Nikiwa Kenya, nakupenda sana Rose ju nmegundua unapenda inchi yangu🎉🎉❤❤❤
@Brownie016 Жыл бұрын
Kenyans let's gather here and show love to this Gospel Queen 👑💕 kalike kama umeipenda
@dominickwena Жыл бұрын
Sasa anatuchomea Sisi team Sabina joy 😂😂😂
@carolinekamau2427 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅@@dominickwena
@Brownie016 Жыл бұрын
@@dominickwena😂😂😂 iiih imeenda no peace violence 😂
@esthermumbua4907 Жыл бұрын
Wakenya!😂😂😂😂😂
@ClemeceKe Жыл бұрын
ngoma tamu sana
@E.Success Жыл бұрын
Bona Hakuna MTU anaongelelea urembo Wa Our Queen ❤🎉
@fifihakizimana8 ай бұрын
Ingo tunyweee
@NClaude-qk3gb6 ай бұрын
Our queen is charismatic!
@NClaude-qk3gb6 ай бұрын
Our queen is charismatic!
@ignatiusafwayi999510 ай бұрын
The energy in this lady is of the highest levels, her moves are the best. The best beats to complete the message.
@اليزابيلمحمد Жыл бұрын
Gulf team mko wp gather here pls show love to this lady❤❤this is what we call areal gospel watching from gulf blessed mummy🎉🎉🎉
@ev.lydiamoses5629 Жыл бұрын
Mungu wanjua viema chenye Mimi nimepitishiwa ni sababu ya pombe,Nakuonbea kupitia wimbo huu tuweke uhuru wale wote wameoa ama kuoleka na walevi na kuomba we Mungu baba 2024 tutowe Kwa utumwa tunaumia sana...pombe na umalaya niumizo kubwa sana Kwa familia,kanisa na pia Kwa inchi..tuhurumie nakuombaa❤❤❤😢🙏
@RoseAchieng-l1h5 ай бұрын
Boebe simuzri tumeona kuwa maboma megi
@AthumaniOmary-f9z5 ай бұрын
Vo
@AthumaniOmary-f9z5 ай бұрын
V
@AthumaniOmary-f9z5 ай бұрын
XJHNCNRIX
@MchanaMwakio-u4s3 ай бұрын
Nyimbo tamu basi tu
@RoseKilonzo-yf7es15 күн бұрын
Who else loves the way this mama hits on point, gatherer here we enjoy gospel 😊😊
@dj_werra254 Жыл бұрын
Usiku wa manane!!!
@obadiahkinama4506 Жыл бұрын
Such a beautiful message in the song. Much blessings mama rose. Kenyans 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Wapi likes za rose?
@RAIVONMWAKALANJE2 ай бұрын
❤❤❤❤
@Favouredone-c3pАй бұрын
Nikifikiria jinsi pombe imesambaratisha Familia yangu,, Mungu mrehemu babangu mzazi 😢😢😢
@MUKAMIACTRESS Жыл бұрын
If you believe that @rosemuhandoofficial is the queen of Gospel wapy likes zangu
@vincentauxerbius7554 Жыл бұрын
Eeh MUNGU nisaidie kinachoimbwa hapa kisinijie katka maisha yangu niendelee kuijali familia yangu🙏🙏🙏
@muhozanadia-oz9yo6 ай бұрын
Mungu alisikie ombi lako
@vincentauxerbius75546 ай бұрын
🙏
@themarajungle1982Ай бұрын
Huyu ndiye Rose muhando tuliyempenda tangu mwanzo ♥️ pastor Ezekieli aliponena kweli ulimsikia kizazi hiki tu Nakupenda mama 🤭 injili itambe zaidi Napenda hivi 🎉
@salumdonard5014 Жыл бұрын
Kupitia wimbo huu watafinguliwa wengi KATIKA jinalayesu namungu azidi kukutumia Rose
@magretomondi8312 Жыл бұрын
Ni kweli pombe ina madhara
@Ivonnewilnes2 ай бұрын
Amina nimejikuta nalia naipenda nchi yangu Tanzania Mungu endelea kutupa amani
@VICTORMUTHENYA Жыл бұрын
Malkia kama malkia 👏👏👏hii kweli imeenda🔥🔥Kenyans let's make this number one trending #1❤❤
@petridatryphone2232 Жыл бұрын
Mungu msaidie kaka yangu aache pombe
@BrianMunene-zd9oi10 ай бұрын
I feel your pain bro mtu wa maana unaona akiharibika
@VinaDaniel-b7v2 ай бұрын
Nimeupenda sana unawafundisha watu wengi wimbo mzuri apewe maua rose
@LawiAidani Жыл бұрын
Hakika hii ni kweli kabisa na abalikiwe sana
@alexmaina2412 Жыл бұрын
Wow!Hakika malkia umeweza, neema yatosha.Wimbo huu na uwaponye wote waliotekwa na pombe in Jesus name🙏🙏🙏weka Likes za Rose Muhando jamani👍
@swaumsalim470 Жыл бұрын
Kuna watu wamevimba kama nn na wanatukana matusi, ukweli unauma sana kwani wamelazimishwa kusikiliza?
@israelahAngwenyi3 ай бұрын
Niukw eli❤
@Kimiroko8119Күн бұрын
Sijyuwe kiswahili kizul, rose muhando namupenda sana, ndi kigali rwanda muhando ndagukunda cyane.❤❤❤❤
@annastaciandinda8105 Жыл бұрын
Fanya crusade kasarani Kenya, ii nayo lazima tu attend, you always delivers
@edithawino100 Жыл бұрын
Walevi tumefikiwa na Rose Muhando. Hii imeenda! Thanks for ministering this powerful master peace to us. We need change.
@davidchepution4552 Жыл бұрын
Achana nayo sasa. Tukimbilie uokofu
@gusigolotom903310 ай бұрын
The Queen of Gospel. Rose may the good Lord Bless and protect you all the times. Pombe great message.
@BibleTruth-y1h Жыл бұрын
Kwenye walimu wa kwaya hapo umepatia kabisaaaa...mlevi halafu malaya Anajiita Mtumishi Wa Mungu😢😢😢 Hawa ndo Wanaufany ukristo wa haki utukanwe....MUNGU ashughulike nao
@NaomyCheborgei-hm8hf7 ай бұрын
Ubarikiwe Rosie atami uniombe mmi muimbaji
@nicknill3471 Жыл бұрын
Huu wimbo umeniguza Barikiwa
@Jenitha-ub8mr8 ай бұрын
Mama yuko sawa
@rowancrazy2547 күн бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪,we love rose muhandos songs from the very first album
@jumaephraim5949 Жыл бұрын
Pombeeeeeeeeee ina madharaaaaa weee! Candid advice to the public.... Rose Muhando MUNGU akupee neema isiyoelezeka mummy! ❤❤❤❤❤
Rose loves kenya kuliko kwao acha mungu akulinde siku zote mommaah feel loved❤❤
@sirkatumphysics1821 Жыл бұрын
*Wakenya kujeni hapa❤❤❤. Malkia wa nyimbo za injili ametingisha tena 🎉🎉*
@FrankChalula-hz6dn Жыл бұрын
Mie naishukuru the Kenyan gvnt kwa kusaidia, kupona kwa gospel singer wetu Da Rose, nikimuona I'm proud of being TANZANIAN
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Amina kaka wewe ni mtu mwenye roho ya Mungu kwani umeona na kutambua kazi kubwa ilofanywa na serikali ya Kenya kunisaidia kuwa hivi Leo nilivyo Mungu akubariki kaka yangu
@violachemutai-9694 Жыл бұрын
@@rosemuhandoofficial5676❤❤❤❤
@paulmusila62109 ай бұрын
She is ours now we own rose
@MatatizoJulias6 ай бұрын
Tzgsg@@rosemuhandoofficial5676
@MatatizoJulias6 ай бұрын
Hgmuytop
@KiongoziMpishiАй бұрын
Rose sijui naweza kukupa zawadi ngani ngoma zako huwa na majibu ya maisha tunayoishi sasa hivi,na huwa zanífariji sana moyo🎉❤❤❤
@evalynmbula7946 Жыл бұрын
Thanks muhado for championing Christ ever. Umehubiria mji na miji taifa na mataifa Mungu akuzidishie neema .miaka iliyoliwa na nzige Baba wa uzima akulipe .Amina
@E.Success Жыл бұрын
Tuko Live 🎉🎉❤❤❤..watu wengi kujeni Mama Amefanya Ile kitu Tena ❤❤🎉🎉
@DreyEllyАй бұрын
I❤❤❤❤ your gospel songs my God bless you
@emmymongina5420 Жыл бұрын
❤❤❤huu wimbo uenee dunia yote 50 millions+ views walevi waokoke jameni wajue pombe n saitani😮😮😮😮😮
@edwardkigs7780 Жыл бұрын
Hilo Jimama nono latingiza maziwa Sana jameni😂😂😂😂Rose Asante kwa wimbo huu 🙏ni kama inavyotendeka kwenye jamii🙏Queen o Gospel🥳🥳🥳
@wambuawambua28972 ай бұрын
Nashukuru Mungu 🇰🇪 Kenya ni nyumbani
@Kevinmusau1 Жыл бұрын
This is more than powerful . Let’s appreciate the way Rose always pass the message to people. ❤🎉we celebrate you
@HappyPhilipo-ws3jx Жыл бұрын
❤❤❤🎉
@NtemiwaNdalwa-dk9zj11 ай бұрын
Rozi muhando
@Sarahmanyuru3719 Жыл бұрын
Very true ,,,our qeeen nakupenda tu bure ❤❤❤❤❤,,God bless Mummy,,,
@MAKOSEMBETAKIRURUSHI10 ай бұрын
Upo sawa mama ubarikiwe.
@paulmwita Жыл бұрын
May God bless you malkia wa gospel,hakika pombe Ina madhara mengi,much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪malkia
@RAIVONMWAKALANJE2 ай бұрын
❤❤❤❤
@javanuzaj7 Жыл бұрын
Walevi were just chilling
@Alex-n2v2y2 ай бұрын
Mama mungu akuzidishie siku za kuishi asante kwa ujumbe
@WinnaMichael Жыл бұрын
Kama kuna mtu hampendi rose muhando uyo ni mchawi kabisa😢😢😢😢
@glolysadiki Жыл бұрын
Umeonaee kabisa yaani tusiache kumuombea Mana ana maadui wengi
@SheikhAli-d9t3 ай бұрын
1
@shoshdehblessedtv28412 ай бұрын
Kusema mchawi ni understatement 😂😂😂😂😂, ibirisi mwenyewe
@janemuthoni723 Жыл бұрын
Mama you’re our voice in Africa thank you 🙏 for making Africans proud,huyu mama hata wampige vita ni wa Mungu tu juu kama sio Mungu angekuwa amekufa kitambo,mama imbia Mungu with all your strength ❤❤❤❤❤❤❤
@andrewandrew2606 Жыл бұрын
Hakika neema ya Mungu ni tosha kwa Rose! Glory to God always in Jesus mighty name.
@janetkhainga6504 Жыл бұрын
Dada rose hawasikii kunywa pombe kutojielewa kwenda choo kwa suruali kulala fofofo hakuna kazi inafanyika na mambo haya mengine.kutaja nikuharibu wakati kama sisi wanawake wengi tunaamua wacha iwe hivyo
@JosphineMutua-d6r Жыл бұрын
Ile kupeda napeda huyu mama mungu ndo ajuae nyimbo zke huwa zinanitia Moyo sana
The best song so far with a very beautiful message 🎉🎉🎉❤❤❤❤I love you mummy
@TheGospelMelodies Жыл бұрын
Neema iliyojuu yako ni ya kipekee sana. Umebarikiwa kama nini. Kazi zako ni za viwango vya juu sana. Ashukuriwe Mungu kwa kukutunza. Kimebarikiwa kizazi hiki kwa kuwa na watumishi wa Mungu kama wewe. Kenya tunakupenda sana Roziiii.❤
@Abraham-wq9tk Жыл бұрын
Amen
@RaelAbisaki Жыл бұрын
Hakika brrooo .tunampenda sana
@NacyOrisa Жыл бұрын
Ngoma kali sana hiii❤❤❤❤❤❤ 🔥 🔥
@mmbuniphellow Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NICHOLASKIPRUTO-kc2bk Жыл бұрын
Wow
@BethuelofficialTz Жыл бұрын
Nairobi mkae mkijua pombe ni mbaya. Thnk u Rose
@SikubwaboJea24 күн бұрын
Rose mhando Mungu akubariki nasisi apa Rwanda tunakupenda tunaomba uridi Tena apa Rwanda Kwa wimbo wako Yesu unibebe
@makumbeproductions Жыл бұрын
Im a Music Producer in Zimbabwe, this lady is my favorite
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Ooh thank you plz give me you are number I need to told you
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
My number is +255746334336
@jacobchipo60166 ай бұрын
Makumbe productions munogona zvee imi proud of u
@onyeomachinyeremaka6809 Жыл бұрын
*Father in Heaven,prepare me for the New Year! Take away my worries and regret! Recharge my soul and renew my hope! Please go before me clear the way and protect me ! Bring the right people into my life and remove the wrong people out of my way! Father Lord, guide me with Your joy !In Jesus mighty name.Amen*
@alfredmuyonga7848 Жыл бұрын
❤❤
@MercyWaliaula Жыл бұрын
❤❤
@stannamayi6486 Жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾
@Prince_jay_ke Жыл бұрын
🙏
@jeremiahjeremiahjr9864 Жыл бұрын
Amen
@AnnaMsembwaАй бұрын
Star wetu Dunia nzima mwalimu mkubwa sana kwetu amen men ❤❤❤❤nakupenda bure dada wa yesu ❤❤❤❤❤
@AmisiLulacha Жыл бұрын
Ubarikiwe mama Rose muhando Mungu akuepushe na watesi wako waliotaka kukuingiza pabaya usimjuwe Yesu tena ila Mungu aliona unaponya Roho za watu wa mwamini Yesu Mungu atukuzwe Amen
@gloriachepkorir784 Жыл бұрын
wow nitakachosema ni kwamba I'll give Rose muhando's POMBE SONG AS THE BEST SONG OF THE YEAR
@DOREENCHARLES19952 ай бұрын
Afadhali weee Jirani yangu nikieka hii wimbo alikuwa ananiambia niache kumtafuta ni ee naekea Wimbo 😅😅😅wee Malkia Rose sio Mchache😂❤❤❤❤❤
@silviak1776Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@deusoden361412 күн бұрын
Nimecheka kwa sauti..acha kumuwekea mwenzio huo wimbo..😂
@ChelagatMercy4 күн бұрын
😂😂😂😂pia mm
@florencemuya28034 күн бұрын
Hapo unaacha inacheza siku yote
@MamwanchaWilfred Жыл бұрын
Ukweli mtupu.Imearibu familiaingi,watoto awasomi.Vita kila saa.
@MonicaMboya-t3o Жыл бұрын
Kweli kabisa mama mungu akupe umri mrefu sanaa
@JACOBMSAMBALA28 күн бұрын
Mungu akubariki, Yesu azaliwe Kwa roho zetu 🙏🎸🎸
@chrisgitonga2926 Жыл бұрын
Nimepiga wimbo wa pombe kwa nyumba jirani ameangulia kicheko. Amesema rozi amemuimba yeye. Kweli mama unaimba nyimbo za jamii. Barikiwa mara mbili zaidi 🙏
Mama Rose Muhando never disappoint. Pombe imeharibu familia mingi. Wimbo wenye mafunzo kwa kizazi 👍👍👍
@RehemChungwa-lu5pf Жыл бұрын
Hellenah
@RehemChungwa-lu5pf Жыл бұрын
Hellenah
@vincentkombo421 Жыл бұрын
very true
@Hellenah_Sufii Жыл бұрын
Yes🙏🙏
@Hellenah_Sufii Жыл бұрын
Mimi huyu
@danielmusyoki378611 ай бұрын
Kula chuma hichoo,,,,, hapo sawa mungu apewe sifa jameni wazee tuamke bana
@carolkamui7923 Жыл бұрын
Kwa kweli rose ni queen wa gospel
@pkmtetezi Жыл бұрын
Huyu mama ni super star,ngoma zake sio za kunahatisha... it's a hit🔥🔥
@SophiahLumumba-y5f2 ай бұрын
Wimbo mtamu sana ,mtumishi wa mungu ubarikiwe
@lydiamwikali2805 Жыл бұрын
Hapo kweli kabisa pombe pombe...... God have mercy upon our families in Jesus name More grace rose 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@RAIVONMWAKALANJE2 ай бұрын
❤❤❤❤
@charlesmaina5441 Жыл бұрын
That's my artist nampenda tangu utotoni
@SefuJoseph-iv3bl3 ай бұрын
Verry good
@EricMuema-ib6xt11 ай бұрын
Mama nyimbo zako zimejaa hekima na upako.hadi zilinihimiza kumpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yangu.may the good Lord continue blessing u & your good work.pongezi sana malkia
@MTAKATIFUMFARISAYO Жыл бұрын
Huyu ndiye malkia rose muhando wa kitambo keep up mamaa
@elinamapenzi4471 Жыл бұрын
Unastahili Medal kutoka kwa Raisi wa Kenya.Nabarikiwa nikiwa Kenya kilifi county
@JohnathanMottoka9 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@REHEMAMUNA-p5v2 ай бұрын
Rose Muhando Jua kusudi lako hapa duniani tumuimbie Mungu wetu natuyaishi yake AMINA
@FurahaAntoinette-t7j2 ай бұрын
Biblia inakataza mafundisho? Hata biblia inasema kwamba pombe ni mbaya
@JulineAwuor Жыл бұрын
The queen 👑 of Gospel has nailed it again 🙏🙏 Glory be to God
@jojo2992 Жыл бұрын
May almighty bless you ma❤ we love you sweetheart from Rwanda 🇷🇼 ❤❤❤✋💝🙏
@mariusmaluguzakabungi82192 ай бұрын
Hakika asante sana mama yetu rose mungu akubariki
@puritymusyoni433 Жыл бұрын
The queen of Gospel has nailed it again..praise to Jesus
@antombuti9907 Жыл бұрын
true
@Mildred-eo3nj Жыл бұрын
Amen❤❤❤
@creativetechniques20572 ай бұрын
Kama umesikia akisema "usiku wa manane" na "hii imeenda Ebu gonga" like jamani.
@nobuhlematshazi483919 күн бұрын
I dont understand the language Sister Rose but I enjoy your songs.🎉❤
@EstherMondah-k6z Жыл бұрын
Barikiwa dada kwa nyimbo zako zenye ujumbe mzuri
@FloraMwathi-m2w Жыл бұрын
Happy nikweli nilimpoteza mume wangu juu ya pombe
@EmmaMwendwa-z7e8 ай бұрын
Take it easy mammie
@AberaNsinga8 ай бұрын
🎉
@LukazakayaMlaiza-zo1wi5 ай бұрын
Niko hapa sijapotea
@VincentCheruiyot-rw2ns20 күн бұрын
Wakenya huu mwaka ni mkona wa mungu tunaitegemea🙏🙏🙏
@josephmollel4526 Жыл бұрын
Mama wa taifa amenguruma tena 🦁🦁🦁
@malmalmathifa2405Ай бұрын
No one absolutely no oke has ever given satan nightmares like ths woman here.heheh..in 2000s she used to face satan with no fear and ask him where he got the audacity to address us humans.who gave you the authority to do so.who do you think you are??!wuueh..😂😂😂.halafu ata mkanyaga hadi atie uoga.ths woman is fireeeee...there will be only one ROSE MUHANDO ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kimanuka.p.official261818 күн бұрын
Nice Song Rose Muhando.Hapa Kigali Rwanda Tunakupenda Sana Kalibuni Mala Tena.
@EDINAKEDMONI5 ай бұрын
Yan ametoa ujumbe mwenye sikio na asikie rose ameshamaliza kazi yake aliyotumwa na mungu.Amen
@BethuelofficialTz5 ай бұрын
Safari inaendelea
@gfydfdf88694 ай бұрын
Nakuombea DADA Rohomtakatifu asidi kukupaka mafuta yake barikiwa Ros i@@BethuelofficialTz
@VitalisSikuku Жыл бұрын
Rose muhando is talented in both music and dancing
@MasterPary-k6b11 ай бұрын
Nakupenda San mama rose mhando wimbo unao ujumbe kwa jamii yeti by mjaluo msafi Rorya moja hyoo❤
@ApostleHoseaMujulizi8 ай бұрын
Hata Mimi Napenda Kenya Kenya wanajali watumishi wa Mungu
@elibarikielikana1824 Жыл бұрын
Queen of Gospel 🎉❤ Mama Mungu akuzidishie hozi yako Shetani ameshakushindwa Mungu azid kukutumia kwa viwangu umuinue zaid Mungu nae atakuketisha Apo juu❤
@davleenobwora20565 ай бұрын
Mimi sikusomeshwa na baba mzazi juu ya pombe.Mungu awajalie wazazi wote wawachane na ulevi ni umasikini pia☝️✅
@mwenenguma99794 ай бұрын
amenifanya niwache pombe for sure kama uliacha pombe kwa huu wimbo weka like tukisonga
@davidshimbi Жыл бұрын
Wow, there is so much to learn from this amazing song! As Christians, let's stop drinking! Much love from DR CONGO 🇨🇩
@RAIVONMWAKALANJE2 ай бұрын
❤❤❤
@lilcyrus4201 Жыл бұрын
This lady.....the voice😢😢... talent 🎉... message ❤.....keep up Rozzzie
@ElikanaSamwel-y1oАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 nakupenda dada chukua maua yako japo kuwa wana kupiga vita ila wew pambn dada angu ❤❤❤❤❤
@kitimwango9286 Жыл бұрын
❤Dada Rose Mhando Mungu akuongezee hekma na nguvu ili uendelee kutubariki kutoka 2004 hadi leo 2023, hujatuangusha ❤Frm Mombasa
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Amina nawashukuru wote mlionishika mkono kunitia moyo