AKA😥😥😥😥...Make me sing was my favourite from him featuring Diamond platnumz
@wcb4life875 Жыл бұрын
Rip to A.k.A , ila ningeomba haya mambo yakupigana risasi yawe Tanzania pia, kwa sababu naona uhuru umezidi sana tanzania
@tatotato506 Жыл бұрын
Una loombaya sana wewe
@pillyolsen6346 Жыл бұрын
Mm hata unipe na hela juu siwezi kwenda kuishi Afika kusin hacha niishi Tz kwangu mmyaani acha tu ni komae Tz maisha yaende Afrika kusin na American haina kabisa tofauti watu wanauwana nje nje kwakweli maisha acha niyatafute Tz kuna Amani na usalama🤲🙏🏿
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Tupo huku South Africa unachosema ni kweli , To be honest South Africa inatisha florida road na huo mghahawa na ujua jana tulipita pande hizo na rafiki yangu mmoja South Africa ni noma
@tatotato506 Жыл бұрын
@@jiweg-unit5408 fanyeni mludi nyumbani kunatishasana huko
@Yusuflokang Жыл бұрын
R.i.P AKA 🥲🥲💔💔
@robertnamajojo2945 Жыл бұрын
South African wanaishi kwa visasi kama kifo cha senso mala paaah Luck dube uyu apa yani shidaaah Mungu tujarie waja wako.....h
@julienngoy3046 Жыл бұрын
Mbona gafla😭😭😭😭
@sweeteaglepower4773 Жыл бұрын
Jamani jamani
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Jamaniii khaaaa 😢😢😢😢😢😢
@lulually5209 Жыл бұрын
South Africa hakufai jamanii
@kdloon2030 Жыл бұрын
Kuishi huku yatakiwa uwe makini,na roho ngumu pia.Asubuhi jua likichomoza nawe toka,kabla halijazama hakikisha upo njiani warudi home.Giza likiingia nawe hujafika home lolote laweza kutokea popote pale!
@marysadiki1887 Жыл бұрын
Kunafaa sana ukizingua na wewe unazinguliwa
@shehugakwaya71 Жыл бұрын
Apa south wallah tupo kwa nguvu zake Allah
@araphatmussa8599 Жыл бұрын
South sio pakuishi ni kama marekan tu chuma njenje
@mancholotrasco8350 Жыл бұрын
Msije mjini
@producerema291 Жыл бұрын
Daaah😥😥😥
@wcb4life875 Жыл бұрын
Natamani angekuwa Harmonize 😭
@dorisfabian4776 Жыл бұрын
Mh
@dorisfabian4776 Жыл бұрын
Mbona hujamtaja ndugu yako??
@tatotato506 Жыл бұрын
UKIMUOMBEA MWENZIO MABAYA MUNGU ANAANZA NA WEWE KENGE WEWE