HANSCANA "Nilishirikiana na HARMONIZE kupigana VITA na DIAMOND/SITAKI kumzungumzia

  Рет қаралды 22,564

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZbin channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Пікірлер: 84
@vincej9275
@vincej9275 14 күн бұрын
Kweli kabisa, zamani mziki ilichukuliwa na watu wengi kama enjoyment ama "leisure" lakini sasa ni biashara na inalipa vizuri sana.
@bokabecca5473
@bokabecca5473 12 күн бұрын
Entertainment imekuwa (burudani) lakini mziki wetu haujakuwa uko palepale na umepiga hatua nyuma zaidi..ila kwa burudani imekuwa.
@mtazycomedy
@mtazycomedy 12 күн бұрын
Hanscana noma sana repenta mzur
@empafricatv
@empafricatv 14 күн бұрын
Oya interview inaujazo🎉
@samchris1914
@samchris1914 12 күн бұрын
Hanscana ana speak facts
@ThomasfrancisMvella
@ThomasfrancisMvella 7 күн бұрын
Hapo kwenye viwango vya ppesa, kumbuka pesa yetu imeshuka thamani ,kulinganisha na zama izo....soo 10m ya sasa , huko nyuma ilikuwa haina tofauti na 5 to 6m au 7m...
@Barakanenealldays
@Barakanenealldays 14 күн бұрын
Hii comasava ndio ilimuuma maana hakupewa video shooting
@mtazycomedy
@mtazycomedy 12 күн бұрын
Ukitaka kujaza kanda ya ziwa mchukue best naso
@vedanismtv1892
@vedanismtv1892 14 күн бұрын
huyu mtangazaji anajikutaga anajua, xaca unauliza swali halafu unataka ujibu wee😂😂😂, ethics za kazi amna
@allyharoub-rl6rb
@allyharoub-rl6rb 14 күн бұрын
Wasingekuwa wanaongozeka ama kuwa na mwendelezo till this time ...
@empafricatv
@empafricatv 14 күн бұрын
Director anaakili kubwa
@jbdedon
@jbdedon 14 күн бұрын
Set vizuri mic zako rick
@AbuuMkabugo
@AbuuMkabugo 14 күн бұрын
We mtangazi mlevi kumbe
@FrenkMjeshi
@FrenkMjeshi 13 күн бұрын
Mtoto wa anscan anapandishia nguo 2 apo pembeni
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 14 күн бұрын
Bongo Fleva kabaki diamond tu wengine wote ni kama dulla makabila tuu ,mtangazaji Yuko sawa
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 14 күн бұрын
Ndo uwezo wako WA kufikiri ulipofika Kwani wamekuambia wamestaafu mziki ?
@m___ck799
@m___ck799 14 күн бұрын
Yaanii huu ujinga utaisha lini😂kinyimbo kimoja Komosava unaona kamaliza kwendraaaaa
@svt3
@svt3 11 күн бұрын
​​@@m___ck799na hai wasanii wengine hata iyo nyimbo moja hawana basi pongezeni mwenye nyimbo moja sababu moja na zero sio sawa
@sixteenke
@sixteenke 14 күн бұрын
Sound mbovu kama kitu gani
@mtazycomedy
@mtazycomedy 12 күн бұрын
Presenta hauko sahihi ila hanscana yuko safi
@NzeyimanaJunior
@NzeyimanaJunior 14 күн бұрын
❤ 1 ❤
@mtazycomedy
@mtazycomedy 12 күн бұрын
Hz milion10 bila mondi
@celestinemakolo3954
@celestinemakolo3954 14 күн бұрын
So bidhaa kupanda bei ni uchumi kukua sio
@kendryjenner
@kendryjenner 14 күн бұрын
😂 Leo Kazini Kwa mtangazaji kuna kazi
@nashnene6326
@nashnene6326 14 күн бұрын
Hanscana kamuuliza swali zuri sana huyo mtangazaji kanjanja, kamuuliza hizo gari zisizokua na card za wasanii wa zamani kina feruzi zipo wapi? Kabaki domo wazi
@shombetz
@shombetz 14 күн бұрын
Mtangazaji matako
@AbuuMkabugo
@AbuuMkabugo 14 күн бұрын
Muongo hakuna nyimbo ya Chris brown yenye views milioni 2
@tonnybrighton7528
@tonnybrighton7528 12 күн бұрын
Ipo kaka Chris Brown Mm ndo mdogo wake
@Mbisamazembe
@Mbisamazembe 14 күн бұрын
Hascana mutu wamaana sana
@officialAlikoBrand
@officialAlikoBrand 14 күн бұрын
Host IQ ndogo harafu unataka kuleta ubishi wa vijiwen
@MasaboDjuma
@MasaboDjuma 14 күн бұрын
Sijawai kumuelewa uyu mburundi kichwa cha zamani 😂😂
@djalasaleh
@djalasaleh 14 күн бұрын
Ukuna Mburundi bwege
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 10 күн бұрын
Huyu ana akili mno mziki una lipa skuizi wasanii wana ela
@rashidsalinja4252
@rashidsalinja4252 14 күн бұрын
nimekua watano like zangu jamani
@iam_sami
@iam_sami 14 күн бұрын
Director anaongea fact mtangazaji ana leta ushabiki wkt yy media yke imekua kwa ajil ya mziki 😂 Rick media badilika mzee lete facts acha brabra
@jadenmsafi
@jadenmsafi 14 күн бұрын
Boss wa r media no harmo
@JumaSaidi-xq7ui
@JumaSaidi-xq7ui 14 күн бұрын
Anaongea fact xana
@TinyKideo
@TinyKideo 13 күн бұрын
Jamaa anatumia mihemko sana kuongea kuliko akili. Interview ya hovyo sana kulingana na mtangazaji.
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 13 күн бұрын
Nice talking?
@geoufo2858
@geoufo2858 14 күн бұрын
Host ana IQ ndo alafu mbishi
@smilemediatz
@smilemediatz 14 күн бұрын
Mzee unatafuta attention viwes kupungua imetokaana na sasa hiv bando limekuwa juu mtu anaingia youtube kwa kubeep sio kama zamani buku gb
@nijoblizertz2787
@nijoblizertz2787 13 күн бұрын
Bando lik juu wapi kaka😂😂😂 sas hv digital platform n nying sy lazim msanii awek nguvu youtub wakt kun tidal,audio mark dizzer
@mtazycomedy
@mtazycomedy 12 күн бұрын
Ruge kafarik ndio msimamizi
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 14 күн бұрын
Si tuna mjuaaa konde boy boyaaa weeee
@hamidumakobogo3234
@hamidumakobogo3234 14 күн бұрын
Enzi hizo mitando ilikuwa hakuna leo ukitaj kumuona masni unamuona pia wasan tulikuwa tanawasiki kweny radio ndiomn kulikuwa tunes tunashuku kuwaona
@ushahuri_tu
@ushahuri_tu 14 күн бұрын
SOUND MBOVU 😢
@furahachuma9039
@furahachuma9039 14 күн бұрын
Jamaa katoa siri. Kumbe Diamond alikuwa ananunua viewers sana.
@pascofp145
@pascofp145 14 күн бұрын
Sio Diamond wasanii walikuwa wananunua viewers
@furahachuma9039
@furahachuma9039 14 күн бұрын
@@pascofp145 Ukumbuke huyu alikuwa ndani ya mikakati ya promotions ya Diamond na ametqmka kwa kinywa chake mwenyewe bila mtutu wa bunduki. Logically, Diamond ni mmoja wa wasanii waliokuwa wanabust viewers. Kama unataka kuamini, angalia siku hizi hapati hizo view kama zamani.
@WastaMediaOnlineTV
@WastaMediaOnlineTV 14 күн бұрын
​@@furahachuma9039 Haya Angalia hizo Nyimbo ambazo Diamond Platnumz alinunua Views halafu ucheki zina Views wangapi kwasababu views wakununua huwa hawaendi Mzee wanaganda sana Kwa Mfano CHEKI Altitude ya Harmonize Ina views wangap.. Na CHEKI Ngoma za Diamond Platnumz ambazo unahis zilinunulia Views uniambie Kuna views wangap... Check JEJE, WAAH!, INAMA, NAANZAJE, NANA n.k Kisha urudi hapa uniambie hizo point zako za chaka chaka
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 14 күн бұрын
​​@@furahachuma9039 ni wote hujamsikia anasema kuhusu maua sama....na ile ya harmo dakika milioni
@agogomgagagigigogo
@agogomgagagigigogo 14 күн бұрын
Mm nilivyomuelewa alimnunulia Harmonize afu watu tukapigaga sana kelele ndo akawatoa hiyo siku naikumbuka na Harmo alikiri hilo😂😂😂
@salmonmkanula3718
@salmonmkanula3718 14 күн бұрын
Uyu rickmedia akili yake fupi hanscana anaakili Sana jamaa
@mtazycomedy
@mtazycomedy 12 күн бұрын
Mtangazaj kajiabisha ajui kitu kwakweli
@mtazycomedy
@mtazycomedy 12 күн бұрын
Sahz social media nying wasanii tunawaona sana
@Siasa-k7v
@Siasa-k7v 14 күн бұрын
Huyu jamaa anauliza swali na hataki tu kujifunza...turn taking,bro jifunze 🧐
@user-sy4yj5ci3j
@user-sy4yj5ci3j 14 күн бұрын
Uyu dogo ascanya anamawazo finyu tena finyu!lakini tumuelewe ndiyo akilizake zinapo ishiya
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 14 күн бұрын
We una mawazooo Gani si bola asikana katuletea video nyingi tuna jiliwazaa ww ume leta nn au una leta matakoo
@user-sy4yj5ci3j
@user-sy4yj5ci3j 14 күн бұрын
@@RomanMwinyi kua na adabu na nidhamu,chunga kauli yako itakupoza
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
mtanga na bambo ,kipofu mjanja ,hii ni kali ya mwaka
8:02
HOUSE OF CHALLENGE0
Рет қаралды 6 М.
MPOKI NA BROTHER KEY UGOMVI MPYA
30:16
BONGO LAND
Рет қаралды 23 М.
DIAMOND ANAMTUMIA JUX? DIAMOND ANAFANYA COLLABO MILLION 180
16:59
EastAfricaRadio
Рет қаралды 4,4 М.
HANSCANA Afunguka KENNY kumpa STRESS/Mbinu za VITA ya DIAMOND
34:58
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН