Niko hapa nikisikizia nikiwa Likoni Mombasa#6th June 2020
@stephenopiyo71704 жыл бұрын
Am very here
@paulmwandoe39594 жыл бұрын
@@mwaka308said7 Safi sana
@lairumbijohnmwirabua69333 жыл бұрын
Am in Meru, K. Please Mani akiimba ule wimbo wenye maneno "Tujiepusheee, Remi, na watu wabaya!! Tujiepushe na yaoo maneno-neno...!" John Mwirabua
@daudyernesty25123 жыл бұрын
Nasikiliza kutoka daresarm
@AggreySanga7 ай бұрын
Kama umeskiliza 2024 gonga likes za kutosha
@ankowaah5 ай бұрын
2024 haijafka bado
@hamismakoa35647 ай бұрын
Kama unasikiliza huu wimbo 2024 tujuane hapa
@AbelyKosamu-w3e3 ай бұрын
Niko tududuma
@noelmwandichi-zz5bi3 ай бұрын
It reminds of oldest beautiful memories meen
@annakihali2774 жыл бұрын
kama bado unasikiliza hii nyimbo 2020/4 piga like hapa
@albertkajumulo17464 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani ahsante,
@mundiakala4 жыл бұрын
Nice music
@elinakale87225 жыл бұрын
Kama umesikiliza na mimi 2019 gonga like
@hajikanunga64265 жыл бұрын
Dah somchezo
@zeonlytv37045 жыл бұрын
😸😹
@issanawanaroho51695 жыл бұрын
Duh huu wimbo nikiusiliza kwakweli nakumbuka nyumbani,
@jacksontesha7997 Жыл бұрын
Narudi Kilombero eeh...Narudi Ifakara.....Eeeh Narudi Rombo.....Narudi Mashati eeeh.....pale sokoni Mrereee. 2023......Asante mwenyezi Mungu kwa zawadi hii ya Maisha.
@bashirmkambala24074 жыл бұрын
Big up Marehemu Remy Ongala,nyimbo ni ya zamani lakini ujumbe wake unachukua nafasi hadi sasa kama tupo pamoja 2020 gonga like yako hapa
@rashidiabilahi87096 ай бұрын
Nazipenda sana nyimbo za dkt lemi
@asharamadhani86682 жыл бұрын
Here in America, this song remind me about Tanzania. I was born and raised in TZ, God’s willing I will go back one day 🙏🙏 Home sweet home, no where like home.
@michaelyohanabanda38192 жыл бұрын
Welcome back home
@johnsahaguni25832 жыл бұрын
Come back home kumenoga
@victor-qh9oe2 жыл бұрын
You're welcome sweetland Tanzania!!
@julinhojoao3450 Жыл бұрын
Buyai mlongo
@Kanaekkouchou Жыл бұрын
Imagine Mimi mngoni hapa ughaibuni
@ngumbemtoyomba40173 жыл бұрын
Narudi songeaaaaaaaa wangoni wote tuonekane kweny huu wimbo.....R.I.p Remmy kwa mamaako ndo kwako.....
@israelotieno38445 жыл бұрын
Sometimes you just want home nothing else.Home is home,,,only those who who work and stay far from home will understand this song. Kama tuko wengi gonga likes
@azizahmwimbe85484 жыл бұрын
Narudi nyumbani Tanzania here I come....Botswana 😘😘 home sweet home
@susanatieno73472 жыл бұрын
Here I come gulu🇺🇬
@omaryaltezza169 Жыл бұрын
Mi nipo hapa Fransis town Botswana nishtue twende wote😊
@mauaebby22575 жыл бұрын
Narudi Tz...South 👐👐👐naombeni like zenu 10/92019
@tonyliwa38037 жыл бұрын
"Likolo la na nyungu" ni mboga ya maboga, kwa wasiojua
@girimany6 жыл бұрын
Tony Liwa asante mzee aliniuliza maana yake sikujua
@luganonsubisi34185 жыл бұрын
LA nyungu watu wa tukuyu
@godfreymoses10315 жыл бұрын
Tony Liwa thanks bro kwa ufafanuzi wakujitorea big up bro!!
@mwaka308said74 жыл бұрын
Ahahahahahahaa asante kakaTony Liwa nakupata poa sana #Mombasa Likoni
@DuncanSonga3 жыл бұрын
Ahsante Tony Liwa kutufunza Kingoni!
@calvin4vin4963 жыл бұрын
Am coming back to Kenya from the Philippines.. April 10, 2021..This song reminds me of my father the Late.
@susanatieno73472 жыл бұрын
Welcome🇰🇪back
@bobmarish5568 Жыл бұрын
Hello, are you back in Kenya? Just found your comment and thought would be better to ask
@evansonnjogu6224 жыл бұрын
Kama unaskia na mimi 2020 sema hoiyee.
@angwekwe4 жыл бұрын
hoiyee
@boerandemo77664 жыл бұрын
Hoyeeee
@faisalyasin65348 жыл бұрын
Home sweet Home....narudi nyumbani....ujumbe tosha......R I P Maestro !!!!
@eclivechizoza18863 жыл бұрын
2021🥰 naipenda sana hii nyimbo narudi Dodoma Nyumbani Kwetu Mtumba.
@abiudoluoch76686 жыл бұрын
Kifo ungelionekana ningekupa rushwa kusudi Remmie Ongala aishi milele 😢
@bengoonyuka58123 жыл бұрын
Nostalgic when you are thousands of kilometers away from home... Nyumbani ni nyumbani.
@fettymwarab313 жыл бұрын
Kama unasikiliza January 2021 twende sawa
@tomn90942 жыл бұрын
Greetings from my home. Chicago. Home is home. Merry Christmas.
@rizikijumamajalla80352 жыл бұрын
R.I.P Remmy. You have left a remarkable and sustainable messages via this song. Home is home, we should visit our home places regularly.
@brightonkarume85628 жыл бұрын
Dr. Remmy Mtoro Ongala 's music carries most of our encounters in life. It humbles me that in end you got saved and died knowing the Christ, the Creator. We continue to remember you through your legacy. May the Good Lord guard your soul till we meet.
@amumamkala70732 жыл бұрын
God Help me with only 1.7yrs to retire i love and like this song
@alimufuruki72217 жыл бұрын
One of the best performing artists Tanzania has ever produced. May his should rest in peace inshallah
@asiamokiwa98716 жыл бұрын
saa hivi nyimbo wanatukana tu hongera zilipendwa
@kininga Жыл бұрын
Unfortunately he wasn’t Tanzanian he was Congolese but raised in Tanzania 🇹🇿
@mickykiteu74465 жыл бұрын
Tujuwane tulio sikiliza Leo 1-11-2019 Na mm narudi nyumbani ila singida mm naenda kulima vitunguu😂😂😂😂
@mulusawalter7794 жыл бұрын
Nipo kaka
@mashakangonyani48483 жыл бұрын
Matimla ndo home
@amumamkala70732 жыл бұрын
Narudi NYUMBANI mwaka moja na mieza hii KAZI siyo ya familia we got to leave a legacy MHESHIMIWA Mwalimu Nyerere alikuwa ana endesha baiskeli RAISI Alijuwa what He to send HOME
@ngumbemtoyomba40173 жыл бұрын
Wangoni wote muyu mwike wavalongo vangu anamaanisha wangoni wote muamke ndugu zangu
@stevenjustin21267 жыл бұрын
Sijaona mwanamuziki anaeimba mziki wenye ujumbe uliokamilika kama Remy!!!! Tanzania au East Africa
@tomleeks63246 жыл бұрын
Pop styles will come and go forever but this is ageless. I discovered it many years ago and not that I'm aged 81 it is still one of the favourites that I always have available for the in0car CD player,
@abrahamopuko157910 жыл бұрын
Home is home by Remmy is one of the most inspiring sound souls. i love this.
@dennisscotch4835 жыл бұрын
Mose fan fan listened to this melody and made Papa Lolo out of this superb melody. Rip both you talented maestros
@kyarakalulu79552 жыл бұрын
My mom used to love his songs. This was one of his two tracks in our playlist we listened to, end of last year. Now they remind me of her every time I listen to them. Didn't know it was my last moment with her. Thank you for reminding me of my mom. Rest well mama. Rest well Remy. 😭😭
@groovemonzter15 жыл бұрын
It's my pleasure. I love Tanzania music. Thanks for stopping by.
@MenengaiCrater12 жыл бұрын
Jericho is my home. Was born and raised there and cannot wait to rudi nyumbani.
@kokwi15 жыл бұрын
Just rediscovering what we took for granted in Dar in the 70s when the City was a hotbed of creative talent in music for the east-central Africa. The fusion of Zaire East African sounds created a unique and intoxicating sound that even today is still influencing dance misic all over the continent
@ahmadarashid15332 жыл бұрын
When music was music!
@saimonkyungu90876 жыл бұрын
Narudi nyumbani Ipelele na Kitulo - Makete (Njombe) the best place in the Earth!!!
@francismillinga45914 жыл бұрын
Mapembelo
@ugoharris0014 жыл бұрын
RIP brother. Africa'll always remember u.
@jayblack43134 жыл бұрын
Miss you zanzibar inshaa Allah tutarudi nyumbani kujenga nchii
@OBAMAMMAREKANIMASSAWE Жыл бұрын
Narudi nyumbani kwetu mteri na mkumbuka sana baba yangu marehemu dah mungu akulaze pema. Babaa ume acha history nami nita pambana niki sepa niache jina Kama lako ✊😭🤦🙏
@hellenatienozilberman881412 жыл бұрын
Thats what Africa is all about,Remmy is was great and will 4ever be. Nice you went to TZ,most of the countries makes you feel home
@victorwaweru37578 жыл бұрын
used to listen to these songs on KBC early morning. i remember this with a lot of nostalgia
@fredichaki48684 жыл бұрын
Rest easy in paradise our regandary Nice message you have given us home is home
@mutisomweu92932 жыл бұрын
Pure genius you'll never find better music.
@fadhilihussein6580 Жыл бұрын
Naupenda sana muziki huu. Narudi nyumbani hapa Remmy alitulia akatunga kuanzia vyombo mpaka sauti, Nikweli mama akifa hakuna mungine tena atakaekupenda kama yeye, kwa baba yako nikwako
@kitoto810 жыл бұрын
Master story teller and song-smith....our very own literati genius. When Remmy Ongala was starting to buzz around the country back in 1982 and 1983, I was interviewing him for an article and I remember someone asking me later: "Did he share a bit of weed with you?" Back then they thought he was a mad man and a drug smoking ruffian. Unbelievable.
@dr.respiciusdamianshumbush98927 жыл бұрын
He was not singing for himeslf. He was my neighbour at Sinza and he lived a lucrative life style. By that time the youth were thinking 'life is in the city' or town. So, the influx was very high. Another interpretation by the time was with his attempt to leave super matimila, the band that he thought was surviving through his own name. Remmy, I remember and love him
@zahramusa7454 жыл бұрын
Miss home jamani
@livecurious9533 жыл бұрын
Probably the misconcenceptions about him were down to some provocative lyrics in the songs. Even to this day when ideas against mainstream agenda or irreligious views are put forward many will quickly question the psych of one bringing them forward. Its a cultural thing in our region not to discuss sensitive issues, a taboo in most cases. One says is against abrahamic religions or blind followinb of tribal or political way of thinking then he must be mad or under the influence of something. Excuse my poor grammar😅
@mufamozmufash1666 жыл бұрын
Narudi kijijini kutekeleza amri ya nguvu kazi. R. I. P remmy
@philosophertax64172 жыл бұрын
Welcome 2022 Remi, haujafa, yourself lives in every generation leteni likes
@djgthehotstepper3 жыл бұрын
Narudi nyumbani Kenya 🇰🇪 here I come. Qatar 🇶🇦 enough
@salimiddi98255 ай бұрын
Hayap tuko pouwa tushukuru mungu tukiwa hai sasa maaana nakumbuka miaka ya zamani 1988nilikua shule hapo
@charlesmathenge28367 жыл бұрын
reminds me of the old skool classik..tukiwa primary when KBC was the only radio station.. rest well Remmy
@naomilovegod33973 жыл бұрын
My dad Sika loved Remmy Ongala music now I know why. Good soulful music Legend.
@hassanimapanga70244 жыл бұрын
Kipindi hiki cha covid19 tujuane apa ata kwa like 10 tu hakika hizi ndo zilikua sauti bora za africa
@maggiemacharia20469 жыл бұрын
narudi nyumbani maisha ya Uarabuni imenishinda...ooooooh thiz song drives me crazzy..I miss home♥♥
@yaracell40738 жыл бұрын
Hey msupa usharudi sisi bado Lebanon maisha magumu kweli
@oncherasydin7217 жыл бұрын
maggie kim 😢😢
@masoudmkwaju89197 жыл бұрын
maggie kim karibu hom bado tanzania nzur tena yapendeza
@siwemagabulielgaraxy31087 жыл бұрын
maggie kim 😂😂😂😂😂😂
@danokwara80757 жыл бұрын
great composition RIP.I love this song.it soothes my rural life
@matthewjohn51087 жыл бұрын
wimbo unanimbusha natoka songea naenda nyumbani na huu wimbo unapigwa yaani nilijisikia raha sana
@yusuphbalali90376 жыл бұрын
matthew john haaaah!
@sethsindamka84656 жыл бұрын
Wimbo hunikumbusha tulipo kuwa wdogo MTU akilowea kati iko nakuya hom na radio moya altach ya Casey pigs sana hii nyimbo batu yote INA shangilia
@godfreykinyanjuiwamagata68296 жыл бұрын
Oldies narudi home"!
@Thegossipermediatz2 жыл бұрын
We are so proud of our Africans musics
@georgekamidi13706 жыл бұрын
Dad used to listen to this song 20 yrs ago. RIP dad.
@japhetmanumbu45954 жыл бұрын
Narudi nyumbani kwa yesu kristo
@naomilovegod33973 жыл бұрын
My Dad too loved Remys songs the Legend continue RIP 🙏🏾
@belindanekasa7804 жыл бұрын
Mziki bila jashoo!!!!
@augustinemhanga55306 жыл бұрын
The power of Music, Narudi home, nyumbani ni nyumbani kweli kabisa... RIP Remmy
@elizabethgailangahi56093 жыл бұрын
Namkubali Sanaa huyu mzee mungu ailaze loho yake mahala pema peponi😭🙏
@mengomwanji3479 жыл бұрын
kukumbuka ulikotoka brings alot of feelings........... RIP remmy
@michaelmalubalo81557 жыл бұрын
Mengo Mwanji
@monicapaulmarwa45467 жыл бұрын
Mama Ni Mama,, Mama akifa hakuna atakayekupenda Kama yeye........that's true.! Thank you for a such wonderful song.
@khalfanimaji7726 жыл бұрын
Monica Paul Marwa mambo
@yusuphbalali90376 жыл бұрын
Monica Paul Marwa Mama ndy kila kitu upendo wa mama haunaga mfano.
@ramadhanihassan30626 жыл бұрын
realy br
@cesyrashid28226 жыл бұрын
Monica Paul Marwa ni kweli kabixa
@boniphaceanthony17855 жыл бұрын
Really wa kwetu
@smadon56385 жыл бұрын
Bado hata kama ni 2019,nakumbuka mama ingawa nipo mbali naye👍👍
@monicamiyombo127210 жыл бұрын
Home is best I miss my homeland Tanzania
@DocSerengeti6 жыл бұрын
uko wapi sasa?
@angumbwikelomayani72436 жыл бұрын
Karibu sana
@dastonamichaels18544 жыл бұрын
Si uende alaa
@elizabethojuma81874 жыл бұрын
Here in 2020 this was my dad's kind of music
@oxtinho1593 жыл бұрын
2021
@vinaluseno70856 жыл бұрын
Narudi nyumbani....dem days when music was really music...Rip Remmy
@CollinsOmuga5 жыл бұрын
When music was music.
@boniventurentanga93455 жыл бұрын
vina luseno lina
@finalovesaid63174 жыл бұрын
Gonga like kama upo apa 2020
@longinoflotunatus42314 жыл бұрын
finalove Said slitisha
@seifmcharo27042 жыл бұрын
burudani safi.sana.mungu aendelee.kuiwekà.roho yako mahali pema peponi
@sakwacshimakabhai98174 жыл бұрын
Hata mie narudi nyumbani,wa Minnesota, home is the best!
@isaacnewton15166 жыл бұрын
Combination of artistry and genius pure talent my goodness. I love these guys they used to play sweet music.
@hassanally44176 жыл бұрын
I will remember always remmy ongala for your music you return home
@fredyemmanuel4303 Жыл бұрын
Anae isikiliza hii nyimbo 2023 gonga like yako hapa
@hassanimwangaeka64067 жыл бұрын
narudi nyumban iringa dr remmy uliona sana huo wimbo dar sio mchezo narudi nyumban
@bonyamohd162810 жыл бұрын
Narudi nyumbani is best song of Tanzania.home is home.
@thomaskosgey98334 жыл бұрын
Only legents knows the sweetness of this song 2020 but still fresh as yesterday
@michaelmatoo11476 жыл бұрын
These were the days when music was associated with feelings,even the dancing meant a lot..when lonely sad and empty pocket...this song will shade you tears...lots of bands cover this song at the end when our pockets are done.. Reminding us where to go and restart...R.I.P Remmy
@alexmudanya45294 жыл бұрын
What an artist... the instrumentals are on point with deep vocals.Continue resting in peace legend
@hassanadamali33829 жыл бұрын
Go east go west bt remember home is the best wimbo mtamu sana huwo wanikumbusha mbali 2 sana
@mugandaalvine95997 жыл бұрын
this guys prowess in music cannot be matched today. these were golden glorious days
@hadijashabani8906 жыл бұрын
Naludi Tanzania
@aishamzonge457 Жыл бұрын
Narudi nyumbani kwa mama yangu ni kwangu, R.I.P Dr. Remmy Ongala
@makamestefano.maknikakanak22763 жыл бұрын
Narudi nyumbani yooo!!Tujuane wanao sikiliza hii nymbo 2021
@edwardnyarotso15384 жыл бұрын
Narudi nyumbani, remind us at were" we came from and heading to.we should remind our our children to remember home. thank you Remmy.
@MegaSperro11 жыл бұрын
Watanzania tutakukumbuka daima
@GbNero Жыл бұрын
2023 Bado Niko Hapa,Endelea Kupumzika Kwa Amani Legendari Remmy Ongala
@allanmzomozi34246 жыл бұрын
Go East or West home is the best place..Ujumbe mzuri sana..Sauti yako itaishi Milele. R.I.P Dr Remy
@carolinembeta11538 жыл бұрын
Narudi nyumbani mungu haweke roho wake pema peponi Amen
@kiplarono85155 жыл бұрын
Kwani mose fan fan, alitoa papa lolo kwa hii wimbo
@mnllyboy_tz91075 жыл бұрын
Ben pol ahsante kwa kunifanya niitafute hii nyimbo maana ckuwa najua ameimba remmy October 30 ,2019 ngonga like twende sawa
Daaa wimbo mtam hatari na ujumbe umesimama kweli vya kale ni dhahabu 2020
@ROCJayP15 жыл бұрын
this is the kinda song u chill under a tree on a Saturday afternoon with... priceless
@alomogyataa71510 жыл бұрын
Even the most wanted human is missing home. No where like, yes and Remmy is home to sleep after many years world over. You will always be in our Hearts, RIP
@danielkoros92086 жыл бұрын
What a nostalgic, soothing music RIP Remy. Your songs still shines even for the generation to come.
@altonkanjolonga23808 жыл бұрын
Big up Dr Remmy mwenyezi Mungu akuweke pahala pema peponi.Amina.Sisi wana songea tunakukumbuka sana.
@ambalimwalughelo83726 жыл бұрын
Napenda sana hii nyimbo ina Narudi nananyimbo, mlele,safi sana Dr Remmy
@romanusonyango55598 жыл бұрын
naenzi miziki ya Remy tangy miaka ya 80. RIP daktari.
@sambacisse52810 ай бұрын
"Mama ni mama, mama hana mfano. Akifa mama hakuna mwingine atakupenda kama yeye" Atakayewapenda watoto wangu(Ahmed,Abu, Haroun na Bash) baada ya kifo cha mama yao Mariam mwaka wa 2022/06/11 hospitalini eldoret ndiye simjui. Mungu amrehemu mke wangu Mariam.
@andreasmewes83469 жыл бұрын
la mentalitaet du ce melodie cest encorable
@hadijabrown15 жыл бұрын
remmy from congo but kaondoka congo since mtoto mdogo he have family in bongo and he married with white human from england
@safarimate5410 жыл бұрын
sura mbaya roho safi. RIP!!
@kibasamohamedi80294 жыл бұрын
2020 wangap wanaipenda na kuisikiliza hii kitu nzur