Nimetokwa na machozi ya furaha, Asante Mungu kwaajili ya kijana , Asante Mungu kwaajili ya mama Samia
@Liliana-mc2su2 жыл бұрын
👏👏👏🥳🥳🥳🥳🙏🙏 ashukuriwe mungu aliye sukuma moyo wake kuokoa wat na kubadilisha maisha yake kabsaaaa👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@franktangeki93422 жыл бұрын
Mungu ana uwezo wa kumbadili mtu kwa jinsi aonavyo yeye na si binadamu apendavyo,huyo kijana hakuwahi kuwaza ata siku moja kama ataingia jeshini na kufanya kazi serikalini isitoshe ata elimu yake ni ya kawaida tu.Mtu haijui kesho yake leo unalala masikini kesho asubuhi unaamka tajiri.Miaka 1000 kwa Mungu ni siku moja,na siku moja kwa Mungu ni miaka 1000
@kaytwok23452 жыл бұрын
Hama kweli Mungu akikusudia kubariki haesabu hasara....watu 19 kaangamia kusudi apate kumuinua mtu mmoja....Mungu Hana hasara kwenye huamunzi wake🙏🙏🙏🙏
@lovenessmjaka97542 жыл бұрын
Hakika usemacho
@reginasigera42042 жыл бұрын
Kabisaa
@habibahabiba71282 жыл бұрын
Hakika, mimi mwenyewe nimeinuliwa kwa njia hiyo
@salomesonda14872 жыл бұрын
Tena hiyo ya kwenda Jeshini haitoshi,ushauri mwingine aingizwe kwenye kitabu cha kumbukumbu ya uokoaji kwa majanga makumbwa kama hayo Mh.Raisi
@mwanaikaomar86282 жыл бұрын
Sawsawa.
@jacquilinenoah9492 жыл бұрын
khabisa!
@tatuaamuuinyi96332 жыл бұрын
Hii imeshajiingiza kabisa
@stanleylameck52432 жыл бұрын
Kabisa aisee Hadi nmetoa machozi
@saramuna11732 жыл бұрын
Hakika nimelia sana
@godfreybalozi2 жыл бұрын
Hongera Mama yetu Raisi wetu kipenzi ndio maana nakupenda#Samiah❤️
@pendoleonard89742 жыл бұрын
Mama samia popote ulipo naomba upewe ulinzi zaidi na zaidi mama yetu huna baya na mtu Mungu akupe afya njema na akuzidishie miaka ya kuishi. Wanawake tunaweza hakika mama umefanya jambo jema nimelia kwa furaha. Kijana mpambanaji hongera kwa kuwaokoa ndugu zetu na wale waliotangulia mbele za haki Mungu awalaze mahali pema peponi. Mama samia wangu raisi wetu Mungu akubariki Sana mama
@jessegodson85752 жыл бұрын
Na wewe unataka cheo mpaka msifie😆😆😆😆 wataki nchi yenyewe inatetereka pesa hazionekani
@ellymaz21872 жыл бұрын
Rais wa Ufaransa alishafanya hivi miaka michache iliyopita kwa mhamiaji haramu aliyemuokoa mtoto ghorofani
@zulfahmchina27912 жыл бұрын
@@jessegodson8575 umenena kbsa😄😄
@jojoabrah99672 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah yaarab mbariq kijana wetu kwenye maisha yake yote amiin
@browndebora21952 жыл бұрын
Namtafakari Mungu machozi yananitoka.hongera Sana kijana Mungu azidi kukubariki
@mohammedlipindula54152 жыл бұрын
Hongera sana mama Samia rais wetu ambae unaejua umuhimu na uthamani wamtu coz vijana wengi waponatalenti nyingi sana ispokua niubinafsi tu wabaadhi yaviongozi ulowakabidhi majukumu pale tu wanapowafanyia watoto wamasikini roho mbaya ktk ajira n.k
Tunashukuru sana mama yetu samia, mwenyezi mungu akusimamie kwenye kazi yako
@nairatomar93892 жыл бұрын
Jmn nashindwa hata chakuelezea nabaki kutoa machozi tu😭😭 hongera sn kijana majaaliwa🤝🏼 hakika hawajakosea wazazi wako kukuita majaaliwa kweli haya nimajaaliwa hongera sn mdogo wngu👏🏼👏🏼👏🏼 hakika ww nijembe💪🏼💪🏼💪🏼
@misst74722 жыл бұрын
Mungu wa Sabato Asifiwe.Huyo kijana Alindwe daima na Adonai.
@susanwarari49692 жыл бұрын
Aingizwe ndani ya the guiness book of record 🙋🙋🙋🙋🙋🙋
@jacklinemalau3232 жыл бұрын
Habari za kuanika dagaa zimeishia jana mungu aendelee kumlinda huyu kaka 🙏
@publicrelations46002 жыл бұрын
Hahahah haaniki dagaa tena
@anthonymgina38932 жыл бұрын
Aamin
@hrehemaandreson19702 жыл бұрын
Hahaha jm
@charlesvicent1132 жыл бұрын
Kesho Yako ipo tuendelee kumuamini mungu
@reginasigera42042 жыл бұрын
Kwakwelii dagaa bye bye
@linaosaloh60812 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana👏👏👏
@yasinimtali55572 жыл бұрын
Jmn Mungu ailaze roho yamalehem mahari peponi pema
@magaritanzania65402 жыл бұрын
Kumbe ajira zipo wazee😇😇😇😇
@naidiidris69942 жыл бұрын
One good turn deserves another 👏🏽. Hongera sana kijana wetu.
@habibalugoya17372 жыл бұрын
Tunashukuru sana kumweka kazini uyo bro ahsante serikali ya jamhuli
@leahndungu85722 жыл бұрын
That's very touching and encouraging May God bless HE.president Samia suluhu s be
@hailinhelen46752 жыл бұрын
Huyu kijana anastahil kila kheri na faraja ktkt maisha yake ama kwa kutegemea tu jeshi la uokozi lije liokowe asinge toka mtu kijana kafanye kazi usiwe kawa wao kuwa mkombozi wa raia wema wasio na hatia mungu akubariki sana moyo uliona nao weye hakupewa kila mtu ulijitowa muhanga kwa roho za watu
@mamachris68112 жыл бұрын
Kila jambo hufanyika kwa makusudi ya Mungu MUNGU akujaalie Majaliwa kama jina lako na Waziri Mkuu pia 👍👏👏👏👏👏
@edinaboss18352 жыл бұрын
Wakat wa mungu umewadia ongera sana kaka kwa moyo wa ushujaa mungu akutangulie🙏🤝🤝
@juliethlukyaa19952 жыл бұрын
Pole sana ndgu zangu Wana bukoba. Na nchi yetu kwa ujumla.
@deopamedia2 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa na watanzania kwa ujumla
@زوهرها2 жыл бұрын
Hakika Mungu haghafiliki asante sana Rai's Samia kwa kuliona hilo maana kijana alichokifanya kuokoa roho 23ni muujiza Mungu atamlipa kwa kuwa na Iman na huruma maana watu wengine wakiona ajali wanawaibia watu na kuwaua hongera kijana jasiri
@hamidaala28322 жыл бұрын
TAKBIRI.ALLAHU.AKBARU
@rzekiomari23332 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu bro
@wendomlahagwaolema60632 жыл бұрын
Tanzania nchi nzuri sana. Unafanya kitu unatambulika. Mungu awabariki Rais Samia na Mh. Kassim. Nawaza tu ingekuwa hapa Uganda sidhani kama m7 angeshtuka walaaaa
@lusajomwakalinga58132 жыл бұрын
Zawadi ya roho nzuri , Mungu akubariki Raisi wetu kijana katugusa wengi alifanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi , sehemu sahihi. Abarikiwe Sana.
@josephatnombo66772 жыл бұрын
Ahsante mama yetu MH SAMIA SULUHU HASSAN, namtakia kila la kheri kijana mwenzutu, awe na moyo wa ujasiri na kujitolea daima!
@thanimosi89062 жыл бұрын
Hongera Mh Rais Kwa kuzidi kumtia moyo kijana shujaa
@lydiaalex51372 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka kwa moyo wako wa kujitolea na kuwajali wengine na kujiona kuwa ww si chochote
@elizasizya42852 жыл бұрын
Mama umefanya vizul kumpa uyo kijana ajila nimekupenda mama etu ❤️
@constanciashangali75232 жыл бұрын
Well-done kijana..mpaka Rais amekukubali..umeula kaka..hongera sana
@swaumironlady36452 жыл бұрын
Inshaallah mungu ampe uhai mrefu kijana huyo aweze kuwa mmoja wa waokoaji bora na wenye moyo wakujar
@irenemcha25692 жыл бұрын
Safi sana kwa kumpa kaz huyo kijana anasitaili kiukweli🙏
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Umetenda na mungu amekutendea Inshallah kher iwe nawe
@mkombozinaibala60472 жыл бұрын
Sasa huo ndiyo uzalendo💪🇹🇿nawaona nikiwa Nairobi🇰🇪.
@ibrahimsuleyman94652 жыл бұрын
Nilijua tu kama lazima apate ajira serikalini, ana moyo wa ajabu sana kijana mwenzetu, kubwa zaidi Allah akuongoze ktk njia sahihi na akuingize peponi! Aamin!!
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Amen amen amen wakati wa MUNGU ni wakat sahihi kabisa 😭😭😭😭😭😭congratulations my brother
@mwalimmakame70402 жыл бұрын
Hongera mama Samia, hongera kijana wetu na hongera Waziri mkuu kwa kukesha msibani na kuacha kila kitu huu ndio utu na ubinaadamu, hongereni sana
@hamudshabani78012 жыл бұрын
Pamoja na hilo lakn bado serikali haiko serious kwenye issue ya uokoaji
@doreenadego16832 жыл бұрын
That's why I love Tanzania. I am so so happy for this gentleman. God bless you President Suluhu.
@caromakhanu5622 жыл бұрын
Congratulations may almighty God grant you with blessings
@joycekalago5322 жыл бұрын
Safi kabisa mumpike mpaka aive awe mjeda originally big up sana kwa dogo
@lenovomobil60332 жыл бұрын
Pole mama samia na Tanzania our neighborhood pole kwa familia zote walipoteza wapedwa wao God is in control
@jacintamuinde34262 жыл бұрын
Pole sana Kwa ndugu zetu watanzania Kwa kuwapoteza wapendwa wenu Mungu awajalie nehema wakati huu mgumu,tunawakubuka Kwa Sala.
@khadijanjama87212 жыл бұрын
Mungu amjaalie kila la kher
@rosemery57512 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki sana akurinde kijana wetu Asante sana kwakazi kubwa uliyo ifanya 🙏🙏🙏🙏
@jakrina2712 жыл бұрын
Hongela kwa ujaxili Mungu awe nawe jexhin👩🍳
@adelakessy41732 жыл бұрын
Safi sana Mama yetu, Mungu akutunze mama yetu tunaimani na wewe🙏
@namaniwandesh41682 жыл бұрын
That is Soo encouraging, may God bless your president for such a good gesture.
@aminaa32842 жыл бұрын
Wawoo wakati wamungu ugifika umefika maashallah 😍
@khalfanmuzammil75972 жыл бұрын
Kweli kijana huy anastahiki hilo maan niwachache wa kufanya hivy
@paschaziafesto32082 жыл бұрын
Ikawe heri kwake mwenyezi mungu amtangulie
@bilalisalim3602 жыл бұрын
Congratulations Kwa kijana na Mungu awake walioaga mahali pema
@stellasteven32082 жыл бұрын
Dah Mungu ambariki sana mh.Rais kiukweli shujaa huyu anastahili kuwa miongoni mwa watu muhimu ktk Taifa letu
Kwa juhudi pia dogo kafanya kazi kubwa kabisa anastahili hiyo nafasi
@salimali47882 жыл бұрын
Allah anasema yeye ndiye anaemnyanyua darja amtakae na ndie anaemshusha darja amtakae, na Kila darja unayonyanyuliwa huwa Kuna sababu, sababu ya huyo kijana ni hiyo ajali kama sio hiyo asingejulikana na waziri mkuu Wala rais
@stanastana31992 жыл бұрын
@@salimali4788 Amin,kunywa pepsi hapo kwa mchaga naja kulipa
@joycetimothy68442 жыл бұрын
Kijan huyo safiiii mungu ampe hivo hivo ujasili
@WatagwainMan2 жыл бұрын
Daaah Hii Nimeipenda Sana, Nilidhani Serikali Itamuacha Hivi Hivi Kwa Kumpa Hiyo Miliono Tu, Hapo Nimetoa Heko Kwa Serikali, Na Nimefuta Kila Lawama niliyoitupia Serikali Kuhusu Kumuangalia Kwa Jicho Jengine Huyo Kijala..
@maryambaby71062 жыл бұрын
Maasha allah congratulation majaliwa💪🏾💖
@gastonealinda74942 жыл бұрын
Ahsante sana mama yetu! Ndio maana tunakupenda mama yetu! Tangu uingie Ikulu, Uongoz wakoi umekuwa wa hekima sana!!! Daima uimara wa fikra za mtu huonekana wakati wa kipindi kigumu
@amlanabdalah85932 жыл бұрын
Laisi wetu kafanya vzr sana hogela sana mama yetu kamaamuzi hayo
@jumajuma74132 жыл бұрын
Hungera mama mungo akure Marshall marefu amin mungu ibariki tanzania
@priscajohn60902 жыл бұрын
Asante mama kwa kutambua umuhim wa kijana huyu' niwachache sn wenye moyo huo!wengine wangekuwa wanawaza kuiba tu
@faithjonathan38452 жыл бұрын
💪💪💪💪safi sana. Kijana ametambuliwa vema.
@ustawiwetu2 жыл бұрын
Mpeni na hata milioni 50 kama Shukrani
@joycerichard92742 жыл бұрын
Hongera sana rais
@saliminyusuph61222 жыл бұрын
Alijitoa muhanga maana kwenye ajali ya ndege Kuna hatari huwa inatokea ya mlipuko. Ila Mwenyezi Mungu alisaidia Sana Hilo la ndege kuwaka alikuweza tokea. Tumshukuru Sana Mwenyezi Mungu 🇹🇿🙏
@karasuyazidi85472 жыл бұрын
Ndege haiwezi kulipuka ikiwa ndani ya maji labda litegwe bomu
@Salafina12 жыл бұрын
God bless you boy and is your time to shine
@marthakasiki40222 жыл бұрын
Jamanii nimefurahi mpaka nimelia Mungu hana mshauri kabisa akiamua kukuinua ni mara moja tu bila kujali chochote, yote yametokea ni kwasababu huonekane kijana barikiwa sana.. poleni wafiwa na mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zetu tuliwapenda ila mungu amewapenda zaidi.
@dainangei66082 жыл бұрын
Mimi pia
@blandinakantalamba22092 жыл бұрын
Saaf Sana ametendewa haki ♥️
@happyfeet83622 жыл бұрын
That’s encouraging to the youth 🙏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@hamidaala28322 жыл бұрын
MashaAllah
@verynicemphuru69812 жыл бұрын
👏👏👏👏 Mama Samia tunashukuru mnooo.. kuweka historia mpya kwa kijana wetu Kwa moyo wakujitolea na ujasiri.tunakupenda mnooo mdogoo wetu jasiri
@nanaleetz2 жыл бұрын
Afanye hvyo kwa Wavuvi wote mheshimiwa Rais itapendeza zaidi maaana uokoaji ni zero
@gadsonndato29412 жыл бұрын
Hapo sawa 👏👏👏👏👏👏
@neemamkemae25802 жыл бұрын
Mashallah mkaka mzurii
@ibrahimsuleyman94652 жыл бұрын
Ushaanza kutoa ya moyoni kwa afisa majaliwa!!
@fathimamct2322 жыл бұрын
Nimefurahi sana Tena sana niliomba kweli apelekwe DMI Ili achukuliwe na Jeshi la Nevi maombi yametakabaliwa Shukran mama mlezi mama mpemzi wamwatu wa aina yote hubagui huchagui atakae kuzika humjui
@masikasaidi88052 жыл бұрын
Mungu awape subra ,wote wafiwa na Tanzania kwa ujumla kijana haki yake kupewa zaid ya hapo tuwe na wigo km yeye linapotokea jambo
@shimmylukoo2 жыл бұрын
nawapenda mama samia na majaliwa mungu awaongoze vyema amn
hata mimi nikikuwa nasubiria hiyo maamuzi safi sana mama
@tiphabashiry17972 жыл бұрын
Mpaka nalia dah ila Mungu akiamua kukuinua dah kashapasi huyo yan hiyo nay ni sabb ya yy kuinuliwa hujui maombi yake dah hongera mdogo angu Mungu akuinue zaidi kwa kuokoa watu
@mwajumamagambo1032 жыл бұрын
ALLAH akulinde na hasadi za viumbe kijana kweli una roha ya kiisilamu
@ashangonyani79892 жыл бұрын
Asante mungu kwa huyu kijana.
@azizamohamed76922 жыл бұрын
Nimefurahi Sana atahuyo kazi haitoshi kweli aliutoa uhai wake kwajili ya roho zawatu asiowajuwa inahitaji roho na ujasiri awekwe kwenye kitabu Cha historia
@daisychepz31842 жыл бұрын
God's time is the best 💜
@laureenakinyi58292 жыл бұрын
The comment I was looking for
@noahmauzo5722 жыл бұрын
Pole kwa wafiwa wote
@farajaishebabi80892 жыл бұрын
MUNGU akubarki sana kaka una ujacr na pia una roho nzur,MUNGU akutunze siku zote hakika Jana ulikuwa tayari ufe Kwa ajili ya watanzania wenzio
@lovenessmjaka97542 жыл бұрын
Ni watu wachche Sana wenye moyo Kama wake
@christianbaba99712 жыл бұрын
Anastahili Heshima kubwa sana. Tena Heshima ya Juuu sana Huyo ni Zaidi.............
@williammwalimu84162 жыл бұрын
Hongera sana Mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan. Tafsiri rahisi sana ya kiongozi wa watu. Mungu akubariki Kwa kutambua mchango wa kijana huyu kwa vitendo.
@nurdininanjota40562 жыл бұрын
Ongera kijana. poleni ndugu na familia za wafiwa
@piusrafael37092 жыл бұрын
Pole sana Samia tunaomba utoe mikopo Kwa watoto wetu sisi ni wakulima tuko chin ya miguu yako
@mohamedmnjeja61822 жыл бұрын
Hongera sana,,,🔥
@zuwenaramadha57412 жыл бұрын
Maaaashaaaaa allah
@tamimakhalfanikhani84032 жыл бұрын
Alhamdulillah mashaallah
@ednamasinde97832 жыл бұрын
Ama kwel mungu akakutetee katka Maisha yako yote kaka yangu umeonyesha ushujaa ubarikiwe sana
@alizaharan14712 жыл бұрын
Safi sana kwa kumjali kijana MUNGU AMSIMAMIE
@khalidwaziri1292 жыл бұрын
Dua
@yussufmohamed71132 жыл бұрын
Safi 🙌
@aaysays3252 жыл бұрын
Hap kunakitu nmejifunz kijan mungu aendelee kukulinda
@halimasul60182 жыл бұрын
Daaah jmni nimefurah xnaah yaan siku yakutanikiwa nimojaa tuuh mungu akubark sanah