Kama mungu alisha wayi kutendeya maajabu liké mungu ni mungu Aleluyah .. MUNGU abariki uyu ambaye anasoma uyu ujumbe Na ambaye anayo sikiliza wimbo huu❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
@EddoBarnabasКүн бұрын
❤
@frederickferooz3 күн бұрын
Naitwa rayvanny wa Congo 🇨🇩🇨🇩 nahitaji hata like inne tu
@AsiaRamadhan-dr2uu3 күн бұрын
Kama unamufatiliya mutumishi wa mungu mwaposa ngoga like hapo
@aloycekiwia8613Күн бұрын
Mambo?
@AmaseAdoka3 күн бұрын
Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake kama unaamini mungu habagui piga likes ❤❤❤❤❤ much love to Ray from 254 tupe like ❤❤❤❤
@chifuwasalimatz29712 күн бұрын
Mungu habagui???
@GodwinJohnSilaКүн бұрын
@@chifuwasalimatz2971yes 💯✋😅❤
@Samiazke2 күн бұрын
Acha ata mm nijaribu❤ singing 🎶 Unaona tuko sawa, uyo ni Mungu Kwa magonjwa akawa dawa, yeye ni mungu Uo mwaka ametulinda, uyo ni Mungu Ata ujao tutauona, yeye ni munguu.. Endeleza.... Much love, weka like kama unaamini 2025 tuaiona❤
@MozeNation3 күн бұрын
LEO NIMECHELEWA KUWA WA 1 ILA NIPENI ❤
@davidmwamelo65253 күн бұрын
Kaka hii nyimbo Ina nibariki sana 🙏🙏🙏 hii nyimbo itaishi Kwa watu wote
@AndrewFundi3 күн бұрын
Oyo tunae amini mungu nimuweza yote tukutane apa kwakulaki 🎉🎉
@AUGENSYLIVAND-rq7hz18 сағат бұрын
Kwakweli MWAMPOSA u vizuri endelea kutuombea Amen 🙏🙏🙏🙏
@rayzion-vn9cs2 күн бұрын
Rayvanny is going far and a level no east African artist has reached. You can't kneel and show honour bfr God and go unrewarded. My time is coming too Isaiah 60:22
@badboyjephanie-uh3mz3 күн бұрын
Tunao mkubali vannyboy tujuane kwaku like hii comment
@skiddoclassictz4393 күн бұрын
❤❤❤ĥaujui kùn̈àmungu
@IddiHamza-qi7cz3 күн бұрын
namkubali sana vànny xo one love my brother by naty
@verosir14163 күн бұрын
❤🎉 Amen
@DINASSOUR3 күн бұрын
Jambo la busara uimbe kwaya uku kwngne ..kausha
@FreddyKomba-c5i2 күн бұрын
Fundi sana vany boy
@djsmallzkenya2 күн бұрын
BABA BLESS ME!!! MAY EVERY SOUL BE BLESSED IN JESUS NAME!!!!
@Matilda-tz3 күн бұрын
Kweli ni mungu atufikishe mwaka mpy Salam wote na abadilishe maisha yetu isiwe kama ya 2024❤❤
@RensonKahindi-n9h2 күн бұрын
Naamini level zetu zitapanda kwa IMANI na nguvu za MUNGU pekee. Asante kaka Rayvanny zidi kubarikiwa. AMINA!.
@innocentkaduma58213 күн бұрын
Inapendeza sana kuona vijana wanamtegemea Mungu
@CharlesJunior-h1o2 күн бұрын
Hi ndio bifu yenye tunaihitaji...Ngoma safi Chui
@alterboyafrica3 күн бұрын
Album nzima ya rayvanny ni hits tupu, huyu jamaa ni mkali, team vanny boy mpo💪
@INNOSENSIALIWEWA3 күн бұрын
Ilikuwa siku ya baraka sana mkesha kwa mwamposa nilipomuona rayvanny live 🙏🙏 Mungu akubariki na wewe unayesoma ujumbe huu 🙏🙏
@KONGWAFAUSTINPHILANTHROPEКүн бұрын
BIG UP SANA KWELI ❤❤❤ FROM DRCONGO UVIRA 🇨🇩 C'EST TJR PHILANTHROPE
@Aricbelingham3 күн бұрын
Wakenya tunakubali Rayvany
@TabbyBlessed-q3uКүн бұрын
Life issa journey bt with GOD we gonna reach our destiny
@URCristiano2543 күн бұрын
Great Rayvanny keep it up without God everything is nothing 🇰🇪
@JustinBonaneharerimana-zg1td3 күн бұрын
Asante kwa wimbo ambao unatugusa moyoni tunakufwata tano ju ya tano toka Congo 🇨🇩🇨🇩 Goma !tumwamini mungu yote anaweza
@MungerezajeanpiMungereza2 күн бұрын
Watakae sema vibaya kwa hii nyimbo ni wachawi tu juwachawi awaonangi vitu vizuri wanatakia watu wote wanawo fanya vizuri wasi fanye vizuri hata kidogo atcheni roho mbaya hukiona mtu ana shukia huyo ni chetani hukiona mtu ana upendo hanapenda watu Wafanyi kiwe huyo ni mungu tu
@DjsimpleAlitchoki67Күн бұрын
Iyi nyimbo kwangu ni kama vile inanitonesha vindonda ya maisha nilipitiaga kipindi kya ziki rayvanny sijuwi nikuweke nafasi gani you are the BEST i like the video since drcongo kalemie i'm DJ Simple🔥🔥🔥
@lennahonsare2 күн бұрын
Giving up is not an option keep fighting until God makes it happen 🙏 Thanks Rayvanny much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ❤️
@draxelr-vc9wr3 күн бұрын
Daaaah maisha ni safari usikate tamaa unaesoma hii coment🙏🙏
@neemamwihava81912 күн бұрын
Jambo ulilolifanya vani ni jambo kubwa kwa jamii na kwa Mungu ubarikiwe broo❤
@JaymoNjoro2 күн бұрын
Mmi kama mkenya nampenda rayvanny🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@frankomondinyambuoro3773 күн бұрын
Bonge La Wimbo....Naupenda Sana ❤❤ Thanks For The Song Vanny🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Erick_tutor2 күн бұрын
Hongera Raymond kwa kumpokea apostle ufalme wa Mungu ni wako❤😂
@IssaMkali-k6y3 күн бұрын
Umetisha sana v van boy🎉congratulations 🎊 🎉🎉🎉mungu ni mkubwa sana kama unaamin mungu anakusaidia mpaka sasa gonga like apa twende sawa 🙏
@efelimwambije7083 күн бұрын
Mungu mwema sana bigapu sana sana tu mungu hamtupi mja wake aminaaaaa
@atJoto3 күн бұрын
Wakenyaa najuaa tuko hukuuu🎉🎉Wapii likes RayVanny
@MunezeroParfait-hx4ch2 күн бұрын
Balikiwa sana rayvan watu wanasema kila siku 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ZaiMsengi-e2o2 күн бұрын
Kupitia nyimbo hii naamin nimebalikiwa saw🙏🙏🙏
@amboshsantoz63923 күн бұрын
Wakenya oyee ebu tuonyeshe bendera ya taifa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya rayvanny kijana wetu huyu watanzani wote tuwe na umoja karibuni kenya🎉🎉🎉
@BamakoMagarya-u9r2 күн бұрын
❤❤🙏
@AmosSinkala-lx4slКүн бұрын
😂😂 wakenya walimwita rayvany takataka lakini Mungu anazidi kuwazima😅
@diazpiosto4551Күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪Nairobi
@WinnieChuwaКүн бұрын
Nice
@WinnieChuwaКүн бұрын
❤❤❤❤
@robertservas19533 күн бұрын
The only pure talent Alive... Vee. VANNY BOY HATA KASWIDA TWENDE
@migilnyambura5 сағат бұрын
Me I like when rayvanny anaimba hizi nyimbo... I feel very encouraged natamani kumwona day moja❤
@nunniznurcky9724Күн бұрын
Aaah sindio wale wakenya tunaokupenda❤🎉🇰🇪🇰🇪
@newtonambani34682 күн бұрын
We Kenyans love you Ravanny
@DKMUINDE3 күн бұрын
Am from kenya and we all say this song is a hit ‼️‼️ Blessings 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@lovarbicard43782 күн бұрын
Miye ndoyule ni lovar bicard liké zenu ziko wapi🎉🎉🎉❤
@MichaelMgallaTz2 күн бұрын
Nimependa Sana Hii Chui kwa Bulldozer Tembo Kwa Osborn 👏👏👏👏🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥🔥🔥
@fogdeshadow4g2 күн бұрын
Wimborne wangu wa kila wakati pia ringtone. ..wakenya njoo jameni
@moph482 күн бұрын
Wimbo mzuri sana...much love from kenya vannyboy❤
@officialK-looh3 күн бұрын
Grory to God...For there is no respect of persons with God..Roman 2:11
@GadielrussiaКүн бұрын
uyu nimwamba kwanza mtu mwenye Hof ya MUNGU mtu anaejua bila MUNGU hakuna mafanikio bas nibora Sana sio mtu mwenye majivuno hamkumbuki MUNGU naiman atazid kungaa siku zote
@AsifiweChalazireКүн бұрын
Nyimbo hiyi ina nibariki sana kama Niko kanisani vile,da Mungu akubariki uanze imba nyimbo zainjili kk yangu
@IngridIngriddarling17 сағат бұрын
Umefanya vizuri kumtangaza mwamposa na kutangaza neno la Mungu
@SimpliceNibigira3 күн бұрын
Thank my best singer to remember that all you have are from God.
@SmartVicenzo3 күн бұрын
Shabiki kindaki ndaki toka Ngoma ya kwetu till now
@JohnPaschal-w2z2 күн бұрын
Naona wakenya wanapambana sana uyu Mungu jmn wa Tanzania na sis tuwe pa1 drop bendeera 🇹🇿
@kis-way73323 күн бұрын
Eba bwana vany Boy Unanisemea vitu vyangu kabisa, Nina ndoto yakuonana nawe Ni mungu tu vitawezekana Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@necoonlinetv8200Күн бұрын
Wellcome in the Kingdom of Jesus Christ
@GeofreyKalo-ot3we3 күн бұрын
Huyo ni mungu ❤❤❤❤
@RobertLuisofficial3 күн бұрын
Vanny boy kipenzi cha Mungu 🙌🙌🙌🙌naku kubali toka Goma 🇨🇩
@VdjGBOY3 күн бұрын
Kutoka Burundi unanikumbusha Mungu aliponitoa Walisema eti mi ni muvuta bangi,muizi na maneno mengi lakini hivi Mungu alinibariki
@MWAMPAMBA3 күн бұрын
Kijana rayvanny achana na Mziki Wa kidunia hukuna kesho nzuri Kwa Mwenye dhambi hata utamukiwe baraka na Nabii Bado hisaidii chochote lazima jehanam itakutafuna tuuu
@mwijagemichael1137Күн бұрын
Mi ndo yule star nijae 🙏🙏🙏🙏🙏😭 uyo ni mungu
@bashiruhamisi39293 күн бұрын
Naona saiv wasani wamejirudi chui 🎉🎉🎉🎉🎉🙌🙌 mungu atufungulie milango ya riziki na afihya jema 🙏🙏🙏
@ibrahimwaswa39952 күн бұрын
Dah!! Kaka Ray,,umetisha sana kakangu,,show love from this side🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Bronzei_Flavour3 күн бұрын
Wanakenya SImnipe likes za vannyboy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Rozleen-i9c3 күн бұрын
Tuko hapa 🇰🇪😂
@AlexJumanne-ls5gm3 күн бұрын
Me ndo yule walio sema sitofika popote ila Mungu akinifikisha walipokua wanasemaje stofika ❤❤
@skiddoclassictz4393 күн бұрын
Mungu ni wetu sote brother chui nakuaminia kazi juya kazi ❤❤
@KenedyMuatha2 күн бұрын
Fanya worship moja iyo sauti inafaaa
@giftysweetbert87553 күн бұрын
Asante Mungu kwa Kumuumba Huyu mwamba, N sababu kubwa kwetu kutuletea Mziki Mzuri🎉
@josephmkindi82543 күн бұрын
Kama na ww ulianza kwa kushtuka ulipoona kichwa cha habari na icon ya wimbo kama mm weka like apa,,, maana baada ya kuona reyvanny na mwamposa nimeshituka😂😂😂😂
@nataliethequeen092 күн бұрын
Keep making God proud✨. You're highly favored🙏❤️
@skylord1st3 күн бұрын
Watching from Rwanda🇷🇼
@mcbrayungvj9053 күн бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@IddyJorginho3 күн бұрын
From BURUNDI, BUYENZI❤❤❤❤
@FreddyJackson-d3m3 күн бұрын
Kama unamkubali rayvanyn. Mwamposa gonga like hapa🙏
@kadmc91243 күн бұрын
This vanny boy is too creative. I like this video
@RosikamTech3 күн бұрын
Kama una mukubali the Big vanny usipite bila kuacha like apa
@mcnyoka3 күн бұрын
Ila Rayvanny
@DansonKipampi-q1t3 күн бұрын
THANK YOU GOD FOR THE GIFT OF LIFE, #BABABLESSINGS,🤲🙏
@MBEYA24MEDIA3 күн бұрын
YESU KRISTO MWANA WA MUNGU NDIYE AGANO LA MUNGU WA MUSA NDIYE MZALIWA WA KWANZA WA VIUMBE VYOTEEEE ATUKOMBOAYE NA DHAMBI YA ADAMU NA KAINI NA ZOTE DHAMBI ZIMEANGIKWA MSALABANI🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@Almourofficial2 күн бұрын
Big up my favorite song artist 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥
@ashamahadi52813 күн бұрын
Hongera sana mwanangu mwimbo umeutendea haki🎉🎉🎉🎉❤❤❤Mungu kwanza kwa kila jambo
@arabgandaempire3 күн бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@One_5_l3 күн бұрын
Asanteh vany kwa kumkumbuka mungu na kuwakumbusha wengine mungu akubariki na kazi zako
@kelvinmpwani44943 күн бұрын
I feel sooo Blessed
@hamisimoke17643 күн бұрын
Thanks Vanny lastly I got song of the year 2024 ❤very beautiful 😍
@a.p.monlinetv35612 күн бұрын
Pongezi kwakwo kaka nyimbo inaujumbe mzuri kweli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💯
@JWTECHTZКүн бұрын
Hii ndo gospel yangu ya kufungia mwaka na nimeitumia kupunguzia stress😊
@owuorherine52483 күн бұрын
From Kenya.Wewe ni wa Mungu..Keep soaring.
@mugocomedy3 күн бұрын
KIDOGO NIWE WA KWANZA ILA VANY UNA WATU SANA KAKA 😮
@Hyline-g6u2 күн бұрын
From kenya 🇰🇪 we love you my brother ...keep it up. May God bless you and give you courage and wisdom onto your life. So nice song🙏🙏
@GloireKibirima-n7kКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ya mungu ni mengi 😢😢🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@damaclineelazia77803 күн бұрын
Enywe Mungu n Mkuu much love vanny boy
@RoseAmlima-t9g3 күн бұрын
Amen ninebarikiwa sana na hii nyimbo..
@WillyWich-sf1ue3 күн бұрын
This song touched my heart😢
@newtohtv2 күн бұрын
❤❤❤❤ our love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EbbaKayandabila3 күн бұрын
Hili goma linaishi kwakila binadam aliejaliwa uzima na akili timamu maan kilabinadam ananafasi yake katika maisha haya pia kunakitu lazima MUNGU awe alikutendea na ukajisemea hakika uyu ni MUNGU 🙏🏻
@VinaboyOfficial2 күн бұрын
Leo hii mie ndo wa sita hapa kwa Chui, nipeeni likes jamani ndugu majirani 🎉🎉💯
@raoq_xhakourКүн бұрын
#Ni mungu brother chui nilikuwa nasubiri sana melodic sound like this tisha
@Owngoal-op8ys3 күн бұрын
Mungu awe naweza chui
@MrUhakikaTz2 күн бұрын
Mungu ni mungu aise wanaomkubali rayvanny like zimwagike jmn 😢❤❤