Kama ni kweli, pole sana Zuchu wetu❤❤❤❤. Sina la kusema ila Mungu akutie nguvu as itakuwa ngumu sababu ya mazingira ya kazi. From Holland 🇳🇱
@fatmafatu11287 күн бұрын
Acha kushabikia uzinifu pole ya kazi gani kwani alikuwa kaolewa au uzinifu tu
@زهزة-ه3ه2 күн бұрын
Dah sijategemea kama bongo kuna vijana bado wa aina hii Big Up kijana
@AmranShafik7 күн бұрын
Wewe Momo unatakiwa ukae na mdogo wako...muonge vizurii kwenye ayo majambo
@Lizawansima7 күн бұрын
Ina wezekana simba ana ma shetani yana mukataza kuowa kwanini.watu mishi.wake wana owa ila yeye aowe 😢😢😢😢😢
@agbordorothy49017 күн бұрын
May be his own totem is to have children but can not married. But let him explain it to Zuchu why he only want a child but not get married. Every time he is asking Zuchu when to have a baby. Hmmmm🙃🙃
@marianginaijuma41713 күн бұрын
Mond Hana haja na Zuchu mtoto WA watu anajilazimishaga...Mond akipenda demu hua amamtangaza ila kwa Zuchu anakataa
@umfahad26095 сағат бұрын
Huyu Momo anajielewa sana. Ht mimi namkubali saana. Ana maadili ya dini na hofu ya MUNGU. Kwanini humuongozi na Diamond akawa km wewe??
@tanzcanmediatv44736 күн бұрын
Zuchu asingekuwa mama yake angekuwa alishamuacha diamond mbali nasikia mama yake ndio alimforce aingie kwenye mapenzi kila wakigombana mama yake anamforce akaombe msamaa ili wachukue utajiri naona zuchu kachoka
@abdullahally54796 күн бұрын
Allah amemuepusha kidini huyo sio mwanaume bora kwake kutwa anavaa misalaba wakipata watoto hawatolelewa na maadili ya Dini yake
@zariadunia632833 минут бұрын
Jamani kwani zuchu wcb alisajiliwa kwa ajili ya ndoa au mziki? Kamepuyanga huko kakampora Allya mwanaume wake alidhani yeye ndio ataolewa zuchu hizi stress kajitafutia mwenyewe dose kwa mond atapewa lkn ndoa amuombe mungu alichokosea ni akili yake mbaya yakujionyesha kummiliki chibu hapo alijisahau kama kigoma mwanamke ukijifanya unaweza kummiliki mwanaume utashambuliwa na ukoo mzima mpaka ancestors waliobaki Congo watakusjambulia hivi zuchu ulijua mama dangote kafariki😅😅😅😅😅😅😅 pole kosa la zuchu ni hilo eti mpaka akavunja na vitukwa diamond kabla hata ya kuchumbiwa unajimwambafai kwa mtoto wa sanura?eti kwa bibi paje mara zbar hatokagi fala kwa hiyo kigoma ndio kuna mabwege😅😅😅😅 zuhura badilika tabia ya kumfuatilia na comcontrol mtoto wa Sanura halafu Sanura mwenyewe anamtaka Allya😅😅
@DoriceEdward-l6s6 күн бұрын
Zuchu anamapenzi ya kweli kwa daimond ila daimond ni kicheche sana mbwa huyo
@mwanamkeshujaabongoflavama71807 күн бұрын
Hapo kwenye halo hali na mwanamke awe na riski, walo elewa wame elewa
@Hapygideon6 күн бұрын
Mi ndio nasubiri nyimbo mpya tuu,,tushachoka na kiki zenu,hivi wa Tanzania mnafunikwaga nanini kinachowafanya mnaamini haraka haraka kuwa wameachana😂😂😂😂soon mtaona aibu
@hamidabarraball31627 күн бұрын
Ndoa nzuri jamani, ricardo momo amenenepa sana
@AbdulAzizAli-i6x7 күн бұрын
Mungu.ametukataza mengi tu.mpaka kwenye dini ametuambia tusikaribie kwenye zinaa ni bora ukamuiliza huyo ndugu yako hajayafanya hayo? Kisha ndio uropokwe tu waziinifu wakubwa
@halimamasai22347 күн бұрын
Kiki kila siku hebu mtuache sisi na Uchaguzi wetu hatuna muda na hayo maujinga zenu inatuhusu nini
@RayChausa7 күн бұрын
Huyu pia ni muongo😂ya masha na Santos alisema wameoana kumbe ni kiki wana share happy birthday
@Mina.152 күн бұрын
Fukuza kunguru kwaa kwaaa
@nordinebaraca46353 күн бұрын
Nikiki walizo bakinao wcb kila siku kuachana, awana lokote. Waliowana liniii?
@HASSANBAKARI-q9c7 күн бұрын
Waachane wasiachane zuchu anatakiwa kukubali shoti,,atoke kifungoni,aishi maisha yake,,lasivyo badae sana itamcost na muda utakuwa ushapotea,,hao mapenzi Yao lazima yawe ya muda,,,bcoz kuna biashara ndani yake
@Nihadshighadi7 күн бұрын
Ww waona kufanya kazi na ex wko ni rahisi,yy labda atoke wasafi bila hivo atakua anaenda anarudi
@AishaNgoyi-vi2ku6 күн бұрын
@@Nihadshighadiasantee kw kunijibia
@sylviemokosery87014 күн бұрын
J'suis d'accord avec vous c'est sûrement à cause de son entreprise qu'il ne veut pas se marier avec zuchu
@Brunn-mh2bq7 күн бұрын
Hapo mnafuga kunguru au vipi. Kelele hadi video inaharibika.
@jamilaathumani54815 күн бұрын
Inamana unataka kusema Daimond niwale waliopigwa muhuli?? Mana Kuna roho mungu kazipiga muhuri negative???
@VioletNamwelu6 күн бұрын
What his he saying anyone to translate in English please please
@dennismayunga98456 күн бұрын
Mwambieni huyu mdg wake Chibu asimsingizie Allah hampangii mtu maisha ndy maana tumepewa akili ambazo wanyama hawajapewa.
@annamwakibinga5273 күн бұрын
Hee jmn nadhani huyu mkubwa kwa Daimond
@HannanSomaiyah-wp7ny7 күн бұрын
Na Wewe Wacha kulamba Hilo Domo Lako
@rosemuna55697 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@RayChausa7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@fatmafatu11287 күн бұрын
Emu mbane mdomo huyo kunguru anatukela banah
@ShirfaDigubike5 күн бұрын
Mabegi juu ataludi tu analazimishwa kuolewa
@aishaz16 күн бұрын
Kama wameachana basi ata siogei
@زهزة-ه3ه2 күн бұрын
Wafahamishe yani wa sanıi wajinga wanaona zinaa ndio sifa na Zuchu ni mtoto kalelewa na maadili ya kiislam haikuwa basi Mungu Hakutaka
@NechLove7 күн бұрын
Naomba kuuliza huyu ricard ninani maana namsikia tu
@asifiwewisayi85807 күн бұрын
Kaka yake Diamond upande wa Baba
@mariammnongo21497 күн бұрын
@@asifiwewisayi8580 upande wa Baba ama Kaka yake waloshea baba
@MsafiriBaruti7 күн бұрын
Kaka ake diamond
@saidasaid58556 күн бұрын
Huyu kweli kaka ake maana ata sauti jamani
@johnmichaellukindo215 күн бұрын
Za ndani!
@TaarabChannel6 күн бұрын
Kwanza Zuchu na mondi hawajawahi kua kwenye mahusiano kamwe, kama walikulana basi tu walikulana tu,ila have nver been lovers. Kama nazua waje wanisute