🔴RAIS WA YANGA ENG HERSI ATOA TAMKO ZITO,TUTAPITISHA PANGA ZITO USAJILI,WATU HAWA WANATUHUJUMU

  Рет қаралды 50,295

MABENA TV

MABENA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@TumpeMwakatwila
@TumpeMwakatwila Күн бұрын
Nampenda.sana.rais.wetu.yupo.vizuri.ila.wachezaji.wanataka.kumwaibisha
@aliislam-n6p
@aliislam-n6p Күн бұрын
Gamond kafukuzwa kwa kufungwa mechi 2 za NBC club,ramovic kafungwa mechi 2 mfululizo za caf conferation😢😢😢...naweza nikasema pia kama gamond angepewa nafasi kwa uzoef alionao na focus yake kwenye caf tungefika mbali
@hamisanalinga8585
@hamisanalinga8585 2 күн бұрын
Asante sana kiongozi 🙏🙏 mshikamano ni muhimu sana
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 2 күн бұрын
Kwa kweli Rais Eng Heris tunaomba hao wachezaji warudi kambini huko mitaani wanajiachia mno waache ulevi hivi kwa nini mliruhusu wakae kila mtu kwake? Warudi kambini mashabiki tunaumia
@EmmanuelDudu-j5q
@EmmanuelDudu-j5q 2 күн бұрын
Kwa yanga hii tukikutana na Simba hatuachi
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m Күн бұрын
Kwan mweshimiwa ,mzee magoma mmemkosea nn adi anakua anatoa kauli kama hizo
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 күн бұрын
TATIZO LA WEWE RAIS WA YANGA UNASAJILI WACHEZAJI KWA KUTAKA KUIKOMOA SIMBA HUJUI UNAJIKOMOA WEWE MWENYEWE. UNAKUMBUKA ULISEMA MLIFANYA KAZI SANA KUMSHAWISHI CHAMA AHAMIE YANGA. WEWE Y UNAYEHARIBU MPIRA.
@brown_tilla
@brown_tilla 2 күн бұрын
hata hanc pop alikua anatufanyia unyama sana enzi za uhai wake kwaio weka mdomo wako matakoni ukae kimya
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 2 күн бұрын
Tusikilize ondoka Yanga eng. nenda Simba
@brown_tilla
@brown_tilla 2 күн бұрын
unawashwa mkundu
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 2 күн бұрын
Wachezaji wakae kambini na wasinywe pombe yanga ni kubwa kuliko mchezaji
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 2 күн бұрын
Sajirini wachezaji wanaocheza timu zao za taifa washambulia hatari na sio wazee
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 2 күн бұрын
Acha utapeli wako
@masoudali2631
@masoudali2631 2 күн бұрын
Mchezaji wa kwanza wa kuondoka NI AZIZI, WA PILI DUBE NA BALEKE. ACHENI USANII TAFUTENI WACHEZAJI
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 2 күн бұрын
Fanyeni maandalizi ya kweli na wachezaji wajitume sio kudeka kwenye mazoezi
@thomasdimme7899
@thomasdimme7899 2 күн бұрын
We need strong team tumechoka kuchekwa na watani uamuzi mgumu uchukuliwe
@hidelphoncecelestine9878
@hidelphoncecelestine9878 2 күн бұрын
Usaliti umeanzia kwenywe Jezi kwani Rangi yetu ya asili imepotea nakuwa na gold badala ya Njano , na mbaya zaidi hatuna rangi nyeupe lakn km rais alikubali hizo jezi nao ni usaliti
@hanifamziray277
@hanifamziray277 2 күн бұрын
Waende kambin wanazurula sn kwann ila muda yupo tutanyanyuka
@matiankomola2391
@matiankomola2391 2 күн бұрын
Maandalizi finyu, kuna hata senti tano unatoa kwa maandalizi hayo.! Kwani Hao tuliocheza nao nao hawakufanya maandalizi? Kumbukeni nafasi ya Timu ya Algeria kwenye Orodha Africa na Yanga inashika nafasi gani. Tuendelee kuwaombea viongozi wetu! Tuhimize mashabiki na wanachama kuiunga Mkono Timu yetu na kuichangia timu. Daima Mbele
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 Күн бұрын
Hutaamini utakavyoiacha yanga, kama unavyotimua makocha na wewe utatumuluwa hatutakubali unakaribisha migogoro isiyo na maana ndani ya club, unatia taharuki Kwa wachezaji, viongozi, na mashabiki. Mf kulikuwa na umuhimu Gani wa kufukuza kocha kipindi hiki? Mngekaa nae mezani mkawekana sawa. Then mnaleta kocha wa kiwango Cha chini eti hata wengine walikuja wakiwa na viwango vidogo, unazengua. Dube anatukisesha ushindi kila mechi ila mnalaximisha acheze kila siku. Baleke ni foward mzuri kila siku mnamuweka benchi. Mnachezesha wachezaji kwa matakwa yenu. Mwachieni kocha afanye majukumu yake. Na huyo kocha wenu hatmuelewi. Gamondi alifungwa mechi 2 mkamtimua na huyu lead kafungwa mbili timueni au mnataka afungwe mara 6 kama alikotoka?
@dicksonngasapa7007
@dicksonngasapa7007 2 күн бұрын
Mimi naona yanga kunashida maana mpila mnacheza , lakini timu pinzani iliwagundua mnaitaka kushindwa kwa kutumia kupita mbembeni waliwagundua hivyo mgejalibu hata kupita katikati kufosi ,hamkuweza kubadili mbinu , tafuteni kupita katikai
@yuzoooyuso583
@yuzoooyuso583 2 күн бұрын
Wewe sio kiongozi unaejitoa kwa yanga Ila upon hapo kujinufaisha na yanga
@NurdeenHassan-j1w
@NurdeenHassan-j1w 2 күн бұрын
Thibitisha
@jonassamwely
@jonassamwely 2 күн бұрын
Atoe ushabidi kamili,, unatoa maoni yasyo na hekima mjnga huyo ​@@NurdeenHassan-j1w
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 2 күн бұрын
Akili yako ikutoshe kukufikisha msaalani si zaidi ya hapo.
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 2 күн бұрын
Siwacjezajo pekeyake na viongozi pia akiwwpo manala na wezake chinjiliambali lnjini
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 2 күн бұрын
Eng. Wewe ni rais unamwakilisha mwekezaji cc tunataka mwenemyekiti wa club, wewe ni mwajiriwa wa GSM hatukutaki
@saidmailo8491
@saidmailo8491 2 күн бұрын
Tuwe imara wakati huu mgumu kwetu tuwe pamoja viongozi wachezahi wanachama na mashabiki wote
@kichefuchefu2382
@kichefuchefu2382 2 күн бұрын
Mazoezi hayaelewek mnachekeana tu kwenye mazoezi
@SheikhMusa-z4e
@SheikhMusa-z4e 2 күн бұрын
We umesaliji.wachezaji kwa mihemko kuikomoa Simba, na kiburi ndio kimekujaa, yanga umeifanya kama yako na ushauri hutaki, Wacha yakupate ndio ujue Dunia haitaki kiburi, na bado mpaka ujitoe, umenunua waandishi marefa unahonga Sasa imefika.mwisho wako, hata wazee wenyewe.wa yanga hutaki ushauri wao umechukuwa timu kama yako
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 2 күн бұрын
WENGINE wanao comment hapa sio YANGA wamepata pakumlzia chuki zao
@masoudali2631
@masoudali2631 2 күн бұрын
Acha mpira wa kizamani wa kusajili ili kuwakomoa simba, sajili wachezaji wenye viwango
@PeterLyimo-o5i
@PeterLyimo-o5i 2 күн бұрын
Wakati fulani vyema kuacha unafiki
@masoudali2631
@masoudali2631 2 күн бұрын
Pia muache mpira wa kujisifu kutw kwenda vyombo vya habari ili kuhojiwa
@AmirySadick-m5j
@AmirySadick-m5j 2 күн бұрын
kochambon amuwek bareke
@masoudali2631
@masoudali2631 2 күн бұрын
Wachezaji ambao wakubaki yanga ni; diara, yao, bacca, job, mudathiri, max, aucho, abuya wengine Acha.
@MauwaAli-q8y
@MauwaAli-q8y 2 күн бұрын
Baddi ya wachezaji waondoshwe pale hawafai
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 2 күн бұрын
Maandalizi finyu na wachezaji wengi wao wazee wachezaji wanafuata mpira na kipa ni mfupi amechoka sana hajitumi
@hidelphoncecelestine9878
@hidelphoncecelestine9878 2 күн бұрын
Rudi asili yetu ktk jezi, pia Haji arudi na kamwe aendelee kujifunza.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 643 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 24 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 114 МЛН
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 253 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 643 М.