Рет қаралды 19
Katika mwendelezo wa somo la wanawake kuhudumu na kumtumikia Mungu katika nafasi mbalimbali, Mwinjilisti Jonas Michael anatuonyesha namna ambavyo hakuna kizuizi kutokana na Roho Mtakatifu kuachiliwa juu ya watu wote; wanaume kwa wanawake.