Рет қаралды 36
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt:Samia Suluhu Hassan amewafutia Adhabu(Faini) Madereva wa Malori 46 Walioshikiliwa na Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira(NEMC) Mpakani mwa Tanzania na Malawi(Border ya Kasumulu) kwa Kosa la Kusafirisha Vyuma chakavu pasipo Kufuata Utaratibu.
Akizungumza kwaniaba ya Dkt:Samia Suluhu Hassan Leo akiwa Mpakani hapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde:Juma Z. Homera amesema Rais Samia kaamua kufanya hivyo kutokana na Roho yake ya Upendo kwa Watanzania hasa Vijana wanaojitafutia riziki kwaajiri ya kuzitunza Familia zao.
#kasumulu #malawi #tanzania #boda