RAIS WA CHUO AZUIA WENZIE WASIINGIE CHUONI, “HATUMUELEWI SISI SIO WATOTO”

  Рет қаралды 96,838

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 529
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
huyu jamaa wakwanza kuhojiwa ana dii mbili maelezo yake yamenyooka sana baba yake bila shaka anafulah sana kuona kujana wake
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Huyo kijana wa kwanza angechaguliwa kuwa Raisi anajielewa na kuchanbua hoja vizuri na kwa kutulia
@SadockSinkala
@SadockSinkala 2 ай бұрын
Uko vizuri kiongozi utaratibu huo ni nzuri Mungu akutetee nakukulinda watoto wetu wanaharibika maadili kwakukosa usimamizi wa aina yako
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 3 ай бұрын
Raisi Yuko sawa Hata Mwenyezi Mungu Anataka watu wavae Mavazi ya kujistiri ,Ktk hili Hata Mungu amefurahia Sana Hongera kijana unadhawabu yako mbinguni maana watu wengi wataikosa mbingu kwa kwa ajili ya Mavazi
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 ай бұрын
Hilo la mwenyezi Mungu anataka watu wavae mavazi ya kujisitiri ni uwongo wa shetani kwa sababu kama ni kweli Mungu angetupa nguo tukiwa ndani ya tumbo la mama. Kwa hiyo msilete upumbavu wa dini ya kiislamu ndani ya shule.Pelekeni msikitini hizo sheria
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 3 ай бұрын
Ubarikiwe rais wa wanafunzi👏👍 uko vizui sio chuo cha madanga ni chuo cha wataalamu.
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 3 ай бұрын
Karib kwenye ajira mtaan
@baddiekid
@baddiekid 3 ай бұрын
😂😂😂
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 ай бұрын
😂😂😂
@mariamkaniki-if1iw
@mariamkaniki-if1iw 3 ай бұрын
Ehh mungu kumbe kunampak vyuo vya mada*ga😢😅
@HamisHemed-yl5ke
@HamisHemed-yl5ke 3 ай бұрын
Soma maliza ondoka mengine achana nayo
@SOPHIAMICHAEL-zz7xu
@SOPHIAMICHAEL-zz7xu 3 ай бұрын
Hongereni sana viongozii kazi nzurii daima huwezi kukubalika ukiwa mkwelii.karibuni Mwenge catholic university 😂😂
@hassanlubola414
@hassanlubola414 3 ай бұрын
Pale kulikuwa na jamaa anasimama mbali haraf anacheki walio vaa vibaya na kuwarudisha
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 3 ай бұрын
Hongera sana kiongozi embu tupende uafrica wetu mbele haya mambo ya kuiga na kuona wazungu wanamadili mazuri tunakosea sisi vijana tukumbuke kesho tutakuwa na watoto tukiwaona watoto wetu wanavaa nguo za kuonyesha tupu zao kweli tutafurahia tuvae uafrica wetu
@PatrickSaid-zz6gf
@PatrickSaid-zz6gf 3 ай бұрын
Jamaa yupo smart sana huyo wa kwanza kuhojiwa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Kijana anajielewa sana, Hongera kubwa Kwa wazazi waliomlea, kijana shika busara hiyo hiyo usijikanganye Kwa kuiga marafiki au kudharau wengine, Safi sana kijana
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 ай бұрын
​@@darajalakidatukilomgi2362chokora tu
@maimunanampapata-sb6kd
@maimunanampapata-sb6kd 3 ай бұрын
Kwakwer maua yake
@Dafetty
@Dafetty 2 ай бұрын
Kabisa nakuunga 🤝💯
@marymanoni5536
@marymanoni5536 2 ай бұрын
Dogo unaakili sn ila cc kazini tunavaa kila siku viatu vya kufunika
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 3 ай бұрын
Tutii Sheria Bila Shuruti. Imekaa Vizuri Rais Chuo. Kama Hautojali Ungekuja Huku Mtaani Yaani Watu Wanatembea Uchi Na Hawajali. Mazoewa Sio Sheria. Hongera Brother
@AliceChentesa
@AliceChentesa 3 ай бұрын
Huna akili ww peleka kijijin Kwenu huko
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 3 ай бұрын
​@@AliceChentesaAsiekua na akili ni yeye au ww??
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 3 ай бұрын
​@@hamadsuleiman5177nimemshangaa yy ndo hana akili pimbi huyo
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 ай бұрын
Na yeye pia miongoni mwao ndio maana anamuona mwenzie hana akili kumbe yeye ndio hamnazo mvaa uchi mkubwa
@hamisathuman2729
@hamisathuman2729 3 ай бұрын
@@hamadsuleiman5177we bwege
@Geofrey-Martin-Kaputa
@Geofrey-Martin-Kaputa 2 ай бұрын
Hongera sana Raisi wa chuo uko vizuri vyuo vingi vimeharibu maadili ya Kitanzania
@VictorGosbert
@VictorGosbert 3 ай бұрын
Ni wazo zuri ila namna ya kuliweka sawa,ameshindwa.
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 3 ай бұрын
Huyu mwanaume aliyesema si sawa ana support ushoga
@selemanifaikii1276
@selemanifaikii1276 3 ай бұрын
Jamaa simuelewi huyo kama sio mwenzetuu
@saintbrotawfiq
@saintbrotawfiq 2 ай бұрын
?
@sophiamalisa5816
@sophiamalisa5816 3 ай бұрын
😂😂 ajira zenyewe amna kikubwaa someni tuu Muondokane na izo SUP zenu
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 3 ай бұрын
Hili swala ni zuri Sana raisi nampongeza Sana Kuna siku nilienda posta kuchukua passport office za uhamiaji nikiwa nimevaa Jez ya Chelsea asikali wakasema Jez aina yoyote hailuhusiwi nikawa nimefeli hiyo siku
@w_media_house
@w_media_house 3 ай бұрын
Huyo askari alikua shabiki wa arsenal 😂😂
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 3 ай бұрын
@@w_media_house 😅😅😅 daaaah afu wakaanza kunitania nimevaa Jez ya team mbovu
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 Ай бұрын
🇹🇿Yeah!Ungewekwa na utaratibu wa kupima afya pia Ili kubaini mashoga na wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile haiwezekani tukawa na wahasibu wa nchi wanatembea na pampasi ni aibu na uchafu kwa taifa.kazi nzuri ❤nimeipenda hii.🇹🇿
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
Your "freedom is limited by other people's freedom" headmaster wangu Milambo high 2012/2014 alifanya niijue hii
@mkorinthomgalilaya6700
@mkorinthomgalilaya6700 3 ай бұрын
Head master alikuw nan kipindi icho
@mkorinthomgalilaya6700
@mkorinthomgalilaya6700 3 ай бұрын
Nimesomea pale 2018
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
@@mkorinthomgalilaya6700 kumbe we mwanaume mlambo,,,enzi hizo alikuwepo mlambo mwenzetu mkongwe zaidi yetu E.shiloti
@isackismail690
@isackismail690 3 ай бұрын
Mrambo
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
@@isackismail690 naaam
@kamgishaomary2371
@kamgishaomary2371 3 ай бұрын
Hyo raisi anaongea kama reporter wa mchongo😂
@HappyCaptainHat-ce7ku
@HappyCaptainHat-ce7ku 2 ай бұрын
😂😂😂
@KMOfficial401
@KMOfficial401 2 ай бұрын
😂😂😂
@AnnaJesse-qu1wg
@AnnaJesse-qu1wg 2 ай бұрын
Ni mdgo ake @lupiana
@Taito-brand
@Taito-brand 3 ай бұрын
Aaah nzur hy eet kuvaa buti inachosha jamn ofisi gan wanavaa kobaz we kenge😂😂😂😂
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 ай бұрын
Itakuwa ya Babu yake😂😂😂😂
@Sultan-o7m9s
@Sultan-o7m9s 3 ай бұрын
Ukiwa kazin mda mwengine unavua viatu unakuwaa miguu peku uliza hili
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Kijana anatafuta huruma. Kuvaa nadhifu ni maadili ya watumishi wa Umma sasa kama mtu anaenda pale kuvaa kivyake eti ni mwanamuziki, atafute shulw ya muziki wanaokaa uchi na minywele ya ovyoovyo akakae huko.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Aina ya mavazi ya wanafunzi ni jukumu la Administration, au kuna Matron wa chuo ndio jukumu lao, na kama alivyosema kijana aliyehojiwa kwanza Taarifa ingetumwa kipindi barua ya kukubaliwa chuo sio mwisho wakati wa mitihani, Raisi simamia yanayokuhusu mengine waachie wenye chuo chao wafanye kazi zao
@gwakisakaswaga5249
@gwakisakaswaga5249 3 ай бұрын
Unaishi dunia gani boss wangu??
@stephenmagoti2588
@stephenmagoti2588 3 ай бұрын
Kuropoka tu hoja anhhh
@mbtwinsentertinment8124
@mbtwinsentertinment8124 3 ай бұрын
Kazi nzuri kwa uongozi. Mimi Nimesoma Hapo na utaratibu wa kurudishwa ulikuwepo ila ulikuwa haujatiliwa mkazo. Asimamie kikamilifu kabisa Maana TIA ni kweli Baadhi ya wanafunzi wanavaa ovyo.
@Mbinga_01
@Mbinga_01 2 ай бұрын
Jamaa kawageuka waliompigia kura 😂😂😂 Sema hongera zake
@JosephMwinula
@JosephMwinula 3 ай бұрын
Rais mwenyew mshambaa tu..yey aendelee na uchawa atakuja afinywe na wachawi wa himaya ya mwakatobe..msengerema sana muheshimiwa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 ай бұрын
We jitie ufundi utafikiri kwa mungu ni picnic
@samwa9496
@samwa9496 3 ай бұрын
Mpuuzi Malaya kwani chuoni ndio sehemu ya umalaya
@JosephMwinula
@JosephMwinula 3 ай бұрын
@@samwa9496 malaya baba ako muheshimiwa😂
@stevenjoseph3192
@stevenjoseph3192 2 ай бұрын
Kaka iyo nzuri sana kiongozi atabiliki piga kazi
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 ай бұрын
Nenda SAUT na vimin vyenu VYA kikahaba kama mtatoboa
@nancyg8664
@nancyg8664 3 ай бұрын
ah saut ni noma
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 3 ай бұрын
Yaaani siruhusiwi mm kuja na jeans yangu je😢
@JamesKirita
@JamesKirita 3 ай бұрын
Wamezid naoo uongozi mzur big up
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 ай бұрын
Ni utaratibu uliokuwepo, 1975, binafsi nilikamatwana mgambo kwa jambo hili hili , issue ya uvaaji wa mavazi liliabzushwa toka 1975, tulivaa nguo za heshima kabisa hadi leo wachache wakorofi si waelewa. Big up Rais wa TIA
@CTM.24Updates
@CTM.24Updates 3 ай бұрын
😂😂
@saidshaban8110
@saidshaban8110 2 ай бұрын
Hao waalimu wanavaa ivyo pia uwo mwaka 1975 unaleta leo MTU kama tabia mbovu ni mbovu2 jalbuni kutembea hata nchi jilani Rwanda,Zambia,Malawi na Kenya uone wabafunzi wanavyo vaa tena wasekondari unamkuta kajiachia kama anaenda disco alafu flesh ije kuwa hao WA chuo na nguvu hii mgekuwa mnaitumia kupata boom na kupata ajira baada ya kumaliza chuo ingekuwa poa sana
@oswardrupiah5510
@oswardrupiah5510 3 ай бұрын
big up Mr Rais, Mungu akutunze
@navukalunavatanzi6227
@navukalunavatanzi6227 3 ай бұрын
Sawa kabisa huwezi kwenda shule na nguo za disco au za kuvaliwawanaume
@ZABRONKANDI
@ZABRONKANDI 2 ай бұрын
Sisi ma boy hatuna shidaaa shidaaa ipo kwa ma bibiee wanaume hatuna shidaaa sieee👊👊👊
@badymedia9648
@badymedia9648 2 ай бұрын
Office gani tena TIA , mbona nimemaliza TIA saizi nauza karanga😂😂😂😊
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 2 ай бұрын
Ndio maana ulisoma TIA chuo cha biashara za karanga ungesoma udaktari ungeenda kuuza dawa za binadamu.
@FranceKomba-sn3ui
@FranceKomba-sn3ui 2 ай бұрын
Rais wa chuo apewe maua yake 👍🧠 smart sana ✍
@ommydabysertz5499
@ommydabysertz5499 2 ай бұрын
Uy jamaa kam Ruto😂😂 Kama Vp waandamane tu Km Wenzetu😃
@boemzungu411
@boemzungu411 2 ай бұрын
Koo unawez kuingia ofisi ya mtu umevaa kitovu kipo nje vina mda kwan😂
@frankanania7810
@frankanania7810 3 ай бұрын
tumwambie RAIS wa chuo kama kuna maisha baada ya chuo au tumuache kwanza amalize chuo aje mtaani
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 3 ай бұрын
😂😂😂😂mwambieni aache unaa
@JuliusNyika
@JuliusNyika 3 ай бұрын
Hana akili uyu jamaa
@sesiliahussein7774
@sesiliahussein7774 3 ай бұрын
Mwache usimtishe toto juliii 😂😂 atajionea mwenyewe
@davidgustavkomba2521
@davidgustavkomba2521 2 ай бұрын
Hahahaaa😂
@mrNovatus
@mrNovatus 3 ай бұрын
Uyo rais anataka wanafunzi wawe smart alafu ajira hakun anataka wakienda mtaani washindwe kubeba zege ajira hakuna
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 ай бұрын
😂
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 3 ай бұрын
AJIRA ZIPO KAMA UNAONA HAKUNA NI WEWE TU. Chuo wanafunzi wote wanasoma somo la UJASIRIAMALI Kama ulikuwa hujui ujue. AJIRA NI PAMOJA NA KUJIAJIRI SIO TU KUAJIRIWA.Ukibisha utaumia kwasababu uwazavyo moyoni ndivyo utakavyokuwa KWA NJE.POLE KAMA unaumia ila ni kama SINDANO KWA MGONJWA NDIO UNAPONA HIVYO
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 ай бұрын
Nilivyosikia serekali yetu chini ya mama samia nkajua rais wa chuo chenga Huyu sista nae shelia , Vizuli kiswahili bado kigumu sana.
@chazyjacks673
@chazyjacks673 2 ай бұрын
Mm najuta kujiunga SAUT na mashart yao
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 26 күн бұрын
Hawa mabinti wengi wao huharibikia chuo, mtoto kalelewa vizuri, hajawahi kuvaa mavazi fulani ya nusu uchi, lkn akifika chuo atavaa, skin taiti,imemchora mpk aibu!! Na kwa cc tunaoishi karibu na vyuoni tunaona vile hawa watoto wanaharibika hasa kwa sababu ya kuigana,kushindana kuvaa na kula vizuri! Hivi vinawatuma kujiuza😢 wanajiuza waziwazi ,japo sio wote.
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 3 ай бұрын
Ha jaman chuo bdo tu wanambiwa wavae inavyotakikana😂 na shule ya primary na secondary
@pirate185
@pirate185 3 ай бұрын
Acha unoko unaacha kupambania vitu vya msingi watu hawana boom huko unahangaika na mavazi ukifika muda wa office watu watavaa vizuri wenyewe we ushawai kuona wapi hata interview tu mtu akavaa kitop?! time will tell.
@iamemmasylvester4477
@iamemmasylvester4477 2 ай бұрын
Yuko sahihi..mnaharbu maadili yetu sanaaa....washamba kama nyie
@pirate185
@pirate185 2 ай бұрын
@@iamemmasylvester4477 kajifunze kwanza kiswahili Sanaaa ndio nini?
@RabihuHussein
@RabihuHussein 2 ай бұрын
kenge
@frankwilliam144
@frankwilliam144 3 ай бұрын
Rais wa chuo wazo lake liko vizuri kwa lengo la kulinda maadili. Mwanachuo anatakiwa awe mfano wa kuigwa kwenye jamii, sasa anapokuwa amevaa nusu uchi au mavazi yasiyostahili nafikiri haitokuwa sawa
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 3 ай бұрын
Safi Rais Mungu akulinde sana imekaa vizur
@hilaryroberts7466
@hilaryroberts7466 3 ай бұрын
Hapo anajiona Raisi Mwenyewe, Sema Hayo Mambo Yanamwisho wake
@dianachacky6434
@dianachacky6434 2 ай бұрын
😂😂
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 3 ай бұрын
Adabu na nidhamu ni MUHIMU vizingatiwe ,Hongera Kwa Serikali ya wanafunzi big up sana
@BakariAdamu-h1k
@BakariAdamu-h1k 3 ай бұрын
Mungu amuongoze kijana wetu
@josephifanda5626
@josephifanda5626 3 ай бұрын
Mbona sheria ipo wazi, inajulikana
@simonsadala2386
@simonsadala2386 2 ай бұрын
Hongeraaa sanaaa presider ww ni kiongozi simamia hapoooo
@noelwilliam344
@noelwilliam344 3 ай бұрын
Kwanini mwanamziki asipangiwe mavazi vyuoni?
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 3 ай бұрын
Afu huyo mwanamziki hapo sio stejini,hapo ni shule ya mziki hivyo akiweza akavalie darasani
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 3 ай бұрын
Rais yupo sawa shida ipo kwenye ubongo wa wanafunzi kama atafanikiwa hilo atakuwa kiongozi mzuri sana
@glorymungure7740
@glorymungure7740 3 ай бұрын
Uyu Raisi Yuko vizuri sana
@JumaAbdallah-gn5qu
@JumaAbdallah-gn5qu Ай бұрын
Sawa safi👍
@heripaulo6484
@heripaulo6484 3 ай бұрын
Ni Sahihi kabisa Sheria Hiyo Iletwe Na Kwetu Hapa SUA Kwetu.
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 2 ай бұрын
Nimemuona miso missondo kasimamishwa na sendo zake anaambiwa aende nyumban 😅😂😂
@albertomwambapa
@albertomwambapa 3 ай бұрын
T.I.A This is Africa na si chuo hicho...😅😅😅😅
@salumalriyamy
@salumalriyamy 3 ай бұрын
I'm sorry but kwa Nini viatu vya wazi vinakatazwa?...
@jacksonchilongani4478
@jacksonchilongani4478 3 ай бұрын
Ofisi gani iwe private ama serikalin Huwa wanavaa viatu vya wazi onyesha
@Khadija-ne8ul
@Khadija-ne8ul 3 ай бұрын
sio official,
@salumalriyamy
@salumalriyamy 3 ай бұрын
@@jacksonchilongani4478 ni ulimbukeni, bahati mbaya sana hata huko ambako Kuna hao walioifundisha Tanzania nguo official, wanavaa viatu vya wazi kwenye maofisi Yao. Binafsi sioni shida kwa viatu vya wazi. Period. Na hata bungeni Kuna waliovaa ama ambao wanaovaa viatu vya wazi.
@zagarinojo4227
@zagarinojo4227 3 ай бұрын
Hujajibu swali lake bado​@@jacksonchilongani4478
@Lifebeaconuplift
@Lifebeaconuplift 3 ай бұрын
Mbona raisi haeleweki anachoongea
@onesmokalembwe1220
@onesmokalembwe1220 2 ай бұрын
Muasibu lazima uwe smart, unavaaje yeboyebo
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 24 күн бұрын
🎉🎉🎉SAFI SANA KABISAAA
@VerisonAbel
@VerisonAbel 2 ай бұрын
Yaani vya TIA ndio vinalalamika je sie wa TPSC huyo raisi hata serikali imuunge mkono yaani wanaongea ujinga tuu hao vijana kuvaa official ni lazima
@AsteriaPatrick
@AsteriaPatrick 3 ай бұрын
Basi waanzishe sare tu ijulikanee tunaokuja kuanza tujue ni rangi gani🏃🏃
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 3 ай бұрын
hongera sana raisi wa chuo
@mustafaally274
@mustafaally274 3 ай бұрын
Sio raisi tu wa chuo hicho hata uongozi wa hicho chuo ni mmbovu serikali naomba uchunguze uongozi wa hicho chuo kuna madudu kibao 1) walimu hawaingii kwenye vipindi ipasavo 2) uongozi wa chuo hauna misimamo kwenye uendeshaji wa chuo, mfano kipondi cha mitihani walitangaza watubwalipe ada asilimia fulani ili wafanye mitihani tena tangazo ni la ghafla masaa 24 utekelezaji,mtu unapambana kupata ada ya mwanao hio asilimia walioita kesho yake mwanafunzi anaenda na risiti anazuiliwa anaambiwa uongozi unataka adailipwe yote hapo ukiangalia boom bado wazazi wanateseka na mikopo then ghafla wanaleta ugai gai Kiufupi hicho chuo ni uozo mtupu uongozi ufumuliwe
@mustafaally274
@mustafaally274 3 ай бұрын
Hicho chuo kinavyoendeshwa ni kama kijiwe cha wafuta bangi mkuu akiamua aangalii hata matokeao ya maamuzi yake kwa busara kama mmeshindwa kifungeni majengo mufugie kuku au muwape sababa wafanye maonesho
@AndrewPaulsr
@AndrewPaulsr 2 ай бұрын
Atakama ndo uje na sandals za addidas chuo 😅😅😅 dah wanazingua kinoma awa jamaa
@Dipeson700
@Dipeson700 2 ай бұрын
Ushauri wangu, raisi aendelee kusimamia hapohapo, vijana waache upumbavu
@ImeldaIsdory
@ImeldaIsdory 3 ай бұрын
Sawa sawa kabisa. Hata office binafsi kuna mavazi hayaruhusiwi kabisa.
@zabibucyprian1971
@zabibucyprian1971 3 ай бұрын
Walimchagua kwa mbwembwe😂😂😂
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 3 ай бұрын
Safi sana Huyo Rais wa Chuo, Mungu Ambariki sn ❤
@andreamvanda1290
@andreamvanda1290 2 ай бұрын
Hapo tia ndo mnazingua viatu vinachosha sana sio kweli hapo maraisi wa vyuo mnafer bhn haraf sio dar tu hadi mbeya huku mnazingua sana
@presidentking5966
@presidentking5966 2 ай бұрын
Vyuo vyetu ni mahiri sana kutengeneza waajiriwa na sii wawekezaji. Sijui tutafika mbali lini.
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 2 ай бұрын
Sasa chuo kina majengo kama shule au mimi sioni vizuri?
@alistairelias536
@alistairelias536 3 ай бұрын
Huyu rais anapaswa apigiwe vote of no-confidence.
@abdulkarimkapama4509
@abdulkarimkapama4509 2 ай бұрын
Ishu ya mavazi vyuoni ipo wazi pindi unapojiunga na chuo..... Sema vyuo vingi hawafuatilii
@fredykayenze8246
@fredykayenze8246 2 ай бұрын
Mwenge Catholic University chuo changu pendwa tunavaa vizuri sana
@azariamarembo3653
@azariamarembo3653 3 ай бұрын
Yani mimi nilitamani nchi nzima iwe sheria uvaaji wa kihuni ni uchochezi
@fimboonlinetv5282
@fimboonlinetv5282 3 ай бұрын
Kabissa
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
Rais wa wanafunzi kidogo umeboronga , sio wote wqnqokuja hapo wanakuja kusoma ili waajiliwe , kunawengine wamekuja kuongeza knowledge tu wala sio kwa issue ya utumishi . Mavazi nini bana mr president ?
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Raisi ungejifunza kwanza majukumu yako ni nini? Focus kama walimu wako wanafundisha masomo kwa wakati, elimu ina kiwango, na elimu inawasaidiaje Suala la mavazi halikuhusu hilo ni jukumu la Administration wewe sio muajiriwa wa Chuo
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 semester ilivoanza hatufanya mtihani kwa SABABU ya ada na huyo anayejijuta RAIS WA nchi hatufanya idiot
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 3 ай бұрын
Yes maadili yazingatiwe chuo kisigeuke kua cha madanguro
@allysudi4429
@allysudi4429 2 ай бұрын
Mnatengeneza proper dressing ya staff wa wap? 😂😂😂 mmmhh mamaee
@Ndegejrtz
@Ndegejrtz 3 ай бұрын
Rais wa chuo yupo sawa🎉🎉wanavaa uch mpaka maoficin wasenge wadada woote wasiojielewa
@DhulShaphie
@DhulShaphie 3 ай бұрын
Uko sawa safi sana
@shirimabenedict5431
@shirimabenedict5431 3 ай бұрын
Uyo raisi atàkua msabatò
@jacobnorbertchenga9465
@jacobnorbertchenga9465 2 ай бұрын
Reegan Pius bado ana ndoto ya kujiriwa mimi namuombea dua
@Gujay7
@Gujay7 3 ай бұрын
Minakiomba chuo kitununulie nguo za kuvaaa
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 ай бұрын
Huyo rais wa chuo mama yake alimlea.hongera kwa mama yak3
@yuzounique2966
@yuzounique2966 2 ай бұрын
Ila kuna viongozi kichwani zero 🚮 ko walivyokuwa advance walikuwa wanavaa nguo za kujiandaa na chuo!? Act accordingly to your surroundings izo harakati ni za kutafuta attention na sifa kwa walimu 🚮
@AROLATWINA
@AROLATWINA 3 ай бұрын
Sura sio Roho Jamani😂😂😊
@bestmilltz7071
@bestmilltz7071 3 ай бұрын
Nachojua tunacheza according to bit, ukiwa sehemu flan una adapt utamaduni husika . Haiwezekan kazin wenzio wanavaa vizur ww unavaa vibaya.
@ShebyWakxhua
@ShebyWakxhua 2 ай бұрын
Mtu Apangiwi Mavazi Ya kununua Kwa Hela yake basi waweke sare za shule kama secondary watu hawalingani kimaisha Haoni aibu yeye kavaa suti wenzake wame vaa nguo za mitumba inapo elekea ita mpelekea kua na usalama mdogo kwa sababu ya asilimia kubwa watu wata mchukia 💯
@nuhunyitala5397
@nuhunyitala5397 2 ай бұрын
mlijichanganya huyu so RAis
@AROLATWINA
@AROLATWINA 3 ай бұрын
Sheria namba 2,huruhusiwi Kuoa wala kuolewa hadi Umalize Chuo😅😅😊
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 3 ай бұрын
Mko sawa viongozi kutuchnganyia habari tu watoto wetu wa kiume vitovu wazi inamana ganikuiga tu wazungu..
@mnisi3694
@mnisi3694 3 ай бұрын
Karibuni SUA huku utavaa tu kama inavotakiwa bila ata kuambiwa
@Ndegejrtz
@Ndegejrtz 3 ай бұрын
Wengine wanadanga2 ukimwi mwiingiii kutulia mmh mamae😅😅
@Deadskytz
@Deadskytz 2 ай бұрын
Walitucheka NIT hatimae tumekuwa role model wa vyuo vingine 😂
@kelvinlushiku8431
@kelvinlushiku8431 3 ай бұрын
Mmemchagua mwenyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@maggiengayalina
@maggiengayalina 3 ай бұрын
Baadala arekebishe vyooo kaz kuangalia watu
@abrahamessau3452
@abrahamessau3452 3 ай бұрын
Mna bahati hamjanikutaaa 😂😂😂
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 3 ай бұрын
Hyu Raisi naona kakosa kazi za kufanya Kabisa 😅😅😅😅😅😅😅.
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 2 ай бұрын
Vyuo vyote hizo sheria zipo. Na kila sehemu kuna sheria zake mfano TRA huruhusiwi kuvaa nguo ovyo. Nenda bank wana mavazi waliopangiwa sasa nyie mnavaa sendo mkafanye kazi wapi?? Hao wanaotaka kuvaa vimini wangeenda kusoma u nurse.
@JamesMisalabaPalu
@JamesMisalabaPalu 3 ай бұрын
Rais uko sahihi sana
@yasiniamiri130
@yasiniamiri130 2 ай бұрын
Hii imetukuta Mwalimu Nyerere Memorial Academy na tumezoea tayar and we are looking good now japo tuliipinga before.
@KelvinRevelian
@KelvinRevelian 2 ай бұрын
mliwaza nn kumchagua uyu rais
What the Maker of Ozempic Doesn't Want You to Know: It's Bankrupting America
12:01
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 5 МЛН
Federal Trade Commission Chair Lina Khan: The 60 Minutes Interview
13:15
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН