RICARDO MOMO ATOA ZA NDANI CHAMA, DUBE WAMESAINI YANGA, APANGA KIKOSI MSIMU UJAO,CHAMA,DUBE,AZIZ KI

  Рет қаралды 39,581

SPOGA ONLINE

SPOGA ONLINE

8 күн бұрын

RICARDO MOMO ATOA ZA NDANI CHAMA, DUBE WAMESAINI YANGA, APANGA KIKOSI MSIMU UJAO,CHAMA,DUBE,AZIZ KI

Пікірлер: 37
@josephnyatugara6422
@josephnyatugara6422 6 күн бұрын
Kiungo tungekomaa na bajana ingekua poa sana
@user-ip2we5uc7n
@user-ip2we5uc7n 6 күн бұрын
Yanga Uwezo tunao na Fainal Tungecheza, ila Akiongezeka Chama Fainali naiona tu labla watufanyie figisu kama msimu uliopita
@OS-pf6op
@OS-pf6op 6 күн бұрын
Yes, nafasi ya Aucho inahitaji 'back up'..👍🏿
@bakarikombo6882
@bakarikombo6882 Күн бұрын
Aliye sema momo hajui ni mpuuzi tu
@JosefuMulima
@JosefuMulima 4 күн бұрын
Nikwrl yanga iwe na chama
@user-tp7ui4df8j
@user-tp7ui4df8j 6 күн бұрын
Yanga watafute mtu wa kukaba ili msaidie aucho,chama wann,pacome yupo zaidi yauyo,max,kii wapo saa izi chama na faridi,faridi zaidi uyo chama wann
@nelsonmungereza1458
@nelsonmungereza1458 6 күн бұрын
Sahihi, viongozi wanazingua mno aisee, wasilete chama, watafute mtu sahihi wa kucheza kumsaidia aucho
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
Wewe! Yanga hata bila hao injuries,tulikua na uwezo wa kuingia NUSU FAINALI! Kama ISNGEKUA figisu! Kwani Mamelodi walitufunga?! WAT R U TALKING ABOUT!? YANGA KIKOSI KILIKUA KIPANA! HAO WALIPOUMIA HATUKUCHUKUA UBINGWA NA 3 games in hand? Wachambuzi wa aina gani nyie? Kauzeni karanga au anzisheni saloon! You kno nothing abt footie bro!
@babaabro8847
@babaabro8847 6 күн бұрын
Momo nimekuelewa kama na viongoz wamekusikia tutatoboa kimataifa
@JoshuaBenson-h3o
@JoshuaBenson-h3o Күн бұрын
😮wachezaj wangap? Waliosajiliwa yanga SC?
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 6 күн бұрын
KIUNGO NI CHAMA
@mohamedikassimu7016
@mohamedikassimu7016 6 күн бұрын
Uko vizur kaka. Akili kubwa
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
Akili gani!? Kama umamuona huyu ana akili,BASI HUNA AKILI! KAONGEA UPUUZI MTUPU!
@user-xh4lu3ot4m
@user-xh4lu3ot4m 6 күн бұрын
Yaani jamaa shida yake kuongea tu ukimi wake kama una mashaka mashaka lakini ni mchambuzi mzuri sana anajuwa boli.
@user-xh4lu3ot4m
@user-xh4lu3ot4m 6 күн бұрын
Huyu jamaa mpira anaujuwa
@nasoromsaga6911
@nasoromsaga6911 6 күн бұрын
Yan hata mm nimemuelewa. Mchambuz yuko saw tujitahid kukata kadi2 mambo yatakuwa pw
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 6 күн бұрын
Kweli wachambuzi hao Vichwa vyao havina tofauti na mayayi Viza Mchambuzi kweli Mwanduke peke yake tu Hawa Wengine ni chapli chapli
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
Spoti on ! Wachambuzi mafala matupu ! Mzee wa data PEKE.YAKE NDO NAMUHESHIMU! NUMBERS DONT LIE!
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 2 күн бұрын
Ukiona mtu anatukana badala ya kujibu hoja ujue yy ndiye akili hana. Mwenye akili anajibu hoja.
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u 6 күн бұрын
Momo. Huna. Ujuwalo. Kenge. Mkubwa
@MoseGerson
@MoseGerson 6 күн бұрын
Hahaha 😂
@user-qj4be3wu8b
@user-qj4be3wu8b 6 күн бұрын
Za ndaaaaaaanikabisa wewe unakitu ila2
@user-xh4lu3ot4m
@user-xh4lu3ot4m 6 күн бұрын
Ulimi sio ukimi sorry
@user-op7vm9mr3z
@user-op7vm9mr3z 6 күн бұрын
Mbona unajilambalamba midomo wewe kijana????
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u 6 күн бұрын
Haikuhusu. Kuuliza. Ivo
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 3 күн бұрын
Wewe momo ni mla mihogo ulisoma wapi au wewe ni comedy?. Simba ni ya 5 afrika yanga ni ya ngapi? Kwenye afcon Senegal wameondolewa na timu ndogo ina maana walikuwa na wachezaji wabovu?. Shule yako ni ndogo sana. Tofauti ya simba na yanga ni upambanaji . Wachezaji wa simba pamoja na ubora wao walikosa usimamizi walicheza kifadha hawakujua mpira umebadilika. Wanchezaji wa yanga ni wa kawaida ila wamecheza kwa jihadi pamoja na hujuma zingine ambazo kina try again walishindwa kudhibiti zikawa zinawapa ushindi yanga. Try again si mtu sahihi kuongoza simba. Mabadiliko ya simba yatawarudisha kwenye mstari. Ninyi kina mo acheni ushabiki wa kijinga mwambieni msomali aache figisu acheze mpira tuone kama atamshinda simba au azamu kama kutakuwa na fair play.
@HassaniselemanPwicha
@HassaniselemanPwicha 3 күн бұрын
Huna akili wewe!
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 2 күн бұрын
@@HassaniselemanPwicha ukiona mtu anatukana badala ya kujibu hoja ujue yy ndiye hana akili. Hatuwezi kutembea na waimba mapambio hawajui kitu ni kufuata yanayosemwa na watu wengine.
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 3,9 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
O'ZBEKGA SAKRASHNI OQIBATI
1:00
OCTAGON UZB
Рет қаралды 2,7 МЛН
Ronaldo preferred the team to himself. ❤️
0:43
hamid sahari
Рет қаралды 6 МЛН