Rayvanny afunguka ishu ya Baddest kulalamika Wimbo wa Sensema ni wake! Azitaja nyimbo alizofanya ambazo hata yeye alitolewa! Subscribe channel hii, LilOmmTV, Like, Comment & Share!
Пікірлер: 143
@ELIASESHAHUАй бұрын
Vanyboy forever, nakuappreciate sana bro👊👊. Nachokupendea kazi inaonekana hauna kiki wala bifu na mtu🔥🔥🔥 utafika mbali sana, keep it on
@tumishogodfrey7899Ай бұрын
Greetings from South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@LuluByamsАй бұрын
Reyvanny my Best Musician in Africa Aunaga mbamba to much love for you My Brother
@gastonamnon700528 күн бұрын
Napenda Video inahusu jambo fulani ukibonyeza tuu Story inaanza 🔥🔥 Safi Lily ommy
@MorningboyCatbrfj64914 күн бұрын
Nakupenda My Brother From Drc
@edwarddastani3691Ай бұрын
Kaka mlete lava lava kwene hii podcast❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@LifewithrozzierozzetteАй бұрын
Greatings from KE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Omari3200Ай бұрын
Lilomy unajuw kuongeya namt vizuri mlet lavalav
@mrsinia3064Ай бұрын
Hapo ray kanyoosha maelezo kwer 👍✅✅
@lizonameАй бұрын
Vivan boy nakukubalia mwangu one time nitafanya ngoma na ww brother.
@modimusictzАй бұрын
Lilyomy naomba nikushare kitu wakati msanii anaojiwa hapo akitaja ngoma mwambie editor awe anaiweka katika video itapendeza zaidi
@azzwrld4097Ай бұрын
youtube wanaishusha kwa issue za copyright ndo mana huwa awawekii walaa nyimbo
@SlsProductionTzАй бұрын
Direct and straight V vanny bway
@ChancelineCatherine-bj6jdАй бұрын
Jamanie Ray kweli kbx
@ramadhanvennyboy3940Ай бұрын
Namkubari sana vanny
@vanchillahvanchillah7691Ай бұрын
Rayvanny umeuwa sana umenyoosha kaka safi sana kaka
@Owngoal-op8ysАй бұрын
Namkubali sana Chui
@elsabio119 күн бұрын
Uzuri wa ray yuko real sana🎉
@eleven-in5qwАй бұрын
Lilommy tuletee diamond tafadhali
@ronzevannyboychui1661Ай бұрын
Chui ❤❤🎉🎉 namkubali sana ❤🎉
@johnnyharrymusic466624 күн бұрын
Ray una rohoo safii sanaa , whozuu kumbe shogaa tu , hawezi kujiekea verse .vile ana nyodo sana uyo dogo
@aminanunguАй бұрын
Poleni san jamani kumbe mziki nao unachangamot kias hicho
@jeremiahzabron2886Ай бұрын
Namukubali reyvn amenyoka san🔥🔥🔥🔥
@user-oq6es8jh5dАй бұрын
Vay boy Huna Bay mwang🎉
@BrunojnrMzАй бұрын
Rayvanny unaongea vizuri sana🎉
@gamatv2111Ай бұрын
Ambao Tumefatilia Toka Mwanzo hii Interview Gonga Likes hapa