RAIS WA YANGA: AHMED ATULIPE BILIONI KUMI KWA KUTUCHAFUA/PACOME ANATUMIA SINDANO ZA NGUVU SIO SAWA

  Рет қаралды 25,444

Scope Media

Scope Media

Күн бұрын

Пікірлер: 154
@Songeagirl1
@Songeagirl1 8 күн бұрын
Safi kabisa tumepiga kwenye mshono😂😂😂
@SuzanKameta
@SuzanKameta 8 күн бұрын
😅😅😅 sindano bhana aisee
@AminoKhalif
@AminoKhalif 8 күн бұрын
Yanga oyeeeeeeeee gusa achia twende kwao ilove u yanga yetu wananchi wote tuwe pamoja dua zenu muhimu mahasidi wetu wengi inshallah 💚💚💚💚💚
@YohanaJohn-magesse
@YohanaJohn-magesse 8 күн бұрын
YANGA BINGWA 💪💪💪
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 8 күн бұрын
Aminaaaaa! Yanga bingwa.💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@MusaStephano-s9c
@MusaStephano-s9c 8 күн бұрын
Watupatie billion 7 zetu, billion 3 wampatie mzalishaji wa jezi Bora. Hiyo itakuwa imependeza.
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 8 күн бұрын
😂😂😂
@AishaTajir-gn1hq
@AishaTajir-gn1hq 8 күн бұрын
Woyoo 😂😂😂😅🎉
@YohanaJohn-magesse
@YohanaJohn-magesse 8 күн бұрын
YANGA BINGWA 💪💪💪
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 8 күн бұрын
​@@YohanaJohn-magesseumeongea kama GSM
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 8 күн бұрын
Kabisa watulupe wanaharibu bland ya yanga na mpira wetu kwa ujumla.
@chemstry409
@chemstry409 8 күн бұрын
Maarhabbbahh....Kwanza katukana then inatakiwa na Pacome Person inatakiwa na yeye amshtaki...Safi sana..
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 8 күн бұрын
Bado GSM kuzushiwa kuwa ananunua mechi kwenye timu anazodhamini, wamechafua brand ya Gsm
@AaAa-tf7sl
@AaAa-tf7sl 8 күн бұрын
Safi sana ubya ubwela umewarudia wenyewe😂😂😂😂😂🎉🎉💃💃💃
@YohanaJohn-magesse
@YohanaJohn-magesse 8 күн бұрын
Ubaya ubwela YANGA BINGWA 💪💪💪
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 8 күн бұрын
YES!! WAMEYAKANYAGA!! HII NDIO ILEE,INAYOITWA,ANZENI NYINYI NA SISI TUNAMALIZA!!! MMEUTAKA WENYEWEE!!! HII BILIONI 10, NDIO YENYEWE HASWAA!! MAANA 10-3=7.SAFI KABISA,ZITABAKI NYINGI TU.HALAFU,INAONYESHA KUNA MAKOLO WANAUMIIA WAKIPIGWA NAO!! MAMBO HAYA MNAYATAKA WENYEWEE!! MATUSI NA HASIRA ZA NINI?!! TULIENI HIVYO HIVYOooooo!!! WALA MSIPIIGE KELELE MKAWAPA MAJIRANI FAIDA.MADUNDUKA.MMEUTAKA WEYEWEeeee! HASIRA ZA NINI?! NA MMEUTAKA WENYEWE!! MATUSI YA NINI TULIENI HIVYO HIVYOoooo!!! SIKU NYINGINE MTAKUWA NA ADABU.HII NDIO DASLAM,YANGA AFRICAN'S,MABINGWA WA KIHISTORIA!! HII NDIO CLUB KUBWA,YENYE WATU NA VIONGOZI WENYE AKILI MINGI,AKILI KUBWA!!! YANGA AFRICAN'S WOYyOoooooo!!!
@deokibona2835
@deokibona2835 8 күн бұрын
Bado kuna lile suala la kusema jezi zetu ni kama madela, tunaliweka kiporo hilo tukilipwa billion 10 tunafukua issue nyinge.
@MamaSlaa-n6v
@MamaSlaa-n6v 8 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@HabibaKhamisi-xo8tz
@HabibaKhamisi-xo8tz 8 күн бұрын
Yaan kama wao hutani hawauwezi bas asaiv mwendo huo huo kulipishana bilioni tu pumbavuuuu jezi mbovu tusiseme😂😂😂😂
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 8 күн бұрын
😂😂😂😂 eti buana
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 8 күн бұрын
Jezi mbovu hazivutii ubwela mpaka museme. Mmeanza SS tunamaliza.
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 8 күн бұрын
Safi sana si wameanza vita vita ni vita Mula walipe billion 10 zetu
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 8 күн бұрын
Hayaaa apo sasa patamu sana ndio ubaya ubwela sasa sanda kayaanza sasa wayamalize walete bi 10 haraka sana💚💚💛💛
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 7 күн бұрын
wambie kwanza wamlipe sanda b alizoziomba kwa kuchafua brand yake yanga wanachoma sindano kweli ushahidi upo umepostiwa mitandaon kama wanabisha wakapimwe tuone kama hawata umbuka
@Louis-u3y7m
@Louis-u3y7m 7 күн бұрын
Alipe kenge uyo Ahmed mshamba kwanza
@Rehaju-H5d
@Rehaju-H5d 8 күн бұрын
Kweli jamani au sisikii vizuri😂😂😂😂
@AsifuSule
@AsifuSule 8 күн бұрын
Kwanza msemaji wa Simba katoa matusi kusema sindano za kuzuia mimba kwani mwanamume pia anachoma sindano ili asipate mimba ?Mkiambiwa Ahmeh Ali anatabia za kike ndo izo
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 8 күн бұрын
Ni vizuri mana wao utani hawawezi ni mwendo wa kulipana tu
@BaruaniBakari
@BaruaniBakari 8 күн бұрын
Hii.ime.kaa vzr sana maana hawa makolo.wana.jifanya wana juwa sana ukimwaga ugali sisi tuna mwaga mbogq😊
@mussakilo4916
@mussakilo4916 8 күн бұрын
Eeee safii sana tena walisha tuambia jez zetu ni madera tuka nyamaza kama bwai iwe hivyo utani unatupeleka kwenye visas kama ni utani uishe kwani nini
@WilliamCharles-iq8ym
@WilliamCharles-iq8ym 8 күн бұрын
Nakubali Yanga yang
@GloriaMillinga
@GloriaMillinga 8 күн бұрын
Safii sanaa
@KhalfanSaid-v1h
@KhalfanSaid-v1h 8 күн бұрын
Very good
@AmiryMuhammady
@AmiryMuhammady 8 күн бұрын
Saaaaaaaf mamamamae maaaan wanacheza n wananchi
@NakkuAnderson
@NakkuAnderson 8 күн бұрын
Namshtaki Ahmed ally kuzalilisha wanawakee
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 8 күн бұрын
Udug umara sawa kabisa wao sii hawataki utani mtoto kautaka😂 💚💛💪
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 8 күн бұрын
Hiii ndiyo maana halisi ya "UBAYA UBWELA"
@KhalidMohd-n4q
@KhalidMohd-n4q 8 күн бұрын
Yaani apo safi is god wala tusirudi nyuma iwe fundisho na wale waliokua wakisapoti ali kamwe alipe waunge mkono na hili kudadack
@abrahmanmussa1384
@abrahmanmussa1384 6 күн бұрын
Du tamu kweli sandalendi alikuwa hazijui Simba na yanga basi achukue kulekule Simba billion 3 atuletee 7 kabisa bila kuchelwa hiyo imependeza sana
@NduluLucas-j1t
@NduluLucas-j1t 7 күн бұрын
Shida ni yanga baadae ya kushindwa kufanya vizuri hebu tulieni ubingwa kwa heri
@MADAHAYOHANA
@MADAHAYOHANA 8 күн бұрын
Baaaasi 🤣 ! Weka shingo naweka panga ! We huogopi , utani kama umeishaa bas eeboh
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 8 күн бұрын
Simba walijua wanatuweza wakati bado watoto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤚 yanga bingwa
@yahyachande3009
@yahyachande3009 8 күн бұрын
Ndio maana ya ubaya ubwele kumbe ndio tunapo elekea
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 8 күн бұрын
Huyoahmed anatakiwa kunyooshwa,akomekabisaaa,,wamezidikuropokaa😢😢
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe 8 күн бұрын
Namba iwe kweli huyo fisi maji alipe mbwa mkubwa
@bisejulius4100
@bisejulius4100 8 күн бұрын
Tunaelekea pabaya sana, mungu tusaidie.
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 8 күн бұрын
KAZI IPO
@Erickdluhanga
@Erickdluhanga 8 күн бұрын
Sio mpira unaenda sehemu mbaya Simba wamekosea tani Raha ya utani mmoja akasirike Sio nakutania unacheka Sasa Sanda kachukulia personal Sana Ile swala kasahau msemaji wao Ni mlopokaji wakwanza Na Sio hiyo tu kauli nyingi Sana zinaweza weka pabaya Sana Simba Mimi nafikiri Sanda aombe msamaha yaishe Yanga walitaka kuonyesha kuwa mbona ninyi mnatania tunaacha. HAPO WAMEPIGA MSHONO
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 8 күн бұрын
Hawa wasemaji wa hizi timu mbili hatari sana, kwanini msimuige yule Mwalimu Masau Bwire wa JKT?
@HassanKhamis-x3o
@HassanKhamis-x3o 7 күн бұрын
Naona kuna mtu atapigwa hela nyingi apo na wao watafunguwa kesi
@Almasseifu
@Almasseifu 6 күн бұрын
upandacho ndicho uvunacho makolo mjifunze tatizo lahuyumsemaji elimuyake inamadhaka
@PierreBukasa-fu3yx
@PierreBukasa-fu3yx 8 күн бұрын
Ahmedaly akome kuichafua yanga, kama mbway naiwe mbway, kama wao Manolo wameanza kuipeleka yanga mahakamani wakati wao wanamengi zaidi kuliko yanga, Mara jezi za yanga vitenge, Mara vijora, yanga kimnya, mara wachezaji wanachoma sindanoo, watu kimnya, hii ni dharau,
@Sesysef
@Sesysef 8 күн бұрын
Hakuna ukweli wwt hapo,,ndiomana Magu aliamua kuzifungia hizi online media mana hazijua hata maadili..Na zenyewe ndo zinakua chanzo cha uchochezi na upotoshaji.
@RphaelMwambenja-g2g
@RphaelMwambenja-g2g 8 күн бұрын
Kwani iyo uwongo kwanza team inaendeshwa kitapeli na okra anakuja uko
@susumantalanta8505
@susumantalanta8505 8 күн бұрын
Acheni ufala kusambaza habari za uongo....nyinyi siyo chanzo cha habari za yanga....hata nyie mnahitaji kuchukukiwa hatua za kisheria
@MaulidkatebhaMusa
@MaulidkatebhaMusa 8 күн бұрын
Mamae utani utani ngoja tuwashenyente io ndio ubaya ubwela sasa siwameutaka
@amanileonard2255
@amanileonard2255 8 күн бұрын
Hili suala sandaland usilegeze kamba hiyo bilion 3 ilipwe kwanza alafu ifuate hiyo bilion 10 dadeq lazima hako katoto kanyoooshweeeee
@SakinaSalehe
@SakinaSalehe 8 күн бұрын
Safi.sana
@MusaStephano-s9c
@MusaStephano-s9c 8 күн бұрын
Kama hawana billion 7, wakakope waongeze ktk deni la klab la billion 20. Halafu billion 3 watalipana ktk jez
@clauschaula2050
@clauschaula2050 8 күн бұрын
Ni zaidi ya mara Moja msemaji wa Simba kuichafua yanga Kwa kuropoka maneno yanayoichafua yanga.Tabia hii ikome kwani inaiweka soka la nchi yetu hatarani.Hakuna utani usiokuwa na mipaka.
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 8 күн бұрын
Huyu kuma Simba anazarau sana hamed Ali anafirwa mchungizeni sana hata maongezi yake
@GehaziMetelii-p4m
@GehaziMetelii-p4m 8 күн бұрын
Hii ndo inaitwa jino kwa jino Njoo nije sasa Mimi nimekuja mazima Leta 10 nikupe tatu za sanda pumbavu
@Stevenmwanisawa-dt5vb
@Stevenmwanisawa-dt5vb 8 күн бұрын
Pelekeni mahakamani tukazibitishe juu ya hizo sindani
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 8 күн бұрын
Na atoe ushahidi wa hizo sindano
@JumanneMazoya-f6b
@JumanneMazoya-f6b 8 күн бұрын
Yani msiwasamehe siwamelianzisha ngoja walinywe wasiwasamehe make huyo msemaji huwa kama siyo timamu
@amosynyarosa5077
@amosynyarosa5077 8 күн бұрын
Hawa wanaotoa matusi kwenye comments zao, Sheria za nchi zinaruhusu ? Kwanini waachwe bila kuwapa funzo
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 8 күн бұрын
Walipe Kwanza ndo wakae mezani
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki 8 күн бұрын
Kama kweli yanga wameongea tunawakubali sana viongozi wetu ikiwa wao wametupilia mbali utani wa jadi simba nao watulipe bilioni 10 alafu sandaland tuwape 3zao wakome
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 8 күн бұрын
Hiyo Tisa kumi aliita mashabiki wa Yanga ni maiti hiyo nayo itawasubiri na mashabiki walipwe bilioni 100
@TrebaMagambo
@TrebaMagambo 8 күн бұрын
Ila Hersi kapiga Ubaya Ubwela
@francispancras7691
@francispancras7691 8 күн бұрын
Hiki chombo kinatoa wapi habari!? Mbn yanga hawajapost demand letter yyte!?
@ajiaally3269
@ajiaally3269 8 күн бұрын
Unaitaka tukupe ww utasaidia nn
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 8 күн бұрын
Tff mko wangu hili swala la sndano limeongelewa Sana kwann msichukue hatua?
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke 8 күн бұрын
Mwaga MBOGA nimwage ugali I 😂😂
@RphaelMwambenja-g2g
@RphaelMwambenja-g2g 8 күн бұрын
Kwani uwongo achomi sindano
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 8 күн бұрын
Na wewe choma siuna virusi update kupona
@maulidlikando4679
@maulidlikando4679 8 күн бұрын
safi sana vp man city nayo Kuna sindano
@gracealex8712
@gracealex8712 8 күн бұрын
Na jezi si ni mbaya kweli😂😂😂😂
@BullahSambiga
@BullahSambiga 8 күн бұрын
Walishaki mmbwa lile
@jasminekungulilo4063
@jasminekungulilo4063 8 күн бұрын
Pacome haitaki Yanga mwachieni aende na huyo Ali Kamwe Sandaland hatamnyoosha tu
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 8 күн бұрын
Ovyoooo kuiga ubunifu wa yenu ni zero,,,,na hamtutoi mchezoni mbwa nyie,ndiomana kwenye team yenu wenye akil mpo wawil tu
@KhalfanSaid-v1h
@KhalfanSaid-v1h 8 күн бұрын
Wanayanga tuko pamoja
@BabeNoera
@BabeNoera 8 күн бұрын
Namna hiyo
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki 8 күн бұрын
Makolo hawakuligi makosa sasa viongozi wafanye kweli tunajua gsm bilion3 kitu kitu kidogo sana ili sasa tuheshimianet
@SuzanKameta
@SuzanKameta 8 күн бұрын
Kwani sindano ni uongo?
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 8 күн бұрын
Na ww si unavirusi kachome upatekupowa
@faridayusufu2045
@faridayusufu2045 8 күн бұрын
Ahmed Allih lin mlimskia akisema hivyo sio bilion 10 t hata ingekuwa trion hatoi mtu Ahmed hashindwi kuomba raz nikit kirahis sana kwake kuliko Alliy kamwe anajiona sana
@robartAllay
@robartAllay 8 күн бұрын
Wamechanganyikiwa tayar
@TumainiNyangamba
@TumainiNyangamba 8 күн бұрын
Ndiyo akomeshwe kwa kauli yake mbovu
@IMANIMWAITEGE-ve8gr
@IMANIMWAITEGE-ve8gr 8 күн бұрын
Mnataka mkawalipe wanao wadai yangu hakuna hela.mmeanza kutafutiza visababu ambavyo havina kichwa Wala miguu.ndio maana mnaingia hasara kula mnapo pigiwa matumizi.
@ajiaally3269
@ajiaally3269 8 күн бұрын
Kama simba vile mo kafilisika mkatafuta 3ss sis 10sas shida ipo wapi
@KhalfanSaid-v1h
@KhalfanSaid-v1h 8 күн бұрын
Ahmed Aly tulipe sasa mjinga we,Wanaongoza kuichafua Yanga
@DamarisOsward
@DamarisOsward 8 күн бұрын
Aliyeanza vita hii ni simba sasa twende kazi, mlifikiri hatuna akili
@abrahmanmussa1384
@abrahmanmussa1384 6 күн бұрын
😅😅😅
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza 8 күн бұрын
Gusa achia iende kwao
@MathayoCharles-z2u
@MathayoCharles-z2u 8 күн бұрын
Kama bwai iwe bwai
@mosessamweli
@mosessamweli 8 күн бұрын
Xema nin. Tuugane wote
@kasokawilliam
@kasokawilliam 8 күн бұрын
Hawo mambumbu simbilisi Ata jutiya kama wanataka mambo yaku peyana azabu Huyo choga yawo sanda Hana hakili Hituchote kibovu hudoda Sasa kama matambala hayo yamedoda niyeye mwenyewe kuteng'eneza vibovu
@AMOURAMIRAMOUR
@AMOURAMIRAMOUR 8 күн бұрын
Azam wanazo picha za mabomba ya sindano
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 8 күн бұрын
OKRAH ANAWADAI LAKINI MTAWEZA SAJIRI?, HIZO ZA AHMED ZA KUSADIKIKA HAZIPO !!
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 8 күн бұрын
Uo ndio ubaya ubwela wasenge nyie mnaanzisha slogan hamjui kuitumia sasa mtachakugua wenyewe kulipa b7 au muombe msamaha matako nyie
@EdiSule
@EdiSule 8 күн бұрын
wameanza tumemaliza
@maziku330
@maziku330 8 күн бұрын
Eeh mhh namna hyo 3-10
@eliaichimsuya2266
@eliaichimsuya2266 8 күн бұрын
Si hawataki utani????ubaya ubwela walipe
@Xhaka_boomXhaka
@Xhaka_boomXhaka 8 күн бұрын
Hhhh😊
@JumaAthumanisheya
@JumaAthumanisheya 8 күн бұрын
Ya kagoma yaneishia wap,..azam ndo walionyesha izo sindano ushaidi upo
@Shabani-uz1sb
@Shabani-uz1sb 8 күн бұрын
Ahamed, ndiyoalionyesha, mabombayasindano
@BabeNoera
@BabeNoera 8 күн бұрын
Ubaya ubyaaaaa
@JosephChrisant
@JosephChrisant 8 күн бұрын
Wakimwaga mboga sisi tunamwaga ugali.
@hassankurwa464
@hassankurwa464 8 күн бұрын
Nawaangalia kina Manara, Baba Levo na walio payuka kuona kuna sababu ya kumuomba radhi Sandaland, hawakuyaona haya? Wanao jidai wanajibia hoja ya Sandaland ndio wachochezi nyuma ya pazia. Ally Kamwe atabaki kuwa msemaji sahihi sana Dar Yanga Africa
@kibiritizuberi9361
@kibiritizuberi9361 8 күн бұрын
Hapo patamu sasa ubaya ubwegeee
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 8 күн бұрын
Hiì kali ashitakiwe haraka
@JaliaKharid-w5c
@JaliaKharid-w5c 8 күн бұрын
Amna kesi apo
@mubarakasaid4626
@mubarakasaid4626 8 күн бұрын
visasi walipe tuu ubaya ubwela
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 8 күн бұрын
Kesi za team hazipekwi mahakamani kenge ww kesi ya Ally Kamwe na Sunda nikesi ya binafsi
@IssaMohamed-mp4hj
@IssaMohamed-mp4hj 8 күн бұрын
mmeishiwa mbinu washamba nyie
@IsackStephano-u8b
@IsackStephano-u8b 8 күн бұрын
wehauogop
@laninjeje8290
@laninjeje8290 8 күн бұрын
Yanga hawana mwanasheria mkundu wewe, uliwahi kusikia yanga wameshinda kesi magoma amewashinda Ahmed Ally mtamuweza??
@felixochiengomondi6189
@felixochiengomondi6189 8 күн бұрын
Wewe kolo msenge sana wewe . Wajuwa Nini wewe kama sio kufirwa tu mkundu.
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 8 күн бұрын
Chiziii😢😢😢
@HabibaKhamisi-xo8tz
@HabibaKhamisi-xo8tz 8 күн бұрын
Yaan ww dunduka hujielew kweli sasa ww chamaana kipi umepata kwa kuwa na mwanasheria ? Zaid ya kukupiga mara 4 mfululizo acha makasiriko😊
@HabibaKhamisi-xo8tz
@HabibaKhamisi-xo8tz 8 күн бұрын
Kuongea ujinga tu nakutukana ila kuchukua ubingwa aaaaaaaaa fyuuuu😅😅😅
@laninjeje8290
@laninjeje8290 8 күн бұрын
@YusuphJilala-r4e namtomba mama yako mzazi mpaka analamba mboo, chezea chizii wewe
小路飞和小丑也太帅了#家庭#搞笑 #funny #小丑 #cosplay
00:13
家庭搞笑日记
Рет қаралды 17 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 53 МЛН
小路飞和小丑也太帅了#家庭#搞笑 #funny #小丑 #cosplay
00:13
家庭搞笑日记
Рет қаралды 17 МЛН