RAIS MWINYI ALIVYOUSOMEA DUA MWILI wa BABA YAKE MZEE MWINYI - ASOMEWA KULLUH ALLAW 11....

  Рет қаралды 51,526

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 11 ай бұрын
From 🇧🇮innalillah wa inailah rajun
@halimahalima1488
@halimahalima1488 11 ай бұрын
Innalilah wanna ilah lajighuni Allah ampe qauri thabitii 👏
@NoorynMuddy
@NoorynMuddy 11 ай бұрын
Akika Allah kamchukua mja wake mwema inna Lillah wa inna Lillah rajiun
@AshouHumaid
@AshouHumaid 11 ай бұрын
Allah ampe kaul thabit amjaalie nuru ndani ya kaburi lake amjaalie pepo ameeen
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 11 ай бұрын
Tunapenda iwe hivyo lakini sijui kama inawezekana kwa mwanasiasa yoyote
@AshouHumaid
@AshouHumaid 11 ай бұрын
@@shabanipanya1033 je utahukumu hiyo ni siri yake Allah sisi wajibu wetu kumuombea mwislam mwenzetu njia njema maana hata sie sio wana siasa lkn hatujui khatma zetu nini.
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 11 ай бұрын
@@AshouHumaid je itakuwa vibaya kama tukiomba abadilishiwe maisha ya wale waliompa dhamana ya kuwaongoza hapa duniani kuwa maisha yake ya akhera
@MbojaJumbe
@MbojaJumbe 11 ай бұрын
Allah ampe kauli thabit ,amuondeshee Giza kwenye kaburi lake inshallah
@AysherAlhady
@AysherAlhady 11 ай бұрын
Amin
@Ujumbewadini
@Ujumbewadini 11 ай бұрын
Kama katubia juu ya dhulma alizowafanyia wazanzibari basi dua yako itasaidia.
@saumbliz8983
@saumbliz8983 11 ай бұрын
​@@Ujumbewadiniwewe usiseme hivyo anae kosea akitubu mungu humsamehe na InshaaAllah Allah amueke pema peponi amiin
@Ujumbewadini
@Ujumbewadini 11 ай бұрын
@saumbliz8983 Ndugu kuna dhambi za aina mbili kuna Ile ilio baina ya mja na mola wake, hii akitubia baina yake na mola wake basi hakuna tatizo, Ama dhambi ya dhulma ilio baina ya mja na binaadamu wenzake ama hii haina toba isipokuwa nikurudisha ulicho dhulumu au kuwataka msamaha ulio wadhulumu, wazanzibari mpaka leo tuna majaraha tulio fanyiwa na CCM hayapoi milele pia dhulma aloshiriki 2015 ya kupendua matokeo halali ya Maalim seif na kupewa Asie stahiki hili kwa hakika nayo sio dhulma ndogo kwa wazanzibari.
@TwalaaTaib
@TwalaaTaib 11 ай бұрын
Allah akuweka mahali penye watu wema WW Ulikuwa mtu mzuri sana Frm Kenya
@easterkomba2020
@easterkomba2020 11 ай бұрын
Apumzike kwa amani 😭😭😭
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 11 ай бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun....Allah.kwahurumawako tunakuomba muingize.peponi mzee wetu.umsamee alipoteleza
@ziadayasin711
@ziadayasin711 11 ай бұрын
Inna lillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe makosa yake amrahamu amlehemu amiina
@Zulfa-sc4bu
@Zulfa-sc4bu 11 ай бұрын
Innalillahi wainaa ilayhi Rrajiun, Allahumma thabbit hu bilqauli thaabit
@haoranyusuf6164
@haoranyusuf6164 11 ай бұрын
Innaa lillahi wainnaa ilaihi rajiun poleni sana allah awape subra nayeye allah amueke mahali pema peponi ameen
@huqfojaia232
@huqfojaia232 11 ай бұрын
Allah ampe kauli thabiti ampe daftari yake na mkono wa kulia
@MamuSalum-o4b
@MamuSalum-o4b 11 ай бұрын
Allah amgunguzie adhabu ya kabri
@tumusabeamina8077
@tumusabeamina8077 11 ай бұрын
Innalillahi wa Inna ilaih radjiuna pumuzika kwa amani
@zulachama1067
@zulachama1067 11 ай бұрын
Ulale pema peponi tulikupenda hila mungu kakupenda zaidi
@Ujumbewadini
@Ujumbewadini 11 ай бұрын
Una uhakika gani kama Mungu amempenda..... Ikiwa katubia juu dhula alizowafanyia wazanzibari na sidhani kama katbuia, maana hatujapata kusikia akiwaomba radhi juu ya mapenduzi ya uchanguzi wa 2015 aloshiriki Zanzibar.
@zulachama1067
@zulachama1067 11 ай бұрын
@@Ujumbewadini hiyo yote ni mipango ya mja wake waeza chukiwa duniani lkn mbinguni ukawa mtu mwema hakuna hajuae usiri huo hila twaombeana mema tu maovu tumwachie hayajuae.
@saumbliz8983
@saumbliz8983 11 ай бұрын
​@@Ujumbewadiniwe una nini lakini we mungu amaa mungu babako khaaa
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 11 ай бұрын
​​@@Ujumbewadinikufa na chuki zako
@hodhanabdullah6113
@hodhanabdullah6113 11 ай бұрын
May Allah Almighty grant him jannatul firdows,Amiin
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 11 ай бұрын
We hope so but don't think is going to easy for any politician
@shafiiabdurahman2020
@shafiiabdurahman2020 11 ай бұрын
فأحسن الله عزاءنا وعزاءكم جميعا وغفر لميتنا ورزقنا وإياكم الصبر والسلوان فأنا لله وانا إليه راجعون
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 ай бұрын
إنا لله و إنا إليه راجعون
@mariambarkat2251
@mariambarkat2251 11 ай бұрын
Taifa limeondokewa jamani na mtu maarufu na mpenzi wa watu, Allah akupe kauli thabit na kuondoshee adhabu ya kaburi na akuweke pema kwenye wema ya rabby 😢
@iddiramadhan
@iddiramadhan 11 ай бұрын
Allah waajaallah Amlaze mahala pema peponi Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@HalimaKaisi
@HalimaKaisi 11 ай бұрын
Jmn kifo kipo karibu jmn 😭😭😭
@makameismail5806
@makameismail5806 11 ай бұрын
Usalam wa mh raisi yupo makini sn
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 11 ай бұрын
Innalilah wainna ilaeh rajion Allah ampe kauli thabit
@gladyskalundu4611
@gladyskalundu4611 11 ай бұрын
May his spirit rest in internal peace
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 11 ай бұрын
Misiba ya kiislam imetulia sana na mambo huwa yanaend chap r.i.p mwiny
@josephlorri431
@josephlorri431 11 ай бұрын
Kufa ni kufa tu.. lakini kila imani wana njia zao za ibada kumwaga ndugu yao katika imani. Msiba ni sherehe.
@omarkasiran1378
@omarkasiran1378 11 ай бұрын
INALILAH WAINA ILAH RAJUUN
@happymakweta2000
@happymakweta2000 11 ай бұрын
Watu wanajua kutupumbaza duh mtu walishazika toka mwez wa pili tarehe za katikati hafu leo wanasema amekufa
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 11 ай бұрын
Pole .staafu kikwete kwa kuondokewa na mstaafu mwenzio na piya kama mzee kwako
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 11 ай бұрын
Daa wt wenye moyo na uchungu na nchi na waliopenda. Wnanchi tuishi vizur wote wanaondoka
@Muna-t7m
@Muna-t7m 11 ай бұрын
Alhwa.. Akupe. Kitabu.. Chako. Kwa.. Mkono.. Wa.. Kuliaa.. Mbele. Yako. Nyuma.. Yetu😢
@saumbliz8983
@saumbliz8983 11 ай бұрын
Innalilahi waina ilayhi rajiuun
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 11 ай бұрын
Naona hataa kishki amesalia maiti kwahiyoo imesaliwaa mara mbili au ?
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 11 ай бұрын
Innalillah wainnailaykh lajiun😢😢
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 11 ай бұрын
Hivi jamani ni kweli kuna uwezekano wa kuwa na pepo ya wanasiasa na viongozi wa hizi serikali zetu
@barakajohn5044
@barakajohn5044 11 ай бұрын
Kwanin
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 11 ай бұрын
@@barakajohn5044 kwa mfano tukiomba mungu awabadilishie maisha yao ya huko wanapokwenda kuwa maisha ya wale waliowapa dhamana ya kuwaongoza hapa duniani je unafikiri yatakuwa maisha peponi au
@BushiriAlly-d7f
@BushiriAlly-d7f 11 ай бұрын
Innalillah wainnairaih rajiun 😭😭😭😭
@HusseinOsward
@HusseinOsward 11 ай бұрын
Inna lirah wahnalirahi rajiuun
@MayungaMakeja
@MayungaMakeja 11 ай бұрын
Lala salama baba
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 11 ай бұрын
innalillah waina lillah rajiun
@ZaiduZaidu-f1j
@ZaiduZaidu-f1j 11 ай бұрын
Kuondokewa kuzito sana Jamani Yanatosha mauti kuwa Mawaidha
@AysherAlhady
@AysherAlhady 11 ай бұрын
Hakika
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 11 ай бұрын
Kbs i hl. Uione tu kwa jirani
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 11 ай бұрын
Umesema kweli rafiki inauma kweli 😭😭🙏🙏
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 11 ай бұрын
Mzee mwinyi amejaa murua na uungwana na ameishi navyo nakufa navyo hakua mtu wa vishindo na makeke
@MwanasityMunnah
@MwanasityMunnah 11 ай бұрын
😢😢😢😢
@Saripa234-u7g
@Saripa234-u7g 11 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@wardaayubu6146
@wardaayubu6146 11 ай бұрын
Innalilah wainnalihi lajiun,
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 11 ай бұрын
Innalillah wainallah rajiuuni
@GaivaDesigner
@GaivaDesigner 11 ай бұрын
😭😭😭😭😭
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
SIRI YA RAIS MWINYI KWENDA NGOME YA ACT WAZALENDO YAFICHUKA
36:37
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 9 М.
DUA NZITO YA KUMUOMBEA RAIS MAMA SAMIA NA KAULI NZITO YA MUFTI
26:00
arkas online tv
Рет қаралды 2,4 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН