REA YAKAMILISHA MRADI WA BIL 22 WA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA, WANANCHI SASA KUNEEMEKA

  Рет қаралды 348

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme kilichopo Ifakara kinachotajwa kwenda kuleta neema ya umeme wa uhakika kwa wananchi wa wilaya za Kilombero na Ulanga mkoani Morogoro, ambao walikuwa na changamoto ya kupata umeme mdogo na wenye kukatika mara kwa mara.
Aidha mradi wa ujenzi wa kituo hicho chenye uwezo wa MVA 20 wa msongo wa kilovoti 220, kumetokana na mikakati thabiti wa Serikali kupitia REA, inayolenga kuhakikisha wananchi wote wakiwemo waishio vijijini wanapatiwa umeme wa uhakika.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 119 МЛН
Ifahamu Ifakara Mjini
17:21
tuos TV
Рет қаралды 4 М.
MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU IFAKARA MKOA WA MOROGORO
17:15
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
JULIUS NYERERE 2,115 MW HYDROPOWER PROJECT, TANZANIA
5:02
ELSEWEDY ELECTRIC PSP
Рет қаралды 8 М.