Jamani Chalamila ni kichaa kila mtu anajua na ndi silika na hulka ya viongozi wengi tulionao TZ wanajioma wako juu ya maandiko ya Mungu.
@KudraWanguvu-em1xw2 ай бұрын
Dini mbele ya M/Mungu ni Uislam ndio dini ya manabii na Mitume wote kuanzia baba yetu Adam mpaka Issa bin Maryam yani Yesu wote hao walikuwa waislam na Muhammad swala Allahu aleyhi wasalam ndio mtume wa mwisho msidanganyike enyi waja wa Mwenyezi Mungu muifuate haki mtasalimika dini ya manabii ni Uislam.
@BernardMwaipopo2 ай бұрын
@@KudraWanguvu-em1xw Adam alisilimishwa na Nani???
@BernardMwaipopo2 ай бұрын
@@KudraWanguvu-em1xw nibii ISA ustadhi wake Nani?
@RamadhanAlly-p8jАй бұрын
wewe chalamila kenge kweli yaaani hata neno hulijui
@Kanyawela2 ай бұрын
Mungu sio mjinga kuwa na dini 2.Neno la Mungu ni siasa safi ya kuponya na kuokoa.3 siasa za vyama ndizo chafu ambazo kila siku ni kuangamiza watu wake.4Mungu hana dini kwa kuwa dini ni vyama
@BernardMwaipopo2 ай бұрын
Amina kaka barikiwa mnooo
@MosesKubo2 ай бұрын
tatizo wenzetu kila kitu utaskia takbir
@KudraWanguvu-em1xw2 ай бұрын
Maana ya Takbir ni M/Mungu mkubwa sasa unataka waseme nini.