Wakenya tunaoamini twavuka mwaka Kwa sababu ya mkono WA mungu,tujuane🫱🫲
@catemaina9324 күн бұрын
Be blessed mummy ,,,,pitia zangu pia humble request
@wilykisternasimiyu76434 күн бұрын
@catemaina932 I will 🙌
@PATRICkMATANMAYA4 күн бұрын
🎉🎉🎉tuko..
@EmmaMutheu-y3e4 күн бұрын
👋
@MaryMbitha-y2z4 күн бұрын
emen🙏🙏🙏
@mraquachil47994 күн бұрын
Mwenye anakubali Rose muhando ni best musician in Africa anipee likes hata 100 000
@mraquachil47992 күн бұрын
Kuna nyimbo mpya nimekuambia rose muhando ingia uione
@Issak-g8l4 күн бұрын
Team Rose from Kenya let's show love with likes
@GiftJoel-l8e4 күн бұрын
Mama mungu azidi kukufunulia na uzidi kutupa injili 🎉🎉
@paulmwita4 күн бұрын
Nice song,hakika hata kumaliza mwaka salama n mkono wa Mungu🙏,much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MelodicTunesWithM-Jay4 күн бұрын
All the way from Nairobi kenya. Wapi likes za wakenya kwa huu wimbo?
@magdalinejuma20284 күн бұрын
Tuko❤❤
@badboyjephanie-uh3mz4 күн бұрын
Tunao mkubali roze tujuane kwaku like hii comment
@EverlyneAsifa3 күн бұрын
Yaani hapa ameniguza Mimi kabsaaa, sina kinachonitisha, cna hofu, shaka Wala sibabaishwi na chochote kile maana najua mkono wa MUNGU uko Kwa ajili YANGU 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@ZilipaBalalu3 күн бұрын
YESU KRISTO MUNGU AKUBALIKI SANA
@evache44274 күн бұрын
Amina,,mambo yote ni mkono wa mungu tangu tuanze mwaka huu..congrats mummy 🎉🎉❤❤❤
@ephantusmurithi60344 күн бұрын
Mkono wake Jehova ni mkuu Someone to like my comment.
@PauloJulius-uq8mi2 күн бұрын
Tunajua hilo ni mkono wa Mungu umetubeba kutoka January to December 🙏 Ombi langu kwenu naombeni Like ata Moja tu😭😭😥🙆🙆
@elizamusilipraiseКүн бұрын
Ooh yes ni mkono wa Mungu 😍 hallelujah 🙌 👏
@marykmusiq84424 күн бұрын
Kama hii wimbo imekubudumia naomba piga like tukisonga ,mama afurahie❤❤❤
@RoseSango-o5g4 күн бұрын
Wa kwanza leo nipeni like mbili tuh and Glory to God forever ❤
@IsraelJacob-s9wКүн бұрын
From January to December Ni mkono wa Mungu❤
@Sophieshaliz694 күн бұрын
Nani anakubaliana na Mimi mama yetu amerudi kwa lane yake ya uimbaji 🎉💪💪💪
@edithchepngetich34523 күн бұрын
Alirekebiswa na akarebika ingekua wengine wangetoa matusi yote much love mummy ❤❤
@HarunaDanielmbanzeofficial3 күн бұрын
Kabsa amerudi kwa ujumbe mzuri
@GablielShalom2 күн бұрын
amen 🙏 mtumsh wa mungu
@faithblessing364 күн бұрын
who is here for our gospel general. love you mama
@AbigailMulaa4 күн бұрын
Huu wimbo Huwa unanipa matumaini maishani mwangu kwa maana mambo yote ni mkono wa mungu🙏🙏
@josephntungiye62322 күн бұрын
Huwa unakubaliki lini wakati wimbo umetoka leo hii?
@NaomiNakhumicha4636Күн бұрын
Mungu kupitia huu wimbo nakuomba unishike mkono Ebenezer maana vita n vikali Rabii😢
@elizajeptooКүн бұрын
Mungu yupo nawe akushike mkono
@NaomiNakhumicha463622 сағат бұрын
@elizajeptoo Ameeen 🙏🏻
@duncanmulu24502 күн бұрын
Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake; huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
@Doreenkemmy-ru6xe3 күн бұрын
Wakenya tuko nyuma yako mama Rose 2025 mambo yote ni mkono wa mungu ❤
@CateComplaina4 күн бұрын
Huyu namuita kamama nakupenda sana kamamii kama unapenda mama Rose weka like❤❤
@malkiarosemuhando33104 күн бұрын
Amina
@EmmaMutheu-y3e4 күн бұрын
Mine counted in
@abrahammukelabai642 күн бұрын
My best African gospel artist. I pray that one day I can her in person. I have been listening to her songs since I was a child and now I am even working. Much love from Zambia 🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲
@JeanboscoNdayisenga-s8d4 күн бұрын
Na wenye mnamkubali Rose muhando kutoka burundi 1:46 mbipe like zangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@bissahcheywe18 сағат бұрын
Amen Amen! Ni mkono wa Mungu..... glory to God.
@BrigitWamalwa3 күн бұрын
May God bless you sana dadangu Ali ho kupa mungu hakuna wakunyakuwa, hakika ni mkono wa mungu.
@enneryasaguti28764 күн бұрын
Muimbaji wangu pendwa tangu Enzi na enzi🎉🎉❤❤❤
@EkaSyumeNamoOnlineTv4 күн бұрын
Saa sita na dakika tatu. Wa kwanza kuiona. Wapi likes za Malkia Mwenyewe❤❤❤
@ShadrackMabera4 күн бұрын
Nakubali Sana Mama❤❤❤❤❤
@eveimbusi59404 күн бұрын
❤❤
@molineadema48724 күн бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@innocentkenga85372 күн бұрын
Rose never disappoints. Huyu ni ushuhuda kwa mambo ayafanyayo MUNGU
@machoziregina39024 күн бұрын
Sina nashaka ni mko wa Mungu. Amen dada 🙏 ubarikiwe
@EzekielAmbani-i6u4 күн бұрын
Sauti ya dhahabu tena nyororo ya kumtoa ibilisi kutoka kuzimu.
@christabelmuhonja71544 күн бұрын
Mwaka Huu umekua na najaribu mengi lakini kwa mkono wa Mungu tunamaliza kwa neema ❤ Huu wimbo ni ushuhuda
@mariahrose14944 күн бұрын
Hakika hata Kufika mwisho WA mwaka huu salama imetugharimu mkono wa Mungu 💖🎉
@michaelmbui82264 күн бұрын
Ameen🙏
@MaryMbitha-y2z4 күн бұрын
emen🙏🙏🙏
@uiptv3654 күн бұрын
Amen 🙏🏽🙏🏽❤️
@MedadiMchomvu2 күн бұрын
Road to 2025 mimi sibahatishi mambo yote ni mkono wa Mungu 🙌
@mashindikeathanas10992 күн бұрын
Amen amen!! Sibahatishi mambo yote ni mkono wa Mungu!! asante Yesu kwa neema yako katka maisha ya familia yangu!!
@SWEETHEART7-t2e3 күн бұрын
Hiyo ndio maanake tunamshukuru Mungu kila tukipata fursa🥳💯🌹
@LispafulgenceSimon-rs1zg3 күн бұрын
Kwa nn sikuiz nyimbo nyingi za injili hazimtaji Yesu
@PasteurBenjamin-w8q2 күн бұрын
Maman hongera na kazi. MUNGU akuinue zaidi🇨🇩🇨🇩.
@jamesmumba9985Күн бұрын
Kabisaaa everything is God strength, barikiwa Sana mamy
@Whinkydennooh2 күн бұрын
Still the best gospel artist in eastern Africa ❤much love
@SylviaNasimiyu-b9k2 күн бұрын
Barikiwa Sana mama rose l love you ❤❤ from kenya 🇰🇪🇰🇪 My God blessed you so much
@JanetOkumu-w1i3 күн бұрын
All the way from TikTok to watch this video.... always 🔥🔥🔥God bless u Rose Muhando
@Mashenene_Robert4 күн бұрын
Wimbo mzuri wa kufungia mwaka ❤Team Rose Tujuane
@rabeccandinda64424 күн бұрын
Thanks madam rose for this song. Endelea kupaa tena there is a new glory again.
@godfreyngowi87653 күн бұрын
So gud song....ata mm nimeupendaa...watto nilionao ni mkono wa Mungu
@martinngowa90712 күн бұрын
Always unafanya the best wimbo poa...wengi walikuwa wanauliza mkono wa mungu itatoka lini... Lakini imetokea hongera kwa malikia 🥰🥰🥰🥰🥰🥰 tunakupenda sana
@raymondbahati76264 күн бұрын
Sio uganga ao uchawi, mambo yote ni mukono wa Mungu
@ndanumartin579Күн бұрын
Hallelujah I have no compromise it's only taken the hand of God.....kuona mwaka ukiisha ni mkono wa Mungu
Amina maman rose Muhando Mungu akuongezia myaka ndimi mwimbaji wa ingili kutoka mujini kongo❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@joycemuenimutua45064 күн бұрын
Asante Mungu mambo yote ni mkono wako bwana ❤🎉
@mkenyakamilitv013 күн бұрын
Nimengoja sana hii video, finally dropped, Rose Nuhando nyota wa injili, big up👍👍
@JanieRecipesNah1vs92 күн бұрын
Yes woman of God, you never disappoint
@WiseManGenius4 күн бұрын
Wanyarwanda mko wapi? Nawatakia krismasi nzuri na mwaka mpya wenye baraka tele mungu azidi kuwalinda niite Wise Man Genius kutoka nchini Rwanda shukurani!!!
@alistairmutisya47413 күн бұрын
East Africa and beyond this is a legend. If you admit just like.
@ZebedeHAFASHIMANA3 күн бұрын
Kazi nzuri love nyingi kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Njeri_Wambui4 күн бұрын
Wokovu,Amani,uhai,furaha,ndoa,watoto na usalama wangu si uchawi wala uganga Bali ni Mkono wa Mungu🙌 Ahsante Mama Rose kwa wimbo mzuri wa kushuhudia wema wa Mungu kwetu❤🥰😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯👌👍💪✌️👏👏👏
@mykitchenmy3754 күн бұрын
One of this days I woke up singing this song from dreams thank you God for your love 😢🥰🥰🥰
@michaelayubu94562 күн бұрын
Niliisubiri San kwa hamu hongera sana Mama.Malkia Wa nyimbo za injili❤❤❤❤Angazaa mtumishi wa Mungu hilo Mungu amelidhibitisha 🎉🎉🎉
@belvickhaemba26582 күн бұрын
I grew up listening to Rose Muhando songs,I really love your songs.
@MILICENTACHIENG-e3o2 күн бұрын
Hakika mkono wa Mungu siku moja nitaimba na ww mama Africa
@esthermutua12873 сағат бұрын
Mkono wa mungu to the world 🌍🌍🌍🌍🌍🌍 blessings 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@monicakageni98343 күн бұрын
Kumbe ndio umetolewa...wimbo huu nimeamka nayo kichwa Kisha nikasema acha nione KZbin....thanks Holy Ghost am on the track
@victordeekenya35392 күн бұрын
Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 We love this song 🇰🇪
@unclestanowakihara151Күн бұрын
You are back to the Original,Rose Muhando
@mosesdmakingmoreto4 күн бұрын
Mama yetu ametingiza ulimwengu wa mapepo tena.❤❤
@labanitobkala6204 күн бұрын
Kenyans let’s team here to support Muhando ❤❤🇰🇪🇰🇪
@SalimuAlidigoКүн бұрын
Akika n kwa mkono wa Mungu maana maadui walipendezwa kama tungemalizika🎉🎉🎉
@chriskalega43483 күн бұрын
Naamini nabarikiwa kila nikisikiliza wimbo huu na kila nikitembea nauona mkono wa mungu na kazi nayo ifanya pia ni mkono wa mungu ❤
@josephinejosephine19394 күн бұрын
Yeeeees we give likes ni kwa mkono wa Mungu it's not by might nor by power but by the spirit of the living God!
@davidmuli23643 күн бұрын
Thank you lord....ni.mkono wako tu
@FrancisMutua-n8l4 күн бұрын
Nice one from rozzie once again mambo yote ni mkono wa mungu kweli...
@hillarymaliam40892 күн бұрын
Wonderful song, mimi shida mambo yote ni Mungu❤❤
@mwendocecilia67334 күн бұрын
Congratulations mama Rose... nehema ya mungu inatosha...nyimbo zako unibariki sana
@GiftedAustinMusalia4 күн бұрын
I love this the most from 254 🇰🇪. You have always inspired me mam. Mungu akupiganie zaidi na adui zako waaibike🙏
@GiftedAustinMusalia4 күн бұрын
Naamini nitakuona siku moja
@NYIRABAGENZINassim-qv7soКүн бұрын
Asante Muhando wetu we love you so much (Rwanda❤❤❤❤
@JumyNayUwamahoro4 күн бұрын
Oyogedamazima rose mambo yote ni mkono wamungu kbx!
@maryolonde33094 күн бұрын
Sifa na Utukufu kwa Mungu Rose Muhando. Mungu amekutoa mbali. Ombea sisi ambao bado tunasumbuka. Hakika ni MKONO WA MUNGU.
@PATRICkMATANMAYA4 күн бұрын
Wimbo iko kiwango cha kipekee...mahudhui iko sawa....Hongera🎉🎉🎉
@Josephat-k7v4 күн бұрын
Yaani the love l have for this woman of God ni mungu anajua tu ❤❤❤
@NzabonimanaIssa4 күн бұрын
Nakupenda rose muhando,kuishi duniani ni mkono wa mungu
@ElizabethSingano-o3n4 күн бұрын
Wow 👌 mm sibahatishi mambo yote ni mkono wa Mungu ❤❤
@peterkayichile30013 күн бұрын
Rose hana mpinzani mpaka sasa
@Kazo3724 күн бұрын
Kama ukipenda rose muhando kamamimi bonyeza hapokwenyepica unifanyizie dawa.ok
@elizajeptooКүн бұрын
Amen and amen yote ni mkono was mungu sio kwa uwezo wangu
@daviesbrown-o6c3 күн бұрын
wauuu, It has taken God's hands this far, with only a few days remaining in the year. My dear sister Rose, you have blessed soul with this song; may God continue to bless you as you bless others. It is a true testimony.
@princeclyde4143 күн бұрын
Siku zote nabarikiwa ninaposikiza nyimbo zako mama hakika wewe ni wabaraka kwa ulimwengu huuu barikiwa sana.... nq leo sibahatishi mambo yote ni mkono wa mungu ❤❤❤❤ upendo mkuuu kutoka kenya
@AnnWaithera-k2g3 күн бұрын
QUEEN OF GOSPEL ARTIST AROUND THE WORLD.....piteni na likes team Rose
@sionajulius25074 күн бұрын
And now my waiting is over...spiritual master mind done a good job once again 2024 december
@julietwambigifhorn34053 күн бұрын
Jealousy ones all though they dirten Roses car ,all Blessings yes to Rose 🎉🎊🎊🤗🤗👌👌😂😂😂🎄🎁🎄🎁🎄🎁🎄🇰🇪🇺🇬🇩🇪🇰🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪💪💪💪🔥 😭 🇺🇬 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ love you always Rose 🌹🌹
@winnybarasa99114 күн бұрын
Watching from Kenya🇰🇪🇰🇪
@everlynendete997Күн бұрын
This is an Amazing song Rose. Be blessed
@olgamuhiyaolgamarthe43362 күн бұрын
Mimi si batishi mambo yote ni mkono wa Mungu 🎉🎉🎉🎉 thank you almighty God 😂eben ezer
@misperkerubo78082 күн бұрын
Amazing... Ni mkono wa Mungu
@KenzyKaireri-vu4hx4 күн бұрын
Mambo yote ni mkono wako mungu Nina Imani na mkono wako yesu Asante Kwa kunipa uhai siku ya Leo🙏
@dorcusnisa2 күн бұрын
Maisha yangu ni Mkono wa Mungu tu . Nina amani moyoni mwangu. Mungu akubariki sana Muhando
@ruthmuja77924 күн бұрын
Daima nakupenda dada na mtumishi wa Mungu Rose
@nancykwamboka8213 күн бұрын
Despite all the challenges God gave us the smile to confuse our enemies yaani yote ni mkono wa Mungu wimbo mzuri kweli dada🥰🔥👌
@RobinaMsigalla4 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi, ujumbe ni mzuri, uendelee kuwa "chombo cha kupuria" cha BWANA YESU
@mariesnjenga7404 күн бұрын
TRM❤❤ wapi likes za malkiah wa nyimbo za injili ❤
@msaniiezekielkamoyani4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ nikivuka mwaka mpya ujao ni mkono wa mungu......
@christopherbaraka27734 күн бұрын
Mimi sibahatishi mambo yote ni mkono wa MUNGU Amina haleluya wimbo mzuri sana utukufu kwa MUNGU