#Ripoti

  Рет қаралды 22,865

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер
@emmanuelmwesongo7177
@emmanuelmwesongo7177 2 жыл бұрын
Nashukuru sijaona mtu yeyote wa morogoro alietapeliwa na huu ujinga Asante ITV
@mchagashop1342
@mchagashop1342 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@sangavilley2792
@sangavilley2792 2 жыл бұрын
Morogoro wapo.
@josef_rodrick4981
@josef_rodrick4981 2 жыл бұрын
Hongera dada Jacline kwa ripoti nzuri. Nakuomba uende kuwahoji TRA, brela kuhusu uelewa wao na hii kampuni kwasabb sio mara ya kwanza hii kampuni kuleta shida hapa nchini. Mh. Sabaya alihangaika nayo sana kule wilayani Hai. Hizi kampuni ziko nyingi sana kuna moja iniitwa WECARE imeshaifanya hivo sana hapa Tz. Na hizo campuni ni za wahindi na wanigeria..... Honger kwa kazi na kuwa makini wasikudhury....
@tanzaniatest4529
@tanzaniatest4529 2 жыл бұрын
Sabaya alipambana nap sana na kuwaokoa wengi wasitapeliwe
@mtatapharaoh5174
@mtatapharaoh5174 2 жыл бұрын
Naomba kuuliza hivi wanaigeria wako wengi Tanzania? Kwasababu hawa watu sio wazuri kabisa. Wameiharibu nchi ya south...ndio maana south wageni foreigners wengi hawatakiwi kwasababu ya hawa watu...wanaigeria ..madawa ya kulevya na uhalifu na scammers...kwani wanaigeria wako bongo ?
@FulumuMnyalukolo
@FulumuMnyalukolo 8 ай бұрын
Ngoja niwape mchongo itv maana kuna hii nimeona sehemu
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 2 жыл бұрын
30:56 imenichekesha sana Eti nimeagiza kiwanja. Na Jacqueline eti "umeagiza kiwanja kutoka wapi?" 😅😅😅. Jacqueline you're such a brilliant journalist.
@mouddyibrahim68
@mouddyibrahim68 2 жыл бұрын
Hongereni sana ITV👏👏
@linetkhaemba1029
@linetkhaemba1029 2 жыл бұрын
Watazania ni vichwa ngumu sana. Yani ni kitu kimeonekana ila wanakana. Kweli hawa😂😂😂😂watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gracestewart440
@gracestewart440 2 жыл бұрын
Bwana Hawa watu cyo wazima 😂😂😂 nimecheka sana leo.
@agyady6260
@agyady6260 2 жыл бұрын
Kwa kwl itv nyie ni super brand
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 2 жыл бұрын
YAAN HATA SIAMIN KAMA HAWA NI WATANZANIA 😭😭😭😭😭
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 2 жыл бұрын
Wee kama wamerogwa
@petromwakaseghe9534
@petromwakaseghe9534 2 жыл бұрын
Daaaaah qnet good morning billionaire hata mimi niliponea kwenye tundu la sindano kutapeliwa
@devidydevidy2301
@devidydevidy2301 2 жыл бұрын
Ndugu yangu mie nimelizwa M1 nilitaka kujichanganya nitume M4 ilaَ mpaka sasa M1 nimeenda bureee🙌🙌🙌
@chaleboymusician528
@chaleboymusician528 Жыл бұрын
Muhaya katepeliwa nimeipenda
@jonastarimo270
@jonastarimo270 2 жыл бұрын
Ashukuriwe mungu cjaona mtu wa Kilimanjaro kidgo sis tupo mbali...
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 2 жыл бұрын
Nilitaka niseme Sehemu ya utafutaji usipomuona mchagga jua hamna kitu hapo
@jollywilson9938
@jollywilson9938 2 жыл бұрын
Wengi wao hapa ni kutok kijijini hawana uelewa wakutosha kuhusu biashara za mtandaoni hapo wengine wamekopa fedha nadhani wengine wameshirikisha wazaz wameuza mashamba pesa imetolewa na hakuna manufaa🙌🙌
@naomimavura2239
@naomimavura2239 2 жыл бұрын
Alafu wengi waliofeli form 4
@universenurity776
@universenurity776 2 жыл бұрын
Kumbe hii nchi ina hela.. Yan watu wanatoa milion 5 kama karanga
@dayanatesha3114
@dayanatesha3114 2 жыл бұрын
Dahh 😭😭 hizo hela zao wangejiajiri wenyewe tu wangefika mbali jmn 😥😥mungu awasaidie tu jmn maybe hawajui walitendalo ...tuwaombee 😩😩
@dottofredy5924
@dottofredy5924 2 жыл бұрын
Kweli itv super bland
@katojosalimu6908
@katojosalimu6908 Жыл бұрын
Tanzania
@abeljoshua3761
@abeljoshua3761 2 жыл бұрын
Daah awa jamaa sio bure kuna kitu kwnye akili zao akipo sawa🤣🤣🤣🤣🤣
@mchagashop1342
@mchagashop1342 2 жыл бұрын
Walahi wamerogwaaaa walahi Tena😭😭😭😭😭
@filbertnyoni8936
@filbertnyoni8936 2 жыл бұрын
Machizi hao
@dayana5513story
@dayana5513story 2 жыл бұрын
Kuna wangine wameagiza kiwanja😃😃😃
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 2 жыл бұрын
Wajuba wamekula suti wanalala kwenye viti wanaamini utajiri hewa dah hii nchi sijui nabii gani aje kutuombea kwa Mungu
@Dropshipping102
@Dropshipping102 10 ай бұрын
Hii pesa kama kweli wanapenda biashara mtandaoni bora wangefanya drop shipping wao wenyewe au wangeingia alibaba kuchukua mzigo wangekuwa mbali sana.
@yohananelsonmusic7207
@yohananelsonmusic7207 2 жыл бұрын
Kunakampuni lingine lipo hapa Simiyu jaman. Vijana hawa nawahurumia. Wanaishi maisha ya shida mno
@zuwenamillanzi5424
@zuwenamillanzi5424 2 жыл бұрын
Daaah!! Mie imenigharimu miaka 4 kutafuta 5M iniipeleke law school alafu hawa bongo zao zipoje!?
@agyady6260
@agyady6260 2 жыл бұрын
Aise tuko wengi
@davidpetro1637
@davidpetro1637 2 жыл бұрын
31:14 nimeagiza kiwanja ,,😂 alafu alafu nini ....😂😂 kweli bongo daresalam
@HermitMushi-xx7eg
@HermitMushi-xx7eg Жыл бұрын
Mm philipo iv sisi watazania tutapata hakili Lin mugu tusaidie sana
@samwelymollel5437
@samwelymollel5437 2 жыл бұрын
Mungu nimwema daaa watapili mpaka mwisho
@isabellamethod1842
@isabellamethod1842 2 жыл бұрын
Yani wanatia hasira walh🤣🤣🤣
@fadhililusingu4071
@fadhililusingu4071 2 жыл бұрын
Ameagiza kiwanja??😂😃 Wapi wanaagiza viwanja Jackline muulize wanafanya na delivery😂😂
@halidimbaraka5841
@halidimbaraka5841 2 жыл бұрын
Hii si hali ya kawaida wanahitaji maombi aisee hawa watu hawako vizuri kichwani kabisaaa
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Kweli sijui wamewatupia mapepo dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@smile-mh1nl
@smile-mh1nl 2 жыл бұрын
Kwa kweli kama mafalaa
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
@@aishachambo8663 hao ni mataperi wakubwa wanataperi watu kwa kutumia mfumo wa utaperi unaoitwa PYRAMID SCHEME na nyingine inaitwa PONZI SCHEME piramidi skim maana yake mfumo wa piramidi au mbinu ya piramidi kwanini huo utaperi unaitwa hivyo kwa sababu mataperi wanapotaperi watu wanawaambia wajiunge na hela kidogo ili wafundishwe jinsi ya kuwekeza au kufany biashara akiingia kwenye mtego wao wataanza kukuletea stori kibao
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
@@rubenprince8990 Duh
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
@@aishachambo8663 usijaribu hapo hakuna biashara yoyote zaidi ya utaperi waliotaperiwa huwa wanaambiwa wawaite watu wanaowajuwa wawashawishi wajiunge na Qnet wakikubari Qnet inawataperi mamilioni kisha wewe uliewashawishi wajiunge na Qnet unapewa hela kidogo sana huo mfumo unaitwa PYRAMID SCHEME au PONZI SCHEME huo utaperi umeanzia huku ulaya nchi nyingi umepigwa marufuku watu wengi afrika ya kusini wametaperiwa kwa dizaini hiyo kuna clipu niliiona KZbin hao waliotaperiwa hapo bongo wamenyongodoka kwa njaa lakini wanasema maisha yao safi
@petromnkundi9509
@petromnkundi9509 2 жыл бұрын
Aisee hii nchi ina vijana wa hovyo Sana Yani wanajiamini wakati washatapeliwa tayall😂😂😂😂
@filbertnyoni8936
@filbertnyoni8936 2 жыл бұрын
Mbona kama mabwege hao jaman machiz
@richardjc17
@richardjc17 5 ай бұрын
Hahahahaha,wanafkr mzungu mpumbav akupe utajir kirahis Kwan yey haitaji
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 2 жыл бұрын
Jamani kumbe TZ kuna hela hivi
@tawaqalhassan4987
@tawaqalhassan4987 2 жыл бұрын
Dah dunia hii😭
@hamidakondo1283
@hamidakondo1283 2 жыл бұрын
Hao furaha yao Kuja mjini hawajalijuwa jiji bado
@PrinceSodium
@PrinceSodium Жыл бұрын
Jaman mpk uku mlandiZ naomba msaada kua umbua
@laurenciafelician2136
@laurenciafelician2136 2 жыл бұрын
Mmmmh Kiukweli mm naona hawa kuna Vitu wanapewa yaani hawaelewi kabisaa duuuh😢😭 ni huzuni kwakweli kama kuna kauchawi fulani hivi….. unawezaje kulipa hela zote hizo jamani😭😭
@archadbaltazar5358
@archadbaltazar5358 2 жыл бұрын
They have been tought to be fool and so that he/she can fool others
@ladislausnjagi2209
@ladislausnjagi2209 2 жыл бұрын
Million tano ni hela nyingi sana kama mtu akituliza kichwa vizuri akiingiza kwenye biashara anakua tajiri tena mkubwa tu.
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 Жыл бұрын
Acha uongo na unafki
@mileshm3148
@mileshm3148 2 жыл бұрын
Na wengi ni wasukuma wenzangu,dah...Unauma sana
@iddimwinyimvua9728
@iddimwinyimvua9728 2 жыл бұрын
Nyinyi ITV ndiyo mnapotosha watu mnawazamini hasubui wanaitwa KALYNDU kwani wamekosana nini na Q-NET anaejua aje atoe jibu
@alfredycarrentals7357
@alfredycarrentals7357 2 жыл бұрын
Hata Dodoma wapo , wana ofisi zao na wamechukua watu wengine wengi pia, mimi pia ningekua muhanga,nikakimbia
@barakamellau7129
@barakamellau7129 2 жыл бұрын
Kama mimi
@mariamjoseph3530
@mariamjoseph3530 2 жыл бұрын
Kenta nikajua gari kubwa
@mwanaafrika_tz
@mwanaafrika_tz 2 жыл бұрын
Vijana Wa Hovyo Sana....
@claudiuszebedayo3414
@claudiuszebedayo3414 2 жыл бұрын
Duuuh, asee mafanikio yana safari ndefu! Imani waliyonayo ni ya kipekee! Yaani utajiri ungekuwa kwa njia hiyo Tanzania tungekuwa matajiri
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 2 жыл бұрын
Imani iyo wangekuwa wachungji angeokoa dunia yote
@lasudnuru4982
@lasudnuru4982 2 жыл бұрын
Nliitwa nikaambiwa hizo hela ila salamu yao tu “Good morning billionaire ” na ilikuwa mchana nikajua hamna cha maana
@nevasonwiston5494
@nevasonwiston5494 2 жыл бұрын
😅😅😅 ilinistua sana pia hii
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂 Eti Good morning billionaire
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
@@mariamdimosso621 hao jamaa wanakaribia kukamatwa
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
@@mariamdimosso621 huyo mwakirishi wa Qnet ndo mwizi namba moja huyo ni mnaijeria
@berneysebastian9337
@berneysebastian9337 2 жыл бұрын
😂😂
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 жыл бұрын
Maskini Daaaahhh🥴🥴🥴🥴 Matumaini yangu ni kwamba naiona Kesho yangu 😂😂😂
@mouddyibrahim68
@mouddyibrahim68 2 жыл бұрын
Q net(kikund cha matapeli) wameenda likizo kuhesabiwa sensa🤣🤣
@jumamofu9573
@jumamofu9573 2 жыл бұрын
Pumbavu wanatia hasira hawa manyumbu
@manenolutambi3842
@manenolutambi3842 2 ай бұрын
waandishi wa habari Tanzania ongezeeeni ubunifu wa kudadisi mambo qnet toka ianze hadi leo hamuijui qnet duuuuuhhhhh tanzania qnet itaeleweka2
@josephburra9626
@josephburra9626 2 жыл бұрын
Duh
@issashaabani1446
@issashaabani1446 2 жыл бұрын
Jamani tusaidieni hao matapeli bado wapo huku mbezi
@mwanaafrika_tz
@mwanaafrika_tz 2 жыл бұрын
OF COURSE BILLIONAIRE 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@reubenbachilulla1529
@reubenbachilulla1529 2 жыл бұрын
Hata pic ni mbovu mbovu ningezisaidia ila duh
@abduelimbwambo119
@abduelimbwambo119 2 жыл бұрын
Mungu awasaidie aisee,Kuna hawa wengine wanakuja kwa kasi,Delaska investment,vijana wanaangamia mno😅😅
@taimumwasanya7708
@taimumwasanya7708 2 жыл бұрын
Mungu awakemee wote wanaohisika na biashara hiyo ya kishetani na serikali wanatakiwa wahakikishe watu wanapata haki zao jaman na kuifungia hiyo kampuni uchawi mwingii watu wamelogwa hao
@dailylife1211
@dailylife1211 2 жыл бұрын
Huu uchawi aisee sio bure🤣🤣🙌🙌🙌
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 2 жыл бұрын
Yani hawa waliotoa hela n vigumu kuelewa washachanganyikiwa vibaya mno pia nadhan wanawachukua zile familia mazwazwa ambao hata tv kwao hawana.Imagine wameripotiwa na bado kuna wapya wanaongezeka
@dailylife1211
@dailylife1211 2 жыл бұрын
Hayo mapanki wnawake ndio uniform au😂😂
@AllexanderBieber
@AllexanderBieber 6 ай бұрын
Watu wamevaaa makoti ya Suti😂😂😂😂😂😂 ila kutapeliwa 😂😂😂😂
@abubakariomari1469
@abubakariomari1469 2 жыл бұрын
Duh Mungu awafungue akili jaman kama vile hawjielewi mbona hii ni kazi ya aina gani./
@ahmadiakili261
@ahmadiakili261 2 жыл бұрын
Mmh uchawi upo
@amosmoses8948
@amosmoses8948 2 жыл бұрын
NIMEPENDA JACKLINE ANAVYOWAULIZA MASWALI🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 2 жыл бұрын
😂😂ni personal
@divinesmasterclass12
@divinesmasterclass12 2 жыл бұрын
Wanaigeria wamezidi Tanzania na nje ya Tanzania hawa watu ni scammers plus they do use juju (ushirikina )Hii ni kweli na wakitumia watu sahihi kuangalia networking yake watawakamata !!!Daimn I wish I can explain more but is true wanatapeliwa kifikra na kipesa at the same time 🙌.
@dayana5513story
@dayana5513story 2 жыл бұрын
Wambie wapopo kiboko
@jollywilson9938
@jollywilson9938 2 жыл бұрын
Vijana pia hawana elimu ya biashara en thas y wakiulizwa maswali wanababaika tu
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 жыл бұрын
Hoooooo mungu Wangu DA
@constantinengakoka5852
@constantinengakoka5852 2 жыл бұрын
Mmehoji misukule, maelezo na majibu yao,inaonyesha sio akili ya binadamu hiyo.
@athumanipenza4473
@athumanipenza4473 2 жыл бұрын
VIJANA MBONANAONYESHA UDHAIFU MNADANGANYWA KIUDHAIFU
@mussakowelo1116
@mussakowelo1116 2 жыл бұрын
Samia
@musajackson3289
@musajackson3289 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔
@denismathayo5577
@denismathayo5577 2 жыл бұрын
OMBA SANA MUNGU USIFUNGWE AU KUONDOLEWA UFAHAMU WAKO JAMANI NI HATARI MFANO MZURI NI SAWA NA MTU ALIYELOGWA AWEZI JIJUA KAMA KALOGWA SI UNAONA WALE WA AMBAO WALIKUWA WAJALOGWA WANAVYOJIBU VYEMA MWISHONI .
@tatumakadara5793
@tatumakadara5793 2 жыл бұрын
Ili kulinda utahayuri wengine walikuwa wanajibu jwa ujeuri na kujiamini.Halafu wanataka serikali iwasaidie
@hawahussein3751
@hawahussein3751 2 жыл бұрын
Wamelishwa unga wa ndere🤣🤣
@hamidakondo1283
@hamidakondo1283 2 жыл бұрын
Basi hi kampuni na iwape pesa warud
@slywish4098
@slywish4098 2 жыл бұрын
Ukiskia mzazi katoa boko ndo huku 😓
@sweet10shorts33
@sweet10shorts33 2 жыл бұрын
Dear Lord It's Me Again😭😭 Yesu Kristo Mwana Wa Mungu Aliye Hai Mkombozi Wa Ulimwengu Kumbuka Nchi Yangu Tanzania Kumbuka Viongozi Wangu Fungua Akili Za Watu Wako Wapate Ufahamu😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Kwanini Lakini Mungu Tusaidie Wanao Mwana Wa Nzambe Ni Uongozi Wetu Mbovu😭
@hassansalabati7699
@hassansalabati7699 2 жыл бұрын
Dah kinachoumiza ni kwamba unapgwa na hautaki kukubali kama umepgwa
@AllexanderBieber
@AllexanderBieber 6 ай бұрын
ZOMBIE SIKUIZI NAKUPIGIA SIKUPATI😂😂😂EEEEH
@fredmkwama7889
@fredmkwama7889 2 жыл бұрын
Nawapongeza sana atv kwakutujuza utapeli mkubwa naomba serikali ifuatilie mtandao huu hadi mwisho wake kwani nami nimjeruhiwa kupitia mwanangu naomba jeshi la polisi kumtafuta mmiliki wa hiyo kampuni arudishe pesa
@mchagashop1342
@mchagashop1342 2 жыл бұрын
Arusha Kuna kampuni inaitwa zero to hero wao wanapiga kidogo kidogo kaelfu sitini
@ibrahimmambo7336
@ibrahimmambo7336 2 жыл бұрын
😄🤣😂😆😄🤣
@frankdaniel9813
@frankdaniel9813 2 жыл бұрын
Kaelfu sitini😁😁
@warenmichael3397
@warenmichael3397 2 жыл бұрын
Maisha magum vijana wanachanganyikiwa aise🤣🤣🤣
@yohananelsonmusic7207
@yohananelsonmusic7207 2 жыл бұрын
Kunawengine wapo huku Simiyu itv njoon muwaone wanateseka sana
@bulikidittu3361
@bulikidittu3361 2 жыл бұрын
Sehem gani Simiyu
@jumarajab5316
@jumarajab5316 2 жыл бұрын
mtangazaji aongezewe mshahara amenikosha ana hoji vizuri jamani
@alexiswamillazo6520
@alexiswamillazo6520 2 жыл бұрын
Huyu Mtangazaji anajua kuhoji aisee 😂😂
@johnsakwila749
@johnsakwila749 2 жыл бұрын
ITV ya leo
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 2 жыл бұрын
Duuuuu kwa wakati ndio nitafanikiwa
@johnsonkibadeni5053
@johnsonkibadeni5053 2 жыл бұрын
Hawa wanalogwa hawa sio bure
@janethjohn7053
@janethjohn7053 2 жыл бұрын
ITV safi
@MC_Elisha255
@MC_Elisha255 2 жыл бұрын
Hao vijana wanapenda mtelemko sana yaani kwanin hiyo milion tano wasitumie kufungua biashara ya mazao huko kwao.. imeniuma sana safi kamanda #Muliro
@vicentchuwa2687
@vicentchuwa2687 2 жыл бұрын
Wazee wagood morning niwajinga hawa wezi watupu tunaomba serikali itoe tamko nchi nzima hv vikundi vifwete kabisa
@devidydevidy2301
@devidydevidy2301 2 жыл бұрын
Kabisa my dear pia nimetapeliwa MwanzaM1
@josephmoses2469
@josephmoses2469 2 жыл бұрын
OYAAAAAAAAAA OYAAAAAAAAA OYAAAAAAAA HAO WEZ MM MUHANGA NILIPIGWA MILIONI TANO BILA KUWA NA KAZI LEO NINGEKUWA NA NJAA MAMAMAEE WEZI WAKUBWA HAO
@godlovemdeya3762
@godlovemdeya3762 3 ай бұрын
Aisee kupitia hii nimefanikiwa kuokoa kijana wa kijijini kwetu aliyetaka kutapeliwa 3.5 na wengine wameshatapeliwa wapo mpaka sasa mbezi makabe
@likimaro6
@likimaro6 2 жыл бұрын
Kama mataahira vile 🤣🤣🤣🤣 hivi wanalogwa ama?
@alexelias5434
@alexelias5434 2 жыл бұрын
Naomba Muwaangalie na hawa manabii wanaozidi kuota kama uyoga
@ednakadilana1065
@ednakadilana1065 2 жыл бұрын
Ni huzuni kwakweli😔, ni kwamba wamechotwa ufahamu auu????
@worldstartz
@worldstartz 2 жыл бұрын
Ni huzuni kwa kweli 😂 😂
@chynakway8318
@chynakway8318 2 жыл бұрын
Huyo jamaa nimeangalia ni mnigeria jmn hawa watu niwabaya sanaa wanigeria wazuiliwe ata kukanyaga nchini kwetu, hawa ndo wale wakutuma email na kukudanganya anatuma zawadi alaf washenzi wanatumia mpaka picha za wazungu hawa washenzi wanakila aina ya utapeli hapa duniani EE MUNGU TUNUSURU.
@agyady6260
@agyady6260 2 жыл бұрын
Aise mm nilitumiwaga email hio 😂 sitakaa kusahau ,na picha za mzungu yuko millitay akanitumia na mizigo dhl nikachukue sitakaa nisahau nilivyotuma ile dolla 250kufika dhl wananicheka😅
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 жыл бұрын
@@agyady6260 huyo kiongozi wa Qnet ndo taper namba moja wakamateni
@oscarblasio8247
@oscarblasio8247 2 жыл бұрын
Kama ni mnigeria basi wameisha
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 2 жыл бұрын
Wanaigeria na wakenya weee balaaa
@arlife9489
@arlife9489 2 жыл бұрын
Machizi hawa
@francismwacha253
@francismwacha253 2 жыл бұрын
Alf wote wadodo da! So Sadie
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 4 ай бұрын
Hizi ni kampuni za wazungu zinazo promote ushoga na usagaji Kwa vijana. Tuwe makini.
@ndatigoldtz
@ndatigoldtz 2 жыл бұрын
Kunaungo mwengine unavunja mbavu mili5 Kama karanga
@danielmach422
@danielmach422 Жыл бұрын
Hawa wametekwa ufahamu, wameshawehuka maskini😁🤣😁🤣
@bongosmart
@bongosmart 2 жыл бұрын
Kila swali ni jiwe👊
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 2 жыл бұрын
Waacheni wafanye kazi kama wameridhia, kupata sehemu ya kula na kulala sio kitu cha mchezo, Maisha ni magumu kiukweli, serikali haijitambui, pambaneni na mungu atawasaidia
@emazjassam2452
@emazjassam2452 2 жыл бұрын
😀 😀 😀 Yani unataka serikali iache vijana watapeliwe
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 2 жыл бұрын
Kwan bure?? Wakaat wanatoa hela nying
@dayana5513story
@dayana5513story 2 жыл бұрын
Jamani uchawi upo
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, DISEMBA 19, 2024
30:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 5 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, DISEMBA 19, 2024
4:56
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, DISEMBA 19, 2024
4:36
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE  NA DAKIKA 55, DISEMBA 19, 2024
4:47
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, DISEMBA 19, 2024
4:00
🔴MAKADA WAKUSANYIKA MASKANI KWA MBOWE, DESEMBA 19,2024
9:46
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, DISEMBA 19, 2024
4:41
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM,18 DISEMBA, 2024
18:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 112
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, DISEMBA 19, 2024
4:06
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН