🤣🤣🤣anapendwa akiwa mbali but akiwa karibu....heri masingle ladies ka sisi hapa.team kujiamini saudi
@charitychege91524 жыл бұрын
Wabie tuko chojoo kabisa tukiedelea na hamam
@wakiama96094 жыл бұрын
Single kaa wewe sio nyinyi😃😃wengine awapati ushingizi wakitafuta mabwana
@فوازالحربي-ن3ل4 жыл бұрын
Niko hapa pia
@فوازالحربي-ن3ل4 жыл бұрын
Niko Saudi hapa Riyadh pia nigotee
@user-vx1vk8ds7i4 жыл бұрын
Ghost unakasirikanga kweli? unanibamba sana man. Keep on making this program lively
@happytimes97474 жыл бұрын
Odongo hes a good story teller yani anaongea kweli kweli
@robbieglo71554 жыл бұрын
Patanisio my happiness, keep it up guys, team gulf
@mariamfritsi97614 жыл бұрын
Habari Nairobi,nawapata kutoka Switzerland.
@samuelnyanjui83264 жыл бұрын
Watching from quarantine.
@nancyruoruo10254 жыл бұрын
Same
@estherwanjiru31684 жыл бұрын
I really love this gentlemen ❤️💕❤️
@robertmaingi46354 жыл бұрын
Lili Lilian uko wapi na roro rose my team kujeni....Baghdad oyee👏🏼👏🏼👏🏼
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
Nmefika, nasielewi 🤣🤣🤣
@annaj71574 жыл бұрын
Sasa uko Baghdad wapi plz
@robertmaingi46354 жыл бұрын
@@annaj7157 ww uko uku ama nimaswali tu area zangu ni karbala na basra wewe uko wapi?
@annaj71574 жыл бұрын
Niko huku karimbu na Mr milk
@nicholasnzioki11224 жыл бұрын
Ghost yu make my day always😭😭😭😭
@philesnyatangi29084 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Kicheko cha ghost walla kinamaliza corona
@chullakoi15084 жыл бұрын
Pliz mda wa patanisho uongezwe mtu apate kujieleza #Maoniyangu
@winnieachieng27644 жыл бұрын
I think odongo is stressed thats y he wants to explain everything in details ndio wamuelewe.
@chullakoi15084 жыл бұрын
Maoni yangu kwa kina Gidi na Gost ni kuongeza mda wa patanisho hizi mambo za patanisho ni maswala nyeti so inahitaji time pliz🙏
@everlyneauko55234 жыл бұрын
Odongo Ni mzee mzima naalimwa Debra aikwa mtoto
@shamimaoko3 жыл бұрын
Gidi anapenda ku harakisha watu bure kabisa...
@beatricekarisa71454 жыл бұрын
Sikuelewa...patanisho ya leo ni kecheko tu cha Ghost😂😂
@gracegichuhi93274 жыл бұрын
Hi kicheko ya ghost 😂😂😂😂🤣🤣
@prettybabygalmichelson65574 жыл бұрын
No 13 Leo from Saudi Arabia
@mumblessed0014 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Deborah hio ni kawaida ya wanaume ukimuodokea ndio hujua maana ya bibi odongo tembeza kiatu
@wambuiwamwangi41284 жыл бұрын
Gidi leo ume harrass huyu jamaa sana..how do u handle a case bila kuskiza chanzo cha kukosana..leo uko down..😭😭
@yvonneyalla53754 жыл бұрын
Kabisaaaa 😔
@sheilaalice8114 жыл бұрын
I support
@tewendehome2 жыл бұрын
True....he's too argumentative. Hata yeye ndio huwaste time akiwaambia blablabla
@stargal9064 жыл бұрын
Jamani ukioa ujue maana ya kuoa ha ukiolewa ujue maana ya kuoleka kwanza. Kwanza mimi Sai siwezi kimbilia ndoa 🤣😁yaani hayo mapenzi ya simu jamani ni matamu saana ila ya karibu eeee waja tu.
@janejayne71994 жыл бұрын
Odongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wah jamaa anaongea sana
@harrietharriet54434 жыл бұрын
Ghost mambo😂😂
@thomashezekiah46564 жыл бұрын
Ghost kicheko chako cha pesa 😂😂😂😂
@veralyne51524 жыл бұрын
Eheee Odongo the story teller
@BabyAlexxia6734.4 жыл бұрын
Listening from italy
@salomemukani16274 жыл бұрын
Asande gost sijawai jua kwenye pesa utengenezewa😂😂sasa gidi ambieni maboss waongeze mdaa ata lisalimoja hivi ndio tuendele kujie Njoy Na Redio Jambo mimi sihami redio jambo. 💪💪💪😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦.
@hadassahvicky61184 жыл бұрын
No,2 leo saseni wanajambo
@robertmaingi46354 жыл бұрын
Baghdad tuko ndani wezangu mko wapi?
@linahkery6764 жыл бұрын
Patanisho lazma
@purityhesed4 жыл бұрын
Nko Erbil Iraq
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
Mimi hapa, yaramuok mishiteshfa
@annaj71574 жыл бұрын
@@RoroRoserororo tuko pamoja
@robertmaingi46354 жыл бұрын
@@linahkery676 Lazma💯👍
@murugi65714 жыл бұрын
Murugi tena hapa for the laughs of ghost🤣🤣
@johnsonmwaura1314 жыл бұрын
Wewe Chekatu and others are crying
@periswarish70224 жыл бұрын
Waaa iii kazi ni ngumu nyakupatanisha edeleani hivyo 👊
@sabinamuhanda99034 жыл бұрын
Gidi na Ghost plz Ni nyinyi wenyewe mulisema utamu wa patanisho nikuskia yote...so mnateteta nini😏😏 ongezeni time ya patanisho
@cathynjeri51084 жыл бұрын
Hi radio jambo
@johnsonmwaura1314 жыл бұрын
Ifungwe
@zaynpdogdhgg87554 жыл бұрын
Gidi akiningeomba muongezewe time ya patanisho ndiyo mtu aweze kueleza Mambo yake yote
@trishshii34684 жыл бұрын
huyo mshenzi ata hajielewi huyo bibi asirudi nkt
@doreenbae8664 жыл бұрын
Wacha nicheke tu😂😂😂😂
@eunicewairimu50154 жыл бұрын
Kama hivi ndivyo odongo huzugumza hadi kwa nyumba walai bibi anaweza tafuta mpango WA kando 😂😂mwanaume kasuku...
Odongo a nahofia Deborah atachukuliwa na mwengine huko kwa course,
@susankibunyi62284 жыл бұрын
Huyo muzee mdomo mingi sana,dada jipe shugli
@linahkery6764 жыл бұрын
Ongezewa time ndio mtu anajieleza vizuri
@kamianekesa61964 жыл бұрын
Kenya ina vituko
@johnsonmwaura1314 жыл бұрын
Tuhamie Turkana
@lydiaaruba66704 жыл бұрын
Am in love with Ghosts laughter 974 lodged😃😃😃😃
@agneswanjihia13834 жыл бұрын
Wakwanza leo
@robertmaingi46354 жыл бұрын
Agnes ...nakuona uko ndani kama kawa👊
@maurinekhasila33264 жыл бұрын
Agnes tuko pamoja
@prettybabygalmichelson65574 жыл бұрын
Agnes wanjihia.uko ndani kama kawa
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
Umejaribu dada
@zipporahkagori61004 жыл бұрын
😂😂😂ati hii kitu walisema ni dry cough
@fridahnalisi88414 жыл бұрын
Hii ya Leo iko complicated waah!
@nellynelima4094 жыл бұрын
Mwanaume imekauka mdomo huyu hapana wacha akae pekee yake
@shirundegwaofficial75474 жыл бұрын
Hiyo kicheko yawa😂😂😂
@crochetwithcharity4 жыл бұрын
😂😂😂Wacha tucheke hii quarantine
@robertmaingi46354 жыл бұрын
Huyo jamaa ni kama kasuku mdomo mingi sana 🐦
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
Hapana kujieleza ndo shida
@alicekmusic39254 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@alicekmusic39254 жыл бұрын
Mimi amenisinya yangu yote
@prettybabygalmichelson65574 жыл бұрын
Gidi na ghost bona hamleti patanisho ikiwa na video??
@philesnyatangi29084 жыл бұрын
Corona inaogopesha😂😂😂😂
@RadioJamboKenyaOfficial4 жыл бұрын
Hey Pretty , please bare with us for now . We will be back after all whats happening in the country is over. Thank you for your daily support
@prettybabygalmichelson65574 жыл бұрын
@@RadioJamboKenyaOfficial Poa poa haina noma nawaelewa Kabisa
@alicekmusic39254 жыл бұрын
Odongo aki na kidomo anasinya sana nkt
@emilymuthoni37764 жыл бұрын
depora kujaribu kuweka no xa wanaume kwa simu yako na uko married ni kujishusha utu na heshima bwana wako anakupenda
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
Muambie
@wakiama96094 жыл бұрын
Hio ata ni kifo pia
@na_shownakshinashville65884 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😛😛ati nizalie nitakupeleka shule saitani 😂😛😛
@wakiama96094 жыл бұрын
Siku hizi patanisho haina ladha juu ampatii watu nafasi ya kuongea
@mujenyipatrick67704 жыл бұрын
Nimemiss patanisho aki....
@zaynpdogdhgg87554 жыл бұрын
Nashukuru mungu Leo ameniwezeshea kusikiza patanisho wakwanza siku zote mihuwa wamwisho Hadi nashindwa kucoment huwaninasoma tu zawengine
@jedidahnjeri98124 жыл бұрын
Tuko wengi
@wakiama96094 жыл бұрын
Gidi ongezea watu mda ya kujiongea ifike ata kama ni 30min
@loisegitau48974 жыл бұрын
Debra ndoa ni muhimu na ni ngumu. vumilia odongo kama unataka ndoa.
@linahkery6764 жыл бұрын
Odongo ameamka salama na maneno mob team+ 966 tuko ndani kama kawa Gidi kicheko nayo
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
Nkuambia 🤣🤣🤣
@linahkery6764 жыл бұрын
@@RoroRoserororo dawa ya siku ni patanisho
@nellywanyanja814 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ndoa ina mambo jameni Ondongo yuko stressed anataka mtu anaweza muexpressia felling yake atleast awe relieved
@prettybabygalmichelson65574 жыл бұрын
Bwana odongo ni story teller na haileweki ata ,
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
Nkuambia 🤣🤣🤣
@shemmosoti28084 жыл бұрын
Anapelekwa mbio sana
@sallyokumu64564 жыл бұрын
Odongo ana katabia fulani kenye hakaeleweki, ni mkora but alifika mwisho.
@TerryClarice4 жыл бұрын
Hivi kumbe ndio watu huanguka exams..Odongo😳😳😂😂 story miiingi...hii ndio imeleta tatisho...😅😅😅
@maryschroeder5214 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Woi
@kenyanniggar3574 жыл бұрын
odongo yoo
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@alicekmusic39254 жыл бұрын
Nani amesikia odongo akisema tatisho yenye iko😂😂😂😂😂😂😂
@lovelover71704 жыл бұрын
Mimi sjaskia nn shida, mnamkimbiza sana, hajaielezea poa
@ochiengkenrazy99984 жыл бұрын
My humble request is video this audio of a thing is so boring, nowerdays we're in digital world we need to see our presenters wakifanya patanisho, Dead beat show na ile ya Mbusi na Lion teketeke
@kevohwapipelinetransami43514 жыл бұрын
Mapenzi ya simu
@atbashthecaptain44604 жыл бұрын
give people time do not rush people if u need to help them or else u r making fun of peoples problems
@nicholasnzioki11224 жыл бұрын
Ghost yu make my days😂😂😂
@yahabibiyahayatiyahayuni73394 жыл бұрын
Hata kama nimechelewa lazima nisikilize hii patanisho
Gidi should really try to be patient. The back and forth wastes more time kuliko hata storyteller mwenyewe
@prettybabygalmichelson65574 жыл бұрын
Kicheko ya ghost hunimbaba sana
@linahkery6764 жыл бұрын
Bila ghost c patanisho
@yvonneyalla53754 жыл бұрын
Betty nakuona kwa mbali na Ghost🤣🤣
@moreenmbatha11474 жыл бұрын
hamtaki tuone hizo mask zenu kwani hakuna video juu ya corona
@eunicenyaboke7494 жыл бұрын
Tumekwama hapa Qatar ,patanisho ya odongo haina muelekeo na mbona Hakuna video yenu gidi na ghost
@rachaelwambui96964 жыл бұрын
Saseni
@maurinekhasila33264 жыл бұрын
Odongo anapita mahali pesa zinatengenezuwa wooow pita mbiyo hapo usikamatuwe
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
Ndohuyo 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
@maurinekhasila33264 жыл бұрын
@@RoroRoserororo l tell u my dear
@fredakola37474 жыл бұрын
Debra still under age, odongo needs to revisit his attitude..
@monyivam98214 жыл бұрын
Huyu mtu akona story mob sana Nawa ooh
@halimaomari75894 жыл бұрын
Kila siku Gidi hua hanaga time ya kutosha
@bonfacematekwa72314 жыл бұрын
Mwanaume anaongea mingi
@faithkagendo91594 жыл бұрын
Odongo anapenda kuongea saaana.Ajaribu kufupisha story
@moreenmbatha11474 жыл бұрын
patanisho imeenda long juu ya curfew juu ukipata time unaongea ya mwaka
@fatmamacharia35934 жыл бұрын
Ghost huwa na roho anapasuwa kicheko
@alphonceoti3484 жыл бұрын
Ni Alphonce shabiki mgeni, Mimi wangu sai ni mwaka tangu aende, likini Niko mtulivu kwa hivyo huyo ndugu see mpole na Bibi atarudi mwezi moja ama mbili Ni kidogo
@diaakish9444 жыл бұрын
Odongo yawa you make things be funy
@sir.nandwa35343 жыл бұрын
I don't think if the issue on this call was handled properly. Odongo is very bitter and he only needed someone to talk to and express how he feels, the finner details that would have helped to resolve this issue were not attended to and Gidi was a bully here, he made this look like it is scripted. You cannot give a solution that give time I will think about it. Nonsense, give time what if it is forever, you will be hurting someone here, Gidi has a soft spot.........
@ruthhamisi38444 жыл бұрын
Gidi sikupendi ata kidogo upeangi mtu time aonge sometimes ata unaboo ata naudhika kukuskiza😒😒😏
@milkahmwangi11784 жыл бұрын
Makosa si yake ni vile huwa wamepewa 30 minutes
@ruthhamisi38444 жыл бұрын
Atakama ghost akuangi ivo
@ruthhamisi38444 жыл бұрын
Ghost akiwa pekeyake kila kitu inaendanga poa mbaka una ritika
@valleriefaith67033 жыл бұрын
Gidi kuwaga mpole mtu ajieleze
@annirungu45204 жыл бұрын
Huyu afupishe story .anaboh
@vincentomondi61314 жыл бұрын
Odongo yawa
@carolinetalam58324 жыл бұрын
Haki Ghost 😂😂😂
@Gabrielle-uz1dz4 жыл бұрын
Gidi unaboo pia wewe. Wewe ndo unawaste time huku
@godsfavour56654 жыл бұрын
Odongo kuwa mpole vumilia kama huwezi oa mwengine
@stellahmiles23694 жыл бұрын
Hawa makevo 🤔🤔🤔
@vincenttumaini11684 жыл бұрын
Wacha mtu aelezee story. You are wasting more time kumuuliza maswali and interrupting him. Watch kina Jalas to learn afew things.