Hawez kuja kwenye upumbavu, yule anajitambua sana..😢
@JirhleyКүн бұрын
Hawezi kuwa na imani kwa watanzania hali ya kwamba walomsaliti Magufuli ndo haohao watakaompokea .
@SaleheNgoliКүн бұрын
Mfufue
@MahdouMombaКүн бұрын
Kwakua tuu Mkutano huu unafadhılıwa na Bank ya Dunıa, Capt. Ibrahim hawezi kuja sababu hakubaliani na protocals za IMF wala World Bank, aminini nakwambieni hawezi kuja
@IssaHamisi-s5mКүн бұрын
Umepiga kwenye mshono😢
@Emmanuel-zt3sc21 сағат бұрын
Ukweli mtupu
@JustineWangi-j2tКүн бұрын
Sio kisiwa cha amani Tanzania ni kisiwa cha uvumilivu hamna amani apa.
@ibrahimsukwa4637Күн бұрын
uvumilivu na uoga
@HurumaEllfuraКүн бұрын
Kabisa
@abdalahngozi5455Күн бұрын
😂😂😂
@monicasengamarwaКүн бұрын
Mungu akulinde na kukutunza Rais Captain Ibrahim Traore..
@JosephMwandola-n5eКүн бұрын
Mwamba karibu Tanzania bahati mbaya mugufuli mwamba kama ww hatunae tena Tutaendelea kumkumbuka rais wetu hongera sana Ibrahim traore kwajinsi unavyo pambana
@kwisa4899Күн бұрын
This guy is more smart than all African president
@linusdavis9072Күн бұрын
Sure man
@bahatijuma8233Күн бұрын
Huyo hawez kuja kupanga mipango ya kuzima umeme nakuuza majenereta,huyu mwamba anakaz nyingi za kufanya labda kama Magufuri angekuepo jamaa angekuja, sasa saiv aje vipi wakati adui zake sisi n rafiki zetu!!😂
@agnecymturo573Күн бұрын
Nilikuwa na wasiwasi kama atakuja na hajaja kweli ni vile tu hapendi ubabaishaji, mipango isotekelezwa kwake ni sumu.... big up treore role model wa maraisi kumuiga hawataki ila kukopa tu
@OmarySalibokoКүн бұрын
Mimi nampenda ananikumbusha kwa magufuli
@williammwamalanga1065Күн бұрын
Hongera sana mtangazaji wa Nyikani tv
@DavidJohn-d7iКүн бұрын
Mimi so kijana ila traole ni mwamba big up traole.
@monicasengamarwaКүн бұрын
Karibu Tanzania Mwamba Captain Ibrahim Traore.
@ErickHeneriКүн бұрын
Anahakili sana mwamba huyu tz😂 hawezi kuja 😂
@siphifahashimu9723Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ TRAORE❤❤❤❤❤
@YusuphRajabu-hz3pvКүн бұрын
Hawezi kuja tanzania maana mambo anayo yakaataa yakitumwa ndio yanayo endelea tanzania nayeye hayataki
@MzeewaslowHusseinAndrewКүн бұрын
Watanzania wenzangu mnatakiwa muamke usingizini kiongozi kama Ibrahim Traore hawezi kuacha majukumu ya Nchi yake na kuja kwenye sherehe za barthirday.
@KisagasiLuyangiКүн бұрын
Angekuwepo na magufuli, Africa ingekua moto aisee
@lugelosanga5798Күн бұрын
Haweziiii kuja kwenye makanjanja wa bongo
@husseinsadala8747Күн бұрын
Haji huyo ana akili nyingi maana nyang'au wao ambaye mwamba hawakubali wamemualika
@Kusag-i9zКүн бұрын
Huyo ni raisi wa Africa
@harithimahmoud1577Күн бұрын
Dah natamani km niwepo apo dar km mwamba anakuja kweli: ila jamaa anaogopaogoba Tanzania haiaminiki kiviiile bado ni taifa la kolni mamboleo'
@dennisezakiel3380Күн бұрын
daah nilikuwa namsubilia kwa hamu sana
@YasiniHasani-j6x17 сағат бұрын
Rais samia Soma comment halafu ujitathmini. Unamfanya mume wako aonekane mwanamme alie ishi na mwanamke wa namna ya kipekee sana
@muzafarsharif9465Күн бұрын
Nilisema hawezi kuja but kuna fala mmoja akabisha ,,, mulidhuru magufuli bila hata huruma itakuwa traore
@EsterPaul-jt5imКүн бұрын
Kwa akili yangu inavyonituma haji atatuma mtu wakuwakilisha yupo kama magufuri safi kaka Ibrahim traore
@magrethmosha4272Күн бұрын
IBRAHIM TRAORE NJOO JAMANI USIACHE KUJA TUNAKUTAMANI SANA.
@OnestiMuzyenge-j5tКүн бұрын
Kwanini mkutano huo wahudhulie wanyang'au wa nje ambao si waafrica E Mungu tusaidie
@LangoiMollel-p1pКүн бұрын
Siyo kwamba anatembea na pisto Kwa sababu anawasiwasi ila anatembea na pisto Kwa sababu yeye ni mwanajeshi na wanajeshi wa nchi zote sizani kwamba wanatembea bila silaha
@ellyitete938Күн бұрын
Anapendwa na watu wengi ssns afrika mwamba huyo
@ROZITHOMAS-y4qКүн бұрын
Dah haji tena jamani
@PasserbyMan-ju8kyКүн бұрын
Tunataka kuonyesha Dunia kua tunataka viongozi kama traore anae jali watu wake .
@saidiomar6642Күн бұрын
Mpaka marekani wamealikwa na raisi fisadi zaidi africa tinubu yupo kwaio hawezi kuja
@YusuphIddy-h2dКүн бұрын
Hawezikuja kwenyeufisadi
@MahdouMombaКүн бұрын
Hawezi kuja 💯/💯
@MahdouMombaКүн бұрын
Kwakua tuu Mkutano huu unafadhılıwa na Bank ya Dunıa, Capt. Ibrahim hawezi kuja sababu hakubaliani na protocals za IMF wala World Bank, aminini nakwambieni hawezi kuja
@meshacknyandongo577Күн бұрын
Kisiwa cha amani wapi watanzanina sisi ni waoga tu na viongozi wetu wanatujua kwahio wanatuburuza
@yossobenayunkn-d2gКүн бұрын
MI NAMUOMBA ASIJE AMUAGIZE WAZILI WAKE MKUU TU BASI AWE MUAKILISHI WAKE ,,
@DenisMukandaraКүн бұрын
Angalia kichwa cha habari na hayo anayoyasema kama vinaendana. Huna maana
@IssaHamisi-s5mКүн бұрын
Hawezi kuja kishajua kinachoendelea
@hamidamussa593Күн бұрын
Hawezi kuja bwana tusidanganyane😢
@edgercyprian964Күн бұрын
Mmmmh mie nilijua kaja kumbe unatoa story tu
@mwanahamisihatibu590Күн бұрын
Watanzania mnapenda kuwasifia watu wa nje kwani sisi hatuna wanajeshi hata ss tuna askari imara zaidi yake
@ماريافيدالКүн бұрын
Basi we huna taarifa za Traolé .
@thirdsigntzofficialКүн бұрын
Endeleeni kumsibiri tu!
@johnmunguawepeujasirikejo3853Күн бұрын
Wakati unahisi uko salama ndio hatari zaidi imekuzunguka!
@CloudMashaka-r7jКүн бұрын
Akija bongo anatakiwa aje na mapomu na asikubali kusalimiana na mtu na asile hotels afanye kununua vya kam maindi ya kuchoma
@FaustineSabinianКүн бұрын
Akiamungu hawezi kuja kwenye upumbavu huu yeye anajitambua kwanza awezi kuja kutokana na uwepo wa raisi wa benk ha dunia huku tz coz yeye alikataa kuchukua mkopo ktoka benk ya dunia kwo wana bifu alafu yeye hawezi kuja kwenye nchi ambayo kuna wanawake wanachomele matako yeye anajitambua
@SalumMakalaniКүн бұрын
Hawezi Kuja kwani huenda sio lazima Bali uwakilishi unatosha pia
@EnockiAndreaКүн бұрын
Ibrahim traole tunamuomba aje TU
@rogerabdallah439Күн бұрын
Tatizo Tanzania bado vibalaka wawazungu
@rashidmalilo3657Күн бұрын
Mtangazaji siokumuona tuu nakumpa hongera kwa kazi anayo fanya huyo ni mwanamapinduzi nanimwana wa africa anauchungu na Africa yake hiyo ndio ham walionayo huyo ni magufuli wa pIli
@JamalBwengeКүн бұрын
Traore😮
@josephmwabange9633Күн бұрын
Huyo ni mwamba , Kombati na Pistol maana yake sio hakuna amani bali ni yeye mwanajeshi , hiyo ni uniform kwa mwanajeshi yeyote , tunamuhitaji huyu mwamba na mapokezi ya kutosha 😂😂😂
@geofreykashililika9704Күн бұрын
Bora warud wt lkn Mwamba aje Tz,,,,
@SAVETHEGENERATIONFAUNDATIONКүн бұрын
UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA ACHENI MIZAHA MINGI msimu mpya wa saba
@IddyNchama16 сағат бұрын
swali jamaa anakuja au hajaja mbona umezunguka zunguka tu
@israelmwalukasa7295Күн бұрын
Nimependa hapo kwenye nishati safi au ni gesi. Huo ndiyo ujasiri na udadisi unaotafuta sababu za kweli.
@suleimankanjara7810Күн бұрын
Marais wengine wa nchi za Kiafrika wanapashwa kuiga kwake Tanzania inclusive
@MahdouMombaКүн бұрын
Kwakua tuu Mkutano huu unafadhılıwa na Bank ya Dunıa, Capt. Ibrahim hawezi kuja sababu hakubaliani na protocals za IMF wala World Bank, aminini nakwambieni hawezi kuja
@abdalahngozi5455Күн бұрын
Mwenyewe ningeshangaa ka angekuja baada ya kuona tu neno world Bank na rock feller
@deniccgabriel6153Күн бұрын
Awezi kuja kwa upuuzi na maonyesho yeye kama Mungu alimuongoza kuhusu nchi yke na imani hawezi kuja ktk upuuzi wowote😂😂
@UWAZAUWAZAКүн бұрын
Kashafika Dar wewe
@MoodtzJumaКүн бұрын
Unaushihidi gani
@farijala1Күн бұрын
Strong people?
@VeronicaMtitaКүн бұрын
Anajielawa sana hiyo mwamba hawezi kuja Tz
@FORTUNATHAKOKULYENGYAКүн бұрын
iyo clip.hapo ni video ya ugeni aliokalibishwa ghana kushiri kuapishwa rais wa ghana
@MussaIbrahim-p2sКүн бұрын
Kafika mbona atumsikii kaka
@FLORAHANSIBERTY14 сағат бұрын
Sio nisati
@amosmahona433Күн бұрын
Mwamba Ibrahim TRaore
@BonifaceNyamahanga-f6hКүн бұрын
Daaaaaa
@AbdulAbdulrahman-u7nКүн бұрын
Safisana asije haiwezekani kuja hapa kwa sababu sisi hatueleweki tupo upande gani kwa watu wasio jitambua waizi ndio marafiki zetu wakoloni ndio marafiki zetu
@SaidAlmas-gg8jqКүн бұрын
Bara asivyokuja
@HarunaIsmaili-tf9coКүн бұрын
Yuko wapi
@WilliamMwakapalaКүн бұрын
Mwamba namkubari kinyama. Huyu ni magufuri aliyeko bukina faso
@OthmanRajab-e9lКүн бұрын
Kwanza hiyo nchi sio kisiwa ni bara visiwani ni Zanzibar tu
@MarcoMakenyaКүн бұрын
Mbona traore haji jamani
@josephatmakarangaКүн бұрын
Maneno meengi hakuna point
@lusajoholland7072Күн бұрын
Huyu hawezi kuja hapa,.... Kuna Rais wa benki ya Dunia na watu wengine wabaguzi na wanyonyaji tu...
@Muhammedramadhan-xl6ygКүн бұрын
Hawezi kuja mniuwee
@WachunyaTebekaКүн бұрын
Hakuna Amani.
@godwinmandary5116Күн бұрын
Una akili ndogo sana najilaumu kukusikiliza
@janiafaomaa5120Күн бұрын
WEWE UWE UNAJUWA KUOGEA IBRAHIM TRAORE SIO RAIS WA TANZANIA NI RAIS WA BUKINA FASO OGEA KUHUSU RAIS WAKO WANCHI ANAVYO FANYA NDUGUZAGU JARIBUNI KUWACHA UJIGA ULIO WAJA KICHWANI NISAWA MWAFRICA MWEZETU
@sharifnassor4417Күн бұрын
Yupo wapi? Ibrahim
@isaackm3620Күн бұрын
Sijui kwa nini nimetembelea channel hii ya watu wasio na upeo wa kuchanganua masuala kisayansi
@romualdmukandara9544Күн бұрын
KUMBE mtangazaji HUNA ishuu??? Acha hizooo usitusumbue ....Tz tuna mtaka MTU kama huyuuu TENA WAKATI huuu
@linusdavis9072Күн бұрын
Cleaver boy be weare of snichers
@dennisezakiel3380Күн бұрын
Tanzania hakuna Amani hata kidogo , amani ya maneno tu
@ObadiahLicksonКүн бұрын
Acheni ujinga kwani kuwa na pistol ndo kuondoa amani jifunzeni talma yenu vizur
@RobatMuhileКүн бұрын
Mbonaniwakawaida sana usimukuze
@DavidRamos-pw5nzКүн бұрын
Sawa tunamsubili
@maulidimpili698Күн бұрын
Ww unaenda Kwenye ushabiki akili yako ni ndogo na kama utakuwa mtangazaji wa haina hii utapunguza watu mkaa una haribu mazingira hiyo miti ya kuandaa mkaa inaharibiwa sana na miti inaisha kulingana na mahitaji njoo sehem wanayoandaa mkaa ndo utaelewa
@innocentcleophace8583Күн бұрын
Tunamtaka yuko wapii
@williammwamalanga1065Күн бұрын
UTAFITI UNAONYESHA KUWA RAIS WA NIGERIA NI RAFIKI WA UFARASA HIVYO IBRAHIM HAWEZI KUFIKA TANZANIA MAHSLI PALIPO NA WAFARANSA wakoloni
Nikurekebishe kidogo hapo kwenye gesi, gesi imewekewa harufu ili ukiwa inavuja iwe virahikujua leakage mapema ile kuepusha matatizo ya mlipuko, pia ni nishati safi kwa sababu inakiwango kidogo cha uchafuzi wa mazingira.
@JafaryTimamu-d6mКүн бұрын
Awezi kuja mkutano wa wanafki
@MsatiOneКүн бұрын
Hahahaha kashatua mda tuuu ww subiri utamuona wakati wa kuondoka