Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Majengo ya Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Mkoani Morogoro, leo tarehe 4 Agosti, 2024.
Пікірлер: 2
@jedidahbintidaudi8241Ай бұрын
hivi Rais wetu Mama Samia alisomaga mzumbe eti? nakumbuka alitakaga kutoroka shule ila milima ikawa imezunguka chuo na kakaake akamuambie wee Samia kaa shuleni..jmni Samia wetu😂😂
@amohammed3390Ай бұрын
Wafanyakazi wa serikali wakiwemo Mawaziri waige ufanisi. Hamna ruswa hapo.