Рет қаралды 130,768
Rais Kenyatta asema alikuwa tayari kuondoka mamlakani 2017
Hii ni baada ya mahakama ya upeo kubatilisha ushindi wa Jubilee
Rais Kenyatta amesema maisha ya wakenya yalikuwa muhimu zaidi
Uhuru ajibu tuhuma za kuzabwa kofi na naibu wake William Ruto