Wanazuoni ni warithi wa manabii, umma utaanguka wanazuoni wanapotoweka. Mawaidha kama haya yasiyopendelea madhehebu, yanaanza kutoweka hasa baada ya Waislamu kugawanyika kati ya Saudia na Iran, ugomvi walionao Wasaudia na Wairan ni siasa kila mmoja akijaribu kutunisha misuli katika eneo la Asia ndogo.
@ahmadjuma13682 жыл бұрын
Imam Ally yupo kwenye haki,yeyote mwenye kumpinga ameipinga Haki
@africanqueen25065 жыл бұрын
Muendelezo tafadhar
@hatibunkonga23505 жыл бұрын
Twalha na Zubeir na Aisha ndio viongozi wa vita ya Jamal
@ahmedissa78824 жыл бұрын
Hapo zilipita fitna mbaya sana,
@hatibunkonga23504 жыл бұрын
@@ahmedissa7882 shukran sana ,upon wapi sheikh 0782671966
@myahsaydou33515 жыл бұрын
How did sayidna abu bakr sent to performe hijja while the prophet hasnt done it for people to know idont understand how he was sent to performe hijja before the prophet or what kind of hijja did he performe ??need more knowledge
@zamabuu77074 жыл бұрын
Mashallah this is very intellectual question. This incident happened in the 9th year of the hijja, the prophet Muhammad peace be upon him, had intention to perform the hijja himself however he recieved many delegations from arab tribes who went to seek the information about Islam as the result he appointed Ali and Abubakar (May Allah be pleased with them) to lead the pilgrimages, not only that but despite that Makkah was already conquered and it was in the hand of muslims but the mushrikun were still allowed to perform their own kind of hajj, therefore ordered Abu Bakr to announce that the mushrikun can no longer allowed to enter Makkah and perform any form of worship, that was the final year for them. As for the following year the prophet went and perform hajj with Muslims and perfect the hajj and everything to do with Islam. Now coming back to your question our beloved had various ways of teaching, he used to teach by showing actions, or by explanation of how things to be done. Bear in mind this was approximately 22nd year of his prophet hood therefore AbuBakr and Ali were already knowledgeable and good enough to take any task assigned to them. I hope I have answered your question. Jazakallahu khayran
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Muhammed na Faiza njooni wandugu mambo مباشر
@mohammedsaleh22025 жыл бұрын
mambo poa vip na wewe
@faizasaid82625 жыл бұрын
zayyati yusufu Asnte nipo hujmbo
@faizasaid82625 жыл бұрын
Mohammed saleh 😁wambaje
@mohammedsaleh22025 жыл бұрын
@@faizasaid8262 faiza nipo vizuri hasa
@faizasaid82625 жыл бұрын
Mohammed saleh 👊👌
@jamalkishangu2 жыл бұрын
Mawaidha wa mwanazuoni huyu, humchukua msikilizaji mpaka katika tukio halisi, naye akajiona yupo katika waliohudhuria tukio lile, hiki ni kipaji kikubwa sana.
@omaratik27785 жыл бұрын
Muislamu mzuri ni Yule anaeskia na kuchukua njia mzuri wala wao hawakua malaika iwe funzo kwetu waislamu wote tushikamaneni kamba moja ndio yaliopita iwe darsa kwetu umoja upendo na Amani wote hao walifanya kazi kubwa Sana ili Sisi tuwe na njia sahali yote yawe ni mafunzo kwetu
@alshamsitz3961 Жыл бұрын
Acha maneno matamu ya siasa sheikh Othman,ww sema kina zuber,twalha na Bi Aisha ni wakosefu,waislamu lazima tuamke na tuache mapenzi ya unafik kwa watu waovu
@jumahamis2275 жыл бұрын
She
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Allah humma Swale Alla saidina Muhammad waalaa alihi waasihabihi wasalamu