Allahu Akbar hee Mwanafunzi kamshinda Mwalimu wake
@mustaphambwana79444 жыл бұрын
ivi nyinyi liyaz hamnaga video ni audio tuu kusikia na kuona nako ni kuzuli pia muekage na video ina nogesha
@suleymanomary66944 жыл бұрын
Assalaam Alaykum, uongozi naomba umtuwekee na video yake ili kuongeza umakini na kutokuchoka kusikiliza, asante
@faizasaid82624 жыл бұрын
Ustarabu kweli maana kuna dini nyengine wakienda haja kubwa hawatawazi😁
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Muhammed na Faiza kuja hapa wandugu👂
@mohamedsaidy63994 жыл бұрын
nimekuja kupitia njia nyengine SIM yangu ilinisumbua nikaiflah baada Mohammed saleh jamaa alikua na mavumbi ya sikio hasikiliz mawaiza ndio skio likazba hakusia vizur kwaio kaniandikia Mohammed said baada ya Mohammed saleh
@mohamedsaidy63994 жыл бұрын
samahan zayyat na faiza kwa usumbufu uliojitokeza
@faizasaid82624 жыл бұрын
mohamed saidy usijali apo ndo umekua ndugu yangu haswa Mohammed said😁
@faizasaid82624 жыл бұрын
zayyati yusufu asnte nipo👂hujmbo
@mohamedsaidy63994 жыл бұрын
@@faizasaid8262 asante kwa kunipokea
@khalifanassor53494 жыл бұрын
Ndo hao waloambiwa mafuta ya upako
@shammoha52974 жыл бұрын
😂Astaghfirullah! Hicho kisa cha punda. Nimecheka jamani. Alhmdullillahi. Shukran
@raskingo14954 жыл бұрын
Allah Akupe Afya njema na Umri Mrefu Uzidi kutupa Somo
@mohamedsaidy63994 жыл бұрын
jaman mtume wetu alipata tabu sana
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂shikamoooooooo waliiiiiii punda🙌 jamani uwongo mbaya. Sheikh Othuman wajinga ndio waliwao nawapo hata sasa.
@faizasaid82624 жыл бұрын
zayyati yusufu wapo wala hawaishi mpaka kiama kitasimama