Rais Kenyatta na Gavana Joho walumbana

  Рет қаралды 793,057

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

7 жыл бұрын

Gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho aligeuza jukwaa la Rais Uhuru Kenyatta kuwa la malumbano ya kisiasa, kwa kutofautiana vikali na rais kuhusu uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa daraja la Buxton pamoja na miradi mingine aliyozindua leo mijini humo. Joho anadai kuwa serikali ya Jubilee haijaanzisha mradi wowote Mombasa ila inaendeleza miradi iliyoanzishwa kitambo.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya

Пікірлер: 231
@lindsayyunah
@lindsayyunah 7 жыл бұрын
footbridge ni maendeleo 😂 😂
@ibrahimmaroa1894
@ibrahimmaroa1894 7 ай бұрын
kubukubu zake president wetu Uhuru Kenyatta na maneno yake mungu akubaliki Sana ndena Sana Mr President Uhuru Kenyatta endelea na kazi yako 🙏🙏
@alishaffi7715
@alishaffi7715 7 жыл бұрын
Mr president unacheza na vichwa vya wapwani. Emergine coming all the way to pwani kufungua foot bridge .hiyo sasa Kali. stop politicking.
@saudahmedsaudahmed7074
@saudahmedsaudahmed7074 7 жыл бұрын
Ali Shaffi Sante Sana Bro mwenye macho haambiwi tazama
@lovechannel7098
@lovechannel7098 7 жыл бұрын
Saudahmed Saudahmed
@hajyrose5930
@hajyrose5930 7 жыл бұрын
hahahahahha
@jumajay8496
@jumajay8496 7 жыл бұрын
wengine wanapiga makofi bure hata Uhuru akikohoa wanapiga makofi makwaajili ya interest zao poleni sana
@maleekaabdullah9960
@maleekaabdullah9960 7 жыл бұрын
Juma ponography
@chalopaul1608
@chalopaul1608 7 жыл бұрын
joho ni simba kweli
@aminambarak5851
@aminambarak5851 7 жыл бұрын
JOHO tosha 2017 governor.
@joshuakimathi1608
@joshuakimathi1608 3 жыл бұрын
A leader must be brave like there.
@jamilasalim6310
@jamilasalim6310 6 жыл бұрын
MWAAAAAH MR.PREZO WALK ALL KENYA NO ONE CN STOP U HATA AKIWA GOVERNOR WA HIYO PLCE # U R OUR LEADER WA DA WHOLE KENYA #UHURUTO
@ahmedjamalwoche6029
@ahmedjamalwoche6029 7 жыл бұрын
Mr Presdent anachezea simba wetu joho
@abdiosman2121
@abdiosman2121 7 жыл бұрын
2:25 I hope Duale is listening to that
@abdirahmanyaya3969
@abdirahmanyaya3969 7 жыл бұрын
simba joho kweli kbsa
@marodemadero6590
@marodemadero6590 7 жыл бұрын
joho tena 2017
@mecikaffein6206
@mecikaffein6206 7 жыл бұрын
Joho wajiona kama wewe ndiye kiongozi mteuliwa Kuliko rais huna heshma kamwe kwake mteuliwa Hiyo ndio maana cord haiwezi tawala kenya juu hamna heshima na hamtambui kwamba yule ndie kichwa na nyinyi ni magoti tu
@zabde-ezraayienga5353
@zabde-ezraayienga5353 7 жыл бұрын
I am not a voting Kenyan but I admire personalities such as Joho! In about 10 minutes Joho completely obliterated his political opponents by going straight for their most senior boss in their presence. All this on national television and all sorts of media houses. Let us not forget the live audience of voters. On that platform we have former ODM politicians turned Jubilee. We have Jubilee Cabinet ministers and other ‘hangers on” who all defer to one person -Uhuru Kenyatta- with a passion that borders on sycophancy. Rather than reaching the audience for Jubilee votes, they were instead, defending Kenyatta. The Jubilee politicians, were hoping to seize on all these “launches” by Kenyatta, as “maendeleo” brought to Coast from Nairobi and use that to undermine Joho in the upcoming elections. He beat them to that. This was a cool and calculated move…killing so many birds with one stone!
@leisankatininah2814
@leisankatininah2814 2 жыл бұрын
Great
@abdulshizzle8919
@abdulshizzle8919 7 жыл бұрын
kama ni mradi ya kitambo, mbona hakukamilisha? Anafaa kujua rais sio wa level yake. Atafutane na magavana wenzake.
@danielnjuguna2395
@danielnjuguna2395 7 жыл бұрын
So Joho anasema because money came from world Bank.. Govt shld not take credit..how stupid is that...so if I take a loan from a bank to start a business, the bank owns my project? NKT
@BBZoneasembotop10
@BBZoneasembotop10 7 жыл бұрын
Simba wa pwani msema ukweli..
@moseschege7586
@moseschege7586 7 жыл бұрын
this. the problem of people of coast region you call somebody simba but what have he done to show in those 5year he was in power. look around u r u not ashamed of him. 4exsample likoni. the place is very dirty Joho is 1 of the gorvers who should go home n let those who r will to help kenyan do that work
@BBZoneasembotop10
@BBZoneasembotop10 7 жыл бұрын
Moses chege, what has uhuru done others than stealing and tribalism
@anonymme1062
@anonymme1062 7 жыл бұрын
Just saying ,if this is true that this Project is a long year past project then there IS "Financial-Analytical" problem in Mombasa... particularly in matter of End-Year-Financial Reports specifically if that amount came from WorldBank.Mombasa ,we need to wake up and learn to appreciate even what's not on-the-go record.
@macdonaldbarasa5169
@macdonaldbarasa5169 7 жыл бұрын
WELL DONE
@mulwamuthoka3509
@mulwamuthoka3509 7 жыл бұрын
I'm for peaceful campaigns. At the tail end, Kenya is more bigger than an individual.
@jumajay8496
@jumajay8496 7 жыл бұрын
huu ni mradi ama amekuja kutu enjoy anataka kura zetu kwa ki bridge hatumpi lete pesa mlizo iba tule urudi nrb tukutane August kwa BBM technology votes
@worriestrouble7137
@worriestrouble7137 4 жыл бұрын
Watch what u type keyboard warrior !!!! Still the prezoo yupo kaka... mpaka mka vuka mpaka (handshake ) lol !
@jumajay8496
@jumajay8496 4 жыл бұрын
@@worriestrouble7137 ok so just look how your vifaranga vya computer walivyo ifirs nnchi madeni mpaka watoto hawajazaliwa pia wanadaiwa corruption every where wakenya wanapika mawe wakenya wanavinjiwa manyumva wakenya wanashindwa hata kula one meal a day which is kind of the government wakenya wameshindwa even kuvumilia kua wakenya nimehamia kwa magufuli rais mwenye huruma and wisdom bakia wewe huko na serikali ya wembe ni ule ule, imagine election is 2022 kenya already started a campaigning even DP want to be a president while still there's a sitting president what is shameful country hoo haijawahi kutokea except in kenya.
@worriestrouble7137
@worriestrouble7137 4 жыл бұрын
@@jumajay8496 kweli kaka Pia Mie I traveled to Norway fortunately... what a waste uhunye has been... totally ruined the country and what's more annoying is raila joining him under the disguise of handshake....
@mctimdr.3671
@mctimdr.3671 7 жыл бұрын
if a footbrigde is a major development according to Uhuru and company the we as a nation are totally doomed!! zero vision need for divine intervention ASAP!!
@abdirahmanfoodcadde302
@abdirahmanfoodcadde302 7 жыл бұрын
duale ako unteachable he will evicts all kambas from garissa keep duale fire burning man of the people
@worriestrouble2606
@worriestrouble2606 7 жыл бұрын
it's "untouchable".... not unteachable !!
@jacklinenjeri221
@jacklinenjeri221 7 жыл бұрын
ukimkosea president hashima una kosea taifa lako heshima na una njikosea heshima mwenyewe
@denniskithinji1405
@denniskithinji1405 7 жыл бұрын
kazi isipofanywa au ifanywe joho bado mdomo unakuwasha..jubilee na maendeleo joho na panganga
@carolynendungu4455
@carolynendungu4455 7 жыл бұрын
joho pia wewe ungesema kitu umefanyia watu wa Mombasa wachana na prezo iyo ni ujinga tu
@mtsumi45
@mtsumi45 7 жыл бұрын
A whole president commissioning afootbridge....None sense. Hayo ndio maendeleo. I pity coasterians.
@kimnyamu7201
@kimnyamu7201 7 жыл бұрын
mtsumi45 u what have y done for ur country
@Tazansnerima
@Tazansnerima 7 жыл бұрын
footbridge?!??!!!
@tafari988
@tafari988 7 жыл бұрын
How is a footbridge a development 😂😂😂😂
@jK-zh1we
@jK-zh1we 7 жыл бұрын
because it can save a lot a lives and time for less traffic due to pedestrians using the bride. Time is money, less traffic means more productivity
@BBZoneasembotop10
@BBZoneasembotop10 7 жыл бұрын
Kenya needs industries for jobs
@nehemiahbor6620
@nehemiahbor6620 7 жыл бұрын
Tafari 98 uko down kweli
@anonymme1062
@anonymme1062 7 жыл бұрын
"any event/idea/project constituting a new stage in a changing situation.....is a development"
@BBZoneasembotop10
@BBZoneasembotop10 7 жыл бұрын
Mary kagwe, a i think your more of abulshit and by the way Joho is not your stealing type you Uthamaki bitch
@mutainehemiah398
@mutainehemiah398 Жыл бұрын
Uhuru ata kama ulifungua mradhi mombasa bure hakuna kura
@lin---rietta
@lin---rietta Жыл бұрын
Who is watching this in 2022?
@danielmwangi9637
@danielmwangi9637 7 жыл бұрын
Joho kua na adabu na uwache ukabira my friend Fanya kampani pole pole
@mctimdr.3671
@mctimdr.3671 7 жыл бұрын
woi hata umeshema!
@gilbertindeje2240
@gilbertindeje2240 7 жыл бұрын
Tatua shida yako ya matamshi kwanza
@sammyndekeindekei6581
@sammyndekeindekei6581 7 жыл бұрын
Daniel Njoki joho is just a piece of shit..aennde na pesa zake chagu
@nixonmungai5915
@nixonmungai5915 7 жыл бұрын
I miss the real Jomo Kenyatta....joho angetambua the real men and the boys...joho bure kabisa
@markongaya1588
@markongaya1588 7 жыл бұрын
Joho should be Kenyas president one day.
@fikshun1326
@fikshun1326 7 жыл бұрын
Mark ongaya it can never happen. Never
@evansmunene4722
@evansmunene4722 7 жыл бұрын
let be our leaders be good example setters. let them respect our president. Joho wait for your turn to be the president. so heshima si utumwa.
@kirwamelly
@kirwamelly 7 жыл бұрын
Our leaders should understand that anything you do has a foundation to complition. And as a government you must learn to complete what was left by your predecessor for the benefit of the country & its people to develop be4 you apply yours.
@imranhassan6727
@imranhassan6727 2 жыл бұрын
Kweli odm ni baba Lao.uhuru alikauka lips kabisa😂
@user-uh6oe6bq1j
@user-uh6oe6bq1j 6 жыл бұрын
joho you must open your eyes please
@abuuqaasim4815
@abuuqaasim4815 3 жыл бұрын
Joho hajui SIASA wanajua ujinga tu
@wakwayawilson95
@wakwayawilson95 2 жыл бұрын
Watching 2022
@samuelngigi2028
@samuelngigi2028 2 жыл бұрын
Congratulations president
@kassimmwamambeya4489
@kassimmwamambeya4489 7 жыл бұрын
Joho ni simbaaaa...hata museme anauza watu
@wanjikucaroline5323
@wanjikucaroline5323 7 жыл бұрын
Bona joho hapendi maendeleo aki shame on him
@wanjikucaroline5323
@wanjikucaroline5323 7 жыл бұрын
habbil H.O napenda mm sio kama nyinyi
@happytimes9896
@happytimes9896 7 жыл бұрын
wewe Uhuru uache mchezo na watu wa pwani watu wanakufa njaa ganze wewe waenda fungua footbridge baada kufanya miradi itakayo patia vijana kazi. si ni bangi tupu hiyo nani atapanda footbridge akiwa na njaa?? vitisho vyako peleka mbali utaambiwa ukweli na hakuna apology kwani umetukanwa Joho hakutukana hapo kma hujui kiswahili arudie
@jacobndungu7757
@jacobndungu7757 7 жыл бұрын
yeah prezzo u have said nothing but the truth,, maendeleo ifai kulinganishwa na siasa
@mushken65
@mushken65 7 жыл бұрын
vitisho vya mashua havishutui bahari. Useless president trying to play na watu wa mombasa na uwongo. Uwongo wa "kiongozi" uhuru umegonga mwamba mombasa
@d_xxa6748
@d_xxa6748 6 жыл бұрын
Wewe Joho respect the president
@saumushabankhamis2801
@saumushabankhamis2801 7 жыл бұрын
unandeleza nn uhuru vijana wanatoroka KENYA hakukaliki uchumi umekua mgumu
@redemtamarion5293
@redemtamarion5293 7 жыл бұрын
is someone seeing hizo nyumba za matope uhuru is passing through, sometimes i wonder wat our priorities are.
@ibrahimgagasalim3152
@ibrahimgagasalim3152 7 жыл бұрын
Ukweli siku zote unauma, 001 Kiboko
@AbuAli172
@AbuAli172 7 жыл бұрын
maze hizo bridge zingewekewa ngazi..hivo zilivo ukipanda wafika pirates 😂😂😂
@winfredwanjikumunene3645
@winfredwanjikumunene3645 7 жыл бұрын
work together both are elected
@justusmulaha243
@justusmulaha243 7 жыл бұрын
joho hata c matusi ni kumwambia ukweli
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 7 жыл бұрын
Kwani Mombasa sio kenya
@samsungandroid9277
@samsungandroid9277 7 жыл бұрын
Caroline Talam maswali ya kliniki pelekea ouru
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 7 жыл бұрын
Samsung Android hakuna siku mtaona mazuri chuki na u kabila ndio zenu
@jyptian1
@jyptian1 7 жыл бұрын
UHURU UNATUBEBA UFALA.
@khadijaomarkhadijaomar4822
@khadijaomarkhadijaomar4822 7 жыл бұрын
😂 ndiyo baba duh
@steventibigithura3727
@steventibigithura3727 7 жыл бұрын
Joho hajui raisi agepeleka huo mrandi mahali pengine they are luck
@vemmostropodevimcomigomost6333
@vemmostropodevimcomigomost6333 7 жыл бұрын
OI
@subashkundu2552
@subashkundu2552 7 жыл бұрын
truth hurts
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 жыл бұрын
joho wacha ufala
@kapindeemwanaa3229
@kapindeemwanaa3229 7 жыл бұрын
Natasha Hamad ukweli umegeuka ufala tena
@yusufsheikh3056
@yusufsheikh3056 7 жыл бұрын
Natasha Hamad ufala umeanza wewe ulipo uza utu wako na kutetea wambali zuzu wewe ama nja
@ruthie388
@ruthie388 6 жыл бұрын
Joho you are right.
@brendalalaloushka5908
@brendalalaloushka5908 7 жыл бұрын
This time Hautapenya.kuibakura.Raila.Lazima awe Prezoo.
@mwanaidisaidi1748
@mwanaidisaidi1748 6 жыл бұрын
Wanasiasa msituinjoy ebu wananchi funfuen macho ebu tuone wangapi waliuwa wanatafuta mapato yao
@jameswammwangi2971
@jameswammwangi2971 7 жыл бұрын
mbona rais afungue kitu kama hio huko mombasa na nairobi akifungua mabarabara ,,,,,,,thats not goood
@josephmukundi7446
@josephmukundi7446 7 жыл бұрын
fanyieni watu maendeleo both cord n jubilee hatutakula matusi yenu
@georgemaitho4794
@georgemaitho4794 7 жыл бұрын
project yaaanza 2010 na inaishi 2016 JOHO alikuwa wapi tangu achaguliwe
@jonesy2975
@jonesy2975 7 жыл бұрын
nimeskia watu hapa comments wakisema ati Joho anauza dawa za kulevya... we umewahi sikia hiyo mambo
@immanuellekakeny8229
@immanuellekakeny8229 7 жыл бұрын
we will see who will be next president
@mercymyrah8677
@mercymyrah8677 7 жыл бұрын
Go go Uhuru
@beckykanja687
@beckykanja687 7 жыл бұрын
this thing will lead fools to killing each other again. hawa watu wanaongea kwa umati vibaya wakija kwa mkutano wasalimiane wale pamoja washenzi wabaki wakinoa mapanga... changamkeni wakenya
@abudimuddy517
@abudimuddy517 6 жыл бұрын
Citizen tv rekebisheni sentesi hapo ni MBUNGE Si Munge!!!!
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 7 жыл бұрын
ndovu wakimenyana nyasi ndio huumia
@paulomosson3346
@paulomosson3346 4 жыл бұрын
Jamani wana Kenya natoka Tanzania mm ushauri wangu ni bure kiukweli rais wenu huko makini kuna mtu anasema lianzishwa 2010 rais kama angekua awatakii maendeleo alipoingia madarakani angebomoa lakini ameendeleza yani rais anakuja jufungua daraja eti geverna ana ulizianzishwa kitambo na mnashangilia kiukweki siasa kwa sasa sio viongozi ni nyie wenyewe lakini samahanini kama nimewakera kwa ushauri wangu
@karishmary9904
@karishmary9904 7 жыл бұрын
Kwnn joho huwanga na kiherehere kaa ya raila nlidhani yeye ni mtu wa kuheshimika kuliko raila kipii kumbe wote sawa barathuli hawa
@kiatukichafu
@kiatukichafu 7 жыл бұрын
huyu uhuru bado haelewi hutumtaki mombasa mbwa
@lolosagini
@lolosagini 7 жыл бұрын
ukweli wewe ni kiatu kichafu sasa
@ibrahimgagasalim3152
@ibrahimgagasalim3152 7 жыл бұрын
This Nyali Mp is very sick,
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 7 жыл бұрын
alisharif umesema wasidanganye wapwani alikuawapi wakati wote amavike kura zimeiva wapwani wamechanuka tuko kwa O.D.M
@gideontuamu
@gideontuamu 7 жыл бұрын
team joho apana tambua wengine
@jafarali2372
@jafarali2372 2 жыл бұрын
Nlikua hapo hio siku na Rais alikunja mkia!
@Mothermarlon
@Mothermarlon 7 жыл бұрын
PREZO UHURU.. Njoo kisumu uone..Shenzhen wewe
@hadijakayaro2397
@hadijakayaro2397 7 жыл бұрын
aaaaahhh chungwa hoyeeeeeee,odm oyeeegh
@mbarakali8799
@mbarakali8799 7 жыл бұрын
sio vizury
@peterwallacepeter8303
@peterwallacepeter8303 7 жыл бұрын
joho amegonga ndipo
@odaihellensharver9812
@odaihellensharver9812 7 жыл бұрын
Tano tena prezoo
@hanuni2356
@hanuni2356 7 жыл бұрын
600million daraja hlo munachezea pesa nyinyi
@lloydboykins1157
@lloydboykins1157 4 жыл бұрын
just a bridge.
@briankantadaras4139
@briankantadaras4139 7 жыл бұрын
IS THE WORD "MUNGE" THE NEW AND/OR SHORTER VERSION OF THE WORD "MBUNGE" ?.........ANYBODY?
@freyjandua3379
@freyjandua3379 7 жыл бұрын
joho heshma hanakabsaa.kaa mwanamke kwa ploti.
@niceabdi3250
@niceabdi3250 7 жыл бұрын
footbrigde ni development huko mbs 😂😂😂 kenya wake up
@mikekakai3012
@mikekakai3012 7 жыл бұрын
viongozi waeshimiwe plz
@lolosagini
@lolosagini 7 жыл бұрын
kabisa mike Kakai
@coolzomz8
@coolzomz8 4 жыл бұрын
Maendelea gani.kenyans hudanganywa kitu kidogo
@mushken65
@mushken65 7 жыл бұрын
Vitisho vya chura
@nassorohamadi3365
@nassorohamadi3365 7 жыл бұрын
Awiti analipi lakesema mombasa!
@bigboy8508
@bigboy8508 6 жыл бұрын
Eti "Munge" sio Mbunge?
@filanike5772
@filanike5772 7 жыл бұрын
Joho naye pia atulie bana.. He sees nothing good na vile madawa anazouza zimewamaliza vijana uko Mombasa
@paulwaru7665
@paulwaru7665 7 жыл бұрын
joho nothing he has done in coast he os the same yeye ni kutafuta kina lulu hassan wamchukue akizunguka na baisikelo ati mwananchi wa kawaida...asituenjoy afanye kitu vijana wapewe kazi coast kwanza yeye ni kukosoa tu rais .
@filanike5772
@filanike5772 7 жыл бұрын
bana anatuchocha mbaya kweli
@kiatukichafu
@kiatukichafu 7 жыл бұрын
Twampenda hivyo hivyo na madawa ya kulevya....Wabara hatuwapendi rudini kwenu ama tuwachinje
@filanike5772
@filanike5772 7 жыл бұрын
kiatu kichafu haya basi jibambeni
@njenganjehia6041
@njenganjehia6041 7 жыл бұрын
KUMAZAKO WW SISI TUKAPIGANIA UHURU NCHI YA KENYA MALAYA WW SOMA HISTORIA KIJANA....NA VITA YETU ULIZENI QUEEN ELISABETH TUKO IMARA NA TAYARI.....MAU MAU BLOOD REIGNS IN US KIMATHI NEVER DIED IN VAIN
@bonfaceowino4333
@bonfaceowino4333 7 жыл бұрын
acha Joho aitwe Joho
@lauraduncan9371
@lauraduncan9371 7 жыл бұрын
joho nakupa kongole sana .
@simonwambugu7579
@simonwambugu7579 2 жыл бұрын
And now your dining with those who fought you.....????
@khadijaomarkhadijaomar4822
@khadijaomarkhadijaomar4822 7 жыл бұрын
😂😂😂😂kazi kwenu langu jicho
@manga8401
@manga8401 7 жыл бұрын
..
@kimnyamu7201
@kimnyamu7201 7 жыл бұрын
khadija Omar khadija omar letu jicho mrembo!
@jayblackxxx
@jayblackxxx 7 жыл бұрын
Atisha nani huyo mbwa ?
@jumajay8496
@jumajay8496 7 жыл бұрын
rais ni binadamu anaweza kuambiwa, si alitia sign baadae akabadilika kwanini asiambiwe, he is just a President na alichaguliwa .
Raila aingia serikalini kwa mlango wa nyuma
4:38
NTV Kenya
Рет қаралды 107 М.
Raila the 4th... Handshake
5:41
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 16 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 32 МЛН
Churchill Show Sn10 Ep04 (Governor Hassan Joho's Journey)
48:39
Churchill Television
Рет қаралды 308 М.
Uhuru Kenyatta, the 'lit' president
4:43
KBC Channel 1
Рет қаралды 14 М.
Sonko na Kidero washikana mashati bungeni
2:42
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 387 М.
President Uhuru Kenyatta's light and funny moments
3:27
NTV Kenya
Рет қаралды 42 М.
Compilation: Retired President Uhuru Kenyatta's light moments
7:03
| JKLive | Cabinet Files [Part 1]
10:52
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 М.
Mwanaume ashambuliwa na wahalifu Mtopanga, Mombasa
10:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 51 М.
Wapatanishi watumwa kumrai Kalonzo kurudi Azimio
3:11
NTV Kenya
Рет қаралды 114 М.
Ruto's Cabinet survivors
4:11
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 15 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН