Rayvanny feat Diamond Platnumz & Khalil Harrison - NESA NESA (Official Music Audio) (Track No.2)

  Рет қаралды 1,221,748

Rayvanny

Rayvanny

Күн бұрын

Пікірлер: 1 600
@SGmamigos-v1j
@SGmamigos-v1j 10 күн бұрын
Kam unasikiliza hii Ngoma Alf mzm ebu mshukuru mungu sana 🙏🏻
@mtzditone9147
@mtzditone9147 8 күн бұрын
Amiina🙏🏽
@JackisoniNnko
@JackisoniNnko 7 күн бұрын
ume uwa
@RajuStal-gn4yq
@RajuStal-gn4yq 7 күн бұрын
Nashukulumgu kwa afya ibaliki famili yangu pia iwe salama
@pence_fx
@pence_fx 11 күн бұрын
Ray amempata Simba kwenye nyingine, ni hit 🔥 upendo mwingi kutoka kwa ndugu zako wa Cameroon 🇨🇲 🇹🇿 ❤🔥🔥🔥🔥
@Jk_rules_
@Jk_rules_ 11 күн бұрын
Mkenya wa kwanza hapa buana🇰🇪💯❤️🔥
@sigfridfrancis9088
@sigfridfrancis9088 11 күн бұрын
Comment tu nd ikutoke
@niccogreen
@niccogreen 10 күн бұрын
Nesa nesa kama mkambaaa😂😂😂😂kaseeee
@benjaking9153
@benjaking9153 10 күн бұрын
​@@niccogreen Ndo nasema 😅😅 kasee
@patrickzedyper3686
@patrickzedyper3686 6 күн бұрын
Nesa nesa tu mwanangu
@jacksonshangai5761
@jacksonshangai5761 6 күн бұрын
Nesa Nesa ikutoke
@rivingstondaniel-rz5qn
@rivingstondaniel-rz5qn 10 күн бұрын
Anae soma hii comenty mungu amubaliki amalize mwaka salama na familia yake
@Malopatz
@Malopatz 10 күн бұрын
aminaa
@DanielImani-s5l
@DanielImani-s5l 10 күн бұрын
Amen 🙏
@rivingstondaniel-rz5qn
@rivingstondaniel-rz5qn 10 күн бұрын
Thank you for your
@godfreydesdery3116
@godfreydesdery3116 9 күн бұрын
Amina
@VeronicaMozes
@VeronicaMozes 7 күн бұрын
Amina 🎉
@MosesModoga
@MosesModoga 11 күн бұрын
Rayvanny akipatana na Diamond huwa hawaangushi🎉moto kama pasi❤
@philipotieno9996
@philipotieno9996 8 күн бұрын
😂😂 Chuuui huwa akipotea tu ni Diamond tu anakimbiliiia tu Nesa Nesaaa ngoomaa nzurii lakiiinii.❤❤
@georgemapesa5729
@georgemapesa5729 7 күн бұрын
umekisoma huwa ni kioga ndio maaan huwa akinyi shit kwa mond tuombe mungu na konde abadilike
@sabrinakassimu
@sabrinakassimu 11 күн бұрын
ewe mwenyezi mungu naomba utujalie tuvuke huu mwaka salama tuiyone Tena tare 1 mwaka 2025 sema inshallah 🙏 mungu atu tangu lie
@ChannellaChacha
@ChannellaChacha 11 күн бұрын
Aamiiin Insha Allah
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 11 күн бұрын
Amin
@jbboy_bdi2512
@jbboy_bdi2512 11 күн бұрын
Sababu umetambua ni neema za mwenyezi Mungu Uishi Miaka 100+ na zaidi 🙏neno la nabii👳‍♂️
@nasibuomary7981
@nasibuomary7981 11 күн бұрын
Aamina inshaallaaah!
@ChipolaTarick
@ChipolaTarick 10 күн бұрын
Amen
@FurthermanSaliver
@FurthermanSaliver 10 күн бұрын
Ahsante Mungu Kwa Kuwa Salm Mpka Sas Wabaribik Wote Watakao weka Like Kweny Comment Yang Na wengineo Goma Kalk Sana man
@Jk_rules_
@Jk_rules_ 11 күн бұрын
Kidogo mmeniangusha hapa.
@o.ballek.e4265
@o.ballek.e4265 10 күн бұрын
Rayvanny kaiangusha
@DremoDreezy-pk4ud
@DremoDreezy-pk4ud 10 күн бұрын
​@@o.ballek.e4265Mkundu wako
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 10 күн бұрын
Wamekuangusha hujaumia au haujavunjika hata mkono mbwa wewe
@elvira9325
@elvira9325 10 күн бұрын
Mm hata sielewi anachoimba nasikia tu kilikikiii
@NoName-pp4lo
@NoName-pp4lo 10 күн бұрын
​@@elvira9325 Kama huna D mbili huezi kuelewa..
@OtasKitera
@OtasKitera 4 күн бұрын
Hi ngoma imeombewa kwaiyo usiogope kusikiliza ata ukweni...😊😊😊
@KelvinMutua-f1g
@KelvinMutua-f1g 10 күн бұрын
Mm any song ikona Simba👑🦁uwa naipenda.... Diamond the G.O.A.T ..nangoja collabo ya Simba na Marioo🔥 Amapiano
@bkptatastashtamz-nl7jw
@bkptatastashtamz-nl7jw 10 күн бұрын
Mmeiskiliza corasi ya Khalil Harrison dogo anajuwa sana 💯💯NESA NESA
@Mayeyetz
@Mayeyetz 11 күн бұрын
Wanangu wa diamond platnumz mzee lamasimba dangote❤❤ like 👍 👌 ♥️ nesa nesa
@adikavincent974
@adikavincent974 9 күн бұрын
hakuna kitu wameimba hapa kelele tuh ibraah na konde wamefunga mwaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MwombeKevin
@MwombeKevin 10 күн бұрын
This guys never disappoint us gonga like ya Diamond tukisonga😢😢
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 20 сағат бұрын
❤❤❤
@DremoDreezy-pk4ud
@DremoDreezy-pk4ud 11 күн бұрын
How many Kenyan's are here to support RAYVANNY DIAMOND PLATNUMZ & KHALIL HARRISON ❤🇰🇪
@Official_Evara
@Official_Evara 9 күн бұрын
WATINDATA?
@todo_tz
@todo_tz 11 күн бұрын
wa kwanza kufika jamani❤❤
@Leoballs.001
@Leoballs.001 11 күн бұрын
So
@leykekasereka
@leykekasereka 10 күн бұрын
Ki ! Ki ! Ki ! Ki ! 🔥🔥🔥 Haujuiii❤❤❤
@albinhohasla7531
@albinhohasla7531 11 күн бұрын
Number one on this sound chui 🎉🎉🎉🎉🎉
@franklukazula
@franklukazula 10 күн бұрын
Abarumdi Tumenyane❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮God bless Burundi 🇧🇮♥️♥️♥️
@MethodeSmith-e1g
@MethodeSmith-e1g 9 күн бұрын
Turi hano
@grizu10
@grizu10 7 күн бұрын
Simba & Chui… Expect nothing but HIT from these two 🔥 Let’s walk to 2025 like Ee Nesa Nesa! 😂🫶🙌
@hakeemzero9677
@hakeemzero9677 10 күн бұрын
Kama nyimbo mbaya na hamujaielewa waambieni
@Madogodigital
@Madogodigital 10 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mdasaboi
@mdasaboi 10 күн бұрын
...live babuu ni kuwachana tu mamelody yale yalee 😂😂😂😂
@Mazombi-g9j
@Mazombi-g9j 10 күн бұрын
Ngoma mbaya kweli mm cjipata kabisa
@allycruzz3991
@allycruzz3991 9 күн бұрын
I don’t understand anything here 😂😂😂😂 stop kidding people bad vibes. I swear this song is wack
@MR.DIESEL-i7z
@MR.DIESEL-i7z 9 күн бұрын
Aaa wee goma kaliii🎉🎉🎉🎉
@princemusa7167
@princemusa7167 10 күн бұрын
Yani ukiwa na diamond platnumz kwenye wimbo wako jua uko na hit hata akikohoa hio inahit twende i say ne nene 🔥🔥🦁🐆🌍🌎
@GubuTv
@GubuTv 8 күн бұрын
😁😁
@FadhilaSalum-zv8nn
@FadhilaSalum-zv8nn 8 күн бұрын
Apo bro umeongea😅😅
@Bigger.99
@Bigger.99 8 күн бұрын
Video ishuke haraka tunataka tujae juu kwenye trending 🎉🎉🎉❤😊😊
@diclopar4687
@diclopar4687 8 күн бұрын
Ray vanny ndio kaimba mziki tuna ujua vyema Sana Ray vanny 🎉🎉🎉 unafanya sana
@theKongowea_mswahili
@theKongowea_mswahili 10 күн бұрын
Aikekeke🎉Nazani Chui na Dangote wakipatana fosi lao zito.Ngoma yao na nane pamoja sio.❤
@Akilimbilicomedy77
@Akilimbilicomedy77 10 күн бұрын
Nijue wote walio ikubali hii Ngoma naomba mlike hapo chini❤❤❤🎉🎉🎉
@Doska2008
@Doska2008 11 күн бұрын
How many international fans are here to support Rayvany & Diamond Platnumz?❤
@Davidmue254
@Davidmue254 8 күн бұрын
Nesa nesa wakamba tumefikiwa🤪✅
@AndrewFundi
@AndrewFundi 11 күн бұрын
Wakwanza leo jamani show love kwakulaki from 🇨🇩 n🎉🎉🎉🎉
@D.SavageClassic
@D.SavageClassic 10 күн бұрын
Na Simba lama 🔥🔥🦁🦁
@lavie7781
@lavie7781 11 күн бұрын
Wa kwanza jmn naomben like hata. 10
@Sunset23-n4i
@Sunset23-n4i 10 күн бұрын
Tunafunga mwaka kwa kunesa nesa 🎉🎉🎉
@risperochola342
@risperochola342 11 күн бұрын
❤ much love from kenya 🇰🇪
@kjb_user0077
@kjb_user0077 10 күн бұрын
Hamuna kitu huu wimbo Naomba mondi kamubania dogo hajaimba kwenye ubora wake tunao ujua
@DremoDreezy-pk4ud
@DremoDreezy-pk4ud 10 күн бұрын
Kumamako
@magibutv9567
@magibutv9567 11 күн бұрын
Gonga like kwa diamond platnumz ❤
@LedoBoy-topic
@LedoBoy-topic 11 күн бұрын
Ravynnay diamond platnumz ewe mwenyezi mungu naombaomba utujalie tuveke huu mwaka salama tuiyone tena tarelmw aka 2025 seme insh 🙏allah mungu atu taungu lie
@HuwezoRajabu
@HuwezoRajabu 11 күн бұрын
Chui SIMBA 🦁 🔥
@hakiba1207
@hakiba1207 10 күн бұрын
Ukiona simba analeta nyama ujue kashiba sasa huu ndio mwaka wa vita kaliiiii Mondi na kiba Ibrah na vanilla wa king's
@OGYOUNG260
@OGYOUNG260 10 күн бұрын
Zombie ft Rayvan than back again for Amapiano naombeni like zanguu❤❤
@Barnizeboy
@Barnizeboy 11 күн бұрын
Leo nime kuwa wa KWANZA kutoka dr Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu ❤❤
@FIRE_REAL_TZ
@FIRE_REAL_TZ 11 күн бұрын
ALL SUPPORTERS OF CHUI🐯 let's gathering here 🙌🙌🙌🙌💯
@djfabricecigunda9593
@djfabricecigunda9593 9 күн бұрын
Rayvanny una haribu nyimbo nzima Na mistari yako ya kitoto😢
@mr_yassinofficial
@mr_yassinofficial 11 күн бұрын
Hapa msanii wangu ni Rayvanny tu 🔥
@ByiringiroAime-g2z
@ByiringiroAime-g2z 10 күн бұрын
Love from Rwanda🇷🇼🤘🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@mbavutatumedia5534
@mbavutatumedia5534 11 күн бұрын
Nataka niwaone mashabiki wa Simba lama damu damu❤
@roshmybeiby3703
@roshmybeiby3703 4 күн бұрын
@rayvanny ❤❤❤❤Sema RAYVANNY unaakili KINYAMA umenishinda tabia mungu akubaliki sana na ambaliki Kazi zako nakuombea
@JustinKjs-z5x
@JustinKjs-z5x 11 күн бұрын
Wa kwanza from #DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Naomba mauwa yangu Jameni🥰🥰🥰
@MohamediJaziry
@MohamediJaziry 10 күн бұрын
Dah kiukweli tumechoshwa na aya mapiano sijui tupeleke vilio vyetu wap ili tusikike tumechoshwa na magoma magoma ebu tuludisheni kwenye hasili yetu bongo fleva tunamisi sana 😭😭😭
@tridun.65
@tridun.65 10 күн бұрын
Bongo hamtaki kusupport spotify ....bongo zimetoka mingu
@eugenekimutai8786
@eugenekimutai8786 10 күн бұрын
Imjne watu wameua bongo n hzi nyimbo za kipuzi ndo watu wanasupport tu
@RichardJustine-r2m
@RichardJustine-r2m 10 күн бұрын
Mbn wakitoa unaskiliza na kudownload kama hauyapend nn kimekuletac😂
@MohamediJaziry
@MohamediJaziry 10 күн бұрын
@RichardJustine-r2m dah binadam bhana kweli kilamtu na kichwa chake na uwelewa wake sasa bila kuplay na kusikiliza utajuaje kuwa hiki nini au wewe unaweza kukijaji kitabu bila kukifungua ndani na kukisoma
@EdigarGodfrey
@EdigarGodfrey 10 күн бұрын
Mbona zuchu ametoa walewale bongofreva kabisa lakini husikilizi
@AdelinaJames-s5h
@AdelinaJames-s5h 11 күн бұрын
Ngoma Kali sanaaa🎉🎉🎉
@FreddyJackson-d3m
@FreddyJackson-d3m 5 күн бұрын
Nan amerudia huu wimbo 100 iko sawa 💪💪
@SalvadorFilipeCastigo-wo1wb
@SalvadorFilipeCastigo-wo1wb 11 күн бұрын
BIG SONG 🎤🎧🎼🇲🇿💪🏽
@ShukuJimmy
@ShukuJimmy 10 күн бұрын
Nilivo mwona tu fundii Khalil Harrison nikajua kichupa Cha moto dg anapiga amapiano uyu.
@yussufdisi2411
@yussufdisi2411 11 күн бұрын
Jaman naomba likes Leo siku yangu ya birthday 🎈
@puritymumbe-ps9vh
@puritymumbe-ps9vh 10 күн бұрын
Happiest birthday 🎉🎉🎉🎉❤
@EmmanuelDaniel-bt8fv
@EmmanuelDaniel-bt8fv 11 күн бұрын
Mashabiki wa SIMBA tujuane 🦁🦁
@abdul16abeidabdallah
@abdul16abeidabdallah 10 күн бұрын
amna nyimbo apa Tufanye amapiano ziishe tumezichoka nyumbo mbovu inaumiza masikio unakela kuusikilza 😢😢
@AzizaIlembo-i6f
@AzizaIlembo-i6f 10 күн бұрын
😃😃😃😃😃😃😃wewe kama mimi umejuwa kunichekesha 😃😃😃😃
@badestoper1929
@badestoper1929 11 күн бұрын
Hapa Marioo Ndo mmemuua kabisa kmamake😮😢
@samuelmwatsuma4462
@samuelmwatsuma4462 11 күн бұрын
Kila mtu ashinde mechi zake
@FrankMgaya-s3i
@FrankMgaya-s3i 11 күн бұрын
Nyimbo yenyewe mbovuhii in doom funike totobadi hawamuwezi hatawaje wcb wote Toto badi ninomawewe #wangu #soba#marioo tz
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 10 күн бұрын
​@@FrankMgaya-s3i😅😅😅😅jifariji mamae😅😅😅
@Faridah23
@Faridah23 10 күн бұрын
​@@FrankMgaya-s3ibaba amara wa moto😂😂
@Faridah23
@Faridah23 10 күн бұрын
Kwa kipi. Kama ni kwa hii nyimbo amka usijikojolee 😅😅
@JacklinPatrick
@JacklinPatrick 4 күн бұрын
Rayvann unajiuwa kimziki wewe mwenyewe mbona hii ngoma kalii lakn hauipi plomooo unafeliii wapii
@djfacebook8814
@djfacebook8814 11 күн бұрын
Yoooo number 1 ieende mjini
@irakozegetry7460
@irakozegetry7460 10 күн бұрын
Wakuaza apa 🇧🇮. Ni peni likes .tunakupenda chuiiiii na wezombi.Fanya una NESA NESA🗣🗣 piano piano........🎉🎉🎉🎉
@AndrewFundi
@AndrewFundi 11 күн бұрын
Wanao mkubali simba ebutukutane apa ❤❤
@mukashemaaisha-r8p
@mukashemaaisha-r8p 4 күн бұрын
Rayvanny kipenzi cha Africa nzima❤️❤️❤️
@HussainMohammed-wr8rf
@HussainMohammed-wr8rf 11 күн бұрын
🐆&🦁 always never disappoints Us💯🔥
@benjaking9153
@benjaking9153 10 күн бұрын
Nesa nesa kama wakamba😊
@JohnAbuto-j2p
@JohnAbuto-j2p 10 күн бұрын
😂😂😂😂
@chidi_don
@chidi_don 11 күн бұрын
Bro kali sana hi ngoma yani ni unyama tu humu ndani yani sio poa SIMBA 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@ahmadabdoul
@ahmadabdoul 11 күн бұрын
Acha unafki ngoma mbovu ya hatari blaza
@countymusic-ur9tf
@countymusic-ur9tf 10 күн бұрын
Waue Mzee baba CHUIII Pluto kitchen haijawahi toa kazi mbovu
@kendricgeorge603
@kendricgeorge603 11 күн бұрын
Yaani hata nikifa leo nikazaliwa upya bado ntamchagua rayvany. Likes jameni 😂😂😂
@LangxSheby
@LangxSheby 10 күн бұрын
Daah aya maisha muuza mtumba ukisha jitengeneza Brand mzuri hataka ukachukua nguo mbovu wahuni watakuchangia tena kwabei kubwa tu ndiokama kwa Diamond hataka akaimba kibovu watu safi safi ila tuongee ukweli nyimbo hii mbovu kinoma
@tplatnumz
@tplatnumz 10 күн бұрын
Ukitoa Wewe Wimbo Mzuri Inatosha kabisa😅
@LangxSheby
@LangxSheby 10 күн бұрын
@tplatnumz jinalako tu linafanya nikuone ujakomaa kwenye industry ya music
@MrZart
@MrZart 11 күн бұрын
*Piano, piano! 🎹🎶* *All hail the might and power of the logdrum!🥁*
@danielaloyce8418
@danielaloyce8418 10 күн бұрын
moto juu ya moto wasouth yote tuko hapaa😁🤑
@Melau001
@Melau001 11 күн бұрын
Mamaake hii ndio enyewe ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
@SmithAfande
@SmithAfande 5 күн бұрын
🎉fanya una nesa nesa🎉 let's party wenye wivu wanyongwe usiku wa leo
@Danwillz
@Danwillz 11 күн бұрын
huwa nakubali duo ya mondi na rayvanny 🔥🔥🔥
@jtdphenom
@jtdphenom 9 күн бұрын
Ngoma hamna ubunifu. Mbaya. Hamna kipya na ni ujinga tu.
@tz.nordy_1
@tz.nordy_1 6 күн бұрын
Anazingua
@jtdphenom
@jtdphenom 6 күн бұрын
Mziki wa Tanzania utachukuaje Grammy Kama tunaimba. I wanti to party 😂, hata huyo msouth hamuoni alivonyoosha verse zake. Hawa chui na simba wanapita Kama panya na nyau, kelele tu hawaeleweki. Na Mimi wakifanya vizuri nawasifiaga, Ila kwa huu upuzi ni heri nisikilize underground!
@Gilanmusic
@Gilanmusic 6 күн бұрын
Sana 😂😂 welcome broo nafanya music​@@jtdphenom
@MkandamaChance
@MkandamaChance 6 күн бұрын
Ndio nikweli kabisa shii 😏😏 akuna song 🎵 hapa
@BonifasiMwashitete-h2w
@BonifasiMwashitete-h2w 11 күн бұрын
Naombeni like zanguu wa Kwanzaa
@Leoballs.001
@Leoballs.001 11 күн бұрын
Kwani lzm
@BonifasiMwashitete-h2w
@BonifasiMwashitete-h2w 11 күн бұрын
😂😂😂😂 utakuwa Tim bomb claact
@Leoballs.001
@Leoballs.001 11 күн бұрын
@ amna mm tim simba shida kila m2 comment section anaandika 1st 1st like bots pmo ong💀😮‍💨
@BonifasiMwashitete-h2w
@BonifasiMwashitete-h2w 11 күн бұрын
Angalia wimb unamda gan na angalia na mda wa koment ya mtu apo ndo utajua
@BIOBIBER_Musician
@BIOBIBER_Musician 11 күн бұрын
Huna akili🎉🎉😂😂😂
@erickkinyere9185
@erickkinyere9185 8 күн бұрын
Chui by chibu nesa nesa🎉🎉🎉❤💫💫💯🗯💥
@Jaydanny_Chawaboy
@Jaydanny_Chawaboy 11 күн бұрын
Nimekuwa kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤😢😢😢😢😂😂❤❤😂😂
@MakulaStudios
@MakulaStudios 9 күн бұрын
Huyu jamaa siku hzi kusikilzwa mpka colabo na simba😂
@Msaniiplayboieceleb
@Msaniiplayboieceleb 11 күн бұрын
We zombi ❤❤❤❤wapi like za Diamond Platnumz with another collabo with rayvanny
@ChrisHgnss
@ChrisHgnss 9 күн бұрын
Uo mbeats si utafanya wanakanyagan❤❤❤ Simba kauwa
@MozeNation
@MozeNation 11 күн бұрын
WA 1 KUONA COLLAB YA RAY VANNY NZURII ❤❤❤
@mukashemaaisha-r8p
@mukashemaaisha-r8p 4 күн бұрын
Vanny boy💪💪💪🔥🔥🔥
@linkasaika
@linkasaika 11 күн бұрын
Wa kwanza nipewe likes kenya.❤❤
@RashidYahaya-f9d
@RashidYahaya-f9d 9 күн бұрын
Nesa nesa 💥💥#watot wa mama
@allyally4344
@allyally4344 11 күн бұрын
Wanaosema nyimbombaya like hapa 😂
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 10 күн бұрын
Mwambie alike mama ako mamae😅😅
@chingamediaog
@chingamediaog 10 күн бұрын
nikweli nyimbo baya au wanao sema zuri dawa imeingia
@NzurryMagix-y4u
@NzurryMagix-y4u 10 күн бұрын
@@peteremmanuelymatwimatwiem3258 mama hausiki kwenye acha ujinga
@NzurryMagix-y4u
@NzurryMagix-y4u 10 күн бұрын
@@chingamediaog mwanzon nyimbo yeyote aga mbaya ila promotion ya nyimb ikianza utaipenda we subir hata komasava ilikuwaga mbaya😂
@NzurryMagix-y4u
@NzurryMagix-y4u 10 күн бұрын
@@peteremmanuelymatwimatwiem3258 mama hausiki apo
@Khayrat-i6l
@Khayrat-i6l 4 күн бұрын
simba na chui wee huogopi dah hiligoma Kali sana asee niraha tunapelekewa moto mno ❤🙌🙌🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@alliyhassani3703
@alliyhassani3703 11 күн бұрын
Wa kwanzaaa 😂😂🙌🏽
@ChristinaWilson-t5x
@ChristinaWilson-t5x 9 күн бұрын
Nesanesa bila kupoa😂🥰#Watoto Wa MAMA
@dvdkim224
@dvdkim224 11 күн бұрын
Wimbo mkali Sana✋✋ Sema tu unafeli kwa kuzichukulia ngoma zako kawaida hata zinapokuwa hit songs.
@BahatiCimpaye
@BahatiCimpaye 2 күн бұрын
Namuomba vanny chui Atowe iyi vidio Haraka sana rayvanny na mkubali 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@kibisionlinetv
@kibisionlinetv 11 күн бұрын
Leo nimekua wa kwanza
@mukashemaaisha-r8p
@mukashemaaisha-r8p 4 күн бұрын
Simba🦁+chuiii🐯
@watsonchaula1302
@watsonchaula1302 11 күн бұрын
Huyu khalili harison auwawe 😂😂😂 ana balaaaaa
@MrFrelum
@MrFrelum 8 күн бұрын
Vizuri sana kaka zangu kwa kifunga mwaka nesa nesa wa pinzani mujipange
@KihomboHimself-dj5hi
@KihomboHimself-dj5hi 11 күн бұрын
Wa kwanza Leo na Mimi like zangu
@mukashemaaisha-r8p
@mukashemaaisha-r8p 4 күн бұрын
Chuiii 🔥🔥🔥❤❤❤🇧🇮
@vickiekimaniii9003
@vickiekimaniii9003 11 күн бұрын
Nesa Nesa kwani nyinyi ni wakamba
@tinotz-k8y
@tinotz-k8y 11 күн бұрын
Inabidi tuifikishe leoleo views one million Ndan ya masaa mawili
@njwangaboe24
@njwangaboe24 11 күн бұрын
Jmn wakwanza kutoka Zanzibar naombeni like zangu🎉
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 71 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,6 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 29 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 197 МЛН
kontawa: Toilet (official Visualizer)
3:54
kontawa
Рет қаралды 135 М.
Zuchu ft Diamond Platnumz - WaleWale (Official Lyric Audio)
3:55
Ruger, Bnxn - RnB EP Mix by Dj Kaylore
19:21
DJ KAYLORE 🎧
Рет қаралды 1,2 МЛН
Maua Sama feat Alikiba - Itakuwaje (Official Music Video)
3:21
Rayvanny feat Alikiba - Naoa (Track No.3)
3:21
Rayvanny
Рет қаралды 269 М.
Diamond Platnumz - Yatapita (Official Lyric Audio)
5:00
Diamond Platnumz
Рет қаралды 7 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 549 М.
Diamond Platnumz - Holiday (Official Lyric Audio)
3:39
Diamond Platnumz
Рет қаралды 614 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 71 МЛН