RIPOTI YA PILI YA MCHANGA: RAIS MAGUFULI Alia na Kuuliza Nani Ameturoga?

  Рет қаралды 229,477

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 372
@boniphacemshigito2199
@boniphacemshigito2199 7 жыл бұрын
kazi yako ni nzuriiiii hapo uko sahihi siasa pembeni Mungu akupe hekima na busara kuendelea kuiogoza nchi
@hamisiabdala6232
@hamisiabdala6232 7 жыл бұрын
aiseee huyu Rais ni Wa kuombea Kwa mungu, ikibidi aongezewe muda Wa kuongoza kama nyereree
@leonardmsuya9424
@leonardmsuya9424 7 жыл бұрын
Naam mpaka kieleweke BABA.
@zemultiplejesuszemultiple9200
@zemultiplejesuszemultiple9200 7 жыл бұрын
thanks
@kagyacasberth3899
@kagyacasberth3899 7 жыл бұрын
sex video
@jacksonswai5963
@jacksonswai5963 7 жыл бұрын
Kagya Casberth CV
@joachimjoseph9246
@joachimjoseph9246 7 жыл бұрын
Mungu Ametukumbuka Watanzania, kweli vilio na Maombi ya Watanzania yamemfikia Mungu rasmi. Namwona Musa (Rais Magufuli) yuko kazini, nitaendelea daima kukuombea Mheshimiwa rais Mungu akubariki na kukulinda zaidi katika Jina la Yesu. Amen
@kashindisimon785
@kashindisimon785 7 жыл бұрын
Ama kweli nimemuelewa Mgufuli sasa huyu ni Musa Wa Tanzania ya Leo aungwe mkono Kwa nguvu zote
@cleverboy3812
@cleverboy3812 7 жыл бұрын
I Love so much Rais Wangu Mh. Magufuli... Kazi nzuri sana...Umenifanya nilie kwa uchungu.. Report yako imenigusa sana.. May Allah bless u.. Long live magufuli...
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 7 жыл бұрын
Mungu akulinde mh. Rais Magufuli
@athmankaima9929
@athmankaima9929 7 жыл бұрын
Big up Brother kwa ujasiri wako wa kuwatetea wa tz walio wengi ambao ni maskini.
@demetiliolucas8831
@demetiliolucas8831 7 жыл бұрын
mungu anawaona
@nyawawawanyawawa935
@nyawawawanyawawa935 7 жыл бұрын
Big up Rais wangu kwakweli tumeonewa vya kutosha tumeibiwa vya kutosha tunatakiwa kwa dhati tumuunge mkono Rais wetu. Tuweke pembeni uchama partzan ukabila ukanda chuki tu binafsi/haters na kyky za kuropoka kwa maslahi binafsi bali tuiweke Tanzania yetu mbele Shime shime Jemedali wa vita amepatikana Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu Mh JPM
@elis22dears68
@elis22dears68 7 жыл бұрын
Allah akulinde Rais wetu.tunakuombea kutoka germany
@michaelfrancis4651
@michaelfrancis4651 7 жыл бұрын
hongeta raisi wetu kpenz cha watanzania hakika ww n chaguo la watanzania tunakuombea maisha marefu. hakika nchi yetu unaipeleka kwenye matunda ya neema mungu akulinde sana tunakuombea watanzania wote. ninge penda hata katiba ibadilishwe uendelee kutawala milele na milele
@nsukokado1268
@nsukokado1268 7 жыл бұрын
jaman Mungu amuongoze rais wetu akulinde
@riscaoscar521
@riscaoscar521 7 жыл бұрын
hakika kula yangu kumpa Mzee Magu sikupoteza mungu akulinde sana amen
@bonifacefanuel6678
@bonifacefanuel6678 7 жыл бұрын
Kwenda kinyume, na jambo hill la Mheshimiwa, Rais wetu, kipenzi, ni kwenda kinyume na Mungu, maana Mungu aliyaona mateso yetu na Ametuletea Nabii wetu, Musa- Magufuli.
@bonifacefanuel6678
@bonifacefanuel6678 7 жыл бұрын
Kwenda kinyume, na jambo hill la Mheshimiwa, Rais wetu, kipenzi, ni kwenda kinyume na Mungu, maana Mungu aliyaona mateso yetu na Ametuletea Nabii wetu, Musa- Magufuli.
@emmanueliulimbakisya9678
@emmanueliulimbakisya9678 7 жыл бұрын
mungu akubariki raisi wetu
@isakandaruhekeye5160
@isakandaruhekeye5160 7 жыл бұрын
Mtanzania yeyote aliyeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu hawezi kutetea wizi wa mali ya nchi hii, hao wanaotetea wizi huu wanatetea matumbo yao na ni wabinafsi wasiojali maisha na utu wa mtanzania kwa ufupi hawafai. Hata bungeni wananchi muwatazame kwa makini hawafai kuwawakilisha. Suala hili siyo la kisiasa ni suala la kufa na kupona. Pongezi sana Rais wetu umethubutu na bila shaka tunakuombea uzidi kufukua na kudhibiti mengi kama Mungu alivyokuita uwe Rais wa nchi hii.
@londonsecondary9481
@londonsecondary9481 7 жыл бұрын
unamjua mungu we?
@hamishemed9179
@hamishemed9179 7 жыл бұрын
dah! kweli Tanzania imenyonywa mno lakini sasa kimeeleweka hongera magufuri
@josephsimbanilo1265
@josephsimbanilo1265 7 жыл бұрын
Joseph Simbaniro mung u amet unum buna
@josephsimbanilo1265
@josephsimbanilo1265 7 жыл бұрын
Joseph Simbaniro mung u amet unum buna
@mirajiforogo5816
@mirajiforogo5816 7 жыл бұрын
vioja
@kiswaumwita3525
@kiswaumwita3525 3 жыл бұрын
Nasktika sana kukupoteza ww dah RIP MAGU
@zennaelsabry2539
@zennaelsabry2539 7 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi my president in shaa Allah M/Mungu atakulipa kinachostahili nakupenda sana rais wangu nakuombea dua siku zote rais magufuli
@andrewsadiki9914
@andrewsadiki9914 7 жыл бұрын
Magu kazi nzuri sasa kilichobakia badilisha katiba yote achana na ccm hao washozoweya kuogelea pesa wao ndio source ya yote hao na Kikwete na Mkapa taifisha mali yote na waweke ndani maisha ndio utakuwa umemaliza kazi
@michaelsukwa1872
@michaelsukwa1872 7 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa Rais Magufuli tunakuombea kwa kazi unayoifanya tuko pamoja. Hata sisi wasafwa tunakuombea. SUKWA Michael
@mcjabbyevents4938
@mcjabbyevents4938 7 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu aendelee kukutia nguvu Raisi wetu kipenzi hatua stahiki zichukuliwe kwa walengwa bila kuwaonea huruma , hongereni sana kamati kwa taarifa nzuri uzalendo mliouonyesha uendelee daima nasi Watanzania hatuna budi kuuiga kwa maendeleo ya Taifa hili na vizazi vijavyo, Watanzania tuungane pasipo kuangalia tofauti zetu katika mabadiliko haya makubwa ya kiuchumi.Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Raisi wetu na viongozi wote pamoja na wananchi wote.
@zindumakellele2906
@zindumakellele2906 7 жыл бұрын
hongera rais wetu tupo pamoja na wew na mungu atakuwa pamoja na wwe kwa kutetea maslah ya watanzania na hao waliofanya hvyo ni kuwastaki na watulipe hela zetu na wote uliowambia wafuatilie wafuatilie kweli na wakishindwa uwatumbuwe hawakufai katka serikal yko na wwe ni kiongozi wa ukweli mungu atakupa maisha marefu ameen mungu ibarikir tanzania, wabariki viongoz wake, uwatokomez mbali viongoz wote wenye usalit wa nchi yetu ameeenn!!!!!!
@jemimajames7926
@jemimajames7926 7 жыл бұрын
mungu akusaidie rais wetu ili uweze kuumbua mengi
@hamzasalummdoba9829
@hamzasalummdoba9829 7 жыл бұрын
big up my president
@isakandaruhekeye5160
@isakandaruhekeye5160 7 жыл бұрын
Rais wetu tunakuombea, tuko bega kwa bega. Achana na kelele za vyura ati tutashtakiwa! Mwanaume hawezi kuogopa kushtakiwa songa mbele baba.
@yasinmaramso5554
@yasinmaramso5554 7 жыл бұрын
ukweli inauma sana kwa mtanzania yoyote anaipenda nchi yake Mungu mkulinde Raisi wetu nipo pamoja na ww hata kwa kukuombea dua.
@mussarichard3447
@mussarichard3447 7 жыл бұрын
Isaka Ndaruhekeye
@saidkhalifa8614
@saidkhalifa8614 7 жыл бұрын
Yasin Maramso
@isakandaruhekeye5160
@isakandaruhekeye5160 7 жыл бұрын
Ni heri tushtakiwe kwa mali yetu kuliko kuacha iendelee kusombwa kila kukicha kisa tunaogopa watatushtaki. Achana na hao wanasheria Uchwara.
@graytonndamgoba4805
@graytonndamgoba4805 7 жыл бұрын
Isaka Ndaruhekeye .watashitaki vipi kama wanaiba.?after all hata hizo international trities waliingiaje kama hawako legitimate nchini. kwavigezo hivyo wataenda maharaja gani.
@josephsimbanilo1265
@josephsimbanilo1265 7 жыл бұрын
hao watu wa chukuriwe hatua
@mariuseva9683
@mariuseva9683 7 жыл бұрын
inauma sana nchi inaibiwa sana
@heavensent2526
@heavensent2526 7 жыл бұрын
kuna watu wanamioyo migumu utawezaje Ku eka dis Like ,,watu wanataka adi malaika washuke ndo watuongoze ,,lkn si ivyo hata vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa Mungu hufanya kazi na wanadamu tu hapa duniani ,,Mungu akitaka kufanya mabadiliko humtumia mwanadamu tu hapa duniani ni binadamu tu ndo unatakiwa kujitengenezea mazingira ya kumruhusu Mungu kufanya kazi na ww,Tusichukilie kawaida huu ni mda Wa kila MTU kusimama katika imani yake binafsi na kuliombea taifa na si kuendeleaa kulaumu laumu maana hata ww siku ukikutana na Mungu huko utakapoenda baada ya kufa utaulizwa je umetimiza kusudu LA ww kuishi duniani,je uliifanyia nn taifa Mungu aliokuweka hapa duniani,,mm naamini kila MTU amewekwa mahali kwa kusudi LA Mungu tu na si kwa kujitakia,,simama katika nafasi yako MTZ hata kufanya sala kwa ajiri ya taifa ,viongozi,ndugu na jamaa,watanzania wenzako ni mmj ,,ni mmj ya njia ya kusimama katika nafasi yako ,,maana Mungu huangalia nani atasimama kwa niaba ya wengine kuliombeaa taifa.......
@franknnko8540
@franknnko8540 7 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu Rais wetu
@sirajinalikame2822
@sirajinalikame2822 7 жыл бұрын
Shukrani JPM! Keep the spirit of hardwork
@erastokitime5208
@erastokitime5208 7 жыл бұрын
haloooo huyu rais ni mpango wa mungu wetu alie juu
@simonmlowe7309
@simonmlowe7309 7 жыл бұрын
Mungu akutetee katika hili
@shukranikapange608
@shukranikapange608 7 жыл бұрын
mmm
@janethpalangyo7790
@janethpalangyo7790 7 жыл бұрын
Mungu Asante kwa kunipa Rais Magufuli nampenda. Mungu hawezi kukuacha Baba. nikikuona unaongelea jambo napata faraja. Wewe ni wapekee. I love you my President Magufuli.
@muslimlwitiko9300
@muslimlwitiko9300 7 жыл бұрын
rais mungu akubariki azidi kukupa moyo wa wa huruma kama huo ss watanzani hasa wamaisha ya chini tuko pamoja na ww ww ni raisi wapee ktik nchi hii uliye letwa na mungu tuna kupenda sana wananchi wako tunasema asante sana kwa kazi unayo ifanya
@khadijawendomwachirenje3513
@khadijawendomwachirenje3513 7 жыл бұрын
hizo dislike meishangae NI wale Wala hela za watz ,nauliza kununua uraia tz shingapi kwani nataka kuhamia huko na ukoo Wangu mzima next election tumrudishe magufuli ,,,,,,,hongera Mzee baba Magufuli Mungu azidi kukuongoza uikomboe nchi yako
@muddysalum3910
@muddysalum3910 7 жыл бұрын
nitakuombea daima na milele
@bekajawa5040
@bekajawa5040 7 жыл бұрын
hayo ndio mambo yakufuatilia
@muddysalum3910
@muddysalum3910 7 жыл бұрын
Raisi wa wanyonge nitakuombea daima baba angu mungu akuongoze raisi wetu
@respiciuskalushekya4116
@respiciuskalushekya4116 7 жыл бұрын
Khadija Wendo Mwachirenje
@khadijawendomwachirenje3513
@khadijawendomwachirenje3513 7 жыл бұрын
respicius kalushekya naam
@endrewrobart6356
@endrewrobart6356 7 жыл бұрын
Hatar sana Mungu akuongoze maana hio ni vita
@abubakarhassan6861
@abubakarhassan6861 7 жыл бұрын
mwenyezi mungu akulinde na akulipe kwa kazi nzuri unayo wafanyia watanzania ..amiin
@catylolo2126
@catylolo2126 7 жыл бұрын
raisi wangu hongera sana wanasemaga mkubwa dawa piga kazi twakiombea duwah.
@harunalukomwa1487
@harunalukomwa1487 7 жыл бұрын
Asate sana Rais Magufuli kwa kweli onawumia Wa Tazania, mimi simu Tanzania lakini nawomba Mungu akubalik Wa Tanzania wakulogote Term ya Pili Asate Sana
@stevenmasangula2104
@stevenmasangula2104 2 жыл бұрын
Rest in peace, MAGUFULI, Rest in power MAGUFULI
@Ambagaye
@Ambagaye 7 жыл бұрын
Wakati mwingine ukweli unauma! Botswana wameula sana kutokana na madini yao tu. Sisi Tanzania pamoja na kuwa na utajiri wa maji, madini, ardhi na vivutio vingi sana vya utaliaa bado ni maskini wa kutupwa kwa sababu ya ujinga na uzembe wetu tu. Heko sana Rais Magufuli kwa msimamo thabiti kulinda raslimali zetu.
@emmanuelmush6732
@emmanuelmush6732 7 жыл бұрын
wanyongwe wote walioruhusu upuuzi huuu Kabisa au wapelekwe uwanja Wa taifa wapigwe risasi mbele ya watanzania
@jonasmbele7683
@jonasmbele7683 7 жыл бұрын
Mungu akubabariki Sana, utawale miaka mingi Kama mgabe, na uishi miaka ata 200
@mcjabbyevents4938
@mcjabbyevents4938 7 жыл бұрын
long live viongozi wote pasipo kuangalia chama wenye dhamira ya dhati ya maendeleo ya Taifa hili, hizo sheria zibadilishwe haraka iwezekanavyo na wabunge wote mtoe sapoti, hongera za kipekee kwa professor Mgoli kutoka chuo kikuu dar es salaam
@tr.dishon4906
@tr.dishon4906 7 жыл бұрын
you are a hero .....and you are my modern role model.......keep fighting for the poor and God will reward you for eternity
@stawakhan4341
@stawakhan4341 7 жыл бұрын
Tunakuombea Rais Wetu Joni magufuli
@isayaamigo291
@isayaamigo291 7 жыл бұрын
kweli baba nena make wanatuumiza sana
@annabusungu6236
@annabusungu6236 7 жыл бұрын
HONGERA SANA MH RAIS JOHN POMBE MAGUFULI MUNGU AKULINDE KTK HILI UMEKONGA MIOYO YA WATANZANIA TUMEIBIWA SANA.
@dicksonmwita7678
@dicksonmwita7678 7 жыл бұрын
Anna Busungu mambo Anna
@gilbertjuma660
@gilbertjuma660 7 жыл бұрын
Praying for you Mr. President. Mungu akulinde saaaana
@simonsilayo9204
@simonsilayo9204 7 жыл бұрын
Hongera baba ninajitolea kukuombea endelea kurekebisha nchi baba
@fatumahelmers1763
@fatumahelmers1763 7 жыл бұрын
Hongera Rais mungu akubariki sana sana,
@waridaharidi8232
@waridaharidi8232 7 жыл бұрын
hongera rais magufuri,mungu akulinde,ila nashauri uongoze awam sita ,tumeibiwa sana,maisha magumu watu wananufaisha matumbo yao.
@zuuniece6635
@zuuniece6635 7 жыл бұрын
baba umejaaliwa busara na moyo wa uvumilivu sana mungu akubariki rais wetu mkombozi wetu
@josephchemela5911
@josephchemela5911 3 жыл бұрын
Mungu akulinde raïs
@iddygeorgekatendele958
@iddygeorgekatendele958 7 жыл бұрын
Rais JPM ubarikiwe sana na Mungu kwa kazi unayoifanya,si rahisi kwa mtu asiye nahofu ya Mungu kufanya haya. Hakika wewe ni kiongozi zaidi ya Bora yaani ni unazidi kuweka Agano la Ukombozi kwa Watanzania hata mbinguni
@eliackimmbazu9016
@eliackimmbazu9016 7 жыл бұрын
kazi hii inakufaa magufuli Na sio Edward chapa kazi watanzania tupo pamoja mungu akutangulie ameeen
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 жыл бұрын
Prof. Nehemia Osoro ni lecturer wangu chuo kikuu Dar es salaam..a very strict fistful man. wanauchumi wengi waliotoka kwenye mikono yake ni wazuri...MH.Philip Mpango pia alinifundisha uchumi pale chuo kikuu Dar es salaam pia kabla ya kwenda bank ya dunia yaani world bank. they are both very good.
@robertsteven1614
@robertsteven1614 7 жыл бұрын
Muheshimiwa Rais nipo pamoja na ww mungu akulinde chapa kazi baba
@bongotrends255
@bongotrends255 7 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu Mr president magufuli
@sexyman5379
@sexyman5379 7 жыл бұрын
Asante MUNGU unaejibu maombi
@glorykimonge8629
@glorykimonge8629 7 жыл бұрын
Watu wote wanao Muunga mkono Raisi wetu kwa hili analosema Hakika MNA Moyo Wa Ukombozi , wakati umefika Wa Tanzania kujitoa kwenye umaskini Na ujinga , tusikubali siasa ikatuwekea matabaka kati yetu Bali Tujue viongozi wazalendo ni zawadi kutoka kwa Mungu . Hongera Raisi Magufuli. HAPA KAZI TU
@saharahaliki4703
@saharahaliki4703 7 жыл бұрын
mungu ibariki nchi yangu TANZANIA
@dodonginday4010
@dodonginday4010 7 жыл бұрын
Kuwakilisha kama una kigugumizi usifanye hata kama una akiri nyingi. Tufanye hivi ili wananchi wapate haki ya kusikiliza vilivyo habari zao kinagaubaga, ni haki yao eti. Pamoja na kutowakilishwa vizuri, tunawapongeza sana kamati.
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 7 жыл бұрын
magufuli Baba neema zi juu yako baba.
@ibrahimpius893
@ibrahimpius893 7 жыл бұрын
mungu akulinde my president
@ibrahimmzee3237
@ibrahimmzee3237 7 жыл бұрын
much respect anko magu
@herimoshi3550
@herimoshi3550 7 жыл бұрын
Nampongeza sana mh Raisi JPM kwakweli katika hili kama watanzania tunapaswa kuwa pamoja, BUT muarubaini wa mambo haya ni Katiba tu, leo hii hata turekebishe mikataba inaweza ikawa ni ya kipindi fulani tu, Ile kwakuwa Raisi anaapa kuilinda katiba ya nchi basi ni vyema mambo yote yanayohusu ustawi wa nchi yanapaswa yawekewe nguzo katika katiba ili kiongozi yeyote atakaetuongoza alazimike kufuata na siyo vinginevyo, Pres JPM Mungu akulinde baba,
@amosmasala4972
@amosmasala4972 7 жыл бұрын
mungu akutangulie the smart president john magufuli chuma kipo pale magogoni
@allysuleiman6022
@allysuleiman6022 2 жыл бұрын
Ewe mungu ibariki Tanzania kunachangamoto kubwa yawasakatonge tunamamali nchi yetu ila mmmhh basi sawa lakini majizi tulionayo tunahitaji maombi 😭😭😭😢😢
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Asante Mungu tumeshinda katika jina la Yesu
@danielismail1116
@danielismail1116 7 жыл бұрын
Uposahihi ubarikiwe kwa kwa kazi ya Taifa
@thomasnyirenda3557
@thomasnyirenda3557 7 жыл бұрын
chapa kazi baba tunakuombea walizoea kuibia wanyonge,Mungu akukumbuke
@mwezanephta1107
@mwezanephta1107 7 жыл бұрын
hakika Tanzania tumeibiwa mno, lakni tunapoelekea mambo yatakuwa mazur
@mwanashimbeinvestment6604
@mwanashimbeinvestment6604 7 жыл бұрын
inaumiza sana Lazima tuseme kweli
@athanaswilliam6940
@athanaswilliam6940 7 жыл бұрын
Mungu akulinde rais wetu... asee Shinyanga pamoja na uwepo wa madini yote hayo yanayoleta national debate bado mkoa huu baiskeli ndio zinaitwa daladala... daaaaah
@stevenmilambo902
@stevenmilambo902 7 жыл бұрын
Mungu isaidie Tanzania
@rasulimsuya3992
@rasulimsuya3992 7 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu.
@bahatimgina325
@bahatimgina325 7 жыл бұрын
Aya maisha cyo,,, maana wati wa chin wanish kwa shiida lakin majitu wachache wanaishi kwa starehe,,, 😕😕😕😕😕😕😕 too sad
@rashidsleman5545
@rashidsleman5545 7 жыл бұрын
Tanzania ni nchi tajiri ambayo ina Kila kitu lakini hao viongozi ndio wanairejesha nyuma lazima wanyongwe ndio wengine watasoma
@bonylucas8539
@bonylucas8539 7 жыл бұрын
rashid sleman yani mawazo yako kama yangu bora wanyongwe tu aseee
@emmanuelmsigwa714
@emmanuelmsigwa714 7 жыл бұрын
Magufuli Fanya kama China.nyonga wachache ili viongozi wawe waadilifu pamoja nahawa wawekezaji.
@saidmatola8015
@saidmatola8015 7 жыл бұрын
rashid sleman Wachomwe moto na mishumaa mpaka waishe....
@elizabethmapunda6806
@elizabethmapunda6806 7 жыл бұрын
yaani tumezawadiwa almasi na Mungu Wetu kutupa huyu mtu mkweli na mwenye uchungu na nchi yetu naendelea kumuombea na ninashauri awe prof na so doctor Kwa ugunduzi huu big up Rais wetu
@simonmlowe7309
@simonmlowe7309 7 жыл бұрын
Huku mtaani ukitaka kuanzisha kiosk tu bila usajili unakanatwa, kweli , Samaki mtungoni, Mungu akutetee katika safisha hiiiiiii
@nsukokado1268
@nsukokado1268 7 жыл бұрын
Tanzania bila viongozi wazalendo kama rais wetu Magufuli Were Mungu mlinde na kumuongoza amina
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
Hivi Kikwete alikuwa hayaoni haya madudu au hakuwa mtanzania!?
@davboimkali9499
@davboimkali9499 7 жыл бұрын
Piga kazi baba sisi tupo kukuombea nnaamini MUNGU hatakuacha uteseke nnaamini tutashinda kwa hili.Sijawahi ona rahisi mwenye kuthubutu kama huyu apa tanzania.MUNGU akujalie Magufuli.
@nsukokado1268
@nsukokado1268 7 жыл бұрын
Mungu mulinde rais wetu Magufuli
@paschalmobeto9506
@paschalmobeto9506 7 жыл бұрын
Mungu AKUPE afya na ulinzi, tena nakupenda sana
@femmyyakobo2116
@femmyyakobo2116 7 жыл бұрын
jpm hapa ni kazi tu mungu ni mwema sana
@meshackenock6815
@meshackenock6815 7 жыл бұрын
Chapa kazi mheshimiwa John pombe,, na mungu awe nawe..
@emmanuelwanjala6709
@emmanuelwanjala6709 7 жыл бұрын
Inauma lakini tupo nawe kwa sara na maombi ama kweli ndo raisi aliyekuwa anatakiwa ktk nchi hii ambayo tumekuwa vipofu na mabubu kwa miaka mingi elimu yetu haijatusaidia kwa miaka mingi tumenyanyasika na kuzalaulika nje na ata ndani ya bala letu sasa tumechoka ,,,,,,,,,,,,,,,,,,Hongera sana Baba etu.
@ByonaBirungi
@ByonaBirungi 7 жыл бұрын
Ewe mungu ibariki Tanzania na Raisi wetu kweli tunaibiwa hivi kweli miaka 18 na inawezekana wizi lianza kwa yale makampuni yaliyopita lakini ndi hivyo mtego umenasa aliyepo!!
@jumamussa7061
@jumamussa7061 7 жыл бұрын
Kashubi Kabwogi
@jumamussa7061
@jumamussa7061 7 жыл бұрын
Kashubi Kabwogi
@kinggody9459
@kinggody9459 7 жыл бұрын
Mungu akulinde mh rais
@matanofamiliy4434
@matanofamiliy4434 7 жыл бұрын
watanzania watanzia muungeni mkono rahisi wenu anabidi ya kuwaletea mafanikio kwa nchi yenu siku za usoni utaaona faida yake wanao mpinga mungu anawasubiri kesho kaburini
@khadijawendomwachirenje3513
@khadijawendomwachirenje3513 7 жыл бұрын
manager acacia amekula Kona alihepa Jana hayupo nchini
@winfraysango9646
@winfraysango9646 7 жыл бұрын
THIS IS THE TRANSPARENCY THAT WE NEED.
@mbegaJrtuition1
@mbegaJrtuition1 7 жыл бұрын
Mh., Binafsi anazidi kuniongezea sumu ya kuwachukia watu weupe. Sumu hii wainye Watanzania wote na wathbutu machungu yake, we have been exploited to the extent! Dah! Why are they like this?????
@maryjoseph5676
@maryjoseph5676 7 жыл бұрын
ni kweli haya uliyo yasema baba tutaibiwa mpaka lini tuwe na uchungu na Mali yetu ya taifa mungu ibariki Tanzania mungu mbariki magufuri Amen
@jasminmmary8077
@jasminmmary8077 7 жыл бұрын
mpaka Anasema anatamn ndani ya mwaka huu mmoja Ndo Angekuwa anatoka madarakani watanzania tunamuumiza kiongozi wetu pia tutambuwe huyo Ndiyo rais mimi ninakuombea Rais John Pombe Magufuli uishi daima baba mungu atakulinda siku zote Katika kazi ya uzalendo
@muddymkamba352
@muddymkamba352 4 жыл бұрын
Daaaah Bonge la raisi,bonge la kiongozi,nasikia raha sana na moyo wa shukurani kwa MUNGU kwa ajili ya huyu mtu aliyejitoa mhanga kwa ajili ya nchi yangu
@TeamKRX
@TeamKRX 7 жыл бұрын
mi nalia leo maskin magufuli tusaidie baba
@sofiachilunzo7139
@sofiachilunzo7139 7 жыл бұрын
hongera baba mungu akupe maisha marefu watanzania waelewa tukopamoja nawe.
@happythomas5026
@happythomas5026 7 жыл бұрын
Sana tuu
@samwellukumay6085
@samwellukumay6085 7 жыл бұрын
s lukumay, Napongeza sana mh Rais makufuli.fuatilia Mali za Tanzania .Tupo tayari hata ukiongoza miaka 20 .utakuwa umewaacha watanzani katika neema
@stanleymwakifumbwa8709
@stanleymwakifumbwa8709 7 жыл бұрын
asante Mungu kwa kutupa kiongozi huyu tunaomba umlinde na umpe afya njema ili akuwakilushe vzr ktk ukombozi wa kiuchumi.
@tonnyemilly4907
@tonnyemilly4907 7 жыл бұрын
Maishaarefu kwako muheshimiwa Raisi, Mungu akujalie Roho hiyo yakutupenda watanzania wengi, tetea haki nchi iwe vile Mungu alivokusudia iwe!
@roseselila4180
@roseselila4180 7 жыл бұрын
Mungu aendeleee kukupigania Baba! Maana tunaibiwa tukiwa macho!
@sundaymwakalebela9319
@sundaymwakalebela9319 7 жыл бұрын
%100 namuunga mkono my president tumuombee sana huyu MTU. maana watu wenye hekima huwa hawadumu. Mungu ibariki Tanzania mbariki my President
@transmadale
@transmadale 7 жыл бұрын
kwa hili sina la kusema Mh,Rais piga kazi watanzania tunakuombea sana Mungu akupe Maisha marefu,
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 7 жыл бұрын
niseme nini Mie . Mungu tu anajua , tunakuombea mweshimiwa rais Magufuri . Ninakuelelewa na nakukubari . namwombea na Tundu lisu Kama haongwi basi Mungu amwonyeshe ukweli.
@rasulimsuya3992
@rasulimsuya3992 7 жыл бұрын
Baba nakukubali 100%... Piga chini anza upya siozambi.
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
eeee Mungu tufungue hiz akili na uwezo wa kufikil ,,yawezekn akili za wa Tz kam za wanyam waliokos utashi na uwezo wa kutawal
@salumshabansalum9732
@salumshabansalum9732 7 жыл бұрын
Mungu bariki tanzania
@marwamwita8467
@marwamwita8467 7 жыл бұрын
For sure inauma sana na Pole sana Raisi wangu, ila wa kuwalaumu ni wale wanaopiga kura za ndiooooooooooo...please reform chama hasa kwa wale wabunge waliopitisha hizi sheria mbovu bila kujali wapo chama gani kwani enzi hizo nakumbuka mikataba ya madini ilishauriwa ipelekwe bungeni lakini wabunge wa chama fulani na kiongozi wa bunge walipindisha na kuwazomea wenzao. Hakika you are in tanzania for changes and kuleta mapinduzi ya kiuchumi.
@gilbertjuma660
@gilbertjuma660 7 жыл бұрын
My prayers for you always
Rais Magufuli alivyokata tiketi na kupanda Pantoni leo
4:05
Millard Ayo
Рет қаралды 836 М.
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 17 МЛН
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 138 МЛН
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 11 МЛН
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
TOP 10: KAULI za JPM ZILIZOTIKISA, TAZAMA UNIAMBIE IPI ILIKUKOSHA ZAIDI!
11:53
Global TV Online
Рет қаралды 1,5 МЛН
The big issue on TV3: Livestream | 29-11-24
TV3 Ghana
Рет қаралды 1,8 М.
Mpaka Home: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Bambo, Global TV Yamuibukia Usiku
19:25
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 2 МЛН
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 17 МЛН