A BRAND NEW MUSIC VIDEO FROM NISHER ENTERTAINMENT, ROMA - 2030 - ( Official Music Video ) SHOT IN DAR ES SALAAM TANZANIA....MUSIC produced By, Ryder - Tongwe Records - VIDEO Directed by NISHER. PLEA
Пікірлер: 772
@juliusyusufu25556 ай бұрын
Kama unaisikiliza hii Ngoma 2024 gonga like
@damianmosoka53562 ай бұрын
Me niko hapa 2024 kama na wewe upo gonga like tujuane
@nelsoncosmas56393 жыл бұрын
Kama unaisikiliza hii ngoma 2121 ngonga like
@Betting_football_predictions3 жыл бұрын
woyooo
@lumulyimage48263 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gnmuhWawhL2jfLM
@tiffaommy8462 жыл бұрын
😂😂
@fariduwezo95572 жыл бұрын
2021😅
@hoboobo52182 жыл бұрын
Ohoooo😂😂😂😂
@MosesMayunga-p6z7 күн бұрын
2024 tujuane kwa like hap
@ashagowa9037 Жыл бұрын
2023 Baada ya kusikiliza nipeni Maya yangu nmerudi kusikiliza Tena hii Ngoma..
@michaelmuchomerson26584 жыл бұрын
Tukipata nyimbo kama hizi za kufunza na kuonyesha tulipo na tunapoenda ndo vema zaidi, kuliko kuimba nyimbo za kushikana shikana na mademu kwenye nyimbo, na kukubali sana Roma ajia mademu zile zingine ngoja sisi wanaume tusikilize hiziiiiii
@gilbertmbwambo24445 жыл бұрын
bonge moja la future kutoka kwa mkatoliki roma kubali sana huyu jamaa na ngoma zake adimu na zenye kuelimisha jamii na kusaidia kuelimisha wananchi.
@emanuelcharles84695 жыл бұрын
Huu ni mtazamo wa mbali big up ROMA, Nani bado anaikubali hii ngoma mpaka sasa 2019 anaiangalia
@frankbon96725 жыл бұрын
Balaa
@emanuelmeshack81335 жыл бұрын
Huu ni waraka wenye maisha ya kudumu kama zilivyo nyaraka za mtume Paulo kwa vitabu vyake kwenye bible
@vicentsamachaukuma38355 жыл бұрын
Balaa
@josephelibariki6635 жыл бұрын
Emanuel Charles bdo iko sawa aisee
@raymondpius82804 жыл бұрын
Tupoooooo
@edsonsibuti69144 жыл бұрын
2020 kuna mwingine humu
@eliyalaizer5554 жыл бұрын
Nani tupo pamoja 2020 kama unaangalia gonga like yako tafathali please like yako ni muhimi kwng
@florarose16264 жыл бұрын
Meeeeeeeeeeeeee 👊🏾👊🏾👊🏾
@rankatz91844 жыл бұрын
Pamoja
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
2021
@ephronashrey80254 ай бұрын
Noma sana lets nyengine 😅😅😅❤
@ferouzmasoud48702 жыл бұрын
Daaah kitambo Sanaaa hii ngoma 👊👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@naijoel50227 жыл бұрын
Mungu msaidie Roma ili huko aliko awe hai arudi aione familia yake
@daoneamic45464 жыл бұрын
Kazi hii itadumu sana tena safi sana bro
@vakwawesanga7334 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupigania roma unaona mbali sana ila kuna wa2 wanataka kukufumba mdomo kuwa makn
@evonwilliam30285 жыл бұрын
Daaaaaa huyuuuu ndyee alikuwa Roma cyo was sasa
@sophiakimaro66804 жыл бұрын
15/11/2019 imebamba
@MohamedMohamed-fz5qh Жыл бұрын
Live long Roma. it's 2022 and it's still the hit
@kelvinaman9002 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni kwere hatari sana mziki anaujua
@kelvinrichardshirima77396 жыл бұрын
Big up bro nazikubali kazi zako kwani hujawahi kunianguxha hata siku moja.
@peleziyohana480620 күн бұрын
"Watanzania mna uwoga sio amani mnadanganywa"
@bosshapendi Жыл бұрын
Hii ngoma ime hit❤❤👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@catundu81312 жыл бұрын
Marehemu hufa na chake pigana upate Chako🤗
@severynkihwele27294 жыл бұрын
Anaeangalia 2020 gonga like kubwa
@shabanmaster97033 жыл бұрын
Xxxxxxxx
@shabanmaster97033 жыл бұрын
Xxxxxx
@shabanmaster97033 жыл бұрын
Xxxxxxx
@shabanmaster97033 жыл бұрын
Binge
@godfreyorago75014 жыл бұрын
Nan yuko pamoja 2019 kukumbushia utabir wa #roma
@RamazaniMulongeca6 жыл бұрын
I can't get enough of this song, Mistari ya pesa inatisha, "Marehem ufanachake, pambana upatechako.."
@Vj_Tally_473 ай бұрын
We listened it those day's lakini leo after kuskiza "Mke wangu" new banger ..nikaamua nipitie na 2030 cause wanangu mlichafua hii ngoma💯🔥🙏
@abdullykapole96174 жыл бұрын
Kaka ROMA 2030 tumuombee mungu tutaona mengi nakukubali sana✌
@emanuelissaya10797 жыл бұрын
nakuheshimu sana ROMA mziki wako ni mageuzi ya kifikra taratibu tutafika kwenye mabadiliko
@obagoabhiathan35654 жыл бұрын
Jamani kama bado unakubali hii ngoma mwaka huu 2019 like hapa
@florarose16264 жыл бұрын
💕❤️👊🏾
@evaristosanga52133 жыл бұрын
X
@brianfeel35708 жыл бұрын
mob love nakuskia Kenya.Umeeetiiiishaaaaaa.
@dahnlira2824 Жыл бұрын
2023!am on it!this record was and is fire
@saidmungulu70532 жыл бұрын
kaka unajua san nyimbo zako zinaishi milele onelove❤ bro. .TANZANIAA EEEH!! 2021
@user-hz3wh5gr4y Жыл бұрын
Kama unaangalia ngoma hii 2023 gonga like🙏🙏🙏
@habillahimsokela6708 Жыл бұрын
Kama unaangalia hii ngoma mwaka 2023 nipe like zangu
@crazydeejay_manyi852010 жыл бұрын
Kichupa kimetulia ile kinoma chini ya producer NISHER ni Nomaaaaaaaaa
@fauzsaid2050 Жыл бұрын
Akili kubwa !!! Kipawa baadae
@yusuphabonikemwakilasa26504 жыл бұрын
Hiii ni bora kuliko ya madee 2060
@Kobe_2544 жыл бұрын
I listen to this song everyday, lemmie comment.. am from Kenya, but this is ile ubunifu nakubali 100%.. this is real, from Kenya🇰🇪🇰🇪 much lov, Salimia stamina na ney wa mitego! Will visit Tanzania nikija next vacation... moch love East Africa.. from Seattle, Washington.. tutembelee by the way🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@neema_mollel Жыл бұрын
Huu ndo muziki Sasa👌👌
@redblackheart92225 жыл бұрын
This talent is a gift from God. Like zenu bado tuko tuna iyona 2019
@ombenicharles42875 жыл бұрын
Machozi Endani 8
@dzombotumaini63922 жыл бұрын
Hii ngoma Naiona Mpya Daily... Big up mwana... 254
@ignatiusnamema10305 жыл бұрын
Wimbo wenye mafunzo kwa watanzania asante saaana kutoka kenya
@user-fs8hv6tn4s6 ай бұрын
Hii song itaishii kizazi nakizaziii 2024 now nauliza toka 2014 naiskiliza
@miadidas79476 жыл бұрын
mungu u pam1 ila kweli tz matajili ila mkapa ndo kaichafua nchi mpaka nyerere kamuua lazima tuseme ukweli
@LumolaSteven4 жыл бұрын
Nani kaangalia hii ngoma juu ya tarehe 14 November 2019. Gonga like hapa
@ignatiusnamema10305 жыл бұрын
Lots of love from Kenya team 254 thanks for passing this strong message of social ills by the government through this song
@Kobe_2545 жыл бұрын
Ndio naisikia 1st time kama mkenya, manzeh I BOW... ngoma iko juu saana... much love from USA
@wizyjunior57714 жыл бұрын
Bwashe mrudie Mungu Masanja kawa mchungaji ..kati aliyechanganya mchanga ushamfukia Vivaromaviva Mashairi umeyampangilia Leo lizi one hafanani na Makongolo daaa!!!
@annyrwechu10 жыл бұрын
Mashairi hayaendani na kilichomo kwa video.....ts so hard kufanyia video nyimbo za ROMA always there is something missing
@munyarubugaismailally1112 жыл бұрын
Pure hip hop artist 👂👂👂 you may live longer legend 🙏🙏🙏 all the way from Namibia 🇳🇦
@samwelgeorge1465 Жыл бұрын
Like it's good song
@Kobe_2544 жыл бұрын
2020, yuko hapa.. wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ndani ya Amerikq, sauti iko sawa after Corona.. ati...
@tuombesolomon38066 жыл бұрын
hakika nguvu ya ziada inahtajka kwa maendeleo ya taifa japo hawa......................... wanatukwamixha, roma big up 2u Mungu akulinde zaidi
@thomasjohn2554 Жыл бұрын
Kama unaangalia hili ngoma mwaka 2023 gonga like
@vangaboy6 ай бұрын
Tujuane wa 2024
@titusteete25642 жыл бұрын
Roma kuja hapa unipe mistari nipite na hii bit niite 2026
@benhorta51217 жыл бұрын
2012 + 18yr=2030 watoto wetu wanaweza wakaibadili Tanzania, ngoma imebeba maono makubwa
@jacksonmodaha15905 жыл бұрын
Wao Reallife will be wao Future
@lamekisimoni28095 жыл бұрын
Mi naicheck 2019
@jumanneamanijumanne86254 жыл бұрын
Pos
@jumanneamanijumanne86254 жыл бұрын
Vp
@abeidjoseph15107 жыл бұрын
hip hop zote hua ni harakati hakika Roma kipaji alicho nacho ni zaidi ya kipaji nyimbo zako zinanikosha vilivyo
@vitisjonh14254 жыл бұрын
Nakubali
@asheryibrahimu243 жыл бұрын
Hii Ngoma roma ulikaa chini na kutoa kitu bora kwangu
@shamimsaid19534 жыл бұрын
2020 Yuko wapi jamani
@recolopa59724 жыл бұрын
Ujawahi niangusha.. Nimekumbuka Hip-Hop NGUMU LEO. JUST PERFECT
@johnnyoni694710 жыл бұрын
Big up sana Roma,Nisher nakubali sana kazi zako mzazi,Thanx for taking our music to the next level.Ongezeni bidii tu,we're very close to get there!
@mohamedsanyange1366 Жыл бұрын
Namkubali sana uyu mwamba
@salimuwhite42214 жыл бұрын
Nan ataichek tena 2019 ngonga like twende sawa
@mosesndondole6314 жыл бұрын
Nimeisoma
@lumulyimage48263 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gnmuhWawhL2jfLM
@hussainomar11427 жыл бұрын
mkali wetu watu hip-hop nzmkubali sanaaaaaaaaaa shiiiiiiiiiiiiiiiii
@mandelatv78345 жыл бұрын
Nani kaangalia 11/06/2019 ROMA WA SASA KALEGEA SANA, ROMA WA ZAMAN NI NOMAAA
A die hard fan of the great roma mkatoliki from kenya
@dibamohamed68856 жыл бұрын
In my opinion, this what I call story telling, hip hop, using music that communicates to the masses, and most importantly one of my favourite hip hop artists in Africa. Never been this attentive listening to a message in a song! Big up Roma, maximum respect from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chikundeboy94504 жыл бұрын
Kama umekuja kuangalia tena huu wimbo baada ya Roma kusema kua tuje tuangalie baada ya wimbo mpya wa Madee gonga like hapa 👇👇👇
@jasirimkombozi49267 жыл бұрын
mungu ilende tanzania pia africa nzima.roma mkali
@ayshah.81234 жыл бұрын
I love you my brother, usiogope nausibadilike maana hakingodo mitaani hasa serikari za mitaa rushwa tupu mzee baba angalia nahuko hasa sisi wanyongwe tunaonewa na walionapesa na hasa wahindi
@benjaminlaban86364 жыл бұрын
Ngoma daima itaishi gonga like kama unaiskiliz December 2019
@shamimoally46797 жыл бұрын
pole mnaotafuta c daaaah.......nimeipenda bureeeee
@ibrahimbakar6224 жыл бұрын
Wazanzibar hawaoni faida ya huu muungano tz
@binbad46915 жыл бұрын
Chunga usimuume mama ili upate utajiri , utajiri uko kaburi.. Wanangu KUWA uyaone...
@ashamagembe80893 жыл бұрын
Mkinga usimuue mama ili upate utajiri,,kasema hivo bwana
@selemanimahangaiko25864 жыл бұрын
Hadi leo ngoma naikubali 2020/05/29/////saa13:53 kama tuko pamoja gonga like
@mohdkassim3606 жыл бұрын
Still watching 2018; this song is underrated. Yet possibly one of the greatest poem that Roma Mkatoliki that ever panned
@norbertlucas41443 жыл бұрын
Muraaa shusha mapanga anaeleta posa tarimee💪💪
@lutenganolukali21229 ай бұрын
Hapa ney true boy anaimba mapenzi, ujue ney alianza kujilipua akat Roma alishaanza kitambo haya mambo ney kaendeleza tuu Roma ndo alianza hizo issue kitambo sana
@chancetheboytz83593 жыл бұрын
Tunaoicheki 20201 like
@lumulyimage48263 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gnmuhWawhL2jfLM
@drnews12926 күн бұрын
Hatari nipo 2024
@samwelgeorge1465 Жыл бұрын
Namkubari sana huyu mwamba
@saidimazengo99344 жыл бұрын
Ukisikiliza nyimbo hii kero zote awamu hii zimepungua
@stanslauswillium70205 жыл бұрын
Rafiki wa padri n mhasibu🙌
@husseinmahenge31763 жыл бұрын
Alisema juu ya mwamba atalijenga kanisa
@derrikdesertman45642 жыл бұрын
Huu ndio wimbo pekee ninaoukubalii. Roma haimbi fresh kama hivi
@shabiruseiph48974 жыл бұрын
October 2019 gonga like
@gladstonewilfred670710 жыл бұрын
Big up # NISHER bonge la video
@Abdullatif-zv2qq3 жыл бұрын
Nani tupo pamoja Hadi leo hii 2021 tarehe 1 January ebu twende pamoja apo Roma Kama Roma utabaki Kama Roma.....
@rukabobugalama27224 жыл бұрын
Natamani niirudie kila second kumi ngoma nzuri sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@emanuelotamba38634 жыл бұрын
Roma nakuhakikishia ata 2031 na kuendelea bado hii nyimbo itakuwa bora vile vile mfano nchini tunamistu Ila tuna uhaba wa madawat hata 2030 na kuendelea hili tatizo litakuwepo tu!! I Love I Love Hip hop
@fredmwankaja9323 Жыл бұрын
Kama unaangalia ngoma hii 2030 gonga like
@lucasjuma85264 жыл бұрын
Kamanda nakukubar kinyamaaa
@ROMATONGWE10 жыл бұрын
thanx rafiki kwa kuendelea kusupport
@djelly76217 жыл бұрын
Roma Tongwe. ngoma kali sana
@eugytech34546 жыл бұрын
Big up bro from kenya
@isayamollel73276 жыл бұрын
Roma Tongwe rudi mwanangu ,huu wimbo Wa Zimbabwe unanipa Picha flani ndani ya Tanzania,pole Roma iliniuma nafsi ulipo tekwa but kweli MUNGU atalipa