Hongera sn mama Samia Lakini utendaji wakz huku chin hasa kwenye mamlaka husikaa zifanyie patroo ili uwooone madudu
@joscamwoshezi29867 күн бұрын
Hongera sana Tanzania, hongera Rais wetu kwa utumishi uliyo tukuka
@SAMSONMADUNDA-mh6yn8 күн бұрын
R.i.p jpm
@Nadir_Abdullah7 күн бұрын
Kazi iendle mama❤
@DafiMohamed-dz8xk8 күн бұрын
Hapo benki ya dunia haitakiwi ni manyang'au hao mmekosea..kwa benki ya Africa haina tatizo lkn hiyo ya dunia haifai kabisa..Africa lazima tujitegemee wenyewe bila hao magharibi
@fatumatandika62208 күн бұрын
Safi sana
@dr.mukukihante767310 күн бұрын
Sifa kubwa k wa Tanzania kwa hatua hii ya Nishati. Pongezi kwa Mhe Rais Ma Samia
@hailinhelen46759 күн бұрын
good job ❤
@FortiMtolela-xl2nb10 күн бұрын
🎉
@annambele7899 күн бұрын
Wakati umefika wa kuwapongeza Watanzania kwa utulivu wao na kuwezesha viongozi kuendelea kufanya kazi bila vikwazo.
@maria_mutondioriginal59 күн бұрын
Ila huku kwetu unakatika sana jamani 😢
@AbasiMadege-ot2of8 күн бұрын
Woga tu sifa kila siku mama unamaana we hufanyi kazi acheni uboya
@patriciamuganda44989 күн бұрын
Charity begins at home. Oh Lord God help us!!!
@patriciamuganda44989 күн бұрын
I thought Dodoma was the capital city. Its about time some of the Summits take place at the Capital.
@joscamwoshezi29867 күн бұрын
Yani binadamu kweli ni shida.Tunapinga hata kinachoonekana. Umeme hadi vijijini kunaasiye ona. Wakati mwingine palipo na jema tusifie
@JamesMalale-io1qj9 күн бұрын
Benk ya dunia wanajambolao wamekuja kuchota mali zanchi
@OmarRashid-k1j8 күн бұрын
Bei zaumeme nikubwa Sana hawezi kununua msumbiji Malawi Zambia bei ni rafiki hata makande unapikiya hapa tz ni maneno tu wanapiga debe tu iliwakope na benki yadunia na ya aflika punguzeni bei ya umeme punguzeni polojo wageni wanafaidisha matajili walala Hoi tunaumia tu
@MARWACHOGO8 күн бұрын
Musomi kutoka AFRIKA hasa TANZANIA.Mama Samia Umeme wa Bwawa la Nyerere inatakiwa bei za umeme zishuke kila MTANZANIA apike ugali mkubwa kama wa mkoa wa MARA kwa sh.500 tu huohuo kuchemsha maji ya kuoga,Redio,Tv utumike Kwa MWEZI.Usiwachekee VIGOGO wanafanya maisha kuwa MAGUMU sana.
@MARWACHOGO8 күн бұрын
Achana na Benki ya Dunia ni MAJAMBAZI Kwa uchumi wa AFRIKA.
Wewe usitudanganye Leo daa hatuna kazi mama ntilie bodaboda atampakiya Nani hivi mjomba Hawa jamaa wanakuja gengeni watz bwana uchawa umezidi
@fransicmushenyera93029 күн бұрын
R.I.P.JPM
@murattywamuratty97789 күн бұрын
Amekufa tena au?
@murattywamuratty97789 күн бұрын
Mtu hafi mafa mbili uyoo ndo hayupo ss tunagalie yambelee
@amosiabdulallh79658 күн бұрын
Pongeza Baba yako kwaza
@bashakhamis55639 күн бұрын
Mkuu naomba ufafanue mwana nchi kama boda boda na mama lishe ataidikaje na huo ugeni au wageni watakuja gengeni Ama wata panda bodabodaa. Kiujumla najuwa kuwa ni heshima Kubwa kwa nchi ya Tanzania. 😂