bila shaka funzo la maisha, mwanadamu yeyote hakosi kupitia ila subira,napenda taarabu.
@dicksonananda52443 жыл бұрын
Kila ninalolipitia yote mipango ya mungu, 💖 Sitokata tamaaa,nitafanikiwa tu bila shaka✊🏿 masha Allah👑
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sana his balaaaa
@husseinnampatika433 жыл бұрын
Kuna taarabu sijuw kaimba nani najuwa kipande cha maneno tu,,,kinadema SITACHOKA KUWALEA WANA NAOMBA PLZ
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sana wng huu wimbo ni balaaa sana
@ChristineNeema-u5j Жыл бұрын
Hongera sana dada kwa uimbaji wako ,kweli mtu huwezi kukosa milele❤❤🙌👌👌
@nakshnakshmoderntaarab9 ай бұрын
sahihi kabisa haiwezekan
@manyalisifuna67103 жыл бұрын
Haya yote yapo kwa kitabu cha muhubiri kwa Bibilia. Hongera dada.
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sn na upo sahii
@jumaomulubi88872 жыл бұрын
Rahma, wimbo mtamu. Ahsante sana kwa huu wimbo, Chidi anafanya mambo yake hapo kwa ustaraab, habahatishi, shukrani sana Rahma, Ila tunasubiri kwa udi wimbo mpywa kutoka kwa wana Nakshi Nakshi
@nakshnakshmoderntaarab2 жыл бұрын
Ahsante na inshallalh muda sio mrefu utaisikia wimbo mpya wa Rahma machupa
@aishal19534 жыл бұрын
Kama subra nnayo imani imenijaaa jamani nyimbo nzuri sana big up sana Nakshi Nakshi from🇧🇮🇧🇮
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Kupata kukosa ndo ilivyo hakuna alo shujaaa ahsante sn sapot ndo kila kitu inshallah
@mwajumamaulidi72874 жыл бұрын
Kwenye uzito wepesi niwekee nice song Rahma unajua kuimba dogo langu
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Hatar sn palipo na kiza taaa niwashie balaa sn na shukran sn
@fardahally85114 жыл бұрын
Ahsante Rahma mamaa la ukweh kujiamini ndo zetu Penda sana.
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Ahsante sn wng shukrn
@kutokakusini23954 жыл бұрын
hili jimbo limenifanya nimepaki gari pembeni ya barabara na kuanza kucheza hatari sana motooo unawaka mm nawakubali sana nyie watu mnatufanya damu zinatembea kwa ufasaha roho inasuuzika toeni na mengine zaidi mashabiki tupo
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Dah ahsante sn ndg yng nimefurahi sn yani mungu akujalie na pia usijal mengine mazur yanakuja zaid ta aya tuombeane uzima tu inshallah
@khadijakaimu27004 жыл бұрын
Nakukubali sasa rahma machup wimbo pambe sana
@snakekobra6943 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏
@tumafetylilai7303 жыл бұрын
Nimoto pongezi kwa naksnaks wote ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sana shukuran
@KlthomTenz-jd1un10 ай бұрын
Nakupenda mwimbaji da fet mungu yupo pamoja nawe
@nakshnakshmoderntaarab9 ай бұрын
ahsante sana twakupenda pia
@ZaharaPala10 ай бұрын
Kama subira minnayo Imani imenijaa kupata kokosa ndoilivuo hakuna aloshujaaa
@nakshnakshmoderntaarab8 ай бұрын
Sana hakuna haloshujaaa mungu ndo mpangaji wa yote
@samsonbinkulwa77943 жыл бұрын
@Nakshi nakshi Modern Taarabu Hongera Kwa Nyimbo Nzuri Sana Nimeipenda Hongera Kwa Mtunzi Na Muimbaji Pamoja Na Mpiga Kinanda Yupo Safi
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sana tunashukuru na tumefueahi sn sapot yako muhim sn ili naksh naksh tufikie marengo inshallah
@samsonbinkulwa77943 жыл бұрын
@@nakshnakshmoderntaarab Tuko Pamoja Sana Wapendwa Katika Kuwaunga Mkono Kikazi
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sana
@mariamjulius20424 жыл бұрын
Mungu akutangulie ktk kazi zako maana unajua sana kuimba rahma mungu afugue mlago ktk kaz yako rahma
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Ahsante sn kwa uwezo wake Allah inshallah
@AliMasudi-mc2sj3 ай бұрын
Umejitahi.nyimbo.nzuri.naksh.nakshi.moto.umetisha
@nakshnakshmoderntaarab3 ай бұрын
@@AliMasudi-mc2sj ahsante sana
@Sarimuamiri9 ай бұрын
Dada asante Kwa nyimbo hii nzuli san nakupenda sana dada rahim
@nakshnakshmoderntaarab8 ай бұрын
Ahsante sana mambo mazur ayo
@dativagabriel3188 Жыл бұрын
Kila linalonifika mipango ya mungu na linalonifika pia mipango ya mungu 💃💃💃
@nakshnakshmoderntaarab9 ай бұрын
sana ndo ipo ivyo kwetu sisi waja kila linalolufika ujue ni mipango yake allah
@jamilaahmed2544 Жыл бұрын
Siwezi kukosa milele...nyie mupate daima 🥰🥰🔥🔥🔥
@nakshnakshmoderntaarab Жыл бұрын
Naaam ndo ipo ivyo
@rahmaiya18094 жыл бұрын
Rahma my namesake huu wimbo umeniingia Masha Allah 😍
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Ahsante sn nashukuru kwa ilo pia ahsante kwa sapot yako
@jeannedunia92623 жыл бұрын
Mungu akuona dada wa meseji ulio watumia watu nimeguswa na wimbo wako
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sn sisi kazi yetu kufikisha ujumbe kwa Jamie kwa njia ya miziki
@mtinangially5508Ай бұрын
mshallaaah uko vizuri bibiee
@nakshnakshmoderntaarabАй бұрын
@@mtinangially5508 shukuran sana
@jacksonmhonie38624 ай бұрын
Keep it up, this song the msg is powerful
@orestonjalika6324 жыл бұрын
Hapa umeuwa kwa kweli, muziki una radha zote aise. Tamu sana hii. Umenikumbusha wakati taarab imeteka soko la tanzania.
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Ahsante sn tunashukuru tunaomba endelea kutupa sapot inshallah
@rukiatwaha29103 жыл бұрын
Rahma unaweza mama kaza buti
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsaante sn my dear
@AllyMilundaАй бұрын
Ngoma Kali sana ❤❤❤❤❤❤
@nakshnakshmoderntaarabАй бұрын
@@AllyMilunda ahsante sana 🙏
@MwanakherKhalifa2 ай бұрын
Hii taharabu mashaallah 2024❤❤❤
@nakshnakshmoderntaarabАй бұрын
@@MwanakherKhalifa Ahsante sana
@khadijamohamed57334 жыл бұрын
Pambe 😍umasikini sikilema
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Kbs kbs ni jaala yake muumba bhana
@husnahomar51333 жыл бұрын
Wapi kelele ya rahma ake,number 1 from kenya
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sn wng watu weweeeeeeewew
@husnahomar51333 жыл бұрын
@@nakshnakshmoderntaarab karibu sana
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
@@husnahomar5133 pamoja sn
@allibakariathumany81173 жыл бұрын
Wewee
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ni sheeedah
@MarryFabian-s9t3 ай бұрын
Uko vizuri,, ongela
@nakshnakshmoderntaarab3 ай бұрын
@@MarryFabian-s9t ahsante sana
@duncanmwanzi8085 жыл бұрын
Nakshi Nakshi hoooyeeee!! Rahma Machupa penda weweee sanaaaaaa!! Very lovely video nice song pia ,, big up guys
@nakshnakshmoderntaarab5 жыл бұрын
Ahsante kwa niaba yake na inshallah kwa uwezo wake allah
@hassanhussen25714 жыл бұрын
Kaza buti unakuja vizuri big up
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sn kaz kaz tu inshallah
@FatmamayungiBadiwa9 ай бұрын
Ndio Mambo yangu
@nakshnakshmoderntaarab9 ай бұрын
hahahhahahaha haya bhana enjoy burudani
@isiakaseleman485 жыл бұрын
Bonge moja la song.namkubali sana musa mipango baseee.
@nakshnakshmoderntaarab5 жыл бұрын
Kazi kazi tu
@shamsiakitindi58064 жыл бұрын
dda Hongera sana
@ibarhimsalmin56115 жыл бұрын
Sis uko juu,i lyk this song yani imenigusa mpka ndani ya roho
@nakshnakshmoderntaarab5 жыл бұрын
Dah pole sn pia shukran kwani ndo kaz yetu wasanii kufikisha ujumbe kwa njia ya muzik
@ashuraomary-rx7yc2 ай бұрын
Asante sana udugu Wang mie
@TruphosaAraraАй бұрын
Tumeenda national Eldo juu wimbo huu
@nakshnakshmoderntaarabАй бұрын
@@TruphosaArara ahsante sana
@naulatmustapha92715 жыл бұрын
Pendaaaa xan rahma machupa umenitekaaaa
@nakshnakshmoderntaarab5 жыл бұрын
Anasema ahsante anakupenda pia karibu sn naksh naksh modern taarab
@fadhilanyuni85973 жыл бұрын
Sina gari🚐 wala nyumba🏡Nina pumzi nahemaa🙏🙏
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Sana ndo kitu muhim kwenye maisha yetu
@ShedrekMohamed4 ай бұрын
Ujumbe jwa wote wanafki Waco penda mafanikio ya wenzao
@ashuraomary-rx7yc2 ай бұрын
Amani iwe kwako my choice
@nakshnakshmoderntaarabАй бұрын
@@ashuraomary-rx7yc shukuran sana
@MwajabuJuma-x1g Жыл бұрын
Pambeee una baya dada❤
@nakshnakshmoderntaarab9 ай бұрын
Ahsante sana
@yusufumwasha5483 жыл бұрын
Tamu sana hii🔥🔥🔥🔥🔥
@nakshnakshmoderntaarab3 жыл бұрын
Ahsante sana kula raha
@sophiakatogoro22344 жыл бұрын
Maashaallah wimbo mzr sana
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Shukran sn wng 😙
@risperomulo2894 Жыл бұрын
Ukweli hayo mtupu✌✌✌✌
@nakshnakshmoderntaarab8 ай бұрын
Ahsante sana
@aishatanzania11944 жыл бұрын
Nampenda mnoo dadaangu rahm@ a.k.a messi km mess nakupenda mnooo my dada
@nakshnakshmoderntaarab4 жыл бұрын
Ahsante sn nakvpenda pia ndg yng sapot kaz zetu please
@aishasalum29635 жыл бұрын
Huu wimbo siishiwi hamu kuusikiliza upo saf sana
@nakshnakshmoderntaarab5 жыл бұрын
Duh ahsante sn kwaiyo muda wote unataman usikilize tu