Ramli ni Halali? Sheikh AYUB RASHEED

  Рет қаралды 10,434

SAUTI YA AHLULBAYT

SAUTI YA AHLULBAYT

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@IbrahimAli-bb3ss
@IbrahimAli-bb3ss 4 жыл бұрын
Masha-allah
@wardalward3693
@wardalward3693 7 жыл бұрын
Masha Allah
@jamalikasole675
@jamalikasole675 6 жыл бұрын
Lau ungesikiliza vizuri hasa kuanzia kwenye dakika 19 na sekunde 47 kuendelea mbele hasa kwenye dakika ya 21 ungegundua kuwa anasema kuwa mambo kama hayo si ya kuyaamini. Nadhani kichwa cha habari kingefaa kuitwa "Usiamini ramli"
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 жыл бұрын
Ukitaka kujifunza kitu lazima uwe mtulivu na mwenye adabu. Vitu vingapi tunajifunza kwa waingereza, warusi na wachina. Leo muislam anaangilia ushia au usuni kuwa kigezo na kupata elimu. Leo muislamu anamuamini aliyedharau kusema Lailaha ila llah, na kumdharau aliyekubali kusema kalima kubwa kupita zote. Mtume alikuwa madhehebu gani? Hatuwezi kufanikia kama waislamu tukiinzingatia dini kwa ushabiki kama wa Simba na yanga.
@abumusabmohammadkarama4287
@abumusabmohammadkarama4287 6 жыл бұрын
Duat ala abwabi jahannam
@abdulmajidhydermohammad9366
@abdulmajidhydermohammad9366 6 жыл бұрын
Hata Ibilisi Pia Alikua Mwana chuoni Illa tu Alikufuru,Na Huyo sheikh Hana Tafauti na Iblis....
@halimakassimngare4873
@halimakassimngare4873 2 жыл бұрын
Mwenyezimungu akuoneshe haki....usife na hali hio kwa sababu utabeba mzigo wako na mizigo ya hao wajinga unao wapotezaa....Allah c wakuchezea
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 6 жыл бұрын
Ni wewe pek unahalalisha Ramli ilete aayah haswa aca maneno ming mmmjjjuuu
@silajimtema9891
@silajimtema9891 6 жыл бұрын
shia hili
@jabirmaulidi3420
@jabirmaulidi3420 4 жыл бұрын
Kumbe shia nimepoteza muda wangu bure
@dosaahlulbayt639
@dosaahlulbayt639 4 жыл бұрын
Akili yako imeenda na banii umaya
@shafimussa6321
@shafimussa6321 6 жыл бұрын
Mshirikina uteteya shirk ,waislam wa tauhidi awawezi kukubaliana naye na waislam tuwemakini na sheikh kama huyu jama
@jamalikasole675
@jamalikasole675 6 жыл бұрын
Lau ungesikiliza vizuri hasa kuanzia kwenye dakika 19 na sekunde 47 kuendelea mbele hasa kwenye dakika ya 21 ungegundua kuwa anasema kuwa mambo kama hayo si ya kuyaamini. Nadhani kichwa cha habari kingefaa kuitwa "Usiamini ramli".
@HarunSwai
@HarunSwai 6 жыл бұрын
Msikilize mpaka mwisho ndipo utoe laana usisome kichwa cha habari tu afwan
@HarunSwai
@HarunSwai 6 жыл бұрын
Msikilize mpk mwisho kisha toa hiyo laana
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 6 жыл бұрын
Huu sio shekh y y ni shehena
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
@sheikhibrahimabdullahikeny1509 6 жыл бұрын
Huyu msipate shida naye ni Shia Ubadul kubur
@khalidabdalla6836
@khalidabdalla6836 4 жыл бұрын
Sheikh haja halalisha mwenye kuapload mrongo...msikizeni sheikh vizur
@idrisadhan689
@idrisadhan689 3 жыл бұрын
Wallahi wewe sijui tukuweke katika fungu gani muislamu ana kafiri
@abdulkarimahmed6024
@abdulkarimahmed6024 3 жыл бұрын
@@idrisadhan689 Angeweka alama ya kuuliza yaani question mark (?) mbele ya neno halali
@salummuhsini8787
@salummuhsini8787 7 жыл бұрын
kwa iyo she he anahamasisha ramli halali
@HarunSwai
@HarunSwai 7 жыл бұрын
msikilize vizuri utajua ana maana gani
@HarunSwai
@HarunSwai 6 жыл бұрын
Msikilze kwanza kabla ya Ku comment
@jumaaibrahim8305
@jumaaibrahim8305 6 жыл бұрын
Salum Muhsini hujasoma kasome
@jamalikasole675
@jamalikasole675 6 жыл бұрын
Lau ungesikiliza vizuri hasa kuanzia kwenye dakika 19 na sekunde 47 kuendelea mbele hasa kwenye dakika ya 21 ungegundua kuwa anasema kuwa mambo kama hayo si ya kuyaamini. Nadhani kichwa cha habari kingefaa kuitwa "Usiamini ramli"
@iddathuman5613
@iddathuman5613 6 жыл бұрын
hawa ndio mashekh sufahau ukitaka kujua kama sufuhau anatoa tarjama yake ya kisufuhau kwa upumbavu wake atuelekeza hata ibn kathiri na kurutubi hawafai. kwa kifupi mpumbavu wa kishirikina
@idrissamustafabukenya6110
@idrissamustafabukenya6110 3 жыл бұрын
Huyu jama ni shia. uyu hafai kabisa
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 Жыл бұрын
Wewe unayefaa toa mawaidha yako tuskie 😂
16_UADILIFU KATIKA MTAZAMO WA KIMAGHARIBI/SHEIKH ABDULRAZAK AMIR
40:52
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
madhara ya kupiga ramli (shirki) part2.3  par sheikh Yussuf Mahmud
19:40
ELIMU YENYE MANUFAA
Рет қаралды 1,6 М.
SOMO LA KUPIGA AU KIPIGIWA RAMLI, SEHEMU YA KWANZA 1.
5:00
Allykk tv
Рет қаралды 1,2 М.
Hukumu ya talaka tatu kwa mara moja Sehemu ya pili.
4:44
UJUMBE WA DINI TV
Рет қаралды 1,2 М.
Taariikhda Sultan Suleyman Al-Qanuni - Sheikh Mustafa Haji Ismail
2:06:16
Het belang van de Koran, Ustaadh Said Abarkan حفظه الله
56:34
Stichting Cultureel Centrum Moordrecht
Рет қаралды 1,7 М.