Wewe Ghost unacheka wakati huyu jamaa analia. Nikama unamchekelea nikama yeye nimjinga. Kunawakati wa kucheka na wakati wa kupeana pole.
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
Gidi na Ghost thanks for taking us to kisiii🤣🤣🤣🤣🤣
@aishaelias38675 жыл бұрын
Hiyo shamba iuzwe kila mtu apewe share yake akatapikilie mbali
@lavenderlucy34446 жыл бұрын
Jesus protect this family the family that prays together stay together
@njeshkaris89576 жыл бұрын
Omg mungu awakumbuke
@samueljr91056 жыл бұрын
SELFCONTROL is needed here cool down hata mm nilikataa shamba ya home sababu jamaa wanaiuza nikiuliza naambiwa niheshimu wakubwa basi kwa hekma nilinyamaza coz mm sipendi stress but niliamua ni nunue kando nijenge niwaachie wauze chakushangaza zaidi wao ndio wako na watoto tena wanauza shamba sijui wanawapangia kuishi wapi siku zijazo same family zanye tunazaliwa nayo aky ni balaa tupu
@emmandakala54696 жыл бұрын
Ndugu mkubwa unganisha familia yako tafadhali kwetu kulikua na shida kama hiyo ya shamba baba yangu ni mkubwa lakini ndugu yake mdogo alikua anamukanyagia maisha. Baba yangu alinunua shamba nje ya boma baada ya MIAKA kama 20maisha ya mjomba Wangu iligeuka wakawa maskini wanalimia watu shamba saizi kwetu wanuliza msaaada baba yangu anawapea hawajiwezi. Saizi baba yangu ameonekana WA maana kulikua na watu wengi wamenunua shamba na bei kidogo tumewatoa wote mjomba Wangu alipofariki aliacha watoto 10 vijana kama familia forgive one another.
@jacklynebutichi13406 жыл бұрын
Kumbe Patanisho huwekwa hapa You Tube!!, ckujua, Mimi husikiliza every day!!!
@carolynediana78413 жыл бұрын
Njua ssa
@maureenikambili66256 жыл бұрын
Forgive and forget ...alafu mwendelee kama ndugu wa familia moja 😢😢
@wambuianne68476 жыл бұрын
dunia simama nishuke may God give this men wisdom
@Quilant7496 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂hapo kwa mabati kumechemka sana wololo gidy kazi unayo leo
@annymdg76476 жыл бұрын
Ugonjwa ni ugonjwa tumia akili ww km ndugu mkubwa aja kutenganisha familia yenu shida kama iko tatua nyinyi kwa nyinyi ama muite watu wa familia ety ndugu mkubwa bure kabisa
@mariyanegoodone1726 жыл бұрын
Mungu okowa iyo family naoma kuuwana umesimama
@gracendungu58606 жыл бұрын
Aki sijui kwa nn nyinyi mandugu mnafikiria na matter core 😡😡😡especially huyo mkubwa 😡😡nkt mtu akitaka shamba afanye kazi anunue yake,as a firstborn you are deputy parents, unafaa ukaishe your siblings chini
@mohammedhadijellyboy87535 жыл бұрын
This is a Trivial matter coz it's a family affair which is supposed to be sorted out by a chief but not bringing it in air it's a shame
@lydiaaruba66706 жыл бұрын
Aii jamani ni Mungu aingilie hii jamii I feel from a far
@joysorewitindi85424 жыл бұрын
Pole uenda Hawa c madungu labda mmoja ni Yule anakuanga wa bodaboda amazing....
@jshahshsh23833 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣waaaah life uku inje
@sweetiepie83216 жыл бұрын
Hehehehe nani anaketiswa 😀😀😀 thii ukiumaga
@joyceakidiva91816 жыл бұрын
ghost wakati mwingine achanga madharau ya kucheķa
@emmandakala54696 жыл бұрын
Ndugu mkubwa unganisha familia yako tafadhali kwetu kulikua na shida kama hiyo ya shamba baba yangu ni mkubwa lakini ndugu yake mdogo alikua anamukanyagia maisha. Baba yangu alinunua shamba nje ya boma baada ya MIAKA kama 20maisha ya mjomba Wangu iligeuka wakawa maskini wanalimia watu shamba saizi kwetu wanuliza msaaada baba yangu anawapea hawajiwezi. Saizi baba yangu ameonekana WA maana kulikua na watu wengi wamenunua shamba na bei kidogo tumewatoa wote mjomba Wangu alipofariki aliacha watoto 10 vijana kama familia forgive one another.siku hizi tunaishi kama familia moja tulikubali kusameana.
@madamboss3486 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆makubwa haya. Hiyo shamba wanipe 😂😂😂😂😂😂😂
@eunicevwamula85456 жыл бұрын
Ukipewa unigawe
@eunicevwamula85456 жыл бұрын
Hehe
@sharonokuyo74136 жыл бұрын
That family it needs deliverance...aki mtu unakata kuitwa ndugu na vile mimi hua natamani ningekua na ndugu(brother) damu yako ni damu yako upende usipende mambo za shamba zisiwakosanishe jamani..waaah! Mimi spendangi ugomvi lakini hii imefanya nmecheka tu sana ghaii!hii life ...hii familia inafaa maombi ....
@carolynemanyonyi48966 жыл бұрын
Hi nayo Kidi Ni Tenganisho
@sharonokuyo74136 жыл бұрын
Carolyne mind yours' plz and leave my comment .....
@rodgersnyaenya8546 жыл бұрын
Mkisii ni mkisii tu na masira zake
@naimkangi60276 жыл бұрын
Obedi!!! Ni yy mbaya atumia kifua cz he's first born,na hapo hakuna boma imeisha bt respect muhimu obedi hesimu mdogo wako
@jamilaomar63966 жыл бұрын
waaah, nomaa
@angelajohn84446 жыл бұрын
Waaaah wakisii ni nn shida kweli si mwongee muelewane mnatuharibia jina
@kenyanniggar3574 жыл бұрын
wakisii ni moto kama pilipili
@bettiejoy-mtotowamama6 жыл бұрын
Hayo ni mambo ya kinyumbani kaeni chini muongee woiyee 😓
@ibugharib3894 жыл бұрын
KAKA MKUBWA ANAELEKEA YUKO NA MAWAZO MAZUR LAKINI HUYU MDOGO ANAHAMAKI SANA KUWENI KAMA FARMILY
@ريانعبدالله-م9ط6 жыл бұрын
Aki Ghost mengine sio ya kuchekwa
@linetgikenyi46136 жыл бұрын
Ghai aki wakisii ni vichwa ngumu kama bunda ya kiangazi
@stecybeib80306 жыл бұрын
Waa! mambo ya ndoa aki
@MoMo-ir3ph2 жыл бұрын
Lastborn analia😭😭
@daltonmutsunga95716 жыл бұрын
Tatatata wolololo kuna hidden agenda hapo ,shida ni shamba na nikama mabb wanawatenganisha bure kabisa,
@edinaokhonga12556 жыл бұрын
Hapa ni maombitu... maombi yata control kila kitu..
@lashymreal65556 жыл бұрын
Nani alizaa hawa wapumbav wasio na hekima
@mwimbimiheso55136 жыл бұрын
Hi sijui nicheke ama nilie jamani. Hawa watu hawana adabu kabisa, sana sana huyo mkubwa ni mpumbavu sana. Watu wanatupiana maneno hewani hivi ni ungwana kweli
@v.a.m.25496 жыл бұрын
Mambo ya mashamba shida tubu
@thirdborn64136 жыл бұрын
😂😂😂hiyo ni tenganisho aki,,,sio lazima uridhi mali ya wazazi wako,tafuta yako uringe nayo
@annnjoki50895 жыл бұрын
Hahaha
@aggycherry94006 жыл бұрын
Toka nitoke????
@reinhardokinda48875 жыл бұрын
Yea get away i get away
@annnjogu9726 жыл бұрын
Sauti ni same...ugofi
@violetkerubo50796 жыл бұрын
Waaa
@MOSHRECORDS6 жыл бұрын
Ebikone
@violetkerubo50796 жыл бұрын
@@MOSHRECORDS tokumwa nabo ense ere igo
@alisaalis92186 жыл бұрын
Hawa watu ni kabila gani,Kweli mpaka wameshindwa kuelewana,Kila mtu n mgali nani ataskiza mwenzake
@yvonnevihenda23326 жыл бұрын
Eee jamani maboma zilibeba mambo wahhh.
@periswarish70226 жыл бұрын
Izi shida za mashaba kwa familiya ndooooooooo zimezidi hapo kazi ipo
@prettybabygalmichelson65576 жыл бұрын
Salaala..hawa mabrothers saa nani anaongea ukweli....Ngaaaiiii ati vitiso baridi...hio family ina faa maombi kali.
@symohsakani6 жыл бұрын
Eeh! Hii ni kali.. lakini nimesoma kitu
@ayadddd60406 жыл бұрын
makubwa hayo mashamba imeua wengi mbona msing'angane mnunue shamba kila mtu yake,,mandugu jamani mligrow pamoja k shida na raha nn mbaya??enyewe ndugu n jirani msichana ndiye mgeni wa waxaxi
@agnesandalo69366 жыл бұрын
Mako mako mako mako wuuuuueeeeh....huku ni wapi?
@scholarnasy79066 жыл бұрын
Have peace please brother
@Jer746 жыл бұрын
Hii ya leo 30/8 waaaaaaah gidi ghost amecheka yake yote
@annmotor27376 жыл бұрын
Ww mdogo unamambo mingi sana utakuja kutafuta bro yko kaeni chini muongee kama grownups
@kenmusa32716 жыл бұрын
izi mashamba nazo
@georgymahi1495 жыл бұрын
KwenDENI huko nyinyi wawili.
@thomashezekiah37646 жыл бұрын
Mnapatanishwa au mnazozana bure kabisa
@carolmamakebritney52666 жыл бұрын
Wapumbaaavu tu
@maureenmuhonja7226 жыл бұрын
walikua wanapatanishwa wanzishe ugomvi jaman
@sharonokuyo74136 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@avlinmoloj49026 жыл бұрын
Obed sauti yake ni kama ya Nyachio
@halimaomari75894 жыл бұрын
Mashamba ya familia ni shida a jamani, tafuteni mali zenu
@perrykemmy90456 жыл бұрын
kisii men !ebikone who bewitched you?
@MOSHRECORDS6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 tigana na Abagusii kabisaa
@perrykemmy90456 жыл бұрын
@@MOSHRECORDS assuming m not a kisii!# style up minto *
@MOSHRECORDS6 жыл бұрын
They have killed our good name
@perrykemmy90456 жыл бұрын
@@MOSHRECORDS bosa kapisa gaki mbare kobeka on air
@MOSHRECORDS6 жыл бұрын
@@perrykemmy9045 hehehe
@tinasanta40806 жыл бұрын
Salaala mandugu hao
@samueljr91056 жыл бұрын
Mbona hujanijibu daa?
@tinasanta40806 жыл бұрын
Nilikujibu kaka,pengine hukuiona,bt nilikwambia timboni stage ndio maskani,sokoni huwa umenipita
@samueljr91056 жыл бұрын
@@tinasanta4080 unamjua LEONARD MAMBO ule muimbaji
@tinasanta40806 жыл бұрын
@@samueljr9105 namuju anaimba nyimbo za injili mwembamba hivi
@samueljr91056 жыл бұрын
@@tinasanta4080 hes my brother
@samueljr91056 жыл бұрын
Nakam kuskia poa
@moulinemoulinr91366 жыл бұрын
mm naogopanga wakisii buree 😈...sasa wanagogombana "soprano" inakuwa juu
@esthernzisa62844 жыл бұрын
Please brothers try to forget everything and understand each other
@perrykemmy90456 жыл бұрын
ile uchawi ya kisii wajinga ushamba wa mwisho .shamba its 4by 4 coffin space endeni mkikauka !