Oya kiswahili burundi siyo noma.Sema hao waliomhoji maswali ndio hawakunyosha kiswahili ipasavyo ila ujue vigogo hapa ambao kama wangekuwepo aisee nanyi mngeshangaa.Mimi mrundi wa asili kindakindaki ambaye alikivalia njuga
Sio Kauri ni "Kauli" ila watangazaji wa Burundi jaribuni bas muwasogelee watoto wamjini, wakosowe Kiswahili (mtakacho post na kuuliza maswali...)
@PetitBurundi6 ай бұрын
Sat b hejuru cane❤❤😂😂
@Jery12306 ай бұрын
Pip kaka ehh labda ampe collaboration na drama T our double jay
@placidofficial25786 ай бұрын
Rayvanny angesema ukwl mziki haana mpaka
@irakozedonjuste75946 ай бұрын
Atinya iki yovugako abarundi bakora ibiririmbo bibishe yobabaye iki guca kumpande abesha😢😢
@Zadig_Le_Juste6 ай бұрын
Chui namkubali sana.Lakini Landry title zako zinabowa sana.Unapaswa kutafuta mtu ambaye atakuwa anakusaidia kuandika captions zako
@kidesnassor1466 ай бұрын
Niko wakwanza naomba like
@violetteniyongabire38596 ай бұрын
❤❤❤
@rojasjonas64516 ай бұрын
Rey kama Rey
@BTD_SKIT6 ай бұрын
Ila watu wa Burundi 🇧🇮 mbona ni ngumu saana kupata watu wanaojua kuuliza maswali vzr au ni lugha 🤷🏼♂️😂 Landry mbona siwaelewi au nianze hzi kazi na mimi 🤦🏽♂️nije kuokoa katika kitengo chenu cha utangazaji 🤷🏼♂️
@nshimirimanacelestin29306 ай бұрын
Oya kuna wanaojua na wengine ambao hawajui.
@elifazek52066 ай бұрын
❤
@radicaemmyradia6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kiswaili chawa Burundi shida angalia title ya hiii interview ya hittop tv 😂😂😂
@nshimirimanacelestin29306 ай бұрын
Noma kivipi tena?
@Shabanias6 ай бұрын
Landri ambia wasani wenu waimbe nyimbo zao kwakiswaili nchi nyingi iliwafike mbali watafute makolabo pia wasambae nnje yainchi