Wakenya wenye tunamkubali ray tuwachie comment na like
@MonicaMboya-t3o16 сағат бұрын
Ongera rayvany na phina mmejua kuimba
@ShadoneBido-t1lКүн бұрын
Dah! Phina hatari sana huyu dad had kweny kuigiza ni hatari,, angalia alichokifanya hapo kwenye hiyo scene ya "Najiona mjinga wa mapenzi " aisee kama nawe umeliona hili thibitisha kwa ku like comment hii
@AlmaCisse2 күн бұрын
Nyimbo safi sana.... Wa kwanza kutoka kenya Likes zetu na maoni hapa
@mwinyialiКүн бұрын
nyinyi si mumesema nyimbo ya ray takataka
@TarimboClasicКүн бұрын
Taka taka@@mwinyiali
@charitymuli6375Күн бұрын
Ww kojoa ulale@@mwinyiali
@josephnchama98919 сағат бұрын
@@mwinyiali😂😂😂😂😂
@charitymuli637518 сағат бұрын
Nilisema ukojoe ulale😁😂@@mwinyiali
@user-chaliboy2 күн бұрын
Rayvanny fany ngoma moja na FOUNDER TZ itapenda Sana Sema unajuwa Sana kijana🎉🎉🎉
@AndrewFundi2 күн бұрын
Nakupenda from 🇨🇩 bonge langoma ❤
@ronofestus992 күн бұрын
Watching from kericho Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi likes ya rayvanny
@Samiazke2 күн бұрын
Tulio pitia mengi kwa neno mapenzi gonga like 😢
@ViviRoma-h9rКүн бұрын
Ni subscribe basi 😊
@MaryIrungu-i9hКүн бұрын
This my story back 2019
@kenyanstarofficial6548Күн бұрын
Kenyans wenye tunaupenda mziki wa Tanzania tufike hapa na likes.❤️❤️ Wenye washawahi teseka juu ya mapenzi bado likes ni hapa🎉🎉🎉🎉wimbo mzuri na ushauri kwa wanaoteswa na mapenzi
Huu wimbo umenikumbusha mbali hadi nimelia 😭😭😭,2020 karibu nikufe in the name of love na kumvumilia mume💔,aki jamani tuambiane tu ukweli if it hurts then it's not love,love is not suppose to hurt lakini sisi wadada tunavulia kwa kuogopa what will society say,society pia inatulet down 😢🥲🥲kwa wale mnavumilia bado naomba mwenyezi Mungu awape ujasiri wa kutoka kwa ndoa/ mahusiano ya haino hiyo before is too late,husijali jamii itakusema aje kumbuka maisha yako ni ya muhimu kushinda kitu kingine.
@omarynzegea23742 күн бұрын
Bonge langoma rayvany kaka ume piga zakizaman apo atali
@Vaiva425418 сағат бұрын
Hosipitali zote wananijua ,nilishashwona alivyopasua😢 that line is so painful
@Dasilvadems12 сағат бұрын
chui tena kk nakubali sana kazi yako 🇧🇮🇨🇩
@MaxMathayoКүн бұрын
Wimbo wangu Bora kwenye album nimependa sana ushauli wa Kaka
@ramayonline2281Күн бұрын
Perfect combo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@LydiaKabyasiКүн бұрын
Nakupenda sana Ray Wangu mungu akulinde kaka yangu ❤❤
@ramajuma56202 күн бұрын
Daah nimetok kuangalia chieting nimekutn huu moto tena aloo umejipnga vyema naomben like nying hap
@SoudEdward16 сағат бұрын
Hii nyimbo rayvan,,, inaitwa komesha dharauuuu,,,, hii nyimbo itaish kama I love you na happy birthday,,, pongezi kwa nyimbo itakayoishi miaka mia
@DilanFamousКүн бұрын
Asa huu ndio mziki wetu na rayvanny kwenye nyimbo kama hiz unanyosha 🙌🙌🙌 love this song 🥤 ♥️♥️♥️
@badboyjephanie-uh3mz2 күн бұрын
Tunao mkubali rayvanny tujuane kwaku like hii comment
@AMBUBIWILLISКүн бұрын
Willy Paul Rayvanny mkimbizi😂😂😂
@ViviRoma-h9rКүн бұрын
Ni subscribe basi 😊
@ValentinaJohnson-i3tКүн бұрын
Nimelia et 😩 , mapenz hayaa🙌
@everlynesheila777120 сағат бұрын
Bonge la Ngoma,Kuelimisha kuhusu Gbv
@ObèdeBruninhoКүн бұрын
Na Huku Moçambique🇲🇿 tumeipenda sana ♥️♥️♥️♥️♥️👍
@fatumakibwana8363Күн бұрын
❤❤😊😊😊ino nyimbo 🙏 ravvany umemgusia ex wangu kbisa
@VgmukomboziOficielКүн бұрын
Hongera rayvanni kuna kitu unacho ujumbe uko ndani album Yako is the best nasubiri vidéo Yako n'a king ❤❤❤❤