This lady will regret the man seems genuine move on Gideon you will find someone who who values you
@JohnMmbaga_Ай бұрын
Gideon. Wewe ni mwanaume mwema sana. Mungu akubariki.
@mariasellah46745 ай бұрын
I have been in dubai for 15 years and he is right kazi za nyumba dubai is not easy to get this days.
@susanmuthoni54825 ай бұрын
Sio tuu kazi za nyumba.Tukisha jielewa ni hivio we are good to go.Nothing can hold us back. Peace of mind na freedom ni kitu muhimu sana.
@CatherineMachuma-n6c4 ай бұрын
Thank you Susan you are the best 😊 let this hates think the another way around and plus this people are talking nonsense they are judging me without knowing the hole story and see mercy on this people because one day they will get judgement by God
@zuritash87994 ай бұрын
@@CatherineMachuma-n6cfor the sake of the kids forgive him mama
@user-cg3vf2bl6b5 ай бұрын
😂😂😂nilisema gidy mwisho wa kila mwaka uwe unapeana zawadi kwa ,watu wa bungoma,juu wao wamesuport hii radio jambo sana ya kila wiki hatukosi wanne wa pungomaa😂😂
@alicenyambura11305 ай бұрын
Nipewe namba ya Gedion nipate bwana. Senji woman
@jeremiahsigira98092 ай бұрын
May God bless you brother
@jameskanyi51344 ай бұрын
Huyo mwanamke iyo kiburi itamramba,uyo mwanaume atafute msichana aoe..and pray God to guide him because they want him to fail..
@geraldineochieng38405 ай бұрын
woiye, the guy seems so genuine. i hope he finds love.
@raelmulumi84374 ай бұрын
Usione Simba amelala udthani ni paka
@joachimoyugi92773 ай бұрын
Simpson Onyango...atazidi kuona dust. Unabeg mtu anakucheat
@CikeTanzania3 ай бұрын
Ndoa hizi kuna wanaume wanateseka na kuna wanawake wanateseka 😢😢😢
@sabbylulu15 ай бұрын
Go Cathy❤❤❤❤❤
@BathshebaMachani-dd8ef3 ай бұрын
Huyo mama ako na mwanaume malaya
@EverlineGesare-m2i4 ай бұрын
Huyo mwanamke ukweri ni maraya.na Ako na kiburi😊
@simonandiki11325 ай бұрын
Nimeskia vizuri sana but this lady ni malaya this guy move on with your life wacha atange tange uko Nairobi atlong last atarudi to akimaliza kuranda randa but chunga asikuletee ugonjwa
@nusratbintabdullah57134 ай бұрын
Imagine this man love his woman 😢
@mariamfritsi49435 ай бұрын
Huyu mwanamke atakuja kujuta baadae, kijana ameongea sana, ametoa ya moyoni, amerudi chini kabisa, lakini huyu mwanamke ni shida, ila basi usilazimishe kwani Mungu ana sababu zake, utakuja pata mke alie sahihi. 23.07.24.
@Maggy_OnACoffeeBreak5 ай бұрын
😂😂weh ya leo ni moto!! Nipitieni please
@mwendapoleee5 ай бұрын
Some of these girls get married at a tender age then they realize marriage isn’t that rosy then they get a job in kanairo maybe for the first time .then you want to take her back to the village?
@softymoha54845 ай бұрын
hata sio hivo. msichana wa kuishi huvumilia,,bora mme asiwe mtu wa kumpiga. bt msichana wa tabia mbaya huwezani naye,,hata umfanyie nini utakuwa unajisumbuwa bure. mimi niliolewa nikiwa 17 ...life ilikuwa hard,,tulivumiliana ju sasa ukishazaa....watoi ukifikiria kuwaacha....unaona watateseka
@ttss77164 ай бұрын
Huyu Katherine ni mkora ana roho mbaya ampendi huyu mwanaume vile watoto wangu na pambana nao baba yao ata sijui kama yuko ama alikufa kweli dunia imeisha mapenzi yana peleka watu pabaya huyo mwanaume atapata wa kumfariji mungu wetu sote😢😢😢😢
@susankomu89785 ай бұрын
😊😊😊😊
@user-cg3vf2bl6b5 ай бұрын
Huyu tumwimbie ule wimbo wa pastor nganga, shuka shuka zakayo leo niko kwako😂😂
@Simbighilia5 ай бұрын
Wanaume hupitia makubwa kwa hizi ndoa,mwanamke huwa afikiri kwa uwamusi wake majuto huja baadaye.huyu mke sio mwaminifu just relax na Mungu atakupa mbavu yako na mtasonga mbele kwa furaha tena kwa pammoja
@irineadisa72893 ай бұрын
Huyu anataka akue akilala na wanaume 10 tofaute kwa mwezi...shenzi sana.
@GethrudeJepchirchir5 ай бұрын
Si hata Nairobi pekee😂😂😂mnakosana kidogo unaskia hako majuu😅😅
@user-cg3vf2bl6b5 ай бұрын
Tena wakifika huku hawakai unasikia wakenya naomba mnitoe huku natesrka ,ukishindwa kuka kwenu huwe ata kwa jirani
@annewambui89805 ай бұрын
😂😂😂nowaday unakosanwa na bibi kumbe ako na passport na visa kwako na hujui 😂😂one month unaskia ako gulf😂😂
Ndoa ya kutumia watoto kama excuse sio ndoa buana 😂😂😂😂😂
@CROWNMEDIAKE4 ай бұрын
Hata si Nairobi wataka kwenda gulf 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FranciscaMutua-m2k5 ай бұрын
Kama angekuwa na mpango ya kando hangetsfutwa jamaa anajificha kwa watoto
@cosmaswaremah54865 ай бұрын
ubaya ya kukimbilia ndoa unachoka mapema
@PauPaulo-qf3wo5 ай бұрын
Siwezi kuja owa mukenya 🏃
@mosewinnie88705 ай бұрын
Huhuhu oa mzungu basi
@PauPaulo-qf3wo5 ай бұрын
@@mosewinnie8870 kabisa, lakini kenyan siwezi🏃🏿♂➡
@CindyScalet5 ай бұрын
😂songa mbele maisha n kujipanga don't force issue asiye kupenda achana naye
@mwendapoleee5 ай бұрын
The poor kids .
@susanmuthoni54825 ай бұрын
They will just be ok. Co- parenting also works!!
@drafteddynasty4 ай бұрын
Father simpson think about yourself hakuna bibi hapo, huyo wachia streets.
@georgymahi1494 ай бұрын
Mwanamme unafuata MUBIBI wa mpango ya kando? OOOOhhOooooh!! Achana na hiyo ngania iende. BUUUURE kaPSAAA!!
@jameskanyi51344 ай бұрын
Alafu nikama hao wazazi wa uyo dame walichangia iyo divorce..
@OgencheObed5 ай бұрын
Jamaa songa mbele huyo c mwanamke NI Malaya mbaya sana
@samsonochen53532 ай бұрын
Catherine ameshapata mtu.ako na Yule mpango wa kando
@Seventhdayadventistsongs5 ай бұрын
Huyu mwanamke akutaka kukaa na mwanaume mmoja anataka kuwa daraja ya kila mwanaume aache ushezi.
@moreh4625 ай бұрын
Amejua kwenda uhuru park sunday kukula smoky na ice cream na unaexpect arudi ushago?😂😂
@annewambui89805 ай бұрын
😂😂😂
@raelmulumi84374 ай бұрын
😂😂
@marrieann52784 ай бұрын
Catherine you will live to regret one day,hakuna mume atakuchukua na akupende tena than huyu,utapiga umaid upate wa kukutoa kutu,saa hii kupata a serious man wa kukuoa si rahisi,utajuta dada
@edwinochieng90144 ай бұрын
Ghai, move on....acha huyo ghasia aende kujianika alipo, right now the important thing is your kids,go take them and raise them on your own...two kids can't be that much to raise....
@fiddiggokirimi96305 ай бұрын
Bro... save your life for the sake of your children come on... hujui ako wapi na ako na nani.. amecheat more than 3 tymes na bado unamtaka... hebu jipende kwanza then watoto wako.
@joachimoyugi92773 ай бұрын
huyu ni simp promax. A man should not say Iove you three times in one hour
@samochristopherroche99534 ай бұрын
Sasa huyo malaya unataka patanisho na yeye wa nini??
@jongcheng55175 ай бұрын
Bro is being played by her whole family……
@wakiama96095 ай бұрын
Wangu alihepa akaenda saudia baada ya mwaka moja nilikua naitiwa maiti airport 😊nilicheka tu
@mwendapoleee5 ай бұрын
Unacheka na mwenzako amekufa .
@wanjikuwaweru85415 ай бұрын
Ukacheka kifo cha mama watoto wako? Ama kweli wewe utaishi milele. Hat mawe hudhoofika na kuwa mchanga. 🥺