Thankyou for Watching guys. This was just a Prank, no hard Feelings❤️ Watch Part 2 on Moureen Ngigi's KZbin Channel and Don't Forget to Subscribe ❤ 🔥👇 kzbin.info/www/bejne/jYTPqmWPfsmlbdEsi=Y5omJZc-954VDDet
@lydiabarasa7 ай бұрын
M
@Ikulipurity15297 ай бұрын
Aiiiii hapana come was not talking good
@captainmarx14997 ай бұрын
Nina awache maringo na kiherehere
@jackychelimo24537 ай бұрын
@@Ikulipurity1529kwa sababu ujaona part yenye iko kwa mourine
@YvonneNzilani-yc2lb6 ай бұрын
Commentator ukona mdomo sana unaboo mbona ulitumia hio song kama iko chini hata kama ni prank Commentator amejireveal nkt😭😭
@jemugenandi11017 ай бұрын
I can’t wait to see what God is about to do for wapendwa.. atakama ni prank wee! Some words are too heavy
@Patience-pm8ld7 ай бұрын
Comme ako na roho mbaya this is the real him 🥲🥺🙄😏😏😏😏
@LucieMwangi-xl1nd7 ай бұрын
Wee ndiye unakaa ukona roho mbaya hii ni prank buana
@dencenjoki89287 ай бұрын
We kwani ujui meaning ya prank 💁🏽♀
@monicahmugure78547 ай бұрын
Comme noticed it was a prank and he decided kiwageuzia,elewa hizi vitu nanii😅😅😅😅😅
@TausiShiko7 ай бұрын
commeeee respect this young growing couple. I love you Ninah....keep shining...
@lucynjoki5766Ай бұрын
😂😂😂Ninah 🔥🔥🙌She is soo good at acting😅pick up lines ziko fiti🤣
@eddachepkosgei10517 ай бұрын
Kina comme na kiburii....ptooh
@Salvationcenter.7 ай бұрын
I feel like they noticed its a prank. Time comme aliamka and told moh to take the child, waliona camera and played safe😂
@anner81207 ай бұрын
Wapendwa wangu mbn mnapendeka uzuri tuu😂😂😂❤
@mablenanzala2547 ай бұрын
Ati mtatuletea laana,,, surely 😢😢😢😢Aki Makini akipata ,,,,wwweeeh
@carolinekara76037 ай бұрын
Moh unangeuzia Comme'........" ati babe si nilikuambia 😅😅
@pascalojuma30737 ай бұрын
Oooh my God hizi pranks ni nzuri,,,,,,yaani comme ametabika maneno yote.. your friend is your enemy..nawapenda sana wapendwa Muziki mungu awabariki
@verahshee95737 ай бұрын
😂😂😂😂😂wacha feelings
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
We love you too but dont overthink 😂😂😂
@esthermaina5737 ай бұрын
Doubt of the friendship from this guys...... The prank was good
@shemilahbarasa82457 ай бұрын
Kina comme walikuwa wanawaprank pia😂😂😂😂😂
@joycenjeri35357 ай бұрын
26:15 true thru the pranks u get to know real personality ya mtu
@EstherNjeri-jb4fm7 ай бұрын
Wah hii prank apana aki ,,,comme apana
@lucie29817 ай бұрын
Wenye mnasema Comme aliongea vibaya just watch the other part kwake 😂 pia yeye alikuwa anawaprank 😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Yeah it was just a Prank
@megoj51797 ай бұрын
It’s a prank, but wapendwa has a point. They should just ask for the permission to use their song 😊
@Know...7987 ай бұрын
Noo utube hainanga shida sio lzm uambie mtu actually it's promoting them
@verahshee95737 ай бұрын
Hujaskia walikuwa wamepewa
@jacintamuthoni1037 ай бұрын
Noh wanafaa waombe ruhusa,ukishtakiwa ni 2 million@@Know...798
@Movie678-g2s7 ай бұрын
No, it's like promoting their song also
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
No you must ask@@Know...798
@dorandegeb7 ай бұрын
Ok Comme alienda ..akarudi na malines😂😂, Mourine pole 😢ii prank apana
@BeckyBekita7 ай бұрын
Waa comme anaeza ongea hivi wueh. Let me hope comme was pranking back
@mbabazijerusha86585 ай бұрын
Aka ka Ninah ni kama kanapenda kukasirika sana ,so moody😂😂😅
@marynzioka45607 ай бұрын
Aki comme !!!aty wanawaletea laana
@kattie-gq1hy7 ай бұрын
I love how commes are compassionate on giving back.. keep shinning n show me your ways❤
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Yeeees 😍😍
@Cachieasani7 ай бұрын
U can see mesh is like ako 13:28 disturbed akiongelea stry ya mtoi juu hawaja conceive u can see his eyes akicompliment mtoii
@kazmorich6 ай бұрын
huyu come or whatever is name is, is very rude and very proud. He has totally revealed who he is as a person.
@lornah.pauline7 ай бұрын
Mesh is so humble ♥♥
@janerosenalianya52277 ай бұрын
Aweeeeeee 🙆 hata kama ni pranks hii imeenda,Commeee in his real face 🤣🤣🤣 mumepatikana.
@gladysmaina9077 ай бұрын
Comme😂😂"tulidhani nyi ni mabeste"
@nancywambui85936 ай бұрын
Weuh 😳 commentator🤦 you just revealed your true colors 🤧
@rosjm13777 ай бұрын
Wapendwa mnapendwa sana keep winning 🙏 ❤🎉be blessed more
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Thank youu 😍😍
@vfbackup56356 ай бұрын
Comme is wale sungura walipokosa natunda alisema si Tamu.. 😂😂😂😂 Out of the ambudance of the heart, the mouth speaks, whether prank or not. These guys meant hese words
@julietkanduthu36207 ай бұрын
I might look rude or harsh but Ninah's pranks can results into so much bad things that would bring regrets thereafter coz for one she is not a prankster,she gets personal and another thing I would advice you guys stick to your house most people don't like other people in their houses.otherwise you guys will be despised by everyone you know and people will start running away from you.kaeni kwenu na mwachane na manyumba za watu and stop these your pranks.for you Nina I will continue telling you untill you change,kindly work on your mouth coz you can spoil everything.i wish you left your man to do the prank and I believe the bad treatment you got in that house would have not gone into that direction
@aggiekhim11147 ай бұрын
imagine it's true...huwa anarusha mdomo vibaya sana and gets too personal like anasema maneno za watu kabisa
@julietkanduthu36207 ай бұрын
@@aggiekhim1114 well spoken girl,I thought I was alone on this
@catherinemwende89237 ай бұрын
Hii nayo ni ukweli,Nina hananga brakes za mdomo
@TabithaKimani-ur3hg7 ай бұрын
Waaaah come amechoma baya
@gladysmwendwa7 ай бұрын
Pwagu kapata pwaguzi 🤣🤣🤣watch part 2 kwa moureen ngigi mtaelewa sababu ya comme kuongea hivyo ni prank.
@wambuikajiri83317 ай бұрын
Comme can make someone cry😂😂😂😂😂
@wangunolilian72077 ай бұрын
Wappendwa Muziki,,,PRANKS ARE NOT YOUR LANE. YOUR AVENUE NI MUSIC. Wachaneni na hizi pranks . They just hurt your emotions. Compose songs. Do collabooos.... The more you prank, the more you go down emotionslly. Najua mkienda nyumbani you analyse everything
@scholasticamutungi7 ай бұрын
True another thing naomba wajue wameitwa na Mungu and they are precious before eyes of God
@shawn2547 ай бұрын
We fungua channel yako. Funny thing is you're still here watching and commenting giving them money
@catherinemwende89237 ай бұрын
This is just the bitter truth
@monicahmunyao4123 ай бұрын
Moh's reaction 😊❤
@mommatalia77 ай бұрын
Lakini if kubebwa ujinga was a person it could be sisi😂😂subscribers yaani come anaenda anatengeneza ady camera katikati ya "prank"😂😂na bado mnaiita prank enyewe zote hukuanga scripts nimeamini😂😂😂
@janeatjaneat65997 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@annettemumbua62757 ай бұрын
I have always thought so, kwanza ile ya dorea chege wacha tu
@grockscomputer56417 ай бұрын
ni scripts tu wanatubebaga ujinga
@kazmorich6 ай бұрын
waahh...people speak from the abundance of their heart. Those two are not your friends.
@commentator2547 ай бұрын
Watu muache kusema ati ooh Comme nini...they pranked us but we turned tables and pranked them as well. No hard feelings just a prank wenye wanarusha mawe check both videos kwanza. Peace wadau😌
@millyesther35197 ай бұрын
Ata kama ni prank, hii uli overdo, mbona uonge hivyo vibaya, na wewe ukiambiwa uimbe huwezi, unasema ngoma ni mbaya and yet unaitumia , shame on you, nkt!!!! hii nayo muitiwe lawyer😂😂😂😂
@gatwiribeth977 ай бұрын
Mliamua kuwageuzia😂😂😂...feels good
@lylyanefletcher69587 ай бұрын
@@millyesther3519wewe uko na mafeelings 😂😂😂😂
@Beevee_1167 ай бұрын
Yes peace❤ waache ku overthink
@hellenwanyaga7 ай бұрын
Where's the other part. Sijaelewa what's happening
@CarolineIrungu-jp5cm28 күн бұрын
Weeuh uyu msee i hope anawaprank tu i mean comme
@misskamaufel7 ай бұрын
Ngombe ni ngombe tuuuuu.....hii ilikua prank sa comme aliwageuzia ndo awaprank pia.....kueni easy on comme
@gaylesimbe56117 ай бұрын
Weeuhh na kumbe comme ako na roho mbaya vile anakaa pia😮
@annajohn2637 ай бұрын
Wah......mmekuwa ma pro wa pranks
@rebeccamoraa35047 ай бұрын
Thanks Wapendwa for visiting Santiago❤❤, well done Ninah for shopping something❤❤
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Asanteeee❤❤❤
@Vanil_Everyday7 ай бұрын
Mesh was like kwani hii ilikua part of the plan😂vile Nina ali escalate the issue
@Shillah28767 ай бұрын
Good job for going with something I think you should change the packaging
@PreciousPepewam7 ай бұрын
I love Commentator 😂 say it as is, no mincing of words😂😂😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Wueh no filters aki
@faithchepkorir41805 ай бұрын
From prank of moh and commentator to you,you have gain one subscriber🎉
@margaretwaithera15137 ай бұрын
Nina 😂heri uko kwa Mungu juu uweeh saingine izi pranks tumaneno tunarushangwa 🤣🤣kama kuchimba mtu
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
But ni Prank tu Nothing Personal
@rebornjacque137 ай бұрын
Comme na mchongoano😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅akona vibes za high school 😅😅😅😅😅😅angoga ndipo😅😅😅😅 unafinya sauti😅
@keshibiko7 ай бұрын
Mbona comme ameanza kuseti wengine wenye wametumia 🤣🤣
@MwanashaMzuri7 ай бұрын
Hanaga chills😂❤
@elizerwambui7 ай бұрын
Amekuwa snitch🤣🤣😂😂
@lilywhite80297 ай бұрын
Wanaitwa wakamba
@williamtimbwa68037 ай бұрын
Ni kasnitch🤣🤣
@beatty_nyabaro7 ай бұрын
Nakuambia 😅😅😅
@EstherNjeri-jb4fm7 ай бұрын
Wah ati ngoma iko chini iyo imenipata off guard 😂😂😂
@floramaleko23497 ай бұрын
Waooooo wapendwa wako kwa wapendwa wetu love you guys❤❤❤❤❤
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
We love you too❤❤
@boyzzzEmpire5 ай бұрын
from Moh's channel... I have landed safely... Wueeh Kome 😂😂😂
@caroladobi43917 ай бұрын
Comme i love how u brought the character mob love😂😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
He is Amazing ❤️
@Pesh_kesh7 ай бұрын
Comme ameamua huruma ni estate😂😂😂😂that's why I love the commohs❤
@fridahkendinjicha51077 ай бұрын
Nina you are going to have a beautiful baby i jesus nane
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Ameeen♥️
@Evaseve7 ай бұрын
Mko cuuuuute!! Just cute wapendwas. Keep growing, keep shining 🎉❤❤❤❤❤
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Thank youuu 😍😍
@CarolGitau17 ай бұрын
Nina this year is your year girl❤soon we shall celebrate you too...❤❤
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Ameen 😍😍
@Doll19997 ай бұрын
😂😂😂😂ati kazi ilikua kufinya sauti
@Lydianabz1237 ай бұрын
I love they way moh wa comm is glowing big thxz comm for giving her peace of mind ❤
@FeithMueni7 ай бұрын
No alikonda hpo B4 alikuwa m big sana
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
She's really glowing forsure❤❤
@alicesimba2427 ай бұрын
@user-uv9un5zc5o kwani kushed kgs ni vibaya
@elizabethmutinda25377 ай бұрын
Wapendwa God will bless you with a baby everything comes at its own time
@rosekitsao91337 ай бұрын
Haki hiyo part yakupokonywa mtoto😢
@gracemutindamuthike97247 ай бұрын
😂😂Comme hapendi ujinga. Lakini Nina huongea na feelings Hadi Comme akaongea vibaya. 😂😂😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
😂😂😂😂alicatch
@marymunene37657 ай бұрын
Aki nina walai ako lucky mesh anampenda na anmelewa otherwise ye huwa na mafeelings and alikuwa rude akiwa wa kwanza😂
@fidemugo65077 ай бұрын
Nina queen of pranks,,,,mesh anaingiza baridi 😂😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Haha Manze Mesh itabidi amework on himself 😂
@juliekihima29667 ай бұрын
Even if comme knew its a prank those were very hurtful words to say to someone...the part where comme asked mo to take the kid away from Nina was more hurtful cz this could be a couple struggling to concieve.. Again wapendwa stop pranks you might end up getting hurt in return coz there are words that don't fade away easily
@irenemshindi43367 ай бұрын
For real wapendwa stop
@sonniemwatha89357 ай бұрын
No actually this is good in a way if you understand
@stecylilykeyx7 ай бұрын
@@sonniemwatha8935ithink if wrote in capital letters iko safi
@lilywhite80297 ай бұрын
I would have picked my baby the moment I sensed negativity
@jennifermumbe57507 ай бұрын
@@irenemshindi4336prank imefanya account yao igrow dear
@mercyoff5327 ай бұрын
Comme anangaa chills 😂😂😂😂
@fatihammboga7 ай бұрын
Commeh kanyaga shingo kabisaa. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂I think commeh ameona camera
@verahshee95737 ай бұрын
Yes😂
@gracemutindamuthike97247 ай бұрын
Akaamua violence 😂😂😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
They had already planned a Prank
@fatihammboga7 ай бұрын
It was a good one
@eunicenyainda88877 ай бұрын
Reverse prank😂😂
@Purity_Kendi7 ай бұрын
Yes. Wapendwa Muziki are right even if its a prank. Ask for permission before using their Music. They are the best in gospel. Keep up Nina and Mesh 🎉❤
@purityJillo7 ай бұрын
Uwee😢, the world is cruel😮, heri kwa yesu tu😊
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Very true
@eddahkithimba91257 ай бұрын
Answers from Mo's husband,shows a lot of wickness,madhalau somehow,na " " ati Nina ananyonga sauti na hajui kuimba, surely,kumbe prank zinaweza define the type of friends you have.Mungu okoa watu.the words were too harsh wako.lesson:usiwe mwepezi wa kuongea
@esthermaina5737 ай бұрын
My favorite people... Always anxious for your next video
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Thank youu ❤❤
@emmahannah41267 ай бұрын
@@Wapendwamuziki I love you people 😘 please lets be friends 😍
@dianahnekesa28227 ай бұрын
Hii chanel nayo wangeacha ikue tu ya muziki😮😮kuliko kuchanganya kama mitumbo n vitu mob mara nyimbo.mara pranks aaah😮😮undeni chanel ingine 😂 basi ya nina and sijui woot daily lives ya music ibaki music yawa
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Tuko tu sawa hivi
@dianahnekesa28227 ай бұрын
@@Wapendwamuziki 😂😂haibambi ,,mm natafta nyimbo nidudishe kwa nyumba naona tu pranks
@abigaelmoraa96987 ай бұрын
Team Nina hii mwaka aishii kama atuna mtoto wetu in Jesus Name Nipitienii as we wait for the banger this on is 🔥
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Amen❤
@ChristineDan7 ай бұрын
Amen
@Moh-v6b7 ай бұрын
Hello nipitie plz
@beatriceobat74427 ай бұрын
Amen
@carolinegithinji40257 ай бұрын
amen❤❤❤
@MaryKimanzi-dc3sf6 ай бұрын
Eti ngoma iko Chini😢😢😢😢
@curtisben27467 ай бұрын
Comme buana aliamua kumaliza mwenye anakuja kummaliza, I like it😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
I knooow😂😂😂
@bertina_shali7 ай бұрын
Wapendwa muziki to the world 🌎 ❤❤
@Nimmomamakemaxwell7 ай бұрын
Numecheka
@dalmamboiya78277 ай бұрын
You guys am loving your contents😂 Wueee Ninaa😂😂 Una attack uki defend😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Haha Thank you dear 😍
@SharonShitemi7 ай бұрын
Pia wakina come walikua wanawaprank pia
@abbeypretty21967 ай бұрын
Ninah hananga chills 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Highlyfavored_One7 ай бұрын
Moureen is a calm girl.I love how she is collected and smart.Always thinks about what she releases from her mouth.Comme kana kaa kaitu wikilomo we 😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Haha but ni Prank Tu
@maggienjeru63427 ай бұрын
We are not a beggars please.i feel it aki😢😢😢
@MercyMaliki-h2m7 ай бұрын
Waah kumbe hiki kijamaa kiko na roho mbaya ivyo waaah hata sitawai watch huko kwao tena
@Wasynafylifestyle7 ай бұрын
Nashindwa venye naeza eleza kila mtu mwenye anaongea mbaya kwa Comme that they were also pranking them,,,,😢😢😢😢hebu muende muwatch video kwa Mourine ngigi ndio muelewe
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Yes This was just a Prank Surely
@lavinmuswa38327 ай бұрын
Mo' & Comme kiburi kitawaramba ata nimewachukia tu
@alvinkimondo93156 ай бұрын
They were also pranking them . Go and watch kwa moreen Ngigi
@janeatjaneat65997 ай бұрын
Sijui mbona watu wanalaumu Comme .... hapa Comme aligeuzia hawa wajamaa kibao akawaprank pia kwa prank yao wenyewe na hivyo ndio inafaa..... hata kusema ngoma iko chini na watu wanawahurumia it was just a prank 😂😂😂😂 acheni kucatch feelings na mu enjoy video
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
True. It was just a Prank. He did well. Let’s give credit where it’s due
@ltspossible7 ай бұрын
Its just a bunch of hateful people. They don't understand content creators and pranks
@dailygossip65237 ай бұрын
Yaani ata nimeanza kuview kina comme in a very different way...kwanza comme..pothooo
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
It’s just a Prank
@TracyAnne-g9m7 ай бұрын
@@Wapendwamuzikiyes it is but that was soo insensitive of him
@Nerea_Faith7 ай бұрын
@@TracyAnne-g9mYeah now this is now the real him,,wamedharau hii couple Sana
@becky313887 ай бұрын
Watch part 2😅😅😅
@catherinemwende89237 ай бұрын
Wee kwenda huko,watch next part ndio upate akili
@marieprecious84517 ай бұрын
Leo mumechuniwa dawa na mzizi big up commenteter
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Haha A Come back is coming 😂
@Faith.Kaluu977 ай бұрын
Comme sura mbaya kama his communication 😢😂😂😂
@FajihOtara7 ай бұрын
Unatusi msee anafanyq way better na they are friends imgn😂😂😂😂😂
@essiemueni6 ай бұрын
😂😂😂Nauliza tu kama yeye hujua ni sura mbaya🤭
@marywanjirunj40957 ай бұрын
Shock on us the wapendwa fam 😂😂😂so mlienda kufanya prank 😂nyii wenyewe mkakuwa pranked 😂😂😂😂 At some point I thought it was real
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
😂😂😂😂pranks hukua hivo
@marywanjirunj40957 ай бұрын
@Wapendwamuziki ii ya leo nikaa ilienda group of schools.... Lakini come back lazima,..team wapendwa 💪
@simplerecipes44887 ай бұрын
Maureen ni dem mpoa sana but huyu bwanake ako na mdomo sana
@ivyfrank40697 ай бұрын
Kwa hivyo leta Bamako amuoe
@shazzmbithe6587 ай бұрын
Really😅😅😅😅
@Mummy-b1u7 ай бұрын
For sure comme anakuanga na kiburi 😮
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Kindly avoid hate speech❤
@Wasynafylifestyle7 ай бұрын
Unaongea vibaya aje
@guccikidd69347 ай бұрын
Nice come back team Maureen Ngigi ❤❤
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Haha thanks on their behalf
@SomaBiblia7 ай бұрын
Good day to you Wapendwa Muziki, today i had a dream about Nina pranking Mesh and Mesh became so angry and spoke very nasty things to her then later on Nina said it was a prank but she was crying over the words her husband uttered and it was really hard for them to reconcile after the prank, i was just an observer in a dream not participating in anything. Hey i know i might get criticized by this but it’s alright I have done my part. So Wapendwa you may try and avoid pranks. I know almost every content creator in Kenya is doing pranks right now but for you guys sit down and reconsider. Good day to you all. God bless you.
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Okay ❤❤
@catherinemwende89237 ай бұрын
Wanakuanga vichwa ngumu,kusikia wosia wako ni balaa, may God help them
@theejays7 ай бұрын
Uweeee karibu nicatch feelings on behalf of wapendwa .... thank God si ukweli ni prank🙏🙏🙏🙏
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Yes it was just a prank😂
@millynjesh27 ай бұрын
Eeeeiiii hii nayo nangoja 🥳🥳🥳My favs are in the building the commohs 🤍🤍💚💚
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
❤❤❤❤
@rosewanjiku647 ай бұрын
Aki comme na mtu akaweza kuona I will never watch ur flog Ngai kiburi better bibi mara kumi
@shanyangel2547 ай бұрын
Nini iliwatuma 😂😂😂😂😂 leo mlipata no nonsense 😂😂😂😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@marygathigia87197 ай бұрын
Apo kwa shopping is a 10/10 Especially place kuna mtoi.... I love it that you guys have a learning spirit Keep being blessed ❣️
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Thank youu 😍😍
@vivianmk77837 ай бұрын
And I said,They are learning,Congratulations Ninah I love you for free
@marygathigia87197 ай бұрын
@@vivianmk7783 sure....one thing I love is that they listen and learn Kila kitu ni pole pole
@lucythubi79247 ай бұрын
Yaani tu nimecheka 😅
@damarismukina18937 ай бұрын
Aty pia moreen anambiwa achukue mtoto juu wanampea bad vibes😂😂😂😂
@Salvationcenter.7 ай бұрын
They noticed it's a prank. Trust me
@Wasynafylifestyle7 ай бұрын
There camera was also running they were also pranking them
@annshiru60557 ай бұрын
Bona Huyu commeee amehug ninnah hivo stronger aiiiii heshimu bibi ya wenyewe😢
@MwanashaMzuri7 ай бұрын
For me nmecheka sana😂😂😂
@Wapendwamuziki7 ай бұрын
Haha 😂😂
@DaphineAtaga6 ай бұрын
wapendwa your the best
@Wapendwamuziki6 ай бұрын
Thank youu
@Emily-kf3gv7 ай бұрын
Akh comme ako n mdomo wooi ,,,comme anajiskia n aliomoko juzi stop being rude yoh have nothing comme acha maringo
@mohandsuesweettreats38107 ай бұрын
I hope comme sio mkikuyu ju hii kiburi yooooh
@peace_peace1547 ай бұрын
That's was so wrong of comme,he has a lot of pride and rude too..kiburi muache nkt..na vile anakaanga humble weeh..it wasn't good at all nkt..
@stecylilykeyx7 ай бұрын
Kama hujui meaning y prank enda watch movie
@annewanjiku7547 ай бұрын
He realized that it was a prank 😂😂 acha ma feelings