Ameni , hii ni Baraka kuu katika maisha ya watu wote, Mchungaj Dr Eliona Kimaro , Mungu akubariki kwa kuachilia neno la uzima . Mafundisho yaliyo kweli ndani ya mioyo ya watu wote. Jaman napenda kuomba somo hili la "Shika sana ulicho nacho" Kama naweza lipata full kwa series .