Kiufupi mungu wa wakristo kazaliwa lakin wetu sis waislaam hakuzaa wala hakuzaliwa na hukuna mfano wake. Fikiri sana ewe mkristo juu ya mungu wako aliezaliwa akaishi dunian miaka alioishi halafu akauliwa na watu unategemea nn kwake
@najmamohmad63485 жыл бұрын
Wafkirie alizaliwa na nani
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Hahaaaa hatari uislam ndio dini ya haki 🙌🙌🙌🙌❤❤❤❤ penda sana washekhe wetu from dubai home dodoma Tanzania mrangi halisi
@rahmashaban86939 жыл бұрын
doctor sulle Allah akujaalie kila la kher duniani na akhera pamoja na wahadhiri wooooote wa kiislam.
@abuumbinga35746 жыл бұрын
nashida na number zako doctor sule nitumie kwenye number zangu ,0767794734/0714849902
@eliudkasenene48505 жыл бұрын
Yesu na Dini ni vitu viwili tofauti dini ni mpango wa mwanadam wokovu ni mpango Mungu hata wewe unatakiwa uokoke umjue,Mungu wokovu watu wrote,
@linegreen2312 жыл бұрын
hizi video ni muhimu sana na watu tunazita hatuzipati kwa kuwa mnaziweka katika majina mengine, sioni kama ni utaratibu mzuri huu, bora uziweke wazi kimpangilio ili mtu aweze kuziona moja baada ya nyengine kwa mpangilio mzuri kabisa, unavyoziweka katika mtindo huu, inakuwa taabu kuzipata, naukizipata hazina mpangilio wa namba 1 mpaka...mwisho wa muhadhara. Ahsante
@humudmarhoon80446 жыл бұрын
Ingia ktk KZbin account akasha dawa utapata hizi video
@Mamake65 жыл бұрын
Kweli kabisa wangezipanga mawaidha ya dr sulle zote pamoja na Instagram wangefungua ikiwa kila video mpya ikitoka wanataarifu instagram tunazifata youtube
@abdikadirhussein70355 жыл бұрын
Masha.allah doctor Suleman mungu akujalie kilalakheri duniya na akhera
@bilalimgeleka35729 жыл бұрын
Ramadhani karim wote wenye imani
@omariselemani4795 жыл бұрын
Bilali Mgeleka Amin
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Yaani Kwa Utaratibu Huu Muda Si Mrefu Dunia Itakuwa Yawaislamu. Anaebisha Anyooshe Kidole Au Ajifanye Anajikuna Hapohapo Alipo.
@ibnnassoro13719 жыл бұрын
maashaallah wafahamishe huenda ALLAH akaleta nusra
@petersimkoko18664 жыл бұрын
Kwanini muficha city Allah ninani ka sio shetan
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Nimekubali Waislamu Ndio Waalimu Wa Maandiko.
@AishaAli-lk7gh5 жыл бұрын
umeonaee mashallah
@khatibhijja39585 жыл бұрын
@@AishaAli-lk7gh jinazuri
@allyzzege88165 жыл бұрын
PEKO MISEGESE nice
@khatibhijja39585 жыл бұрын
@@allyzzege8816 Uislam Raha sana
@عليجبار-ن3ي4 жыл бұрын
Mungu akuongoze kwenye kheir,kwakuona ukweli
@petersimkoko18664 жыл бұрын
Was slam tunawajuwa nyi muabudu shetan
@rahmashaban86939 жыл бұрын
msiba mungu anatangulia kufa anaacha viumbe mmmmh yaani hakuna kitu kibaya kama ukafiri duniani. huyo mungu anayetangulia kufa, sio mungu ni feki wala hafai kuabudiwa.
@Nimayoutube8 жыл бұрын
mwamualibia jina mtumishi wa mungu mtaitaje rose muhando
@sadaramadhan42085 жыл бұрын
Mashallah uisilamu ni laha
@ruthdeshy12 жыл бұрын
goodness!! rose should know this!!
@katrinahmbinyah52148 жыл бұрын
Imani ya mtu ndio muhimu bali sio dini .....kila mtu atubu na kumrudia mungu....
@celestineindata40268 жыл бұрын
very true kila mtu na mizigo wake.ukiwa kwa dini na hauna roho safi ni bure 😂😂😂
@zanzibaronlytv34705 жыл бұрын
Iyo iman inapatikana ktk dini tu. Kwaiyo no iman no dini and visevasal true.
@meshacksareyo18016 жыл бұрын
jamni kama izi taarifa za rose in kweli jmni naumis sana
@petersimkoko18664 жыл бұрын
Yesu alikufa kwasababu yakuwokoa watu
@yussuphshilingi32582 жыл бұрын
Mashudu
@yussuphshilingi32582 жыл бұрын
Mashudu
@Hustlerfrr7 жыл бұрын
If you don’t believe Jesus Christ he didn’t die or born again you’ll never see the kingdom of God
@esterjuma56826 жыл бұрын
amen
@jumanechaali26855 жыл бұрын
According to ur religion
@mahreztz75154 жыл бұрын
Allah Akbar Wakristo wanajuw ukwel lkn kusilimu tu wakaid
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Wakristo Mi Nawapenda Sana Kwakuwa Kupitia Ninyi Watu Wanaelewa. Na Mmefanya Wakristo Wenzenu Wajuwe Yakuwa Hapo mulipo Sipo.
@ameirtajo99895 жыл бұрын
Kama mungu kafa dhami za siku tatu atazihukumu nani na mungu kafa
@kambanimwanyulu75705 жыл бұрын
soma Quran 3:55 uone jinsi ilivyo kiri kuwa Yesu alikufa au la..
@hassankitende30565 жыл бұрын
Hujielewi ww
@fadhilichitete70066 жыл бұрын
hiii neema toka kwa ala
@elizabethfares46506 жыл бұрын
Mashallah mungu akubaliki Sana
@gracecypiliani35207 жыл бұрын
Yesu hana laana ila bibilia inasema Yesu alizibeba laana zetu naziliishia musalabani
@midoseneta47805 жыл бұрын
hiyo akili au matope... hv kweli inawekana wee uuwe alafu ahukumiwe mwingine huo ni uongo zambi zako utabeba mwnyewe usimpe yesu kama unalitegemea hilo umefeli..
@rachelevarist704 жыл бұрын
mashallah uislam rrahaaa
@davidahad40435 жыл бұрын
Uyo mama anaingia motoni mweeee namuonea huruma
@musaobeli89585 жыл бұрын
Amakweli ulisemalo silo ata wewe pia kua Mwislamu
@allyderossi97425 жыл бұрын
david Ahad:Kuna m2 akikimbia kwenye njia ya peponi na akimbilie njia ya motoni?!Tafakar ndugu yng mana yesu alipokufa ndani ya siku3 je wakristo walikuwa wanamwabudu nani na ulimwengu ulikuwa unaendeshwa nanani mana Mungu kafa,au walisbir mpk Yesu arud half waendelee na ibada?!VITUKOO.
@hassanihathunu95315 жыл бұрын
Kaiona haki, ww endelea tu kunywa mafuta ya upako ukitaarajia kuipata pepo
@IMalycious12 жыл бұрын
Dr Sulley is the best!!!
@mussakachara09847 жыл бұрын
Rudinikwamungu wakwelini mmojatu wakisilamu munguazaliwi anamtoto binadamuazae na munguazae jemunguni mwanaume aumwanamke nanianaweza kufanya Kama ayafanyayo munguwakisilamu waulizeni waisilamutu wanaufunuwohuwo pekeyaobasi
@abubakarililungulu87068 жыл бұрын
Penye ukweli uongo hujitenga. Na ukweli ni ule uliitulizana moyoni mwako japo usiudhihirishe.
@salehlofy42518 жыл бұрын
wakristo msifanye mashindano tu sikilizeni kwa makini halafu uwamue mana kila mtu atabeba mzigo wake mwenyew. yesu habebi dhambi ya mtu
@abdimoge38396 жыл бұрын
Ana kama amebeba dhambi zao watuelezee atapeleka wapi?
@jentrixagitsa87888 жыл бұрын
GOD HAVE MERCY
@briangacheru80904 жыл бұрын
Kabisaa. Walipotea kabisaa hawa!
@mnolamanyendi49564 жыл бұрын
Mashaallah
@salomelucas25877 жыл бұрын
mimi sijaielewa kabisa video hiii
@عليجبار-ن3ي4 жыл бұрын
Wapi huelewe? Mungu wako alizaliwa na akatahiriwa unaakili ww
Na bona Muhammed aliliwa na nguruwe kama alikuwa mtume kutoka kwa mngu, yesu alifufuka ishala ya mteule
@hassankaesa1875 жыл бұрын
Lete andiko cyo unaandika ujinga tu!! Alipokua Muhammad nguruwe atasogea!? Mchungaji mwenyew tu hawezi kusogea!
@zainabzanzibar15185 жыл бұрын
Ujinga ulionao ni mzigo kwako
@mwawiyaomari37965 жыл бұрын
Akitoa andiko mm nakuwa mkiristo
@gabriellyadam94155 жыл бұрын
HATUWEZI KUMWAMINI NEEMA WALA NINYI WAISLAM KWA MABISHANO YENU.JAMBO MOJA TU MUJUE.SIKU YA MWISHO KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UTAMKIRI YESU.HUO NDIO UKWELI MUPINGE MUKUBALI.
@mwakakhamis57625 жыл бұрын
Upo mbali kaka yangu. Siku yakiama ndimi zote zitafungwa hazitaweza kuongea sasa sijui ulimi upi utakao mkubali yesu siku ya kiama?. Kajipange kwanza
@tamiah-zm4io5 жыл бұрын
Sawa..tusubir iyo siku..wanachokifanya n kufikisha juu y kubadilika n ww..ukipenda hayaa usipopenda subiria kiama
@omarisalehe35167 жыл бұрын
masha allah
@adammillanzi60874 жыл бұрын
Wazungu na waarabu wametuachia dini, Ili watugombanishe. Wa-afrika tuna asili yetu jamani. Mizimu oyeeeeee....,...........
@lawarithal-oafi31785 жыл бұрын
Allahakbar
@tanzaniasignlanguage76285 жыл бұрын
Viwanja Vya Tangamano,
@jackyminayo23508 жыл бұрын
mbona Kuita video hii rose muhando that's bad
@joharially43525 жыл бұрын
masha Allah ,
@magdalinemugo45526 жыл бұрын
Naamini yesu alikufa kwa dhambi zangu, kwa yesu sitatoka nimeona faida kwake,
@mussajangwa91065 жыл бұрын
Yaani ufanye dhambi zako halafu yesu akubebee dhambi Hivi mnitambua kweli
@zanzibaronlytv34705 жыл бұрын
Yan wala hujazaliwa hujawa ata n zambi yesu ( mzungu) akafa kwa zambi zako
@zainabzanzibar15185 жыл бұрын
Kwaiyo wewe huna dhambi hapo ulipo
@allyperes53414 жыл бұрын
Hahahaha uislam raha
@salumchipsy86546 жыл бұрын
Kaswida
@shownicezaya14405 жыл бұрын
enyi watu njooni ktk dini ya uislam
@0706-y1u6 жыл бұрын
M..A wapenzi wa Allah
@fredkutiri53939 жыл бұрын
“On the Day We will say to Hellfire, ‘have you been filled?’ it will say, ‘Are there some more?’” (Qur’an, 50:30) “Hell will continue to ask, ‘Is there anything more?’ until Allah, the Exalted, and High will place His foot thereon, Then it will say, ‘Enough, enough, by Your honor,’ and some of its parts will draw close together.’”
@zachariabin54005 жыл бұрын
Hahahaaa
@عليجبار-ن3ي4 жыл бұрын
Your crazy,tulia ufundishwe ww zuzu
@Mfarati12 жыл бұрын
MashaAllah
@tiganatigana37415 жыл бұрын
Daa wakisto kweli awajuwi au wapo kazini?
@selemanimsomi12722 жыл бұрын
Can
@ubarikiwenabwanawamajeshiq58616 жыл бұрын
hii ndio roho ya mpinga kirsto
@esterjuma56826 жыл бұрын
kabisaa yani mungu awarehemu sana
@aarifadnaan448512 жыл бұрын
si shehe tani ni sheitani
@kilikuvevo49475 жыл бұрын
We nenda kajifunze kuusu neon la mungu ndipo ujibu.
@rashidiakim12 жыл бұрын
nice
@hapondipowapwanisotekuraze58157 жыл бұрын
wakiristo wacheni ukafiri
@celestineindata40268 жыл бұрын
let God judge, hukumu yako yakungoja
@fadhilichitete70066 жыл бұрын
sure ni tu atar saana
@abdulinassirmwadini87555 жыл бұрын
miongoni mwa dini 100 na something ni uislam tu ndio dini ya kweli. zote zilizobaki fake
@martinmutiso96335 жыл бұрын
Waislam mwapenda kusifiwa na kijisifu lakini siku yaja
@shabanikasele80715 жыл бұрын
Naikifika ndio kwenu majuto mumuabudio mtu
@rashidbeleiko17875 жыл бұрын
Martin Mutiso moto unakuwakia wew kua muislam wew
@caroleen18609 жыл бұрын
No bk was written by God be it Quran or Bible. God used His annointed vessels to deliver HIS mzg. This is not a matter of religion bt Faith. Im prove on ur understanding capacity brethren. U beliv in ressurrection and yet u dont beliv in te one who ressurrected. Let us see who will inherit GODS kingdom.
@suleimanomar16446 жыл бұрын
caro leen do u think god used his anointed vessel to write isiah23 17,really??
@tematema31016 жыл бұрын
huo kapata mwanaume wakiislam sio bule eti kasilim duuh
@alexandermulilison58445 жыл бұрын
Kwa sababu Uislam hauruhusu MTU kuingia dini nyingine. Utauliwa
@tamiah-zm4io5 жыл бұрын
@@alexandermulilison5844 bible pia hairuhusu..n inasema muwaue..kasome biblia vizur
@alexandermulilison58444 жыл бұрын
Mbona video zakatwa????. Tungeona pande zote mbili....sisi sio washambiki ila tunaskiza pande zote zikitoa hoja sasa ukilete upande wa majibu ya waislamu utakuwa wewe sio kutenda haki
@umayrasaid780811 жыл бұрын
mshapigwa mihuri katika mioyo! ukweli na ushahidi uko mbele ya macho yako but still unang'ng'ania ushabiki...indeed ignorance is a terrible disease! pole! thats all i can say..if you still have a brain kusom still ni free...usiwe mjinga!
@Nimayoutube8 жыл бұрын
matendo yako ndiyo yatakayo kuweka huru na sio dini ww jifikilie maneno unayo ongea sio kilopolopo tuu kama biblia ime andikwa na mwandishi bas hata Qulhn imeandikwa na mwandishi kwani akuna kitabu kicho toka mbinguni ukakipokea tena vina uzwa khaaa!!!!
@mundhirmaharouk9276 жыл бұрын
we wacha upumbavu sikiliza vizury ww
@mwankemwamwankemwa90885 жыл бұрын
unataka kusafir lkn una ela utafika je,utapata tikekt
@isabellaagoi68267 жыл бұрын
Wanadamu kama wewe nyinyi ndiye shetani wakubwa ambapo mwamsaidia shetani kupinga ukristo mna taabu sana kwa ufupi wako upande wa shetani maana wanamwabudu
@suleimanomar16446 жыл бұрын
Isabella Agoi umshukuru sana shetani maana kupitia kwake hamgekombolewa.nkuulize swali dogo,je, kama shetani hange muingia yuda ili akamsaliti yesu,je ,hu ukombozi mungeliupata?? wewe unasemaje shetani ni mpinga kristo ilhali kulitia kwake mkaokolewa??
@jumanechaali26855 жыл бұрын
Ukristo dini gani...mwafata mambo gani
@shabanikasele80715 жыл бұрын
Siku zote hawna hoja waklisto
@ismailyussuf18054 жыл бұрын
Hilo likristo likubwa zuzu lijinga limeuliza swali la kibwege sana.Kawaida ya mijitu minene ni hayana akili.
@aleyidukury83333 жыл бұрын
Ndugu yng ktk iman kuwa nakauli njema kwao
@katrinahmbinyah52148 жыл бұрын
Sasa nini mnajadili nini hata huwa muslim ama kristian itakusaidia nini cha msingi kila mtu akae kwa dini yake ..... ka unaelewa dini yako settle kwa dini yako ka mimi nasadiki kwa mungu mmoja kupitia mwanawe wa pekee yesu kristo pliz sikizeni maneno ya yesu mwenyewe alisema yeye sio mungu bali ni mwana wa mungu Read(john 3.16)
@hanifaharet37397 жыл бұрын
katrinah mbinyah hatamkipigiwa parapanda hamtaelewa nyoyo zenu zilishatiwa giza hakuna siku mtaujua ukweli
@hanifaharet37397 жыл бұрын
katrinah mbinyah na kila siku mnasomewa maandiko yesu si mwana wa mungu ,mnang'ang'ana tu,laana kumu llah
@mohdallysuleman35175 жыл бұрын
Ok
@edigamwalongo19135 жыл бұрын
katrinah mbinyah mnakelwa sana na ss wakristo mtaisoma namba ss ni mbele kwa mbele hatulud nyuma
@wajanekuria30168 жыл бұрын
nonsense
@kilikuvevo49475 жыл бұрын
Mwenyewe.
@harrietkemunto178510 жыл бұрын
Imagine wee ni mavi sana ..use ua name Idiot
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Hahaaaa hatari uislam ndio dini ya haki 🙌🙌🙌🙌❤❤❤❤ penda sana washekhe wetu from dubai home dodoma Tanzania mrangi halisi
@ummytz71454 жыл бұрын
Wawooo tup pamojaaa my deir
@gracecypiliani35207 жыл бұрын
Yesu ni Mungu anawapenda muokoke
@tencredit56436 жыл бұрын
Grace Cypiliani ww na Yesu nani anae sema kweli? Yesu anasema hivi ktk bible: "Lkn sasa mna tafuta kuniua mm MTU ambae nime waambia ilio kweli nlio sikia kwa MUNGU" (8:40 yohana). Yesu anasema yy ni MTU ww unasema Yesu ni Mungu swali ww na Yesu nani mkweli?
@hugowilfredlukoo49716 жыл бұрын
soma Yohana 8:1-45 hapo utajua unamwabudu nani maana kitabu chako kinasema sema uwongo kidogo njoo kwa YESU ukweli anaujua ila roho ya mpinga kristo imo ndani yenu inatenda kazi na hii haitokani na MUNGU ndio maana kuua sio jambo la ajabu TAKA USITAKE YESU NI BWANA HALELUYA!
@suleimanomar16446 жыл бұрын
Grace Cypiliani yesu alipokua msalabani anamlilia mungu mbona kamuacha,wewe hapa unatuambia yesu ndie mungu,je wewe na yesu nani kachanganyikiwa??
@asmaabdallah40555 жыл бұрын
Wakristo mazibaombwe hawajui kitu watapata wapi ilimu beblia haijafundisha ilimu
@wardamagina21125 жыл бұрын
mashallah
@katrinahmbinyah52148 жыл бұрын
Sasa nini mnajadili nini hata huwa muslim ama kristian itakusaidia nini cha msingi kila mtu akae kwa dini yake ..... ka unaelewa dini yako settle kwa dini yako ka mimi nasadiki kwa mungu mmoja kupitia mwanawe wa pekee yesu kristo pliz sikizeni maneno ya yesu mwenyewe alisema yeye sio mungu bali ni mwana wa mungu Read(john 3.16)
@celestineindata40268 жыл бұрын
sijui wanabishana nini Mungu haangali dini ni roho ya mtu ..dini itakusaidia na nini
@hanifaharet37397 жыл бұрын
katrinah mbinyah ukiona hii video haikufunzi lolote una watch ya nini ??? settle mwenyewe hujalazimishwa wacha sisi tunaoelewa tuwatch
@shabanikasele80715 жыл бұрын
Ukiwa kama umezaliwa na mama yako naukajua ulikuaje mbaka ukawa binadam tayali dalili tosha yakwamba uwezo wa Allah ni mkubwa na hafananishwi na chochote na hajazaa wala kuzaliwa