Mama yangu Asante Sana kwa mafundisho na nakuomba usichoke kufundisha na kama kuna uwezekano tunaomba uweke kongamano maalumu kwa kila mwezi kwaajili ya kutoa elimu kwa kina mama
@godfridymbepera6442 Жыл бұрын
Ubalikiwe
@esthersayoni65323 жыл бұрын
Amina mam umenifundisha
@sikujuahassan39833 жыл бұрын
Mungu atusaidie jamani asira zisikae vifuani mwetu, mithiri ya mpumbavu
@TeonasMlengo Жыл бұрын
Mungu akubari sana mama Kwa mafundisho mazuri sana nimebarikiwa sana
@guyogalora273610 ай бұрын
Hongera sana.ukweli kabsa
@emmanuelhemedy25643 жыл бұрын
Amina
@TeonasMlengo Жыл бұрын
Mama umegusa sana ndoa Mungu akubari sana
@linnusaloyce65594 ай бұрын
Km ni ada tutatoa maana wake zetu wa sasa wanatembelea nguvu za waume zao hawajui wajibu wao