Kazi nzuri sana raisi wetu mungu akulinde siku zote watanzania tuna kukubali sana kwa kazi yako ya kutafuta wawekezaji god bless you my mama
@DominickTemba Жыл бұрын
Kazi nzuri Mama Asante kwa kututafutia wawekezaji na uwekezaji.
@hamadamour5360 Жыл бұрын
Hongera mama mlezi wa watanzania.Allah akupe afya njema mama akulinde na kila shari akupenguvu uzidi kutuongoza watanzania.Aamiin
@hamadamour5360 Жыл бұрын
Mashallah mama Allah akupe akupe umri mrefu akulinde na maadui wa nje na ndani kila lilozito alifanye jepesi .Aamiin
@ChristinaKembe Жыл бұрын
Shikamoo mama yangu,mimi naomba kibali cha kuonana na wewe mama,nina mambo Jambo muhimu la kukushirikisha,nitashukuru sana kama notapata Neema hiyo mama.Asante mama.
@sanyengefundibatigeita Жыл бұрын
Mama unatufanyia mengi sisi watanzania japo hatujui TU Mimi sanyenge mwandu kiyumba nakuombea maono mazuri afya njema umetufanyia mengi Sana ila ombilangu Kwa mkoa wageita ninaomba stendi nzuri Kwa Mimi nakushukulu Sana japo natamani namimi darasa lasaba kuona nachangia kuijenga Tanzania mungu ibariki Tanzania
@laurentmwakalibule2865 Жыл бұрын
Neema ya Mungu ikaambatane na wewe popote utakapokanyaga miguu yako kwa kuwa hakika umeamua kulitumikia taifa letu kwa kicho hata sisi haitupi ugumu kuendelea kulisemea taifa na yale unayoyafanya kwani dhahiri umeamua kututumikia taifa kama rubani wetu Mungu azidi kukuzidisha na kukupa maono kwafaida yetu sisi watoto wako kwa ujumla wetu Tunakuombea sana Mama yetu.
@eziramuyungu88111 ай бұрын
Ndyoo , hayo ndyo tunapenda yaendelezwe, ila na sisi watz tuandaliwe kuingia kwenye hiyo mirad inayoletwa