Allah AMPANULIE KABURI LAKE, AMTILIE NURU NDANI YAKE NA AWASHUGHULIKIE ALIE WAACHA NYUMA katika watu wake Amiin Amiin.
@abdymmanga63382 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi ktk safari yako Sheikh wetu , tulikupenda ❤️ sana ila Allah {S.W} 🙏🏻kakupenda zaidi .
@ibugharib3892 жыл бұрын
Amin Amin Amin yaarab, INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN Rehma za Allah ZIWE juu yako .Bega kwa bega mpaka Firdaus
@abouassifmabrouk81102 жыл бұрын
Allah akueke pahala pema peponi Ameen🙏🙏🙏
@Drkhan3452 жыл бұрын
Allwa h akujaalie nuru kwenye malazi yako
@mody-guyngido2792Ай бұрын
Allah Yarham
@apangomombasa92303 жыл бұрын
Sheik Nassor Bacho Allah akuremu popote ulipo
@AlleymanovYavuz7 ай бұрын
Mashallah
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Allah Tunakuomba kwauwezowako mjaaliepepomjawako huyo mwarim wetu hakika mawaiza anayo toa na muelewa Sana napendakuyasikiliza malakwamala najifunzamengi
@rashidmussa36013 жыл бұрын
Allah amrehemu uko alìpo.
@mustayoo2 жыл бұрын
Simba wa mimbari.mashallah mawaidha yako bado tunayasikiza na hakika thawab zake ww pia unazipata.allah atupe mwisho mwema.atukutanishe kwenye wema
@salmaabdallah96582 жыл бұрын
Allah amrehemu amueke pema penye wema
@sdasad12852 жыл бұрын
Amiiiin
@nassorodende77282 жыл бұрын
Mungu akuepushie adhabu ya kabri akupe nuru katika kaburi lako
@HusseinNuru-zd3bf3 ай бұрын
Allah akulipe jannatul firdous
@salehkaroa236611 ай бұрын
Simba wa Mimbari
@mustayoo2 жыл бұрын
Simba wa mimbari.mashallah mawaidha yako bado tunayasikiza na hakika thawab zake ww pia unazipata.allah atupe mwisho mwema.atukutanishe kwenye wema