RAPA WAKAZI AMSHUSHUA ROMA MKATOLIKI "HUNA HIT SONG KUMSHINDA DARASSA"

  Рет қаралды 6,858

TimesFMTZ

TimesFMTZ

6 ай бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 24
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 6 ай бұрын
Nipeni maua yangu hiyo nyimbo ni Kali sana so kwasabbu ulitia nguvu wew bn..acha kutudanganya
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 6 ай бұрын
Nyie ndo wale wale Darasa alivyotoa maisha na music mlisema anamzidi diamond
@ayubugeorge2168
@ayubugeorge2168 6 ай бұрын
Wakazi namkubari ila kusema hana hit song namkataaaa aiseee
@AhmedAli-oz3np
@AhmedAli-oz3np 6 ай бұрын
Achaaaa ufalaaa huweziiiii kumdogosha romaaa ww Roma ni nambari nyengineee
@user-ei3ry9dy2w
@user-ei3ry9dy2w 6 ай бұрын
Una uwezo wa kumlinganisha Roma na huyu jamaaaa Roma na darasa Roma n next level wamuacha yule Mzee baba
@MohdMohd-hf7rm
@MohdMohd-hf7rm 6 ай бұрын
Lkn anazohits song kukushinda wewe
@user-np5ry2bf5q
@user-np5ry2bf5q 6 ай бұрын
Wakazi hafai kuongea kabisa....Roma anatoa Ngoma fresh...je wakazi umbwa TU🫵🫵🫵
@jajipeter4873
@jajipeter4873 6 ай бұрын
Umeelewa mafa?
@AmanLaizer-rb5rt
@AmanLaizer-rb5rt 6 ай бұрын
❤Dada wa kazi ana tabu kweli
@samirmswahili
@samirmswahili 6 ай бұрын
Wakazi kazi yake ni twita
@sajisikakoko7466
@sajisikakoko7466 6 ай бұрын
Mbona hajishindanishi yeye na Roma
@Djugaripro
@Djugaripro 6 ай бұрын
media kali lakini dk ajui maana kinacho ongelewa na picha ni vitu 3 tofauti
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy 6 ай бұрын
Mbn mmeweka picha ya Nay wamitego?
@MuhuzariIbbuni
@MuhuzariIbbuni 6 ай бұрын
Ulivyotaja torat ya mtaa nimeend kuiyangalia ina miaka saba nyuma na imetazamwa na wat laki sita+ tena ipo kweny page ya chindo Wajobu huwez mziki hakuna anaekujua kihiivyo,darasa ana maisha na muziki ya juzi2 vip unaikumbuka mathematic ya roma je kiba100 na zaid wajob wew niwakaida san😂
@suhailsodeh5444
@suhailsodeh5444 6 ай бұрын
Tz tumekosa watu kama nyinyi 4rl....wakazi uko sw....huyu rapper ngonjera hakuna kitu
@aristidesmtui6593
@aristidesmtui6593 6 ай бұрын
Sema mbona comment zote zipo against Wakazi😂
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 6 ай бұрын
Kwasababu Huwa anawadisi wasafi sa chawa wa hilo grup ndio wanao mponda sana
@ahz6907
@ahz6907 6 ай бұрын
mpuuzi huyu😂
@malombemunyithya9341
@malombemunyithya9341 6 ай бұрын
Oya kwani huyu dada wa kazi nae ni msanii
@noahb2009
@noahb2009 6 ай бұрын
Lady jaydee
@ahz6907
@ahz6907 6 ай бұрын
Zey B 😂
@godblessluvanda9808
@godblessluvanda9808 6 ай бұрын
WAKAZZI kazi yake ni kuponda KAZI za wenzake,,,wakati YEYE kazi zake mbovu
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 6 ай бұрын
😂😂Kwa Nini useme kukushinda ww?? Dara haimbi Hip hop bro. Romba anaimba hip hop. Pia darasa kapata hit song juz juzi Roma tokea 2011 had leo. Mr mathematics nlikua form 2 ila tuliijua kama Sala, Viva Roma tulikua shule ila ndani ya lisaa Kila mahali ,
@romualdmadeniromuald525
@romualdmadeniromuald525 6 ай бұрын
Rudi shule kajifunze mziki
Masanja na Mama Emma | Ukaguzi wa Wafanyakazi
11:12
CHEKESHA
Рет қаралды 53 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
Mother Cat Drinks Lots of Coffee to Get By #funny #catlover #cuteanimals #cartoon
0:21
Super Emotional Stories
Рет қаралды 13 МЛН
НИЧЕГО СЛОЖНОГО
0:21
KINO KAIF
Рет қаралды 3 МЛН