Rose Mhando Atakiwa Kuombewa: Mchungaji Meshack

  Рет қаралды 24,535

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

Rose Mhando Atakiwa Kuombewa; Mchungaji Meshack
MWIMBAJI na Mchungaji wa Kanisani la Ufufuo na Uzima lililopo chini ya Bishop Dkt. Gwajima, Meshack Salum amesema kuwa watanzania wanapaswa kumwombea kutokana na masaibu yanayomkuba ili aweze kurudi katika hali yake ya uzima.
Mwimbaji wa kanisa hilo ameyasema hayo wakati akizungumzia wimbo wa video yake mpya ambao ameuimba.
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.com/watch?v=L4UGw...

Пікірлер: 22
@precious5277
@precious5277 5 жыл бұрын
Mum rose you've blessed me since I started listening to her songs and now m unhappy for what is happening but the devil is alier mum whatever you're facing through on this Earth God will gonna fight for you ,it's true that God is the only friend mum rose for we know that he's there in every help but human they're always talking acting without faith for the Lord's manifestation is upon you mum ,
@waigowangechi520
@waigowangechi520 5 жыл бұрын
nakushukuru mchungazi sana mimi ni msikilizaji wa nyimbo za rose kutoka kenya tafathali nakuomba ongea na rose mwambie mungu hawezi mtoa mahali alimtoa ampeleke mpaka mahali amefika arafu amwachilie mungu anampenda sana rose hilo jalibio limemfunania sio mwisho wake mbali chanzo za mungu.
@tituskorir3124
@tituskorir3124 5 жыл бұрын
Pliz pastors organize one center in which to help Rose Muhando in whatever little each can
@lucyemmanuel4236
@lucyemmanuel4236 5 жыл бұрын
Amen Mtumishi unarikiwee sana Mungu amponye Mama yetu
@mosekaaliga6486
@mosekaaliga6486 5 жыл бұрын
Amen, God will help her in the name of Jesus
@yvettebisongo6947
@yvettebisongo6947 5 жыл бұрын
Ndugu zangu shetani awezi kukamata kitu ambacho akina faidha,uyu dada yetu shetani aliona aliona kilicho ndani mwake kya bei sana ndipo apo amehamuwa kumtesa kusudi dada arudi nyuma,dada tunakuombea na imani ya kuwa mungu ule unatumikia kwa nyimbo atakuponya.nyimbo zako ni faraja kubwa kwa watu wooote asa kwa mimi binafsi kwana napata nguvu na faraja kubwa
@margaretmakala8017
@margaretmakala8017 5 жыл бұрын
Kweli mchungaji maombi ni muhimu sana kuliko kulaumiana,bwana Yesu akubariki
@jamesoduor9002
@jamesoduor9002 5 жыл бұрын
KZbin is the best to all
@mercynamusia3644
@mercynamusia3644 5 жыл бұрын
It's true instead ya kumlaumu Rose ni bora kumbombea because pray is the key
@tonynuru435
@tonynuru435 5 жыл бұрын
MchungajiYou should elaborate what rose muhando is passing through or suffering from
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 5 жыл бұрын
nakushukru sanameshack mm nilipoona ile video niliumia sana. lkn nilikipa matumaini kabla cjaenda mbar niseme tu juu ya1ya munishanase tusiiabdu amerika inayojifanyarafiki inakukenga kisha inakubomoa baadaye ndicho kilichojiri kati ya Rose na meneja. wakeHuyu Dada alimtegemea sana manager kuliko mungu na hats pale alipomgeuka alishindwskukubari matokeomatatizoya Rese chanzo ni wami
@devissingh593
@devissingh593 5 жыл бұрын
Yah
@abelsuleimanshiliwa2150
@abelsuleimanshiliwa2150 5 жыл бұрын
Sauti mbona ni ndogo???
@ellyhelela6261
@ellyhelela6261 5 жыл бұрын
Pia tiba inahitajika baada wa uchunguzi wa kina wa kidaktari na kisaikolojia, japo maombi ni muhimu lakini mtu anayepita matatizo ya afya ya akili, huduma nyingine inatakiwa pamoja na maombi.
@justinpost3716
@justinpost3716 5 жыл бұрын
Elly Helela mmm shakwaza maombi
@justinpost3716
@justinpost3716 5 жыл бұрын
Elly Helela rose shida hajaokoka ndimuimbaji kwanini hajaokoka yeye Ni muroma kwaza aokoke
Bahati Bukuku - Sitaki Tulaumiane (Official Music Video)
8:48
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1,2 МЛН
Rose Muhando Jipange Sawa Sawa
7:54
Africha Entertainment
Рет қаралды 4,7 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 63 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 64 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 166 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 76 МЛН
Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.
15:29
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 898 М.
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. PHILIP MPANGO MKOANI KIGOMA
3:09
𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦
Рет қаралды 2,1 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 22 МЛН
DAY BREAK | The cabinet dilemma (Part 1)
33:00
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 5 М.
Rose Muhando -Sitanyamaza
8:26
Africha Entertainment
Рет қаралды 3,9 МЛН
Rose Muhando Hatumo
6:56
Africha Entertainment
Рет қаралды 1,9 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 63 МЛН