Video yangu ya mwisho ya mwaka 2018

  Рет қаралды 2,089

Richstar

Richstar

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@mnamalilejs9623
@mnamalilejs9623 6 жыл бұрын
Broh mi nakufatilia saana sana.I wish One day nitakutafuta. Hongera sana broh. Una kila nnachohitaji kujifunza
@mnamalilejs9623
@mnamalilejs9623 6 жыл бұрын
Ahsante sana.Namba zako nnazo ila kwa sasa sina simu ya whatsapp. Ila naamini tutawasiliana tu bro HAPPY NEW YEAR
@ibnumullah2633
@ibnumullah2633 6 жыл бұрын
shukran kaka tupo pamoja sana na kupata vizuri sana ndani ya zanzibar
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 6 жыл бұрын
Sawa Kaka tupooo Pamoja
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Richstar Kaka endelea Sana na Moyo huo huo wa Kusaidia wengine nao wafanikiwe Mungu atakulipa.
@hpalacemusic
@hpalacemusic 6 жыл бұрын
asee tupo pamojaa
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 6 жыл бұрын
Brother hivi ku approve channel ikiwa under review inachukua mda gani please help me
@matisonmiti8357
@matisonmiti8357 6 жыл бұрын
Nami pia nashukru umekua msada sana kwangu katika swala zima la graphics na fl studio asante sana mungu akuzidishie
@mahmoudgraphics3575
@mahmoudgraphics3575 6 жыл бұрын
Hongera mwalimu wangu kwa mungu kukuwezesha kufika mwaka mpya 2019 natumai ukiwa afya na uzima ni mategemeo yangu mwaka huu 2019 utakuwa mwaka mzuri kwako na channel hii naomba izidi kuwa na wafuatiliaji wengi zaidi ya hapa na kutulea mafunzo mengi mazuri yenye manufaa ndani yake.
@Likemedia255
@Likemedia255 6 жыл бұрын
Naomba unirushie link kaka ya group lako
@chambukomedia153
@chambukomedia153 6 жыл бұрын
Hello A alaik I'm Muhammed Lakin najulikana pia kwa jina LA chambuko Ckua najua chanel yako b4 Lakin nilipokuja kuona chanel yako KZbin nilikufuata sana na mpaka posts zako za miaka 2 ilo pita ninaangalia mpaka sasa And let me be honestly to u I'm enjoying kwa uwepo wa chanel yako Cna cha kukulipa ila allha awe juu yako And happy new year Niko Out of Tanzania Lakin nakupata sana Ninsomea vitu ivyo Lakin bado sitosheki na nazid kustafid na Elim yako
@kbclassicbeat
@kbclassicbeat 6 жыл бұрын
Ebu nitumie link ya group la whatsapp kk
@seykudo4675
@seykudo4675 6 жыл бұрын
Naambiwa napiga picha vzur lakin Adobe sijui kuitumia brother me nipo airport naomba kujifunza namalengo me niphotography
@ramadhaniyasinisadala1756
@ramadhaniyasinisadala1756 6 жыл бұрын
Appreciate u bro, we Wii still be with u behind
@beezytvonline9434
@beezytvonline9434 6 жыл бұрын
namba yako ya whatsapp
@ahmedabuu6595
@ahmedabuu6595 6 жыл бұрын
Please nijibu ile swala mm video nilio tuma na ikawa rejected haiku kaa hata nusu saa nilizi delete sasa vipi hapo iko sawa ama bado????
@organizertz3109
@organizertz3109 6 жыл бұрын
Braza yaani m niko nyuma yakooo nakufuata wwe...
@emmanuelonyangoochola9228
@emmanuelonyangoochola9228 6 жыл бұрын
pamoja
@willywajson7302
@willywajson7302 6 жыл бұрын
Nimechelewa Jamani ila mimi sina mengi sana BROTHER RICH nasoma ICT lakini napenda graphics na ninapo soma hawafundishi lakini nilipo fika katika channel yako nime pata madini mengi na tofauti tofauti mpaka sasa hapa nilipo nipo na company from PORTUGAL kwa maswala ya ku shout Adverturs na ku edit na kazi zangu zina ruka kwenye channel za Portugal lakini pasipo wewe nisingelikuwa hapa nilipo SHUKRANI SHUKRANI SHUKRANI SANA 2019 NAKUITAJI SANA KWA MAENDELEO NA FAIDA
@crazzybuder5328
@crazzybuder5328 6 жыл бұрын
Naomba ntumie link au niunge group lako LA whattssapbroo plz 0677769697
Jinsi ya kupata wateja wapya ukiwa Graphics designer
17:05
Richstar
Рет қаралды 4 М.
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 1,1 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Новости дня | 10 января - утренний выпуск
11:52
Euronews по-русски
Рет қаралды 37 М.
Vitu nilivyofanya Kufikisha Subscriber 50,000
7:53
Richstar
Рет қаралды 1,8 М.
ALICHO ONGEA DOKTA SLAA KABLA YA KUKAMATWA
8:28
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 2,2 М.
AHMED ALLY AKITOA TAARIFA YA KIKOSI BAADA YA KUWASILI ANGOLA
8:34
Simba SC Tanzania
Рет қаралды 9 М.
MISSION IMPOSSIBLE [34] SEASON 2
26:40
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 35 М.
Channel yako ya Youtube haikui, Sababu ni hii
9:24
Richstar
Рет қаралды 4,1 М.
Jinsi ya Kupiga Kompa Solo | FL Studio Tutorial
23:06
Richstar
Рет қаралды 4,9 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН