Hata Uingereza zipo Za wizi. Si zote za South ni za wizi. Zimelipiwa Ushuru halali na Export Papers Halali acha kutupakazia Watu tulio South Africa na tunaishi kihalali.
@archbordygodfrey2614 Жыл бұрын
Kweli kabisa,kwanza ukiona gari yoyote ya kifahari yenye namba za usajili za SA,asilimia kubwa unakuta ni watakatishaji fedha ,wezi wa mitandao na gari limeibwa huko na huwa wanakuwaga wasouth au wanigeria wanaoishi ktk hotel za kifahari mara nyingi Arusha au Dar, lakini ni utakatishaji tu wa fedha hawana cash ni CRedit card tu wanatumia mahotelini lakini zote ni fedha za deal.
@benjagabril9994 Жыл бұрын
Uyu niga ana jipya chuma kutoka south Africa ni unyamah sana
@henrymapunda4602 Жыл бұрын
Anajitangaza
@sajojonas Жыл бұрын
Watanzania ni binadamu waliojaa wivu sana. Mambo ya mange iphone 13 za Tanzania feki. WATU WEUSI WANA WIVU SANA
@muntueric-oy1ty Жыл бұрын
Range ya Harmonize na Esma ni zawizi kutoka South Africa...😂😂😂
@ombeniruvubika5392 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Watanzania nyinyi bhana 😂😂
@josephguerino7416 Жыл бұрын
Umeongea vitu vya msingi lkn mwishoni umeharibu kwa uongo wako... Gari haivunjwi kioo, inafunguliwa mlango wa nguma na dereva anatoka
@deogratias4025 Жыл бұрын
Wewe ndio unadanganya,na kama gari inaboneti haina mlango wa nyuma dereva anatokea wapi kwenye kontena? Kuvuja kioo ili dereva atoke ni kweli inatokea, kama magari yenye boneti mapana yalichokua nafasi kubwa yamepakiwa kwenye kontena.
@DUL69 Жыл бұрын
Aisifuye MVUA IMEMNYEA. Hivi wewe Binafsi ulifanikiwaje katika Issue kama hizo? 🙏🙏🙏
@johnkiimbila6799 Жыл бұрын
Kwani ni gari zote zina milango ya nyuma.?
@mcharoimanuel3623 Жыл бұрын
Kwani kioo hakiwezi kutolewa bila kuvunjwa.
@chuseboy Жыл бұрын
Uwe unaskiliza vizur au wakat namalizia maneno ya Mwisho ulikua Ushavuta bangi mbona kasema wakat mwingine mtu kupitia nyuma Sasa ulijua nyuma kwako nn😂😂😂
@cidewashington670 Жыл бұрын
Tanzania nchi yangu mtihani mkubwaa, hao viongozi wenyewe wanapola pesa za miladi na za wananchi wakati barabara mbovu
@AlexDitto-qz1hn Жыл бұрын
Sio Tanzania yako sema yatu
@innocentvicent7001 Жыл бұрын
Jamaa mwongo sana
@BressingsmakumbaBregaboy Жыл бұрын
Asante Wasafi saiv tuna download post ❤
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Nimepata Elim, uwenda na mimi Allah akanijalia nikapata gar yangu.
@fredymantago3162 Жыл бұрын
thanks boka my discovery from VERITABLE is very comfort bro hope to take next Range from You soon bro.......Big up bro
@rajabmohammed234 Жыл бұрын
Unavutia kwako kk,Interpol wana kaz gan?Gar itoke South mpk Tz hapo kati inapaa ama vp n Interpol border zote wamelala?
@babazungu3180 Жыл бұрын
Ni hela tu braz ktk hiz nchii,Botswana tu ndiyo mziki
@yurikashorov3210 Жыл бұрын
Huyubwana ni mfanya biashara wa magari lakini hayajui magari. Kuna magari mabovu tu hata yawe mapya na moja kati ya magari hayo ni Landrover Ranger rover haya magari reliability ni mbovu. Gari kuwa na kilomita lakimbili sio sababu ya gari kukuharibikia inategemeana na maintenance na gari reliable kama Toyota ziko gari na kilometa lakitano na ziko sawa na tunanunua malori yakiwa na kilimeta mpaka millioni na yanaishi tu. Magari ya wizi south yalikuepo na yalikamatwa kwenye msako lakini si kweli kwamba 90% ni ya wizi ila huwa bei rahisi kwani watuwengi hu upgrade magari yearly na kibali hakiruhusu mtu kutembelea chasis number bali kutembelea usajili wa nchi husika. Inaonekana kalipa ili kujitangaza lakini script mbovu
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Anaongea point
@mambotv1233 Жыл бұрын
Hongera sana broo kwa elimu nzuri
@sharifaramadhan6515 Жыл бұрын
South Africa kumiliki Gari Ni Jambo la kawaida sana.sio Kama Tanzania magari mazuri mnataka waendeshe Tu wakubwa.tafuta pesa.ukiwa Na Pesa hata ndege unamilikiii😝😝😝😝😝
@saidsobongo912 Жыл бұрын
Uko sawa naliona hilo mie nipo pritorie
@richardrobert9492 Жыл бұрын
sio 90% gari za south ni za wizi huo ni uongo mbona wengi tu wananunua
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Dareva anaweza kutoka mlango wa nyuma unaofunguka kwa juu au upande mmoja au miwili ila nyuma baada ya apo unafunga na kutoka baadae wanafunga kontina
@malmavoice8989 Жыл бұрын
NDio zilee za mmakonde kuhonga mbili zilikuwa za mchongo
@eatlawe Жыл бұрын
SErikali kupitia TRA wanajua? Magari yanayoingia kama ya IT na kugeuzwa nchini wanayajua?
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂okay,wapi range zetu😂😂😂
@georgewambura7695 Жыл бұрын
Katokea nyuma bana
@mikestuner9206 Жыл бұрын
Mbona kaongea ukweli jaman ndugu watanzania amesema wakati mwingine wanapasua hata kioo au wanatokea kwa juu (sunroof) pia kasema au wanatokea kwa nyuma sasa uongo wake ni upi
@cidewashington670 Жыл бұрын
Jamaa ongo sana hilo hata hapa South Africa zipo zinazoibiwa ulaya zinaletwa South na zinauzwa hapa South Africa Dunia kijiji acha roho mbaya
@allynguba2579 Жыл бұрын
Shoga uyo anafikili atujui kama wa Italy wanaiba uk hapo wanauza afrika wezi wa magari ulaya nzima ni wa itAly
@bahatimahone4922 Жыл бұрын
Jamaa katudanganya aise khaa gari inapoingizwa kwenye contena wakati inaingia dereva anaingia kwa mlango wakawaida wakati wa kutoka anatokea nyuma ya gari pia kumbuka siyo kila gari inaingizwa kwenye contena
@yunus-or3ny Жыл бұрын
Yeye ndio mwizi mwenyewe
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Jamaa anajua nimeskiliza
@AMBINHED Жыл бұрын
Huyu nae sasa mbaka uvunje kioo cha Gari si anafunguwa kioo tu . Huyu muongo na anawaonea wivu Sauz. Uingereza magari mengi Pia ya michongo na wana claim insurance. Uwizi upo kote tu
@NGUFUSALOMI Жыл бұрын
TUNATOKA KWENYE MLANGO WA BOOT YA GARI HASA HIZI ZENYE MLANGO NYUMA
@elymollel Жыл бұрын
Ebana wa-K 🇸🇸wanawivu kinoma😀😀
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Gali ikiwa na funguo ya remote hyo remote yako itafungua milango yote so ilunaeza ukiwa nje ukatumia remote kufungua hyo milango ukainhilia mlango huo wa nyuma
@amirabdallah6984 Жыл бұрын
Uyu amna anachojua
@alexwatae3165 Жыл бұрын
Pa kutokea ni mlango wa nyuma hakuna pengine
@sharifaramadhan6515 Жыл бұрын
Sio kila range rover inayonunuliwa south Africa Ni ya wizi.nakataa tatizo wabongo wengi wanaona range rover ndio Gari latest.wakati south Africa Ni Gari la kawaida sana
@collinsstanley6126 Жыл бұрын
Hajasema zote na wew kasem nyingi zake 😅😅ulinunua la wizi nin😁😂
@bonifacewanyonyi3555 Жыл бұрын
Mwisho umesema uongo😂😂😂
@emildamas7685 Жыл бұрын
Wanafunguaga milango ya nyuma bana so kupasua kioo
@mamsamohamedy9032 Жыл бұрын
Yaani nyie wa Tz mna roho mbaya na chuki mbona huku Mozambique magari yako mengi tu ya wizi but kila mtu anajali maisha yake, huo ni ushamba na roho mbaya
@anthonikabuye6819 Жыл бұрын
Sijui sana kuhusu hv vtu ila inawezekana huyu jamaa anajipalilia biashara yake
@barakammari2044 Жыл бұрын
Upasue kioo cha nini wakati gari inabuti
@francolazaro8646 Жыл бұрын
Sas upsue kioo badala ufungue hyo kioo uweke ndan.. Ety unapsua kioo afu unanunua ingne unaweka ndan ya gar kwel hyo ni akil 😂😂
@EagleCrown-pb9qv Жыл бұрын
Sasa hapo si dreva anatokea mlango wa nyuma wa buti Au nyie wenye range mtueleze huko ndani Kuna uzio huwezi kutokea kwenye mlango wa Buti?
@maase2023 Жыл бұрын
Wivu tu kwa kuwa Huna range rover wala si za wizi
@mwitamahende4394 Жыл бұрын
Kwa hili la kuvunja kioo kachemka, mlango wa nyuma upo na remote ipo au nayo inakuwa ya wizi?
@simba2x Жыл бұрын
Watanzania kweli wachawi duuuh
@mawazoaliselemani Жыл бұрын
zikiwa nyingi kuna tatizo gani
@rajabusuleman5111 Жыл бұрын
😂😅kupasua kioo umebugi😢 Bora ungesema wanaptia juu kwenye roof ya gari au nyuma ya gari kwenye boot baada yakulaza viti😂
@baltazarmushy1373 Жыл бұрын
Kwa saloon/sedan car utapasua kioo tu hamna namna na kasema vile based on experience,lkn SUV unatokea mlango wa nyuma izo hazina shida
@wilsonmsenga6447 Жыл бұрын
Huyu ni boya tu, apigie upatu gari ambazo analeta. Siyo aharibu biashara ya watu.
@RamadhaniAbeid-nf7te Жыл бұрын
Muongo uyoo sisi tunaishi huku gari c za uwizi Bali ni gari ambazo zmepata ajali huku tunaita za kukata aache kualbu biashara za watu uyooo anavutia kwake uyoooo mshamba
@emmanuelmwaka6070 Жыл бұрын
Kupasua kioo sio kweli,hapo anatokea kwenye buti
@ramboiddrambo3056 Жыл бұрын
me naisi itakua deleva anaingilia kwenye buti
@jacksontumaini489 Жыл бұрын
Nafikiri ungesema kioo kinatolewa, kuliko kuvunjwa yaan jibu jepesi umetoa
@emildamas7685 Жыл бұрын
Kwenye kupasua kioo ni uongo
@helpers10 Жыл бұрын
Kwanini upasue Kipo wakati Kioo kinashuka na kupanda. Na kama ni coup inakua na mlango wa nyuma! Think!
@baltazarmushy1373 Жыл бұрын
How about saloon or sedan car?
@blaymusa9692 Жыл бұрын
Mmhh jamaa linaongopa'ongopa tu hli🙂
@emanuelmoshama3899 Жыл бұрын
Kwaiyo uyu ndo anajua kila kitu apa duniani ??
@LionofAfricantourismLOAT Жыл бұрын
Wanajaribu kumtangazia biashara ni vile hamjagundua tu
@gabrwills6955 Жыл бұрын
mbona kama nimejiskia jina langu nikireport gabrwills
@johnsonzuma4932 Жыл бұрын
Hume ongeya vyema hila mwisho hume haribu south africa huwezi kuiba kari kubwa kama hizo hikose kushikwa hacha kuongopeya watu😅😅😅😅
@255kessy5 Жыл бұрын
Hivi wa bongo sijui Nani katuroga Kama mtu kafanya alichofanya na kupata alichopata akijanacho hapa nchini wewe unaumia na Nini wakati hajamzulumu hapa Tanzania tulitakiwa hivi Sasa tutumie hata mafuta ya wizi ili huku kwetu Bei owe ndogo
@PrinceSwedy Жыл бұрын
👌👍
@talikikambi7800 Жыл бұрын
Ni uongo gari ndogo kwenye kontena mlango unafunguka na mtu anatoka akivunjwi kioo wala nini
@husseinallysuleiman4657 Жыл бұрын
Buti yanyuma inaonekana alafu mtu anauliza katokaje ndani
@emmanuelimushi7413 Жыл бұрын
Gari ambayo haina inakuaje?
@memesandmovi3s407 Жыл бұрын
Sasa kwenye kontena ndo muoneshe ya diamond
@TimbiloSaid-qc5bs Жыл бұрын
Mnafk mkubwa uyo gari ukiingiza ktk contena unatokea kwenye buti Kisha unalock kwa funguo au kwa rimot sio kuvunja kioo kaonesha yeye hajui kitu pia katumwa kuchafua gari za Africa
@mulijanja4483 Жыл бұрын
Kuna gar azina boot ya moja kwa moja hadi nyuma
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Swali la kijinga unashindwa kujua mtu katokaje basi hta maisha hutatoka daimaa
@givembwilo141 Жыл бұрын
Hapo anatokea kwenye buti
@KATOPE1 Жыл бұрын
Mengi ni salvage
@fredymkanza Жыл бұрын
Huyu ni muongo ....Wasafi mnatuletea watu wa ajabu. Tuitie Chris Lukosi ndie anayeelewa magari ya Muingereza huyo hajui chochote ukiona mtu amevaa suti jua anaishi kwa Kalamu. Chris Lukosi global link mpango mzima Tafuteni hela Range sio gari ya Matajiri😂😂😂
@adamsengo1869 Жыл бұрын
NI KWELI NI GARI ZA WIZI
@collinsstanley6126 Жыл бұрын
Kazi ya remote ya gar ni nin siunabonyeza buti inafunguka unapitia apo nyuma huyu jamaa muongo 🥲🥲upasue kioo tena 🤔😂
Kwa akili yangu ndogo tu gari inafungwa kifaa kinachoweza kuteleza ktk matairi harafu unaisukuma kwenda ndani au unaweza kuivuta..au kifaa chenye matair kinabeba kuingia ndani ambacho kipo kama jec
@joelthomas-mx6gm Жыл бұрын
😅😅😅 NIMECHEKA KISENGE. sikiliza wewe acha kupotosha watu usidhan uingereza na biashar ya Magari unafny peke,ko' kwa afrika kusini kwanini Magari ni bei rahisi cha kwanza lazima utambue hapa south ambapo mm naishi kwa sas ni kwamba huku Kodi ya gari sio kubwa kama unavyodhani. na watumishi wa huku wanapewa nafasi ya kumiliki Magari kwa mkataba wa makato ya ujira kidogo kidogo. na wengiwao ambao wanauelewa uchukua Magari na badae kuyauza. Chapili kwanini range Rover ya south bei ipochini tofaut na uingereza sbb huku ni sub,Africa sio Europe kuna baadhi ya vtu vitatofautiana na za huku zinatengenezwa kukidhi na kukubaliana na mazingira ya Africa. Na kuhusu ukaguzi ukaguzi huku upo Kila mahari. Swali la kujiulz kwnn kuna Magari ya wizi ni kwamba afrikakusini makundi ya kiharifu ni mengi na yanajulikana kbs ambapo hata ww MUANDISHI wa HABARI ukitaka gari ya aina fln ukazama pale SOWETO 5T ni kwerekweche unawapa muda wajuba wanakuletea gari. Na kuhs vibali cjui nn namba ya afrika kusini kwa jangwa la Sahara ndio namba yenye uzito ambao unaweza kuitumia nchi yoyote kwa kulipia malipo eidha ya Kila mwez au miezi mitatu. USITUPANGESANA UKAONA WOTE NI MAANDAZI. ATUJUI KITU. - TUKIENDA ULAYA kwanini Magari mengi ya ulaya ayafanyiwi ukaguzi sio kweli. Gari la ulaya kabra ya kuwasilisha MAOMBI ya kusafirishwa ufanyiwa ukaguzi na kampuni ya ukaguzi husika na bdae taarifa upewa mteja. TATIZO ni wabongo wachache ambao wanaweza kukataa kusema gari mbovu sichukui. UNAPEWA TAKATAKA ZA ULAYA. nandomana unakuta Magari ya Japan gharama inakuwa kubwa kutokana na sheria za wenzetu wa Japan ni tofaut na ulaya wao wanatoa takataka ulaya na kuhamishia afrika. Na japan wanapunguza uharibifu wa hali ya hewa. NA ukubari ukatae Magari madogo mengi yanayotoka ulaya haswa haya ya starehe asilimia 70 uaga ni Yale ambayo yamepata ajari yakafanyiwa marekebisho. SASA NINUNUE RANGE YA ULAYA iliorekebishwa AIRBAG kisa imetoka uingereza na bei juu. Au NINUNUE RANGE YA kisouth inayoshabiana na mazingira ya kiafrika na ikosawa shughur ni kubadir VIBALI VYA UMILIKI. 😂😂😂😂😂😂. - KUHUSU MTU ANATOKAJE KWENYE GARI AMBAYO IPO KWENYE KONTENNA kaka umepuyanga sana wew upo ulaya ya Sunderland nn 😅😅😅😅😅. Unavunja kioo nani kasema nn maana ya remote nn maana ya kioo cha nyuma cha dhalura. Nn maana ya mlango wa nyuma 😅😅
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Njoo na wewe South Africa uibe😂😂😂😂 kama hujavunjwa fuvu kama AKA😂😂😂
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Anajua gari za south ziko vizuri kuliko za kiingeleza sasa anawasomesha lkn ajue dunia kijiji watu wanamuangalia sasa asije jichanganya sana akawa anatia story nyingi
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Ametokea kwenye buti
@valentinetesha8536 Жыл бұрын
hawa viongozi wetu huwa wana agiza magari ya ma bilioni huku barabara ni MBOVU
@mrmhenipm Жыл бұрын
Anatokea mlango wa nyuma
@TALLUBOY Жыл бұрын
Namimi kununua gar kwa mtu aaaaaah Stosubutu hata siku moja
@novaprince9549 Жыл бұрын
Siunaweza kipitia kwenye butt
@barakabaliza639 Жыл бұрын
Mambo ya magali tuwaachie viongozi
@FreeGod368 Жыл бұрын
Boka fighter
@kartelgizemc1590 Жыл бұрын
Haitihusu pambana kwa hali yako
@fredykaitani595 Жыл бұрын
Awo wanatokea kwenye buti mbona nyie akili yenu ndogo.
@wanunegervinho4231 Жыл бұрын
Huwa wanatokea kwa nyuma
@norahazan796 Жыл бұрын
Tatizo watanzania mkieleweshwa mnamuona mtu mbaya ebooo
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
aacahe ujinga wake kama yeye anafanya biashara afanye aache kuaribu biashara za wenzie sio wote niwezi
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Hao ndio wabongo analofanya yeye ndio halali ila wenzie wezi, anasahau yeye anunua gari huko milioni Kumi ye anauza milioni sabini hilo hasemi kama wanawapiga watu ngoja na sisi tukawasanue wazungu
@phinaswai4718 Жыл бұрын
Sasa unaambiwa ukweli unabishana nao, Bongo nyoso😂
@khadijanjama8721 Жыл бұрын
Afadhali umetujulisha mengi mana sisi watz wabishi 😂😂😂
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Wabong tunamaish magumu 😏😏
@hamynas Жыл бұрын
nyie wasafi mnakua madalali wa kuwatangaza madalali wa magari jinga kabisa
@Faridkhalid-z3p Жыл бұрын
Watu wapumbavu kabisa si mtu ametokea kwenye buti hapo au?
@Team-t6k Жыл бұрын
Soko langari nilimoja tu Japan wengi wanababaisha tu
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Wewe kuma atakama gari jipya linaalibika tu kenge wewe
@vincentmushi1247 Жыл бұрын
Mbali na maelezo mazuri na ushauri wa kucheki historia ya magari kabla ya kununua kama ni la uwizi au laah...hakuna hata mtu aliyesema asante na kumpongeza humu...ila sababu hajasema unatokea kwa kupitia mlango wa nyuma au buti...basi watu wanamzodoa,wabongo kenge sana 😂😂😂
@cuvise Жыл бұрын
Kabisa aisee
@jeremiahmwanyanje5012 Жыл бұрын
uyo muongo sana sisi tunaingiza gari kila siku kutoka dizonga na sio za uwizi labda yy ndio analeta magari ya uwizi
@Richardpaul01 Жыл бұрын
Wanapita kweny boot bhn acha uongo hawapasui kioo
@mcback4384 Жыл бұрын
Swali la kijinga kweli, sasa kuna gari isio na mlango wa boot? Kama haina huwa inaingizwa kwa forklift