Weeeee pole sana Sister kwa hayo 😭😭😭 ulimwengu una changamoto mingi tu sana but Mungu atafanya njia
@rosewere43038 күн бұрын
Pole sana dada Mungu akupe nguvu kwa yote unayoyapitia na akuvute Machozi.
@judithnaliaka9728 күн бұрын
Pole sana dadangu mungu akupe nguvu
@pastorhenry558 күн бұрын
Kama Baba mwenyewe alituibisha ndio atakua Kasmuel 😂😂😂😂 Watu waachane na Kasmuel coz pia yeye anataka kukula kama watu wengine 😂😂😂
@michaelotieno73758 күн бұрын
Sikisa double update wajaluo sio ndiyo kila siku ndio wana kwa wajasiri wa Kenya wote wafanye hivio wawache kijana ajiunge na o d m
@maryatieno68378 күн бұрын
Pole sana
@emilymbashu5028 күн бұрын
Mimi ni ODM lakini nampinga Kasmwel kabisa
@ogumajane8 күн бұрын
Because he refused to be misused this time...let those who voted for ruto to carry thier own cross...let Rao relax bondo period
@MaCp-n5w8 күн бұрын
Hata kama huna chama na kama wewe ni mtu mbaya wananchi hawatakupenda
@gilbertlusiji8 күн бұрын
Cheki omtata ni independent ground ni ODM mentoring young ones after selling them pia ni poa hakuna masaints huku tena
@MaCp-n5w8 күн бұрын
Chama sio inatoa pesa ya maendeleo serikali ndio hutoa pesa ya maendeleo chama ni msimamamo unaweza kukosa kua mp na ukapata nafasi kwa chama chako tueshimu chama zote za kenya
@abisansiookutii42478 күн бұрын
Kasamuel Ni kijana was Genzee jasiri sana. Chenye alifanya ni jambo la hekima sana kwa Saba but inafaa awe kwa kitengo cha uongozi upande yeyote ule. Kumbuka vijana wa Genzee bado hawaja tangaza viongozi vyao. Hekima hii ndiyo labda sababu ambayo imefanya RAILA ODINGA kujiunga na upande wa Rais William Ruto,
@EdwardSimiyu-l2m8 күн бұрын
Raila is not god,stop praising him for nothing
@MaCp-n5w8 күн бұрын
Chama sio inatoa pesa ya maendeleo serikali ndio hutoa pesa ya maendeleo chama ni msimamamo unaweza kukosa kua mp na ukapata nafasi kwa chama chako tueshimu chama zote za kenya