды 15 МЛН
The thieves pulled a prank on the Policeman ! 😬👮🤣
0:38
BOGDANCHIKI
Рет қаралды 11 МЛН