Raf bado ako na kitu ndani yake ya kimapepo we should rush him home ASAP 😭😭

  Рет қаралды 4,494

Thee Raf Show

Thee Raf Show

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@theerafshow254
@theerafshow254 15 күн бұрын
Support fuel 0792834212 raphael owiti
@annmwikali5439
@annmwikali5439 15 күн бұрын
This lady alimaanisha kwa moyo wake wote kumpenda Raff,,kwa raha ,kwa shida,kwa jua,kwa mvua,,,kwa hali zote ,,,congrats bby gal,,,u r one in a million...
@lennyfrank
@lennyfrank 14 күн бұрын
Aki
@jacklinerudisi5116
@jacklinerudisi5116 14 күн бұрын
He's a true woman huyu aki Raff alipewa gift but again Raff he's anice humble man he deserves.
@RuthKibiriti
@RuthKibiriti 14 күн бұрын
​@@jacklinerudisi5116both deserves each❤❤ roho safi kweli🙏🙏
@MuthamaMacelina
@MuthamaMacelina 15 күн бұрын
Cameralady you're such a good wife material. Raf usiwahi mwachilia huyu dem. She's so caring
@RuthKibiriti
@RuthKibiriti 14 күн бұрын
May the lord almighty cover you all with His Precious Blood 🙏🙏🙏
@SambaZainab
@SambaZainab 15 күн бұрын
Mungu hawezi kuwaaibisha..yeye sio kipofu wala sio kiziwi
@KamikaziSalma
@KamikaziSalma 15 күн бұрын
Mungu azidi simama nanyiye kwenye huyu wakati mgumu mnapitia tunajuwa shetani hana mamlaka mbele ya Mungu.
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe 14 күн бұрын
Asante MUNGU Kwa Wema Wako wa kuokoa RAF Ameen
@ajellicaihugo8268
@ajellicaihugo8268 14 күн бұрын
My name is Ajellica and I normally watch all your videos, problem is I send cash when am late not when you need it but am sure itasaidia mahalia na Mungu awabariki sana. Quick recovery to Raf.
@berittamutunga2303
@berittamutunga2303 15 күн бұрын
Congratulations mumeweza MUNGU awape nguvu zaidi ya kupigàna na mapepo
@bernicewangui338
@bernicewangui338 14 күн бұрын
Eric alienda wapi
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 15 күн бұрын
It's good Vivian unaeza drive,Mungu hakukosea kukuunganisha na Raff,mpendane mshirikiane Mungu atawabariki sana,mtakuja kusahau hizi mashida mnapitia leo.msisalitiane pliz,kma mnataka maisha mazuri.
@marykamau7349
@marykamau7349 15 күн бұрын
Thanks to Almighty God for saving Raf . He will protect you always because you have great faith in God.
@JanetMwende-k7z
@JanetMwende-k7z 14 күн бұрын
Mungu. Anawapenda. Sana, nashukuru mungu kwa uhai wa raff
@dorcasofficial1698
@dorcasofficial1698 15 күн бұрын
Mungu amewaonesha kama washawi hanaga nguvu mungu ndiye mwenyi nguvuzote
@Marry-u8m
@Marry-u8m 14 күн бұрын
Team raff nafamilie yote tuna waeka kwama obi uzuri familie sasa IPO IPO pamoja
@KilandeSylvia-kn2bx
@KilandeSylvia-kn2bx 14 күн бұрын
Thanks guys to rescue Raf God bless you and protect you all Team Raf
@fatma5228
@fatma5228 14 күн бұрын
Pole mrembo umelia sana usilie tena
@CarolyneOnsongo
@CarolyneOnsongo 14 күн бұрын
Mungu pigana na adui
@EuniceShibanda-vc1hq
@EuniceShibanda-vc1hq 15 күн бұрын
God be with you guys s as you travel back kwa grandma. .
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 14 күн бұрын
God is faithful
@NellyWekesa-u6f
@NellyWekesa-u6f 15 күн бұрын
Glory to God may God be with you on your way
@GfGf-s9t
@GfGf-s9t 15 күн бұрын
Glory to God 🙏🙏🙏
@hffalkurbi3812
@hffalkurbi3812 14 күн бұрын
Mungu n mwema
@everlineeverlinewamalwa243
@everlineeverlinewamalwa243 15 күн бұрын
Thank you Jesus, you are wonderful God who never ever fails us 🙏 🙏🙏❤️
@arieyajacqueline9980
@arieyajacqueline9980 14 күн бұрын
This is true love
@mwahijaseleman4247
@mwahijaseleman4247 14 күн бұрын
Ameni 🙏🙏
@MariamNakoa
@MariamNakoa 15 күн бұрын
Mungu awaongoze inshallah
@lennyfrank
@lennyfrank 14 күн бұрын
Mganga hana nguvu anaogopa mtume
@livehappy5810
@livehappy5810 14 күн бұрын
😢😢😢😢
@dorcasofficial1698
@dorcasofficial1698 15 күн бұрын
Mungu nimwema
@paulineachieng5779
@paulineachieng5779 15 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@victorieusefulano3130
@victorieusefulano3130 14 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jacklinerudisi5116
@jacklinerudisi5116 14 күн бұрын
Aki mimi sijui mbona Nina furaha hivi, ingawaje bado mambo ijakuwa sawa but nikiona atleast Raff akuweko na mum ameteseka saana, mara anadanganywa alikuwa adopted, mara wanamuonyesha mwenye si mamake but who is God.
@PhilisKundu
@PhilisKundu 15 күн бұрын
Amen mungu anawesa
@Rosemary-u4w
@Rosemary-u4w 15 күн бұрын
Bwena yesu asifiwe
@SambaZainab
@SambaZainab 15 күн бұрын
Mkue mnaenda church plz ndio hizo mapepo zisiwasumbue... pia mjifunze kufunga na kuomba hata 3 days kwa week.
@Betty-wk3eg
@Betty-wk3eg 15 күн бұрын
God is great 🙏🙏🙏
@elizabethkinyuaelizabeth534
@elizabethkinyuaelizabeth534 15 күн бұрын
God is great
@dorcaswairimu697
@dorcaswairimu697 15 күн бұрын
Aliwekwa mayai ndiyo mganga awe akimuona mahali ako
@lucykatuku3306
@lucykatuku3306 15 күн бұрын
Ashindwe katika jina la yesu Amina
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 15 күн бұрын
Ako wapi raf
@linetnyangate1311
@linetnyangate1311 15 күн бұрын
Junga tena mganga asifanye tena kitu tafadhari muwe makini naomba mfike salama hili mpumsike
@TruphenaJebungei
@TruphenaJebungei 15 күн бұрын
Hi
@jacklinenuthu606
@jacklinenuthu606 14 күн бұрын
So Raf na Eric ni brothers?
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 15 күн бұрын
Raf akipona camera lady huyo mama muacheni uko kwao cz kazi yake imeisha
@annaandrea2812
@annaandrea2812 14 күн бұрын
Kumbuka Raff ameshajua dada Sara ni mama yake na ukumbuke kabla hata ajajua ni mama yake amepambana naye mpaka amemuokoa pamoja na visa vyote alivyomfanyia.lakini hakumuacha.hivi unaona ushauri wako wa chuki unataka kuupandikiza kwenye hiyo familia utafanya kazi kweli.?acha kumsaidia shetani kazi ombea hiyo familia wakae pamoja kama Mungu alivyokusudia
@RamlaRamla-m6w
@RamlaRamla-m6w 15 күн бұрын
Raf akija kumuacha huyu mwanamme atapata laana kubwa
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 15 күн бұрын
😂 mwanaume au mwanamke
@MilaKavwai
@MilaKavwai 15 күн бұрын
Wote wasiwachane inasitahili wakamatane hadi mwisho😋😋🫂​@@emmiemmi3861
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 15 күн бұрын
ni typing errors😂😂​@@emmiemmi3861
@everlineeverlinewamalwa243
@everlineeverlinewamalwa243 15 күн бұрын
Thank you Jesus, you are wonderful God who never ever fails us 🙏 🙏🙏❤️
@FatumaMwaruwa-qf1wf
@FatumaMwaruwa-qf1wf 15 күн бұрын
Hi
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
#iNooroTVLive
Inooro TV
Рет қаралды 375
A message to deliver to our fans about the mission of rescuing Abigael
55:43
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН