I was born Catholic,I will stay Catholic and I will die Catholic. This song is attractive in the heart.
@paulbugwi66473 жыл бұрын
🙏🙏🙏 I Love this Song, unaweza kurudia kusikiliza hata mara 10
@francisriziki1954 Жыл бұрын
Hata Mimi kaka hata zaidi ya 10 ,mtamu sana uzuri wa wanakwaya wetu haimbi tu ,,wanaimba kwa furaha ,,na watunzi wanaangazwa na roho mtakatifu ndio maana wanatumia maneno ya biblia au paraphrasing ,keep it up My people salamu nyingi 2023 mei 28
@felisterkokuberwa57833 жыл бұрын
Shuka Roho Mtakatifu ujaze nyoyo zetu tupende sana Moyo Mtakatifu wa Yesu
@corneliacheleo7269 Жыл бұрын
Siku zinaenda aisee hii nyimbo inanikumbusha kipindi napokea kipaimara dah😭
@kaijagekironde2 жыл бұрын
Imbeni , sifuni Roho Mtakatifu,Aleluya🙏🏿
@eliasgregory97333 жыл бұрын
I love you nyimbo za rc
@MariamKatamiti Жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo nikiuckia huwa najickia raha sana had I cwezi elezea.
@linahsemindu42614 жыл бұрын
Hakika huu wimbo ukiimbwa nakuwa chz kbc unaingia ndan ya moyo wangu 🙏
@tasharosre60264 жыл бұрын
Waoh nasikia raha mpk rohoni 14/06/20 najivunia kuwa mkatoliki
@elisdotenv5 ай бұрын
The Vibe in this song always gets me standing and join the choir
@lizybety2564 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na hu wimbo
@martinalyimo74353 жыл бұрын
Asante Mungu Kwa Kunipa Uzima
@janekishusha84394 жыл бұрын
Wooow! Very nice. Fahari ya Kanisa letu. Hongera Baba Minde Kahama na sasa kahamia Moshi kwetu
@noelashirima1533 жыл бұрын
Pendo lake Mungu limekwisha kumimnwa.Na roho mtakatifu tumepewa sisi aleluya 🙏 I have very really love for this song. Najivunia kua mkatolik
@juliawamai66564 жыл бұрын
I love nyimbo za wana catoliki wa kutoka tz,,
@mamamwasu19312 жыл бұрын
Karibu
@jacobsemiono11873 жыл бұрын
Wimbo umetulia sana, conductor anafanya kazi yake huko naye anaimba ni kipaji sana, namkubali
@EpimakiMhambe-yd7dkАй бұрын
Wimbo huu naupenda sana huwa natamani sikukuu ya Pentekoste ifike haraka uimbwe na ikibidi waimbe beti zote
@doricacharles16284 жыл бұрын
Amina hakika roho wa bwana yu juu yetu
@clarencewilbat85984 жыл бұрын
Anhaaaa shangwe kwa Mungu wetu
@carolylwangakizito22004 жыл бұрын
Wooooow msimamizi wa jimbo katoliki la kahama 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😭❤️💪🙏🌏nimewamiss jaman(Karolilwanga)
@emanuelsagenge92293 жыл бұрын
Hongereni kwaya ya Kahama kazi nzuri 👏👏👏👏
@deotarimo4270 Жыл бұрын
Wanakwaya wote wamechangamka wameutendea haki huu wimbo.kinanda nacho kimetulia vizuri sana mbarikiwe.
@josephinebiringanine71134 жыл бұрын
Amazing voices waimbaji mubarikiwe sana ❤❤👌
@sofiapeter2004 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo nabarikia sana yaani
@omoshspeakmouth43714 жыл бұрын
Nawapenda sana mandugu zetu wa tz, njooni tumsufu bwana hapa kenya
@martinnjeru31912 жыл бұрын
Wimbo umeimbwa ma kwaya maridadi kabisa.hongereni sana kutoka kenya.
@deotarimo4270 Жыл бұрын
Wimbo unanibariki sana huu hata sichoki kuusikiliza.
@johnpapaking14974 жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya
@barikikimaro91654 жыл бұрын
Aisee mmechangamka hadi raha mmbarikiwe sanaaaaaaaaaa
@dioclesbuberwa81723 жыл бұрын
Hakika roho mtakatifu ndo kila kitu kwetu Amina
@rupertoako84174 жыл бұрын
Raha sana kuwa mkatoliki
@minahshayo65373 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkristu mkatoliki.....
@amosgerald77634 жыл бұрын
Asanteni Nafarijika sana
@aliemdogo Жыл бұрын
❤❤❤❤ mmenikumbusha Mali Sana 1999
@amosmwazighe65042 жыл бұрын
Wimbo unabariki sana
@uwembatvonline4 жыл бұрын
Mwenye huu wimbo naomba jaman
@emanuelmayunga63823 жыл бұрын
Mungu atubark sana
@prisckamakambi44564 жыл бұрын
Mungu awbariki
@klystry12344 жыл бұрын
Hii nyimbo usipoimba na kurukaruka wewe Roho Mtakatifu hajakuingia vizur
@pauldaniel33964 жыл бұрын
Good song
@AdventinaRichard-op9eu2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@rahelmsuya72716 ай бұрын
My church
@Jackson-wv6pz Жыл бұрын
🙏🙏🙌🙌🙌🕊🕊
@joeljoseph7854 жыл бұрын
#Very nice
@lilianmwambungu18104 жыл бұрын
Amina.....!!!kanisa MAMA ni KATOLIKI
@madumelandes4 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏
@faustam49913 жыл бұрын
huu wimbo mnaukosea sana wanakwaya,unaimbwa "roho wa bwana ameukaza"sio roho ya bwana tunaongelea nafsi sio kitu,tangu naufahamu wimbo na kuimba sio hivyo ndugu,tuangalie matumizi ya lugha pia,mmechangamka sana na hongereni kwa sikukuu ya pentekoste
@linetaluoch24602 жыл бұрын
Aki for real...I feel He is being diminished💔💔
@mamamwasu19312 жыл бұрын
Sio ameukaza ni ameujaza
@elibarikimaganga9571 Жыл бұрын
Nafikiri mtunzi ametumia maneno ya kwenye Zaburi "Waipeleka roho yako e BWANA nawe waufanya upya uso wa nchi ..." So tusiwalaumu Sana kwenye agano la kale Roho Mtakatifu aliwakilishwa Sana Kwa kutumia neno "roho ya BWANA" Ila wanaweza kuboresha kwa hindi ulivyopendekeza
@SophiaHussein-jg2zk Жыл бұрын
Sea piano
@kaijagekironde4 жыл бұрын
👏🏿👏🏿
@talikisiomlegehe77334 жыл бұрын
Amina
@isabelashirima83504 жыл бұрын
🙏🏾
@kaijagekironde3 жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@josephchengula9874 жыл бұрын
mko vizur
@tuliamakombe16233 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@heavenlymusicproduction43604 жыл бұрын
Duuuuu jimbo gani wanaimba maana sisi wa dar hadi makoo yamesahau
@julianaedward20494 жыл бұрын
Kahama
@upendojaka37384 жыл бұрын
Ilikuwa mwaka jana 2019 sikukui ya pentecoste huko Kahama
@kaijagekironde4 жыл бұрын
Nyimbo hizi nzuri Dar hamzipi nafasi
@theresiamwenda81644 жыл бұрын
Naikumbuka kipaimara changu 96
@mwalongomwalongo8074 жыл бұрын
Na mimi na kumbuka kipaimara changu mwaka 1997 katika parokia ya kristu mfalme tabata
@theresiamwenda81644 жыл бұрын
@@mwalongomwalongo807 mashaidi wa Uganda magomeni
@genovevashitsama38314 жыл бұрын
Just be honest...this is a long ago clip,..cannt see wearing of mask and social distance.....boss it is long when we were in our churches....kwani bloggers have shortages of current information??. This is pure lair...